Huyu jamaa mwenye buti kwani vunja mbavu nimerudia zaidi ya mara tatu eti Asante udugu wangu 🤣🤣🤣🤣🤣afu mama mjamzito ana zinga la buti afu kavaa msuli🤣🤣🤣🤣
Amin kwamba watu tunasahau ila tu dubu na team yako mko vzur mke wangu alikuwa haiyelew kabxa lakn nmemsimulia hapa kidog tu kaiyelewa na amecheka sana hahaha😂😂😂
Nipo DRC congo nawafatiliya kwa umakini kbs twasema hongereni sana na poleni kwa changamoto pia kwa mashahuri pale nyani ngeengwe alihanza sini na nyele alafu nyuma akanyows
😂😂kazi nzuri nimependa 😂😂
🙏🙏
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂daaah Dubu Miyeyushoo Wewe... 😂😂😂😂
Kazi mzuli sana leo😂😂😂😂 nnaenda glinik from 🇲🇿🇲🇿
Kazi nzuri hajra am proud of u😂
Good job dubu endelea kutuonyesha ubunifu wako🎉🎉
Nashukuru sana 🙏
Huyu jamaa mwenye buti kwani vunja mbavu nimerudia zaidi ya mara tatu eti Asante udugu wangu 🤣🤣🤣🤣🤣afu mama mjamzito ana zinga la buti afu kavaa msuli🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🙏
Anaongea kishujqaa nq haez😅😅
Huyo baba mwenye buti la jeje ananivjia mbavu😊😂😂😂😂😂
HAHHAAAAA UDUGU kudadeki , Oya mke wangu anauliza MNATOA LINI CHA NNE mnamboa ananisumbua ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Soon Inshaallah 🙏
Mbonaaa kitumboo wazii😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aki nyie watu mwanifuraisha sana much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
🌹🌹
Congratulations🎉 dubu ila mnachelewa sana ❤❤
Tunashukuru sana. Inshaallah tutajitahidi
Kazi nzuri much love 🇰🇪🇰🇪
Daah hii noma sana pambaneni wanangu nasisi tuko bussy kuta hrra ya bundle 😂❤
🤣 tunashukuru sana 🙏
😂😂😂😂😂 nyie sina mbavuuuu 😂😂😂 mom k
Ila Dubu handsome ❤😂😂😂😂kweli
🤣🤣🥰🙏
Hehe kweli jmn 😂😂😂me naiba mpk simu ya watu
Acha umalaya
Aaah dubu mwanangu umetisha sana
Tunashukuru sana 🙏
😂😂😂sema mganga angekuwa mwakatobe ingebamba zaidi ❤❤
Mimba ya miezi 6 na miezi miwili 😂😂 bado hujasema
Munatisha yaani kazi nzuri sana ❤❤❤❤
Tunashukuru sana 🙏
Long awaited 🎉🎉🎉 more love from 254
🙏🌹
Mashallah mashallah hajr umejaliwa mashallah makalio makubwa mashallah ameumbika
We jamaa ulie vaa kofia ya kisilamu na buti za guu papa kulalina kubalina chefuuuu zuchu umechemsha kumaaaaaaaaaaaaaaaaaah nyoko mamaeeee
Kz mzur sana kaka
Eti 😂sura mbaya kaa buti lako 😂😂😂😂😂
Nimecheka san br wang lov from burundi
🙏🌹
Love from chadia official to🇧🇮
🙏🌹🥰
Dubu upon vinzuri💛❤️
❤️
Nakupenda dubu❤😂🇰🇪
Nnaujauzitoo😅😂udugu wangu😂
Oooh nina mimba y miezi sita n miezi miwili😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
😂😂😂
Kazi nzuri hila mnachelewa sana
Mtusamehe now tutajitahidi tuwahi
@@OfficialDubu_tz .. Asanti kaka 🙏
Congratulations
Amin kwamba watu tunasahau ila tu dubu na team yako mko vzur mke wangu alikuwa haiyelew kabxa lakn nmemsimulia hapa kidog tu kaiyelewa na amecheka sana hahaha😂😂😂
@@official_de_wa_jongo.4440shukrani sana 🙏🌹
Thanks so much for uproudng ❤️❤️❤️❤️ from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
🙏🙏🌹🌹
Nimekubar kazi yako ❤❤❤❤
🥰🥰
Ubunifu wa hali ya juu,Kazi nzuri Dubu Tz
Nashukuru sana
Nakupenda sana dubu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🥰🥰
Nzurii ila Fujoo nyingii 😢😢😢😢
Kaka umekuja sna nagupenda nakazi zako tamu nakuombea ufike mbali
Amiin 🤲. Nashukuru sana 🙏
Ila hajira mzuri jmn 🥰🥰
🥰🥰
mzee wa buti ametisha😂😂😂😂😂
❤❤❤❤lkn mtupe uhondo mapema bwana
Tutajitahidi Inshaallah
Kutoka Kenya...namtaka hajra
😂😂 DUBU kam DUBU❤
Filamu mzuri sanaa keep it up kaka zanguni
Tunashukuru sana 🙏
Sema unajua Hadi unakera yaan 🎉🎉🎉
Shukrani 🙏
Naenda kuota juaaa😅😅😅😅
Ni kazi mzuri saan kaka
Tunashukuru sana 🙏
Jamani mbavuzangu nyie wauwaji huyu mwenyebuti eti udugu😅😅😅😅😅😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢
😅😅😅😅😅😅sura mbayaa. Kama buti langu
Hahahaha 🤣😂🤣 we nyani ngwengweeeeeeeee mungu wangu weee kaka mwenye buti jamani anatuuwa uk jamani
Hehehehe mama mjamzito eti nyanngwengwe
dubu umelichekecha😂😂 kweli unauso mbaya kama butin lako😂
🤣🤣
Kazi nzuri Ila du Hadi tunasahau
Mtu samehe bure tutajitahidi tuwahi Inshaallah
Naenda kazini tuliambiwa tuwai😅😅😅😅😅😅😅
Dubu kazi safi sana kaka❤❤🔥🔥🔥
Tunashukuru sana 🙏
SAFI SANA KAKA VERY GOOD 😂😂❤❤
Tunashukuru sana 🙏
Nipo DRC congo nawafatiliya kwa umakini kbs twasema hongereni sana na poleni kwa changamoto pia kwa mashahuri pale nyani ngeengwe alihanza sini na nyele alafu nyuma akanyows
🙏🙏🙏
nzur sana shda mnachelewesha mpka tunasahau tulpoishia 😢😢😢😢
Kesho Inshaallah
Dubu we noma movie hii kali sana lakin mjitaidi kuwahisha
Tunashukuru na tutajitahidi juwahi Inshaallah
Mko sawa ila mnachelewa sana
😂😂😂😂 nimechek wallah
Sura mbaya kama buti langu😂😂😂😂
Eti koma sura ilo unaweza kuwa na udugu namim..nimecheka vibaya mno🤣🤣🤣🤣🤣
Nimewapenda bule 😂😂😂❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunashukuru sana 🙏
😂😂😂 ety na mimba ya miezi sita na miwili
Duh sio mchezo wanetu
Hii move ni nzuri naipenda sana❤❤❤❤
Tunashukuru sana 🙏
Dah nimecheka hatari🤣🤣🤣🤣
Dudu m nimecheka vibaya sanaaa😂😂😂😂
Yaan huyu jini ,, ni pic kweli khaaa,, ningekua humo ndani ningemlaaa hivyo hivyo na ujini wake😂😂
🤣🤣 astaghafirullah
Uyu mganga kwan ana bifu na nyani ngwengwe😂😂😂
🤣🤣
blaz mnajua sana kazizuli xana❤
Tunashukuru sana 🙏
Dubu bhn ety naenda nje kuota jua😂😂😂😂😂😂
Next plz❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 Yan nimechoka Sana hii movie
nzuri sana hongera Dubu
Tunashukuru sana 🙏
Mumeyatimba mutaingiza akili😂😂😂😂
Kali Sana 😂😂😂😂
🙏🥰
Dubu uko moto ila mbachelewa sana. Please don't take long time to release next episode
Sawa tutajitahidi Inshaallah
Nakupata kutoka Burundi kaziii nzur saaana hongereniiii ila mnachelewa yaani mnagonga part2 wakat part1 tushaisahau
Tutajitahidi now mtusamehe bure
Kazi nzuri kaka 🇨🇩🇨🇩
Tunashukuru sana 🙏
Kazi nzuri xana
Tunashukuru sana
Nakubali cn dubu❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
Mbn mnachelewa sana
Mtusamehe bure now tutajitahidi Inshaallah
Hii nayo Dubu umeamua kuniacha na kicheko 😅😅😂😂 Eti aende clinic ana mimba ya miezi sita na mbili 😂😂
Sura yangu mbaya kma buti langu😂😂
🤣🤣🙏
😂😂😂 et sura mbaya kma buti lang
Yani hii inanipa raha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫣
🙏🙏
😅😅😅mimba ya miezi sita na miezi miwili😅
Ety naenda clink Nina ujauzito😄😄😄🙌
Naipenda sana hii
Kazi Safi sana
Tunashukuru sana 🙏
Ongeren xan❤❤❤❤❤❤❤
Nenda kwa mwakatobe ashindwi kitu😂😂😂
Ongereni sn
Dubu tz nakubali sana
❤❤mnajua mpka mnajua tena
Tunashukuru sana 🙏
😂😂😂😂😂😂et naenda kirinik dubu bhna
Sura yangu ilivyokuwa mbaya kam buti langu 😂😂😂
😁😁😁Ety Asante udugu wng😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣afu mama mjamzito ana zinga la buti
❤❤❤Dubu km dubu😂
Tulia 😅😅😅baki nyumbani😅
Munacherewesah sana