Ni mmoja ya nyimbo inayogusa sana moyo wangu, hakika nikisikiliza wimbo moyo wangu unahuwishwa kwa upya na kumshangilia sana Mungu. Ashukuriwe Mungu asiyetutoa mawindo kwa adui zetu.
Homeguys, great choir! Ninyi ni magwiji wa style hii ambayo kwa kweli inatambulisha pia vionjo vya asili ya utamaduni wa msukuma! Mmeweka alama, mmemtangaza kristo katika kazi zenu kwa ubunifu unaosanifu utamaduni wa MTU mweusi wa Tanzania.
My favorite song m mbarikiwe sana asante solo kwakuimba vizur lakin kiujumla mmejua kuzipanga sauti safi sana mziki pia unamvuto flani barikiweni sana wana choir
MAOMBOLEZO 3:1-60 1Mimi ni mtu niliyepata mateso kwa fimbo ya ghadhabu yake Mungu. 2Amenichukua akanipeleka mpaka gizani kusiko na mwanga. 3Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu, akanichapa tena na tena mchana kutwa. 4Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja. 5Amenizingira na kunizungushia uchungu na mateso. 6Amenikalisha gizani kama watu waliokufa zamani. 7Amenizungushia ukuta nisitoroke, amenifunga kwa minyororo mizito. 8Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie. 9Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa amevipotosha vichochoro vyangu. 10Yeye ni kama dubu anayenivizia; ni kama simba aliyejificha. 11Alinifukuza njiani mwangu, akanilemaza na kuniacha mkiwa. 12Aliuvuta upinde wake, akanilenga mshale wake. 13Alinichoma moyoni kwa mishale, kutoka katika podo lake. 14Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote, mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa. 15Amenijaza taabu, akanishibisha uchungu. 16Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. 17Moyo wangu haujui tena amani, kwangu furaha ni kitu kigeni. 18Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.” 19Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kwanipa uchungu kama wa nyongo. 20Nayafikiria hayo daima, nayo roho yangu imejaa majonzi. 21Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: 22Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. 23Kila kunapokucha ni mpya kabisa, uaminifu wake ni mkuu mno. 24Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu hivyo nitamwekea tumaini langu. 25Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta. 26Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu. 27Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. 28Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. 29Yampasa kuinama na kujinyenyekesha, huenda ikawa tumaini bado lipo. 30Yampasa kumgeuzia shavu mwenye kumpiga, na kuwa tayari kupokea matusi yake. 31Mwenyezi-Mungu hatatutupa milele. 32Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake. 33Yeye hapendelei kuwatesa wala kuwahuzunisha wanadamu. 34Wafungwa wote nchini wanapodhulumiwa na kupondwa; 35haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu, 36kesi ya mtu inapopotoshwa mahakamani, je, Mwenyezi-Mungu haoni hayo? 37Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo? 38Maafa na mema hutokea tu kwa amri yake Mungu Mkuu. 39Kwa nini mtu anung'unike, ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake? 40Na tupime na kuchunguza mwenendo wetu, tupate kumrudia Mwenyezi-Mungu. 41Tumfungulie Mungu huko mbinguni mioyo yetu na kumwomba: 42“Sisi tulikukosea na kukuasi nawe bado hujatusamehe. 43“Umejizungushia hasira yako ukatufuatia, ukatuua bila huruma. 44Umejizungushia wingu zito, sala yeyote isiweze kupenya humo. 45Umetufanya kuwa takataka na uchafu miongoni mwa watu wa mataifa. 46“Maadui zetu wote wanatuzomea. 47Kitisho na hofu vimetuandama, tumepatwa na maafa na maangamizi. 48Macho yangu yabubujika mito ya machozi kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu. 49“Machozi yatanitoka bila kikomo, 50mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona. 51Nalia na kujaa majonzi, kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu. 52“Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu. 53Walinitupa shimoni nikiwa hai na juu yangu wakarundika mawe. 54Maji yalianza kunifunika kichwa, nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’ 55“Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. 56Wewe umenisikia nikikulilia: ‘Usiache kusikia kilio changu cha msaada bali unipatie nafuu.’ 57Nilipokuita ulinijia karibu ukaniambia, ‘Usiogope!’ 58“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu, umeyakomboa maisha yangu. 59Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu. 60Umeuona uovu wa maadui zangu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. 61“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. 62Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi. 63Wakati wote, wamekaa au wanakwenda, mimi ndiye wanayemzomea. 64Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu kadiri ya hayo matendo yao, kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe. 65Uipumbaze mioyo yao, na laana yako iwashukie. 66Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”
Ni mmoja ya nyimbo inayogusa sana moyo wangu, hakika nikisikiliza wimbo moyo wangu unahuwishwa kwa upya na kumshangilia sana Mungu. Ashukuriwe Mungu asiyetutoa mawindo kwa adui zetu.
Homeguys, great choir! Ninyi ni magwiji wa style hii ambayo kwa kweli inatambulisha pia vionjo vya asili ya utamaduni wa msukuma! Mmeweka alama, mmemtangaza kristo katika kazi zenu kwa ubunifu unaosanifu utamaduni wa MTU mweusi wa Tanzania.
With love from Kenya...I loooove you guys, God knows. Continue serving...
My favorite song m mbarikiwe sana asante solo kwakuimba vizur lakin kiujumla mmejua kuzipanga sauti safi sana mziki pia unamvuto flani barikiweni sana wana choir
My lovely song ❤️😍 ntafarijika daima kwa huu wimbo
Huu wimbo unanibariki sana🥰
nimekuja nisaidiee unisaidie unisaidie nisaidiee, naipenda Sana nyimbo him hubariki Moyoo wangu
Nabarikiwa sana kwa huo wimbo
Naupenda sana wimbo huu bairikiwa sana Nyakato kwaya Mungu awainue
naikubali sana kwaya ya aic nyakato kwa ujumbe mzuri
Hongereni saaaan Mungu wa mbinguni awape Neema yake ,,karama ya huyo dada ikachanuwe zaidi❤
Ujumbe % Melody Safi mko mzuri endeleeni kutenda kazi ya bwana
Nimebarikiwa sana jaman,wimbo mzuri sana Mungu azid kuwabariki zaidi
2023😍❤️ still listening to this 🙌🙌🙌
Yesu atusaidie kweli jamanii maana bila yeye atuwezi kila nikiimba huu wimbo unanipa faraja na tabasamu kubwa mnoo. Mbarikiwe maana nami nimebarikiwa
Nyakato Choir tunawapenda sana,hapa Kenya.
The song has been a blessing to me every time I feel down
My albany
Naupenda sana huu wimbo remi umenifanya nijue kuimba barikiwa
Nice song God bless us
mubarikiwe sana
Barikiwa saaan kwanyimbo nzuri
Amen mungu azindi kuwap nguv muzindi kumutumikia yeye musichoke
Sichoki kuangalia nyimbo zenu,barikiwa sana
naupenda sana wimbo huu
kwani Kila nipatapo nafasi Huwa nauskiliza nakuutazama pia
Na barikiwa sana
Nikweli shetani amesubuwa wangi Sana Asante Yesu kwaku niokowa😭😭😭
MAOMBOLEZO 3:1-60
1Mimi ni mtu niliyepata mateso
kwa fimbo ya ghadhabu yake Mungu.
2Amenichukua akanipeleka
mpaka gizani kusiko na mwanga.
3Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu,
akanichapa tena na tena mchana kutwa.
4Amenichakaza ngozi na nyama,
mifupa yangu ameivunja.
5Amenizingira na kunizungushia
uchungu na mateso.
6Amenikalisha gizani
kama watu waliokufa zamani.
7Amenizungushia ukuta nisitoroke,
amenifunga kwa minyororo mizito.
8Ingawa naita na kulilia msaada
anaizuia sala yangu isimfikie.
9Njia zangu ameziziba kwa mawe makubwa
amevipotosha vichochoro vyangu.
10Yeye ni kama dubu anayenivizia;
ni kama simba aliyejificha.
11Alinifukuza njiani mwangu,
akanilemaza na kuniacha mkiwa.
12Aliuvuta upinde wake,
akanilenga mshale wake.
13Alinichoma moyoni kwa mishale,
kutoka katika podo lake.
14Nimekuwa kitu cha dhihaka kwa watu wote,
mchana kutwa nimekuwa mtu wa kuzomewa.
15Amenijaza taabu,
akanishibisha uchungu.
16Amenisagisha meno katika mawe,
akanifanya nigaegae majivuni.
17Moyo wangu haujui tena amani,
kwangu furaha ni kitu kigeni.
18Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa,
tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
19Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu
kwanipa uchungu kama wa nyongo.
20Nayafikiria hayo daima,
nayo roho yangu imejaa majonzi.
21Lakini nakumbuka jambo hili moja,
nami ninalo tumaini:
22Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi,
huruma zake hazina mwisho.
23Kila kunapokucha ni mpya kabisa,
uaminifu wake ni mkuu mno.
24Mwenyezi-Mungu ndiye hazina yangu
hivyo nitamwekea tumaini langu.
25Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea,
ni mwema kwa wote wanaomtafuta.
26Ni vema mtu kungojea kwa saburi
ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu.
27Ni vema mtu kujifunza uvumilivu
tangu wakati wa ujana wake.
28Heri kukaa peke na kimya,
mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.
29Yampasa kuinama na kujinyenyekesha,
huenda ikawa tumaini bado lipo.
30Yampasa kumgeuzia shavu mwenye kumpiga,
na kuwa tayari kupokea matusi yake.
31Mwenyezi-Mungu hatatutupa milele.
32Ingawa atufanya tuhuzunike,
atakuwa na huruma tena
kadiri ya wingi wa fadhili zake.
33Yeye hapendelei kuwatesa
wala kuwahuzunisha wanadamu.
34Wafungwa wote nchini
wanapodhulumiwa na kupondwa;
35haki za binadamu zinapopotoshwa
mbele yake Mungu Mkuu,
36kesi ya mtu inapopotoshwa mahakamani,
je, Mwenyezi-Mungu haoni hayo?
37Nani awezaye kuamuru kitu kifanyike
Mwenyezi-Mungu asipopanga iwe hivyo?
38Maafa na mema hutokea tu
kwa amri yake Mungu Mkuu.
39Kwa nini mtu anung'unike,
ikiwa ameadhibiwa kwa dhambi zake?
40Na tupime na kuchunguza mwenendo wetu,
tupate kumrudia Mwenyezi-Mungu.
41Tumfungulie Mungu huko mbinguni
mioyo yetu na kumwomba:
42“Sisi tulikukosea na kukuasi
nawe bado hujatusamehe.
43“Umejizungushia hasira yako ukatufuatia,
ukatuua bila huruma.
44Umejizungushia wingu zito,
sala yeyote isiweze kupenya humo.
45Umetufanya kuwa takataka na uchafu
miongoni mwa watu wa mataifa.
46“Maadui zetu wote wanatuzomea.
47Kitisho na hofu vimetuandama,
tumepatwa na maafa na maangamizi.
48Macho yangu yabubujika mito ya machozi
kwa sababu ya kuangamizwa kwa watu wangu.
49“Machozi yatanitoka bila kikomo,
50mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni
aangalie chini na kuona.
51Nalia na kujaa majonzi,
kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu.
52“Nimewindwa kama ndege
na hao wanichukiao bila sababu.
53Walinitupa shimoni nikiwa hai
na juu yangu wakarundika mawe.
54Maji yalianza kunifunika kichwa,
nami nikafikiri, ‘Huu ni mwisho wangu.’
55“Kutoka chini shimoni
nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu.
56Wewe umenisikia nikikulilia:
‘Usiache kusikia kilio changu cha msaada
bali unipatie nafuu.’
57Nilipokuita ulinijia karibu
ukaniambia, ‘Usiogope!’
58“Umenitetea katika kisa changu ee Mwenyezi-Mungu,
umeyakomboa maisha yangu.
59Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu,
uniamulie kwa wema kisa changu.
60Umeuona uovu wa maadui zangu,
na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
61“Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu,
na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.
62Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima
ni juu ya kuniangamiza mimi.
63Wakati wote, wamekaa au wanakwenda,
mimi ndiye wanayemzomea.
64Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungu
kadiri ya hayo matendo yao,
kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.
65Uipumbaze mioyo yao,
na laana yako iwashukie.
66Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize,
uwafanye watoweke ulimwenguni.”
Mungu utuokoe maana shetani amechakaza nyama yangu jamani. Eeh Mungu turehemu.
Wimbo mzuri sema ni wa kishirikina na kujipinga. Wanamuomba Yesu badala ya Mungu. Silaumu kutokana na kiwango chao cha uelewa
Daaa imenijenga watumishi....
Nabalikiwa Sana kwa wimbo huu,,, nausikiliza Sana kila siku asubuhi niamkapo tu
🔥🔥🔥Asante Mungu
Wimbo mzuri sana
Huu wimbo huwa unanibariki sana jamani. Mbarikiwe sana wapendwa.
Nabarikiwa na wimbo huu
I speak blessings upon you ❤
Sijawahi kuuchoka huu wimbo mbarikiwe sana
mbarikiwe sana watu wa Bwana Yesu
Nawapenda sana
Mungu aeainue😅😅
Still listening to this song
Kila nikisikiliza hii nyimbo huwa napata mbubujuko wa machoz Sana unagusa Sana moyo mbarikiwe
nimeipenda sana
ujumbe mzuri
Msihuzunike kwaajili ya miili mavazi maana miili halisi iko Mbinguni kaza mwendo!
Be blessed
Jina la albam inaitwaje wapendwa mwenye kufaham pls
Ameen
Hakika mungu awatangulie
Nabarikiwa sn na nyimbo hii
Nimebalikiwa
nimebarikiwa
Nice
Mliimba vizuri sana, na kwa nidhamu kubwa, ila siku hizi kama vile mnapotea.
Amina
mbarikiwe sana watumishi
Hakika huu wimbo umetoa machozi
😢😢😢😢🙏🙏🙏 amen
Nyakato
hakika amaechukua madhaifu yetu.
Amen
28/11/2023 kwangu NI mpya na unanipa maana mpya
Mbarikewe
Amen