kiswahili kitukuzwe, hayati ni jina lamtu anaeheshimika katika jamii anapo aga huitwa hayati kumaanisha hawezi sahaulika katika jamii, na marehemu, ni dua, au maombi,kumuombea mtualiyekufa yanayo tokana na neno mungu amrehemu, kifupi,ni marehemu,tofauti kati ya Hayati na Marehemu, ni marehemu waeza itumia hata kwa mtoto mdogo, lkn hayati hutumika kwa waheshimiwa tuu katika jamii.
Marehemu si dua bali jina anayepewa mwenye kustahili rehema za mwenyezi Mungu yaani Ma-Rehemu. Si kila marehemu ameombewa dua. Wengine wafa vitani au majini.
Shida yenu mfikiri neno likitoka kiarabu basi na maana ziwe kama kiarabu. Hayati ni Kiswahili si kiarabu tena. Sasa kama hayati ni uhai mtu utamwitaje uhai kama sio mnapotosha? Hayati ni marehemu.

Kiswahil kitukuzwe
Kiswahili duniani !
Kiswahili ngumu kweli...
Shida yenu mfikiri neno likitoka kiarabu basi na maana ziwe kama kiarabu. Hayati ni Kiswahili si kiarabu tena. Sasa kama hayati ni uhai mtu utamwitaje uhai kama sio mnapotosha? Hayati ni marehemu.
Kiarabu na kiswahili ni lugh'a zinazofuatana katika maneno mengi Sana.
@@saheedali7467 Hakuna asiyejua kuwa Kiarabu na Kiswahili maneno mengi huendana lakini isiwe chanzo cha kupotosha lugha hii.
Inamaana kiswahili ni mtoto wa Kiarabu? Lugha hukua kulingana na watumiaji lugha.
First to view💪💪
Vipi kuhusu neno Mwenda zake?. Nini maana yake na je ni kiswahili fasaha?
Nami nimekuja tafuta hiyo na hawajaisema aisee
💪🏾