Ubarikiwe mtumishi wa mungu na ninaswali linaendana na hili somo ningependa kujua kama kunauwiano wowote na mungu. Kuna ile hali ya kulala chali na ukatulia bila kujitikisa na haufumbi macho baada ya muda flani unahisi kama baridi mwili mzima na akili yako inahisi umelala lakini haujalala kisha kivuli chako kinaamka wakati umelala pale na unakiona yaani mnakuwa wawili na kinaweza kwenda sehemu yoyote na kufanya kitu chochote unachotaka au ata kuona maisha yako yote ya baadaye au ya nyuma na vitu vyako vyote kwa ujumla vibaya na vizuri ambavyo kwa kawaida havionekani na kisha unarudi pale kwenye mwili wako kama kama kawaida hii inakuaje mtumishi ningependa kujua na wengine pia wapate kujua kuna wanasayansi walikuwa wanaelezea wakasema kama tunahitaji kujua zaidi tuwaulize watumishi wanajua hii kitu vizuri zaidi na nikweli je ni kweli na mtu yoyote anaweza akafanya hivo? Asante
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, nimeibeba huduma hii ya uamsho kwa nguvu zangu zote na kwa moyo wangu wote. Mungu aitangulie timu yote ya huduma ya uamsho na mimi nikiwemo.
Asante yesu wangu kwa hichi chombo, yaani mmetamani sana kugharamika ili nkae chini nawe hatakama kidogo, maama naona siri mingi sana ninayohitaji na hausemi hapa, Mungu tengeneza nafasi hii
Ee MUNGU wangu naomba umtunze nakuendelea kumpa maono mtumwa wako huyu, utusaidie basi masikio Rohoni tupate kufaham nakuyaishi Ee Mfalme wa miungu ,falme na tawala zote za Dunia hii Ee, MUNGU wangu.
@ELIZABETH MTAITA Me nmeomba hadi nmegive up ila naendlea naamin Mungu siku moja atanijidhihirisha kwangu...maana hii kitabu ya Waefeso 1:17_18 ndio nasimama nayo toka January
Me naomba kujua Leo nmeota kuwa nlitazama juu Mara nkaona miez 2 mmoja ambao n mwez halic ulikuwa mkono wa kusho na upande wa kulia ulikuwa una kaama mistaki fran iv ya kuifufiza na nlipitazama vzur mwez wa 2 kumbe haukuwa mwez bali ilikuwa n kama nembo au rogo ya mduala kama mwez halafu imeandkwa yesu anarud na maneno mengne yaljkuwa ya kiingeleza ckuweza kuyasoma vzur na kuyakalili, ghafra nkapatwa na hofu kubwa nkaogopa sana. Nn maana yake mtumush
BWANA amekuonyesha ishara kubwa mbinguni kuhusu ujio wa wake wa mara ya pili hapa duniani! Lengo la BWANA kukuonyesha maono hayo ni ili uwe shahidi wa majira na nyakati tulizo nazo za siku mwisho. Heri kwako kama utakuwa mjumbe wa Bwana kwa uniili ya siku za mwisho.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu na ninaswali linaendana na hili somo ningependa kujua kama kunauwiano wowote na mungu. Kuna ile hali ya kulala chali na ukatulia bila kujitikisa na haufumbi macho baada ya muda flani unahisi kama baridi mwili mzima na akili yako inahisi umelala lakini haujalala kisha kivuli chako kinaamka wakati umelala pale na unakiona yaani mnakuwa wawili na kinaweza kwenda sehemu yoyote na kufanya kitu chochote unachotaka au ata kuona maisha yako yote ya baadaye au ya nyuma na vitu vyako vyote kwa ujumla vibaya na vizuri ambavyo kwa kawaida havionekani na kisha unarudi pale kwenye mwili wako kama kama kawaida hii inakuaje mtumishi ningependa kujua na wengine pia wapate kujua kuna wanasayansi walikuwa wanaelezea wakasema kama tunahitaji kujua zaidi tuwaulize watumishi wanajua hii kitu vizuri zaidi na nikweli je ni kweli na mtu yoyote anaweza akafanya hivo? Asante
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, nimeibeba huduma hii ya uamsho kwa nguvu zangu zote na kwa moyo wangu wote. Mungu aitangulie timu yote ya huduma ya uamsho na mimi nikiwemo.
Asante yesu wangu kwa hichi chombo, yaani mmetamani sana kugharamika ili nkae chini nawe hatakama kidogo, maama naona siri mingi sana ninayohitaji na hausemi hapa, Mungu tengeneza nafasi hii
Ubarikiwe na BWANA
Ahsante sana ,mtumishi,kwa tukio mbali ,SoMo la tarehe 28 ,tunaomba hata audio tu
Asnt sana mtumishi kwa mafundisho mazuri,ubarikiwe sana,shida yangu n kwamba Kila ndoto ninayoiota suzielew na sielew namna ya kuziombea
Ee MUNGU wangu naomba umtunze nakuendelea kumpa maono mtumwa wako huyu, utusaidie basi masikio Rohoni tupate kufaham nakuyaishi Ee Mfalme wa miungu ,falme na tawala zote za Dunia hii Ee, MUNGU wangu.
Amen mtumishi.🙏
Haya mafundisho yanaonyesha kabisa kanisani la Leo limeshapoteza mwelekeo kabisa
Mungu tunashukuru kwa mafunuo haya, tunajifunza mengi sana sana. mtumishi ubarikiwe sana
Amina aminaaaaa
Kweli Mungu ni wa upendo hata hutukumbusha pale tunapokosea. 😭 Mungu tusamehe tumekosa sana. 🙏
A blessed man of God!! you are a gift of this world,, you are designed by holy spirit to teach the real and truth secret
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Asante mtumishi kwa somo zuri,hakika nimepata kitu ndani yangu.ila tatizo hata Bwana akisema nami ktk ndoto nazisahau ndoto.
@ELIZABETH MTAITA asante ubarikiwe
@ELIZABETH MTAITA Amina
Amina mtumishi wa Mungu
@ELIZABETH MTAITA Me nmeomba hadi nmegive up ila naendlea naamin Mungu siku moja atanijidhihirisha kwangu...maana hii kitabu ya Waefeso 1:17_18 ndio nasimama nayo toka January
Me naomba kujua Leo nmeota kuwa nlitazama juu Mara nkaona miez 2 mmoja ambao n mwez halic ulikuwa mkono wa kusho na upande wa kulia ulikuwa una kaama mistaki fran iv ya kuifufiza na nlipitazama vzur mwez wa 2 kumbe haukuwa mwez bali ilikuwa n kama nembo au rogo ya mduala kama mwez halafu imeandkwa yesu anarud na maneno mengne yaljkuwa ya kiingeleza ckuweza kuyasoma vzur na kuyakalili, ghafra nkapatwa na hofu kubwa nkaogopa sana. Nn maana yake mtumush
BWANA amekuonyesha ishara kubwa mbinguni kuhusu ujio wa wake wa mara ya pili hapa duniani!
Lengo la BWANA kukuonyesha maono hayo ni ili uwe shahidi wa majira na nyakati tulizo nazo za siku mwisho.
Heri kwako kama utakuwa mjumbe wa Bwana kwa uniili ya siku za mwisho.
Nilimaanisha kuwa mjumbe wa injili ya siku za mwisho