WAZIRI JUMAA AWESO AMPA MAKONDA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - "KUNA BILIONI 6"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 209

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw День назад

    Wapendwa acheni unafiki ety anajikwenza je wew ukipewa hiyo nafsi ata kwa dk 5 utaweza ama ni kuongea maneno tu yasio na tija bora anayejikweza kuliko wew uliekaa kimya husaindii hata chochote kwa wanachi acheni midomo michafu makonda oyeee chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bakarimakota-ei8sw
    @bakarimakota-ei8sw Год назад +2

    Aweso wizara unaiweza hio kaka uko vzr

  • @nungulalyaga
    @nungulalyaga Год назад +7

    nimekubali sana tunataka ujekuwa rais

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 Год назад

    Tatxo ndan ya wik hizo 3 maji Hatakuwepo?

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j Год назад +6

    kwamtindo huu na wananchi wadizaini hii, ccm itatawala nchi hii milele watu niwepesi sana kudanganywa

  • @eddyteyanga4171
    @eddyteyanga4171 Год назад

    Mimi nina imani sana .Naomba unitete nami niweze kulipwa dalaja F. Baada ya kustaafu 2019 hadi leo sijapewa haki yangu. Nazungushwa. Niko wilaya ya Muleba mkoa kagera

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Год назад

    Bila kukomesha wizi na ufisadi mnawapotezea muda watu. Nchi haina viongozi bali wezi watupu. Kazi uongo na kuwaahidi watu hewa tupu na mabua.!! Yangu macho.!!!!

  • @peterkihongosipeterkihongo1154

    Utulivu ukovizuri safisana makonda

  • @erasmusgervas2464
    @erasmusgervas2464 Год назад

    Hapo mnashangilia kupiga simu au kuona maji?

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Год назад +7

    Makonda wewe ni jembe sana.Mungu akubariki sana.CCM imepta jembe kweli kweli.Hongera sana makonda.

  • @ramadhanisaidi6955
    @ramadhanisaidi6955 Год назад +1

    Yani makonda unanirudisha mahali na ninapokua na imani na uongozi ziara zako nazifatilia sana nakumbea mungu awatangulie

  • @CleopaChibaluwa
    @CleopaChibaluwa Год назад +4

    Jiwe walilo likataa waashi ndo limekuwa jiwe la mzingi.
    Ktk maisha cheo ni zamana.tumpatie ushirikiano Jembe letu na tujifunze kupitia Burudoza P.Makonda.

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s Год назад

      Uchaguzi ukiisha motor uko palepale

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Год назад

      ​@@Aziz-p6skwa lipi halafu wewe utakuwa unakaa mbinguni? wewe ni shabiki siyo mwanasiasa yaani Bendera fuata upepo hats Shule huna

  • @augustinemhando9093
    @augustinemhando9093 Год назад +5

    Kwenye karne hii unakwenda kufanya kampeni ya maji, wakati nchi yetu ndio nchi yenye maji mengi kushinda nchi yoyote Afrika. Vitu kama Maji, afya na chakula ni vitu vya lazima kwa binadamu sio vitu vya wao kwenda kufanya kampeni za maji na wananchi walivyokuwa bado wamefumbikwa na wimbi la giza wanafurahia kabisa. Sasa kama maji ni tatizo je swala la elimu na afya kwa wananchi litakuwaje. Watanzania wanabidi waamke na wajue haki zao za msingi, maji afya na elimu ni haki ya kila mtanzania na sio swala la kwenda kufanya kampeni. Nchi yetu tunapiga hatua 10 mbele halafu tunarudi nyuma hatua 100

    • @abdulchapembe1379
      @abdulchapembe1379 Год назад

      tatz la maji linategemea ulipo kaka cc tunataabika ww unaona sio tatzo

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 Год назад +2

    Hongera sana mh Makonda

  • @peterkitekero4303
    @peterkitekero4303 Год назад

    Tunampenda Sana shidaa nipale ccm wanasomba watu na magari sio watu wanaokuja kwa utashi wao ndo shidaaa hili inatakiwa wajitafakari upya Ila akija mtu na mikakati Kama ya makonda lazima watu tumpende 🤳🤳🤳

  • @morandraymond3169
    @morandraymond3169 Год назад +2

    Daah makonda anapendwa sana

  • @roseignas1881
    @roseignas1881 Год назад +1

    Ndio leo hii unajuwa kuwa katoro kuna shida ya maji.?

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 Год назад +28

    Mm naona nchi iendeshwe na wasukuma cyo wanafki

    • @SayiJoseph-pv3cf
      @SayiJoseph-pv3cf Год назад +1

      Kabisa sababu tunaona kwa vindendo

    • @mathayomwashambwa1238
      @mathayomwashambwa1238 Год назад +1

      LUGHA YA TAIFA ITAKUWA KISUKUMA, HATA MAGUFULI ALIPENDA KUKIBONGA KTK MIKUTANO..

    • @michaeldottomayunga5504
      @michaeldottomayunga5504 Год назад +1

      Ukiwa unafikiria kwanza utajifunza jinsi ya kuongea.....nchi haiendeshwi kwa ukabila bali kwa uwezo na uadilifu....na kama point yako unaona iko sahihi basi anza na hayati Mwalimu Nyerere utuambie ni kabila gani

    • @expert5852
      @expert5852 Год назад

      Ohhhooo ..utapigwa na kitu kizito ....oyyeeeeee😅😅

    • @luckygmdegela8477
      @luckygmdegela8477 Год назад

      ukabila unatoka wap tena

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 Год назад +11

    Haya ndo mambo wananchi wanataka!

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Год назад +2

    Hii wizara ya Maji no comments

  • @renatusrevocatus3895
    @renatusrevocatus3895 Год назад

    Who is Makonda? Kitengo chake nichakuamrisha mawaziri? Tz yangu

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Год назад +2

    Swagaaaaaaaaa😂😂😂 ccm IPO miaka mingapi??

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 Год назад +1

    Kazi nzuri

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Год назад +3

    Aweso oyeeeeee huyu jamaa hodari sana ❤❤❤❤💯🌹

  • @shangazshangaz4222
    @shangazshangaz4222 Год назад

    Harafu mtu atokee kuipindua CCM haitatokea hiyo❤❤❤

  • @thebushguy5774
    @thebushguy5774 Год назад +2

    Hii nchi ni kutengenea matatizo na kuyatatua wenyewe basi wananchi wanaona wamesaidiwa 🙌😁😁

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd Год назад +1

    Nakupenda makonda ila silipendi li ccm

  • @talents7934
    @talents7934 Год назад +5

    Mnasahaulishwa Maumivu Amken Watanzania Wenzanguu,Hizi ni Siasa za kurudisha Heshima Ya hawa jamaa iliyopotea kupitia Sakata la Bandari,Maji Na Umeme daah Amkeni Ndugu Zanguu Siasa Za Ukweli Kwa Hapa Bongo Sahauni Kabisaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮

    • @sales7491
      @sales7491 Год назад

      Bandari ipoh miaka mingi hatujawahi kuona matokea yake kwenye Maisha yetu,
      Maji kwetu ni mhimu sana
      Tunatambua na tunafurahia hata kwa hii siasa

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 Год назад

      fanya kazi achamajungu kwani bandari itakusaidia nn nawapi ilikusaidia

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv Год назад +2

      @sakayonsakihunga3496 nikweli kunawatu kilakitu kizuri kinasemwa vibaya, bandari ilishawasaidia nini, hatabandarini kwenyewe hawakujui

    • @talents7934
      @talents7934 Год назад

      @@sakayonsakihunga3496 mpuuzi wa mwisho

  • @rukiawagaba2080
    @rukiawagaba2080 Год назад

    Makonda mwanza Kuna manyoka nyoka sana

  • @emmanuellaston5446
    @emmanuellaston5446 Год назад

    Jamaa unajaribu sana kujikweza lakini hutaweza kujikweza na unashushwa muda sio mrefu

  • @AmecChuma
    @AmecChuma Год назад

    Inchi iendeshwe na watanzania co wasukuma,,weka utaifa broo acha ukabila

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 Год назад +1

    M mwenyewe ncngempokelea kabsa maana anasifa cjui kwann abadlik

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 Год назад

      Usichojua weweeee huyo katumwa na bosi wao....asipokee wakati KAZI...anaitaka..mshauri asipokee...aone

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 Год назад

      Makonda hapo anawasilisha maagizo ya chama sio yeye acha kuwa..nyumbu elewa siasa Ilivyo

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Год назад

      @@modestusndunguru7183 wewe nyumbu kichaa kabsa hauna hata akil mmeshafanywa mapoyoyo jiongeze uchaguz karbia na wamemuweka makonda makusud Ili mrudshe roho ksbb wanajua wasukuma walshaumia kuhusu magu hlf ndio ujue CCM wajanja wameanzia chato🤣😆😆 pole yko na usenge wako

  • @MamazayTinantand
    @MamazayTinantand Год назад

    Kwakweli wanaweza

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Год назад +6

    Makonda yupo sawa sana sana

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 Год назад

    Hayo yakuhutubia mikitano kilugha yameanzia wapi, mambo yanaanzaga kidogo kidogo na mwisho yanakuwa kama yamehalalishwa.lugha ya ya Taifa ifanyeni kisukuma basi kama ndivyo mnataka.

  • @DaudiMagoga
    @DaudiMagoga Год назад +2

    Mhe,makonda wananchi tunaomba pia tunakuomba upate muda upite ktk mifuko ya hifadhi ya jamii nako kuna shida kwn wastaafu wanateseka na stahiki zao za mafao kiasi cha kukatisha tamaa na serikali yao sikivu ya mama yetu mhe samia

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 Год назад

    Umekuwa muwezi wa mawasiliano

  • @nebatimuyunga6762
    @nebatimuyunga6762 Год назад

    Gn 28mbarali tunalia nayo haki zetu za msingi zimepotea huko

  • @AkyooHosea
    @AkyooHosea Год назад

    Kanda ya ziwa wajiga mbado wengi kunawoshabikia ccm

  • @nelsonmgaya1490
    @nelsonmgaya1490 Год назад +3

    Huyu kijana anapendwa sana na wananchi!

  • @hajiissa9200
    @hajiissa9200 Год назад +2

    Makonda kamanda unaweza

  • @AlfredMkoloma
    @AlfredMkoloma Год назад

    Hongera makonda bado wasemee wastafu kikokotoo

  • @JosephLadislaus-l3n
    @JosephLadislaus-l3n Год назад +1

    Hayaga bhabhaaaaaa

  • @issadassa6668
    @issadassa6668 Год назад +4

    Kweli huu ni fulu usanii

  • @HumphreyKarua
    @HumphreyKarua Год назад

    Kia eneo uliloppita Makonda ungefuayiria mambo wa maendeleo ya

  • @Bntv-4928
    @Bntv-4928 Год назад

    Makonda Wananchi tunahitji Ugombee Uraisi ktk Uchaguzi mkuu ujao

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 Год назад +1

    Kuna mtu anajifananisha na mzee?

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 Год назад +2

    Utapeli na udanganyifu kwa wananchi huo 😂😂😂😂 sisi wabongo tumeumbwa kisahau ukitupa mkate sles moja kesho ukatupa mkate mzima ukishashiba unasahau kama kuna kushinda njaaa😂😂😂

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Год назад +3

    Hili picha siku Moja tutafurahia hii show 😂😂😂😂

  • @erasmusgervas2464
    @erasmusgervas2464 Год назад

    Kama maji yanatokea hapo geita mwanza yanaenda Dodoma inakuwaje wananchi wa geita hawana maji pamoja na karo?

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Год назад +4

    MAKONDA NA MCHEZO WA KUIGIZA....WATANZANIA SIO WAJINGA!

  • @YohanaMaghembe
    @YohanaMaghembe Год назад +2

    😢hawa hawajaletwa namagari

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Год назад +3

    Makonda Kwa hii speed yako umeanza kutufuta machozi ya kifo cha Jemedari JPM huu mchaka mchaka ndo tunataka wananchi

  • @FranckDaniel-o2m
    @FranckDaniel-o2m Год назад +5

    Apewe nchi huyu jamaa haogop mtu Hawa ndo watu tunaowataka wasio na woga au haya na hawaogop kufa kwa ajili ya haki

    • @nassirmasoud2545
      @nassirmasoud2545 Год назад +1

      Mm nilishamtabiri makonda anaweza bcoz ni product ya Magufuli.achunge sana wasimuuwe

  • @chire4574
    @chire4574 Год назад +1

    Makonda siku izi kafanya naangalia tv

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw Год назад

    🎉USANII MTUPU HATUDANGANYIKI

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 Год назад +3

    Tunapenda kushadadia upepo.jaman duu

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 Год назад

      Huu siyo upepo ,Makonda siyo maji mafupi.
      Huyu ni kiongozi mzuri

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 Год назад

      Bado hamjasema😅

    • @talents7934
      @talents7934 Год назад

      ​@@geraldmakalala6091 Uelewa wa Siasa Bado ni Mdogo sana kwako kijana wangu

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Год назад +1

    Ccm hoyeeeee ❤❤

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Год назад +2

    Maji shida umeme dhida wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule bila katiba hutaona haki Mtajiju,

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Год назад +1

    Hii blog Inaonyesha Haina mapenzi na Ccm

  • @lorelore2930
    @lorelore2930 Год назад +1

    N jambo zuli analofanya makonda, ila je anafanya kwa moyo mmoja kwa lengo la kusaidia wananchi au n kampeni tu kwaajili za chaguzi zijazo kwa kukipamba chama cha mapinduzi, kwa hakika mungu ndio anajua zaidi ila huu n mchezo wa mama samia na viongozi wengine wao wa CCM kuvikandamizq vyamq vyengine, why iwe today and not 2 years ago jaman wannachi uchaguzi unakaribia na hzo ndio kampen zenywe😢

    • @muhsinikoki4060
      @muhsinikoki4060 Год назад

      nikwjili ya chaguxi wakipitatu nikimya mpakauchaguziujawotena

  • @MASELEFAIDA-hp6xo
    @MASELEFAIDA-hp6xo Год назад +1

    Apewe urais maana vigezo vyote anavyo

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 Год назад

    Nimeona tawala nyingi sijawahi kuona katibu mwenezi anafanya haya😊

  • @CharlesSomeke-s2d
    @CharlesSomeke-s2d Год назад +6

    Acha uongo Mara ya kwanza mtandao Mara ya pili simu ulikata chaji Mara yatatu alipokea na kuongea vizr acha kupoteza watu makonda Ni jembe kweli kweli

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 Год назад

    Mambululaaaa

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 Год назад +2

    Hii ni vita ya makonda na wabunge na mawaziri naipenda sana wapinzani mutulie muone show za kibabe

  • @elfacekabuta
    @elfacekabuta Год назад +1

    ❤❤❤

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam Год назад +1

    Kweli hapa unashindwa kutofautisha Kati ya mtu mzima na mtoto !. Kuna wakati kule Uganda mtu anayeitwa Kibwetere aliwaambia wauumini wao kuwa mwisho wa Dunia umefika hivyo letene Mali yenu, akawachoma ndani ya kabisa!.

  • @JohnJonas-b6e
    @JohnJonas-b6e Год назад

    Lahs wangu huyu paka sasa maomb yangu kwake

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Год назад +5

    MIAKA 62 YA UHURU MNAAMINI MAKONDA NDO ATAFANYA MPATE MAJI KWELI

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq Год назад +6

    Dah! Aisee! Huyu MAKONDA anastaili kabisa Kuwa msaidizi wa Rais SAMIA Maana Kila anacho kiongea Wananchi tuna muelewa Yaani MAKONDA Hana MAKANDO KANDO Uswailini tunasema HANA MBA MBAMBA!🤣🤣👍✅

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +2

    Ni maneno ya kila leo.

    • @goodluckswai7496
      @goodluckswai7496 Год назад

      Sanaaa awezi kutoa maamuzi hana mamlaka sanaa tupu

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 Год назад +3

    KODI ZA WATANZANIA ZINATAFUNWA KIJANJA SANA HAYA MAMBO YA ZAMANI SANA MAMBO YA HELA NI BUNGE SIYO MAMBO YA KISIASA SIASA TUNADANGANYANA SANA.KWA SASA WATANZANIA TUNAPIGWA BILA KUJIJUA

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Год назад

      Ni kweli lakini kwa nini lawama zote zinakuwa za CCM? Kimsingi kuna kuna mazuri ni chama kipongezwe lakini kama kuna makosa pia kilaumiwe. Na mtumishi yoyote wa Serikali Boss wake ni Kiongozi wa CCM ndio ambao ilani yao ipo kazini.

    • @Tzflower
      @Tzflower Год назад

      kupongezwa wapi sasa@@hajihassan5433

  • @nicksonnziku
    @nicksonnziku Год назад +2

    tatizo inavokaribia uchaguzi ligha nzuri je nitofauti na hii?😂😂😂

  • @michaelstanley9898
    @michaelstanley9898 Год назад +5

    😂😂😂😂😂 huyu Waziri wa Maji anajua siasa nyie hatari ni Muongo aisee tena anaongea hana hata wasiwasi wiki 3 unapataje maji kwa mfano sisi sio watoto

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Год назад +1

      Yote yanawezekana subiri hizo wiki 3 zifike halafu useme.

    • @Ambwene
      @Ambwene Год назад +1

      Broo vyanzo vya Maji vipo ila wanapiga madili tuu mbona uwezekano wa kupata maji upo na sio wiki 3 hata wiki 1 ingetosha

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Год назад +1

      @@Ambwene 100% true ndio nikasema tusubiri tuone.

    • @barackhussein312
      @barackhussein312 Год назад +1

      Inawezekana kuna waziri mkuu mpya hatujui

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s Год назад +1

      Mbona umeme ulikubali miezi 6

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s Год назад

    Hao wote hapo hawana shughuli. Mida ya kazi hii

  • @MASELEFAIDA-hp6xo
    @MASELEFAIDA-hp6xo Год назад +1

    Tunataka vyuma kama hvi syo ubabaishaji

  • @MagrethWilliam-q9s
    @MagrethWilliam-q9s Год назад

    👊👊👊

  • @MasseLyale
    @MasseLyale Год назад +4

    makonda anajitahidi kumsafisha kumtengenezea njia mtu, haipo tunakkubali makonda wasaidie wanyonge, wewe unahofu ya mungu kama magufuli

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 Год назад

      Afanyi tu kwa utashiwake bali ni maelekezo Aya walishaa meza moja wakazungunza nn unatakiwa ufanye kwa kiwango gani Ili kazi ziende lkn pia anatimiza majukumu yake kwa niaba ya raisi coz raisi hawezi ona kila kitu ndio mana anapopata nafasi anadhukurika nayo wasaidizi ndio mara nyingi wanaamgisha viongozi ata Magu kuna watu alikuwa akiwaamini lkn walikuwa wakimuangusha uongozi wowote ni kazi ni rahisi kusema lkn ukipewa kiti ndio utajua ugumu wake ata uwe mjumbe tu wa nyumba kumi lkn balaa lake sio dogo

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 Год назад

      Eti hofu ya Mungu! Bnadam kweli hawachelewi kusahau

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 Год назад +4

    Bado waziri wa mawasiliano, nape hahahah

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Год назад +3

    Makonda safi sana.

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 Год назад

    Katoro CCM nyumbani kwetu hongera makonda

  • @MohamedKimbwembwe
    @MohamedKimbwembwe Год назад

    Muheshimiwa waziri nyingi we mkazie sauti huyo akuheshimu

  • @yusuphndavanje5192
    @yusuphndavanje5192 Год назад

    Kwani kampeni ndo zimeanza au yani badala mtutatulie matatizo ya maji na umeme mnatuongopea na maneno ya siasa

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 Год назад

    Hivi tuko kwenye mgao watu wanendekea kuongolea wanaupiga mwingi duuh

  • @lucasmapunduone4616
    @lucasmapunduone4616 Год назад +1

    yani huyu makonda kawa kama rais majukumu anayoyafanya hata rais afanyi aaisee unapambana sana bana tusiwe waongo

  • @joshuajeremiah1464
    @joshuajeremiah1464 Год назад

    Napitia coment zote nimegndua ufaham wa wa tz n mdogo kuliko hata wa mbuzi

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 Год назад

    Huyu BWANA anatosha kuwa Raisi wa nchi. Yamkini heshima ikarudi ktk nchi.

  • @JumaShimende
    @JumaShimende Год назад

    Makonda anapendwa jamani kila anapo kwenda watu kibao makonda anapendwa jamani

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w Год назад +2

    Makonda oyeeeeeeeeeeeee

  • @abdallahomary3744
    @abdallahomary3744 Год назад +1

    tanzania mambumbu

  • @jacksonjack1380
    @jacksonjack1380 Год назад

    Haya yatatomea saba kuelekea uchaguzi. Baada ya hapo = ???? Huwa wanaenda likizo

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl Год назад +1

    Watanzania kuwadanganya ni simple Sana 😂😂 hii ni kutokana na uelewa mdogo Sana

    • @yonakiula1837
      @yonakiula1837 Год назад

      Umesema kweli kinachofanyika anapata data kabisa kwa mawaziri,halafu makonda atajifanya hajui ili wananchi waamini.

    • @talents7934
      @talents7934 Год назад

      ​@@yonakiula1837Nawajua sana hawa Jamaa aisee kama ila nashangaa Jeshi lipo kimya yani kama halioni yan

  • @EmmanuelNaftali
    @EmmanuelNaftali Год назад +1

    Big up sana.MAKONDA UPO VIZURI.😂

  • @abdallahlibwela9761
    @abdallahlibwela9761 Год назад

    Inaobekana Viongozi wetu sheria hawaifahamu hata kidogo.
    Wao ni wajumbe ndiyo tu. Toka lini katibu mwenezi akawa na mamlaka ya kuwahoji Viongozi wa serikali??? Imeandikwa wapi kwenye katiba ya JM Tanzania 🇹🇿? Sasa tukiwa namna hii usishangae siku Rais Samia akapigiwa simu hadharani na kuhojiwa eti kwa kisingizio cha kutumwa na chama.
    MCHEKEENI YAMKUTENI

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w Год назад +3

    CCM oyeeeeeeeeeeeee

  • @mlawayusuph8842
    @mlawayusuph8842 Год назад

    Kumbuken ametoroka kwnye chupa hyo

  • @AmosJuma-wp2pe
    @AmosJuma-wp2pe Год назад

    Ila sisi watazania ni wanafiki sana Yani kipindi sabayaa alikamatwa walisemaa na makondaa akamatwee Leo mnasema makondaa ni jembee yangu machooo ni mbolaa mimi nawapenda wotee yoyontee aliokoo madalakani mm nampendaa sio nyie mnao Luka Luka hhhh

  • @jafari3218
    @jafari3218 Год назад

    Lakini m! Mkutano moja tu,hatupati madarasa 7,ndani ya mwaka

  • @giztony2009
    @giztony2009 Год назад +1

    Ni mchezo wa kuigiza kwani lazima kupiga cmu kwenye halaiki ya watu? Angefanya kimya kimya tuu lakini kwa namna anavyofanya tunaona kama anafanya kiki tuu

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 Год назад

      Anafanya mbele ya wananchi na ahadi wote wanaiskia hapo kutekeleza ni harakq na hakikaa

    • @muhsinikoki4060
      @muhsinikoki4060 Год назад

      kikity wajingahawa wanachezea wananchi ukionaivi ujuwe ujuwe ukomboziumekaribia

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 Год назад

      @@muhsinikoki4060 acheni pressure hata nyinyi yule mzee wa upinde alivorudi kutoka ndoani mbona alikuwa anarekod na camera