Inafurahisha sana. Ikumbukwe kua mwanzo wa msimu ili semwa huu ni mwaka wa kutengeneza simba . Mashabiki wa simba tusiruke hii hatua, Tukijisahau tuta anza kumlaumu kocha na wachezaji.
Ndugu matusi sio mahala pake, mambo ya ushabiki wa jazba namna hyo hapana,humu watu kibao wanasoma hzi comment kwahyo unapotumia lugha isiyokuwa ya kiungwana sizan km utakuw salama.,kwahyo jitaidi kudhibiti hisia za namna hyo,ipo cku itakuja kukugharim kwahyo jitaid sna kuw muungwana!!
Inafurahisha sana.
Ikumbukwe kua mwanzo wa msimu ili semwa huu ni mwaka wa kutengeneza simba .
Mashabiki wa simba tusiruke hii hatua,
Tukijisahau tuta anza kumlaumu kocha na wachezaji.
hyo do Simba
Viongozi wa simba tunaomba muende pale Azam mchukueni silla mutale atupishe
Kadogodogo aworeeeeee
Nyinyi yanga goli 1 mlikua mkisema imeshuka kiwango dah kweli nyie watafutaji hamna zamana kweli
we huoni zile moja zimeisha zimegeuka vipigo mpaka wasemaji wamekuwa motivational speakers. Yanga imedrop kweli,
WASENGE NYIE SASA HAPO YANGA INAINGIAJE VITOBO NYIE
Ndugu matusi sio mahala pake, mambo ya ushabiki wa jazba namna hyo hapana,humu watu kibao wanasoma hzi comment kwahyo unapotumia lugha isiyokuwa ya kiungwana sizan km utakuw salama.,kwahyo jitaidi kudhibiti hisia za namna hyo,ipo cku itakuja kukugharim kwahyo jitaid sna kuw muungwana!!
Wee unasema Mutale hatufai wewe unamudu kucheza namba ngapi pale simba, acha maneno ya kijinga,