Napenda tu shure vitu vzr Wakat tnasbirii kipande kingine Ktoka kwa chado master tdondoke na DUNIA na nayo unyama..kna jamaa anaitwa manyama mwanasheria pia naye anajua twenden pamojaa tu enjoy wote mambo mazuriiiiiiiiii❤
Chado nakupa mauwa yako❤❤❤najm pole mdogo wangu yani unapitia kwakweli😢😢jojo unayatimba mwenyewe kwa wifi wako ngoja chado ajue unamtesa najm madonde hayako mbali jipange😂😂😂😂
Nashukuru sana mwenyezi mung inshallah allah aendelee nguvu lakini mbona daddy ni mtu ambaye hasikii anakata usahuli najuma anavyo mwambia simu naona ameongeza kesi yingine wallah naomba chado mstaa asibadilike aendelee kumusaidia daddy inshallah allah
Yani kuna mda hadi nakosa pesa ya bando naenda kubana kwa library nakubali sana hii move yn respect kwako❤️❤️❤️ kuna mda unaweza sema ni baadhi ya watu wanaishi hvy God bless him
Azikosapo zabibu sungura husema ni mbovu,chado twaijua hio😂😂😂 ati ukilala kwa najma hupat usingizi...alafu Ali dady ungefanya zege kabla majanga kukupata hungefikia uku,ila sawa tu yote mipango ya Mungu na ndio twajifunza kupitia ww humu🎉🎉🎉
Woyooo hii ndo movie ya kwanza Bongo kufika sehemu ya 59 na bado haiboi yani bado iko motrooooo na wala hatujasubirishwa sjui tusubiri seasons 2 yani ni muendelezo tuu hongera Chado Master Mungu akuweke kwa ajili yetu ka mkubwa
Namkubali sana chad❤❤❤🎉🎉🎉 weken hapa alam kama mnamkubali chd kumsapoti pia ni muimu sna 🎉🎉
Tengeneza nae move yaani ndy mna kaa diboz,zebuu likoma, chado yaani spes ya kisai muweke chado
Vp mr money mbona humutowi
@@MaulidAmrimmbinafsi wy kisai yy atolewe au
Mnachelewa kutoa movie
❤❤❤❤
Mzee wa misumari ataki unyonge wanaungana nae tujuane....mchawi milioni kumi kubababake pesa🎉🎉🎉
Mungu ndio kimbilio letu kwa kila jambo inshallah atubariki kila siku🙏🙏🙏
Mzee wa misumali Ako vizuri kabisa part yake anicheza vizuri weka like anaye Kubali
Beby nakupa figo nakupa na moyo nilipotoka sijui nilikuwa loyo yaliyonikuta mengi nimekoma we nimekoma jamani noma.....CHADO KILLER MASTER 💪🏿
Kati ya movie zenye nafatilia hii ni moja ya movie Kali sanaa , alafu chado ni mjanja sanaa km unaamini ilo gonga like tukisonga, Leo tumewaii
Movie kali v❤
@@NajmaBilali kabisa
Yn kaweza sana kitengo hii movie
TUMSHUKURU MUNGU KUIONA TENA MISSION IMPOSSIBLE TUTOE PONGEZI ZA CHADO APA LIKE KAMA ZOTE KWA KUIONA LEO
Utakaesoma hii comment Allah akujalie kheri 🎉
🤲🤲🤲
Amen
Aamin
Amin
Amina
Najma anapitia wakati mgumu sanaa mungu amtie nguvu wanao ungana na mm gonga like apaa😢😢😢🎉🎉🎉
Kipindi cha form 4 kunakuwa na majanga yake ilimradi tu ufeli 😂😂😢😢
🎉🎉
Wanaigiza
Una manisha mtu robo kidem jau kijicho😂😅😅nakapenda ❤❤
Tumshukulu mungu kwa kuamka salama pia tuwaombee Dua sana team ya chado master wawe na afya Bora Kila siku wazid kutupa burudan🙏🙏🙏🙏
Jamani wanapenda sana hawa watu wanajua❤❤❤ chado mama ngwengwe unganisha kidem jau cheusi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Akuna mtu ninae mkubal kam Chad mungu akupe maisha malevu ❤❤🙏🙏🙏🙏
Wanao amini kwamba chado ni msela tu lakini sio mwizi tujuwane😊❤
Usela gani ndio wizi huo😂😂😂
@@neemamabena-xx5er weeee sio mwizi
Mwizi huyo humjui wewe😂
Unaesoma comment hii,Mungu akubariki inshallah Amen🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
Nani anaamini tunakoelekea
Mzee wa misumali ataenda kumpa chado masta heshima yake kama shem lake aje tuunganee😂😂❤
Nami nafkiriya ivo kabisa
🎉🎉🎉🎉🎉
Tuko pamoja😊
Ata mm nawaza ivyo ivyo
@@Stumai-j4f 👏👏
Kutengeneza movie kama hii tena kitengo ataumiza akili, hakika umejitahidi tena unawahi kutoa kuliko waigizaji wote, hongera sana chado master.
Anaye amini den la kina najima atalipata chado,,na pesa hizo chado atazitoa kwa video queen agonge like hapaaa..
Kabsa
Dah sema watu muna maono😂
@@mohammedkidody5618 tuendelee ktazamaa
sema watu mnafikilia mbali kubabake kiuno chako
Umeniwai kabisaa kabla atujafika hii episode ety niliwaza hii kitu😅😂
Walio kua wanachungulia RUclips kila saa kama mission impossible imetoka tujuane😂😂😂chado maua yako pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mm wa kwanza nachungulia tu km mjinga 😅😅😅
@@SaumuNyale-s6h mimi pia kila muda hadi nakutana na mission impossible Fake
😂😂😂😂😂 kma Mimi apa
Mimi pia hivohivo
Yan 😂😂😂 ni mimi kabisa
Napenda tu shure vitu vzr Wakat tnasbirii kipande kingine Ktoka kwa chado master tdondoke na DUNIA na nayo unyama..kna jamaa anaitwa manyama mwanasheria pia naye anajua twenden pamojaa tu enjoy wote mambo mazuriiiiiiiiii❤
Bila kuchelewa tena,nimekubali hii bongo movie
Mzee wamisumari umenda kuiba ukakamatwa tena daah pole sana 😢😢😢
Angalia vizuli ndio ucomment
Chado masta nakupenda san jinsi ulivyo yan unachez vizur kweny nafas yako pongez kwako jaman❤❤❤
Maisha aliyocheza nagma situation nyingi zimegusa maisha yang 😢😢😢 na familia yang huwa natamn kujuwa mwisho wake
Nakupenda nagma bure
Movie nzur ❤❤❤ sana
Leo mimi wa kwanza like zenu zote munipe mimi hasa chado najma bonge dadi mama ngwengwe ngwengwe mwenyewe na wengine nisiowajiwa
Chado nakubari kaka chado kazi zuri kinoma nami nishabiki yako 👍👍👍👍
Mungu atulinde sote amen
Kazi nzuri sana Chado pamoja nakundi lako❤❤❤❤❤❤
Chado kazi nzuri hujawah kukosea hucheleweshi kaz yako ❤❤🎉na mimi naombeni like jmn😂
Jaman Leo nimekuwa wakwanza naomben like zenu munaopenda kusema ety umekuwa wakwanza wakati nimewawh wote leo
Jamani Mzee wa misumali unapea mdogo wako wakati mgumu Sana ..ila ongera Kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉
Umu ndani mko vizur kwakuwai tu big up
Tulommic ngwengwe weka like hapa tujuane
Mr manyonga ndio baba ngwengwe na ndio kaka wa chado. Anaekubaliana na mimi anyoshe mkono juu 🖐️
hiiii ndio enyewe
Weeee mbona mchawi hivi🤣🤣🤣🤣🤣
Wakiona tumegundua wanabadilisha
@RahimaMfaume 😂😂😂kweli kabisa mwanzo alikw awe kitengo wakabadilisha
@@SaidBenzema watu mnatembea kwenye akili za watuuu😀😀😀
Tunasubiri kwa haraka siku tano ziishe tujue deni linalipwaje tujuanee😂😂❤
Hakuna kitu kitalipwa apo si jamaa alitoka kujiseti ashajua kuwa anamseti
Waoooh ndio uzuri wenu hamcheleweshii wanao ungana na mm gonga like apa🎉🎉🎉
Yaani hii muvi naipenda jamani kama nawewe unaipenda kama mimi gonga laik hapo
Any one reading this comment,may the peace of Almighty God locate you and your family 🥰
Hii ngoma sjui mnapigiana cm commented dakika 18 tu comm 200 😂😂😂😂 chado ni noma
Mbn me Huwa hamunip like
Kaka dady umetishaaaaa❤❤nakupa. Mauwa yako
Munaniumiza moyoo taratibuu mama ngwengwe dah😢
Mze wamisumali Alichokifanya SIO POA kabisa 😊😊
Ndio tujifunze
Kabisa
Penda sana chado family❤❤❤ MUNGU awatie nguvu na kazi zenu
Mungu atunusuru kupta makaka wanao kurupuka kama daddy🙌
😂😂
😂😂😂
Kwakweli
Nimechek mm jamn
Mimi leo nimechelewa naomba ata like 10 tu zinanitisha from Mozambique
Naogopa jamn mzee wa misumar ameenda kuiba😭😭😭😭😭wakimkamta itakuwaje jamn
Katika ubora wenu hongereni sana❤❤❤❤😊😊
Nilichogundua hiyo siku Moja ndo wanaingia location shout out CHADO master
Jmn kak dady tulia bs wanao mpend chad naomb ata like chach jmn😢😢
Haya wale tunaomuonea huruma jojoh😂😂😂 kwa atakachokutana nacho kwa kiteng
Nawapenda sana team chado master ❤❤hongereni kwa kazi nzuri. Nimeifatilia toka mwanzo mpaka sasa mko vzr❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chado tuwekee audio za nyimbo zako kaka Maana ziko bomba❤❤
Chado nakupa mauwa yako❤❤❤najm pole mdogo wangu yani unapitia kwakweli😢😢jojo unayatimba mwenyewe kwa wifi wako ngoja chado ajue unamtesa najm madonde hayako mbali jipange😂😂😂😂
Mim namiin chado atapat iyo pesa kutoka kwa video Queen like bas wakenya wenzangu 🇰🇪
Wallah mm nimewaza hivyo😂😂😂😂
@@ZulekhaIssa-o3x kweli
Na mm nimefikiria ivo ivo sema watu mna maono😂
🎉🎉😢chado napendazaidi utuletee movi kamaizi zina2funza naku2 kuzakiakili pia asanyesana chado
Sana swaiba wangu Chado tisha sana na kufuatilia kutoka burundi
Mwamba ungetutolea hat vionjo vya hiyo songs maan nimeisubir sana
Nashukuru sana mwenyezi mung inshallah allah aendelee nguvu lakini mbona daddy ni mtu ambaye hasikii anakata usahuli najuma anavyo mwambia simu naona ameongeza kesi yingine wallah naomba chado mstaa asibadilike aendelee kumusaidia daddy inshallah allah
Chado hili movie likipata msanii mashuhuri mwimbaji kama Zuchu litafika mbali sana.
Naomba uongeze muda kidogo, du😮
Yani kuna mda hadi nakosa pesa ya bando naenda kubana kwa library nakubali sana hii move yn respect kwako❤️❤️❤️ kuna mda unaweza sema ni baadhi ya watu wanaishi hvy God bless him
Asalam alykum vp halizenu wapenzj naomba like😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂❤🎉🎉🎉
Waaaaaalaaaaayyyyyykuuum saaaaaàlaaaaaaam😂😂😂😂
Waalaykum salaam kuomba like tu kuoga aah😂
@@mohammedkidody5618 bana wee
Chado masta
Chapa kazi Bro.
Usicheleweshe kazi.
We need Ep60 please. We ❤❤❤ you.
Mungu awape nguvu washabiki wa mission impossible 🙏🙏
AMEN 🙏
@@sevelinahinnocent6803 mamb
Amin
Ndio tunamkubali sana chado Kaz yke nzr hana Kaz mbovu 😊
IKo ki nyimbo chakumtaftaa mchawiii nakapendaa jaman😂😂😂😂
Hata MIMI nakapendaaaa haka kawimbooo nyieeee
Afu ni sauti ya Bonge cjui yeye ndo anaimba 😂😂😂😂
😂😂😂😂kazi hipo😅
😂😂😂hujanshinda mm
Nampenda chado master jaman oooo moyoooo
Azikosapo zabibu sungura husema ni mbovu,chado twaijua hio😂😂😂 ati ukilala kwa najma hupat usingizi...alafu Ali dady ungefanya zege kabla majanga kukupata hungefikia uku,ila sawa tu yote mipango ya Mungu na ndio twajifunza kupitia ww humu🎉🎉🎉
Duh nilibiwa kwangu mzee wamisumali umenikumbusha nilivyo ibiwa haya
Woyooo hii ndo movie ya kwanza Bongo kufika sehemu ya 59 na bado haiboi yani bado iko motrooooo na wala hatujasubirishwa sjui tusubiri seasons 2 yani ni muendelezo tuu hongera Chado Master Mungu akuweke kwa ajili yetu ka mkubwa
Sijawai fatilia series ya kibongo ila mission impossible zaidi nakukubali chado master na team yako....wale wa 254🇰🇪usipite bila kulike
Uyu Jojo ananiboa kisengee 😢😏....mama ngwengwe nae 😂😂
Mzee wa misumali salute sana mwanetu
Safi sana kaka kitengo director bravo apa
Jaman hii love nzr sana aya mtuletee nyengine haraka
Baga arudiswe movie iendelee kunoga
Kweli nimemmiss
Kabisa ilikw nasubiri hii comment
Napenda kilakaz akiwepo kteng
mi py naikubali san
Wakwanza kutoka tabora wilaya ya nzega naomben like zangu
Tabora oyeeee
Cheusi anatuwakilisha
Aaawakwetu
mtafute cheusiiii 😂
Chado masta maind kitendo kubabako kiuno chako oyaaa noma sana brother ❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Chadooo Fanya mobile iishe inaharibik au basi towa kila Siku kitengo tunakupenda
Kiukweri na mkubar sana cheusi chaumbea🤗
Tunasubiri Sanaa episodes kutoka jamani rusheni kama episodes 3 kwa pamoja yaani Mission Impossible utamu mtupu
respect,,kwa najma maan ana onyesh ana kitu na atafikaa mbali kama jenipha wa kanumba,,,,,,like km zot kama umenielwa
Anaye amini chado atasaidiwa na yule demu aweke lake 😅
👍iyo mia kweny mia
.Kabisa ata na mm nliwaza ivo
Hii nyimbo ya singeli kaimba nan mbona kali Sana 🔥
Dady sasa anakosea jmn daah anampa shida najma daah inaniuzunisha sana😢😢
Kazi nzuri Mr. Chado Masta🇹🇿
Wakwanzaaaaa
Chado master unaweza popote ulipo❤❤🎉🎉
Uyu mzee wa misumari anaongeza matatizo kila kukicha
Movie inazidi kunoga master chado big up wote mloshiriki katika movie hii ❤❤❤
Mtiani juu ya mtiani najma 😢pole daah ila msumali saiv utaozea jela
Mim nawa kubali sana wote wame Tisha sana❤❤❤❤🎉🎉
Jojo siku kitengo akijua unamzingua kidemu jau unakufaaa
😂😂😂
Kazi nzuri Sana 🙏
Kipengele cha najima na kakake huwa vinaniliza sana😢
Jamani mzee wamisumali 😢😢😢pole sana
Namimi naomba like zangu movi Kali chado masta ni balaa
wow wa kwanza mm leo❤️❤️❤️❤️🔐