Wana kinondon kuweni makini mcjaribu kumpoteza mwali kwan ni Bahati yenu ya pekee na mmepata mchapakazi na mtaenjoy kuwa na kiongoz bora na co bora kiongoz.
MTAPATA WAPI FEDHA ZA KUJENGA BARABARA WAKATI HAKUNA SERA YA KUPAMBANA NA UFISADI. LISSU ALISEMA, "UFISADI SIO NENO KTK NCHI HII." MNAPOKEA MAFISADI WOTE SASA
Muongo wewe wenzio wana zaidi ya miaka 15 bungeni lakini wananchi ni kilio uliza jimbo la mwenyekiti wako watu chali na acpoangalia 2020 atalikosa jimbo hilo
da hiki chama nakipenda sana, kuliko kitu chochote
Yesu wangu mimi nimeona leo kinondoni biafra ccm asubuhi ushindi aliyeona biafra leo dah chadema acheni bora mbowe ajiuzulu
hiv we na akili yako utakubali msaliti bora angemuweka mwingine
Emmanuel Njau HIVi ujui ccm kazi yao kubeba watu kwenye maroli,wasibebe waone kama hawajajikuta wako watano
Emmanuel Njau hao si wazee wa kusomba watu!! Cdm hawasombi watu!!!
Nyie ndo chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma
Dhima nzima ya chama cha democrasia na maendeleo ni kutetea wanyonge hivo wana kinondon msifanye makosa hebu mppeni kura mwalimu
Daa jamaa Yuko smart sanaaa
I love nyang'anyang'a chadema nimependa toka moyoni sijashauliwa wala kulazimishwa na mtu
Hapo kinodoni mmenifurahisha sana
Big up mwalimu, Tulia anacheza na akili za wanakinondoni,
Salute
Safi wanamakini tz itakombolewa na watu makni si wafinyu wa mawazo kama mtulia niko tayari kulinda kula kinondoni !!!
Hapa lzm police wahusike vinginevyo ccm hawafui dafu
Mtulia hebu tulia umejivunjia heshima kenge
Hiyo ni mashine wanakinondoni msituangushe chonde chonde
Kura yangu kwa Salimu Mwalimu
wangao bk kuma
Tunakuamini mwalim!
Mpeni kula ya ndio
Hahahaaaa kwel mlijaz uwanja. Yan hii n waz kuwa upinzan is R. I. P
Kinondoni msiifanye makosa izike ccm maana hizi si zama za ujinga kwa hiyo tuuzike ujinga tusikubali jembe huyooo-- mwalimu
he is smart sio yule
chadema ndio mpabgo mzima
Work hard to remove Ccm as faster as you can, your all votes to Chadema.. This is too necessary, Time of Tanzania to be changed
Niko mkoani ila lazima nikapige kura
Hahahahahah kazi kweli nchi where are we going uchanguzi hauizi lina tutapeleka dawa zahanati
Lazima chadema tuliamshe dude kinondoni!!
mwalimu utapata kula
swafi
Huyu jamaa namkubali sn nijembe
Hawapigagi kura hawa.
Heeeh! Kinondoni mnabahati sana kumpata huyo jamaa! Msipoteze mda kumchagua huyo mtulia alie wasaliti. Namkubali mwalim natamani angekua mbunge wangu.
Ni shidaa
Wanapumulia. Mashine wakiona huo utitiri
jembe hlo
Stanley Mfikwa babu unawasanifu awo vijana waambie ulichokifata kwa lais
Wana kinondon kuweni makini mcjaribu kumpoteza mwali kwan ni Bahati yenu ya pekee na mmepata mchapakazi na mtaenjoy kuwa na kiongoz bora na co bora kiongoz.
kichwa icho kashinda tayali Point tupu
Hivi vichwa
Bro unamwaga moto baraa. Sema Yule jamaa mwingine anazngua kazi kuongea uswaili tu mala oooh nampenda magufuli sasa undo nn
Bwawani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji, semeni mtakachotufanyia tukiwapa nafac cyo majungu ,pigeni majungu hampati kitu hapo
Max Gerad
😀😀😀Comments nyiiiingiii...ungechukua fomu basi....
MTAPATA WAPI FEDHA ZA KUJENGA BARABARA WAKATI HAKUNA SERA YA KUPAMBANA NA UFISADI. LISSU ALISEMA, "UFISADI SIO NENO KTK NCHI HII." MNAPOKEA MAFISADI WOTE SASA
Kumanina
huna jipya wew kafie mbele huko mbwembo
Very, dep
kwenye kampeni mnatuahdi kuleta maendeleo mkpata ubunge mnaungana na mabepali kiiba aslimali za nchi
Kampeni nyumba kwa nyumbaa.
Muongo wewe wenzio wana zaidi ya miaka 15 bungeni lakini wananchi ni kilio uliza jimbo la mwenyekiti wako watu chali na acpoangalia 2020 atalikosa jimbo hilo
Max Gerad
Jimbo lenye maendeleo ni Chato tu mchapakazi alikua mbunge kwa miaka 20
Max Gerad uzezeta hautatuisha jamani
uyu jamaa anafaa
ningekuwa mwanakinondoni ningekuja kupiga kura
ccm ushindi lazima
Tungu Mayunga unajidanganya
Bakuli na mfuniko
mnapoteza muda tu!
kampeni uchwara izo
hujatulia
nishida
cyo huo mtiti wa watu.
Mhh!!
huku ndo kutamu sio ccm
hamna kitu hapa mtakuwa mmetuma shinda bungeni..... mskubali wanakinondoni
Hii nyomi inatusha
kelele za vyura chadema ni mabibi harus ccm bwna harus
Tungu Mayunga Ha ha haaaaa umenichekeshaaaa
Tungu Mayunga kuma wewe kivunde
Tungu Mayunga bibi harusi mke wako
Natamani nije nimzike Kabisa huyu mbwa koko mtulia.
Mtulia hebu tulia umejivunjia heshima kenge