TAKKBIR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR!!!☝الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤shukran jazzaq Allahu kheir sheik Allahu akulip kheir hapa dunian n kesho...Azd kukup elmu utuelimishe n tuwe miongon mwa wenye kuzifata elmu hzo pmja n sheria zake Allah
Mashaallah....huyu Sheikh ktk zama hizi ni ([HAZINA YA TAIFA])...siyo hawa Masheikh wa Dunia...wao ukisoma hivi Unakuwa Tajiri....Utajiri bye bye...😢😢😢 Maswahaba رضي الله عنهم wakiwalinganiana wao kwa wao na walofuata baada yao IMANI...IMANI...IMANI....kuondoa khofu ya مخلوق (viumbe) na kuweka khofu ya خالق (Muumba) ambaye ni Allah سبحان الله Wakiondoa mapenzi ya مال na kuweka mapenzi ya اعمال....yani swala...swaumu...swadaqa....kuunga udugu....Adhkaar...etc...na Rakaa zake 2 zinamtosheleza haja yake.... Allah atufahamishe na atusamehe....Amiin
Baraka llahu fiik Allah azidi kukupa fasil khitwab na akuhifadhi kwa kazi unayoifanya
Allah atujalie amani katk nafsi zetu
Masha Allah
TAKKBIR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR!!!☝الحمد لله على نعمة الإسلام ❤❤shukran jazzaq Allahu kheir sheik Allahu akulip kheir hapa dunian n kesho...Azd kukup elmu utuelimishe n tuwe miongon mwa wenye kuzifata elmu hzo pmja n sheria zake Allah
Mashaallah
Mashallah alhamdulillah shukurani shekhe wangu Kwa mawaidha ❤
Mashaallah Allah akulind na akuhifadh na kil husda bab anguu
MashaAllah, Mungu akujalie nyingi neema uzidi kutufunza tuneemeke kwa maneno ya Allah (swt).
JazakaAllahuulkher
Ma shaa Allah Barakkah ALLAH 🤲
Shukran Shekh Wetu Allah akulipe kheri,Inshallah
Mashaallah....huyu Sheikh ktk zama hizi ni ([HAZINA YA TAIFA])...siyo hawa Masheikh wa Dunia...wao ukisoma hivi Unakuwa Tajiri....Utajiri bye bye...😢😢😢
Maswahaba رضي الله عنهم wakiwalinganiana wao kwa wao na walofuata baada yao IMANI...IMANI...IMANI....kuondoa khofu ya مخلوق (viumbe) na kuweka khofu ya خالق (Muumba) ambaye ni Allah سبحان الله
Wakiondoa mapenzi ya مال na kuweka mapenzi ya اعمال....yani swala...swaumu...swadaqa....kuunga udugu....Adhkaar...etc...na Rakaa zake 2 zinamtosheleza haja yake....
Allah atufahamishe na atusamehe....Amiin
Jazakhallah khaira Shekhe Allah akulipe zaidi
Mashallah Mashallah shukran sana sheikh
I always look forward to my sheikh's khutbah shukran for always appoloading
Mashallah
Shukran sheikh😊
Allahma amiin
Alhamdulillah
SUB HAANA ALLAH
🍎🍎""""shukran kaka 🍎🍎"""
🍎🍎"""mawaiza mazuri sana 🍎🍎
🍎🍎"""mugu akupe afya njema 🍎🍎
Allah akulipe ujira shukrn jazila kwa elimu hiyo
MashaAllah Alhamdulillah Ala neematul Islam
Allah bless us
Shukran
Sheikh Allah akuhifadhi na akubariki
MashAllah
😭😭😭
Alhamdhulillah thuma Alhamdhulillah
Nataka contact yake nitaipata vipi as nataka kumuliza swali muhimu sana