SUA kujenga na kukarabati majengo yatakayogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 41

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1

  • @a4afrika
    @a4afrika Месяц назад

    Kwa nature ya Uchumi wetu, mazingira na nyakati zetu, hiki chuo ndicho kinachopaswa kuwa na enrollment kubwa kuzidi vingine.
    Bil. 41 ni nothing kwa unyeti wa hiki chuo. Serikali itafute hata Bil. 500, huku 250 zikiwa ni kwa physical miundombinu ya kuongeza enrollment na iliyobaki itupe kwenye taaluma hasa tafiti.
    Ni kwamba pesa inayowekwa Udom ilipaswa kuwekwa SUA, hata kama eneo lingebaki kuwa Dodoma.