Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Allah akupeni afya na nguvu viongozi mzidi kuwapambania wanzanzibar dhidi ya madhalim hawa
Wanzanzibarii eeeeeeeeeee ccm kwisha kwisha kwisha kabisa ndembe ndembe mamlaka kamili tu hapa
❤sio 2hata yasiku nanusu isijetokea au ht huo uchaguzi usiwepo wakitaka qura ya sk2never never and never
Pamoja sana yeyote alie na nia ovu Allah hatamuacha.Tunaenda na OMO 2025
Mbeto bichwa kubwa halin akil hajui siasa han hoj anaropokw tu 😊
safi sana
Msikubali safari hiii kuweni machooo kwa wizi wa kura. Badilisheni tume siiyamini hata kidogo.
Kwawingi,Gani,wazanzibar,tulionao,ccm,wezi,tu
💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Wameisha ccm ndo maana wanatapatapa
Ukiskia kutapatapa kwa ccm ndo uko hilo ndo wanalotakakukimbilia kwa sasa wanajua umma ushawakataa😊
UCHUNGU WA CHAMA KULIKO ZANZIBAR Kwa maslahi ya Tumbo na Ukoloni wa Tanganyika, Mbeto anauchungu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko Zanzibar.
Kweli kabis ili apat maslah yake kupitia Ccm
💜💜💜
Kwani ccm si watunge sheria ya chama kimoja tu wasitufanyie ujingaa bana wanataka kututia vidole
Kura ya sikubili ni ya Januari Makamba na ccm yake.
CHAMA CHA MAPINDUZI NAUBAGUZI WA UCHAGUZI Kwani Uchaguzi ni mali ya Chama Cha Mapinduzi?
Exellent
Kura ya mapema ipo kwa mujibu wa sheria
Ivi Kati ya Tanganyika na znz wapi kuna watu wengi zaidi
Allah akupeni afya na nguvu viongozi mzidi kuwapambania wanzanzibar dhidi ya madhalim hawa
Wanzanzibarii eeeeeeeeeee ccm kwisha kwisha kwisha kabisa ndembe ndembe mamlaka kamili tu hapa
❤sio 2hata yasiku nanusu isijetokea au ht huo uchaguzi usiwepo wakitaka qura ya sk2never never and never
Pamoja sana yeyote alie na nia ovu Allah hatamuacha.Tunaenda na OMO 2025
Mbeto bichwa kubwa halin akil hajui siasa han hoj anaropokw tu 😊
safi sana
Msikubali safari hiii kuweni machooo kwa wizi wa kura. Badilisheni tume siiyamini hata kidogo.
Kwawingi,Gani,wazanzibar,tulionao,ccm,wezi,tu
💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Wameisha ccm ndo maana wanatapatapa
Ukiskia kutapatapa kwa ccm ndo uko hilo ndo wanalotakakukimbilia kwa sasa wanajua umma ushawakataa😊
UCHUNGU WA CHAMA
KULIKO ZANZIBAR
Kwa maslahi ya Tumbo na Ukoloni wa Tanganyika, Mbeto anauchungu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko Zanzibar.
Kweli kabis ili apat maslah yake kupitia Ccm
💜💜💜
Kwani ccm si watunge sheria ya chama kimoja tu wasitufanyie ujingaa bana wanataka kututia vidole
Kura ya sikubili ni ya Januari Makamba na ccm yake.
CHAMA CHA MAPINDUZI
NA
UBAGUZI WA UCHAGUZI
Kwani Uchaguzi ni mali ya Chama Cha Mapinduzi?