KG shinda nyingi waziona na hawa wadada nizakujitakia unaitwa mwiba wakujinga mwenyewe nakujaribu kumukosoa mwenye enzi mungu ni hatia kubwa sana tafakari haya
Dunia kwani ni lazima usimamishe matiti au matako si ikae sababu akuna kisijo kua na mwisho itTumis lea mfa badae utanyauka said i ys ulivyo kua taanaya bwana kuna mdada mmoja mwenye alitumia dawa za kubadilisha rangi alikua mweuzi tititi lakini akawa mweube bebebe lakini badae aliaribika mwili sana utamuona marabili juu ya tamaa mbaya sana sasa hivi vile tunaongea yuko kitandani sijui kama ayapona
@CHIPANDE-v6z n ukweli kg yani unanifuraisha vile unaongeanga nachekanga kwa room yangu adi waiguru anashangaa nacheka nn wah but kenya yetu imekua na vituko too much walai
Yani mi hâta mafuta yamkorog sipaki kwanza naofiya junuuzi mungu mbili naofiy usalam wangoz yang. Bingine bifo nikujitakiya acha afe aende kwanini asirizik na hali yake subhanallaah wacha afeee
Yote hayo ya nini na utakufa ukaliwe na wadudu kaburini , na MUNGU nae anakungoja kwa adhabu kali ya kukuchoma kwa moto ambao kuni zake ni watu na mawe
Acha wakununua wanunue ila maamuzi yana hadhari za milele,mbona wanunue kifo kwa hela zako ila hukumu ipo utajibu yote uliofanya kwa maumbile uliopewa na Mungu
@CHIPANDE-v6z mydear wenzetu wanaogopa kufikiria sana coz when the deal is too good think twice, hakuna kitu huwa inatoka kwa shetani ni salama instead you exchange your to erternal condemnation na kuwa prisoner of pain and bitterness inthe name of kuwa na figure fity acha nikae na matiti zimelala juu nimenyonyesha watoi in peace na matako haiko and am proud the way God created me mydear
Kipindi niko oman boss wng alifany upasuwaji ili awe na 6pack kilichomkuta bada ya 30 dy tumbo tulikuw tunaliinuwa kawa natumbo kama mfuko wa mavi 😂😂😂😂
Subhana Allah. Mwenyezimungu alietuumba hajui. Ajuae nibinadamu ndio anaejuwa kuumba . Allahu Akbar
Mungu aturehem sana mahali tumefika wanawake hatujali Wala hatuna hofu ya Mungu
Am fearful and wonderful made, I thank God for that 🙌🙌
Mungu atuepushe na tamaa ,tujipende jinsi tulivo
Ameen❤
Ameen Ya Rabbi
Amen 🙏🙏
Amen🎉
KG shinda nyingi waziona na hawa wadada nizakujitakia unaitwa mwiba wakujinga mwenyewe nakujaribu kumukosoa mwenye enzi mungu ni hatia kubwa sana tafakari haya
😢true
Subhanaallah
Allah atusamehe tunamkosea mungu Sana MTU naridhike na maumbile ambayo Allah alikutengeneza
Alhamdhulillah ❤
Uuuuuiiii mungu wangu mbona watu wanaatalisha maisha jamani
Kg tunaendelea kumtoa mungu makosa ambako akuna makosa mungu hatusamehe
Nashukuru vile nilivyo sitaki makalio kupanua wala matiti mungu amenibariki na matiti nashukuru
Hivyo ndivyo Mungu alipunguza mwika ya wanadamu ee mwenyezi mungu tusamehe
Kuliko hivyo vyote wacha nilidhike na vile mungu aliniumba
Acha nibaki vile mwenyezi mungu alivyo niumba jamani mie naogopa Nyie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😢😢😢😢😢😢😢😢kasa mungu tusamehe sana
Ahsante mungu kwa umbo wangu
❤😊
Subhana Allaah, Dunia hadaa
Binadam/ulimwengu shujaa😢
Dunia kwani ni lazima usimamishe matiti au matako si ikae sababu akuna kisijo kua na mwisho itTumis lea mfa badae utanyauka said i ys ulivyo kua taanaya bwana kuna mdada mmoja mwenye alitumia dawa za kubadilisha rangi alikua mweuzi tititi lakini akawa mweube bebebe lakini badae aliaribika mwili sana utamuona marabili juu ya tamaa mbaya sana sasa hivi vile tunaongea yuko kitandani sijui kama ayapona
Heri nikae nilivyoumbwa inatosha mungu sio mjinga dalili zakiama hizi simwisho wambea cancer🙌🙌🙌🙌
Uzuri hakuna mtu ana wa force wanapenda kufanya hivo wenyewe mm siwezi fanya huo ujinga eti cz nifurahishw wanaume au watu never
Subhanallah 😭 😭
😢
Acha nibaki nilivo napoti yangu kesi badae😂😂😂😂sitaki flat tummy yenye itakuja kuniua 😂😂😂😊
Kabisaaaaa😢
I remember that story
😂😂😂😂😂wacha nicheke tu yani kg unanifuraisha vile waongea
😅
@CHIPANDE-v6z n ukweli kg yani unanifuraisha vile unaongeanga nachekanga kwa room yangu adi waiguru anashangaa nacheka nn wah but kenya yetu imekua na vituko too much walai
Yani mi hâta mafuta yamkorog sipaki kwanza naofiya junuuzi mungu mbili naofiy usalam wangoz yang. Bingine bifo nikujitakiya acha afe aende kwanini asirizik na hali yake subhanallaah wacha afeee
😂😂😂😂 ujinga uyo na wenye wanauza niwerefu hawawezi tumia lakini wajinga wanatuminia bila kufikiria mathala acha nikae vile mungu wangu aliniumba
Imagine na hawajishtukizii😢
Mmi nitabaki na hilo nililo pewa na mungu wanikome
❤kabisaaaaaa
JMN dunia imeisha moto mungu tu anajua
😢tumrudia Muumba wetu toba kwa sana
Nashukuru jinsi nilinvo
100%❤
Mungu naridhika na maumbile yangu mungu amenipa hata kesho nikirud kwa kwake Allah niwe na jibu
Mungu atusamehe dunia inaisha temefika mahali tunamuasi mungu yani sisi ndio tunajua kushinda aliyetuumba wacha ni baki vile nimeumbua
Yote hayo ya nini na utakufa ukaliwe na wadudu kaburini , na MUNGU nae anakungoja kwa adhabu kali ya kukuchoma kwa moto ambao kuni zake ni watu na mawe
Inna lilahi waina ilahyi rajyun.
Mzungu akikupenda ulivyo huwa ni ubaki jinsi ulivyo
I can't change my body shape the way mungu aliniumba under the blue sky
Hakuna
Mzungu atawauwa waafrika haasa wadada
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utakuta wanasema hivyo na wao hawatumiii
Facts
Uzinifu umeiteka nyara Dunia
Acha wakununua wanunue ila maamuzi yana hadhari za milele,mbona wanunue kifo kwa hela zako ila hukumu ipo utajibu yote uliofanya kwa maumbile uliopewa na Mungu
Na wanalipia pesa mob sana😢
@CHIPANDE-v6z mydear wenzetu wanaogopa kufikiria sana coz when the deal is too good think twice, hakuna kitu huwa inatoka kwa shetani ni salama instead you exchange your to erternal condemnation na kuwa prisoner of pain and bitterness inthe name of kuwa na figure fity acha nikae na matiti zimelala juu nimenyonyesha watoi in peace na matako haiko and am proud the way God created me mydear
Imean soul
Pia wanaume waache tamaa .huenda huyu mama bwanake alikwa atamani wanawake wanene.
Kipindi niko oman boss wng alifany upasuwaji ili awe na 6pack kilichomkuta bada ya 30 dy tumbo tulikuw tunaliinuwa kawa natumbo kama mfuko wa mavi 😂😂😂😂
Ndio maana cancer iko juu sai Kwa watu wa umri mdogo, mungu tuhepushie na haya majanga
Wanawke tuko na shinda jamani
Katupa bahati😅😅😅
❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
Wacha nikae 1gb and im proud of that
😂😂😂😂😂nashkuru mungu kunijalia baharain nilifutwa kazi lkn Qatar wakanikubali lkn ilikuwa kazi yani kila siku naulizwa ulifanya surgery 😂😂😂
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🤭🤭
😂,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Am good with my 1 GB.
❤ 100%
Wacha nibaki kama nilivo
Wajinga hao kuona mtaona lakini hamtaona hata kidogo kusikia mtasikia lakini hamtasikia hata kidogo mungu anawaona
😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂