Halafu unapokuwa unafundisha na kuelewa sana Kwakwel unakwenda hatua kwa hatua na hata open codes nimejifunza kam ulivyokuwa unaelekeza,,, kikubwa nikuombe itusaidie sana tunaoanza ili nasis tufike mbali pia,, na MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIK SANA MAANA UMEENDELEA KUWA MSAADA KWA KILE BWANA AMEWEKA NDANI MWAKO
Brother nikwel umepotea sana,, Yan sisi ndio kwanza tunaanza kujifunza tuko hatua za mwanzo Kwahyo ninapokosa mwendelezo wa mafunzo inakatisha sana tamaa,,, naomb unisadie mwendelezo zaid maana nipo ktk open codes
Umepotea sana brother mpaka tumekumisi
Dah noma sana na samahani ndugu zangu ila ss tuko pamoja
Brother na napenda unachokifanya sn brother wangu..
Asante sana ndugu,, asante kwa support yenu
Ila sauti iko chini sana
Poa ntajitahidi kuinua,, asante kwa comment yako inajenga pia
Rafiki yangu nakulewa sana,,,ila naomba utuambie ivo vidoti veupe kwenye iyo frem ya gita ni vya nini
Halafu unapokuwa unafundisha na kuelewa sana Kwakwel unakwenda hatua kwa hatua na hata open codes nimejifunza kam ulivyokuwa unaelekeza,,, kikubwa nikuombe itusaidie sana tunaoanza ili nasis tufike mbali pia,, na MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIK SANA MAANA UMEENDELEA KUWA MSAADA KWA KILE BWANA AMEWEKA NDANI MWAKO
Asante sana ndugu ntafanya hivyo na mi nashukuru kwa sapoti yenu sana tu na we ubarikiwe
Brother nikwel umepotea sana,, Yan sisi ndio kwanza tunaanza kujifunza tuko hatua za mwanzo Kwahyo ninapokosa mwendelezo wa mafunzo inakatisha sana tamaa,,, naomb unisadie mwendelezo zaid maana nipo ktk open codes
Samahani sana kwa hilo na ntafanya hivyo, kitu gani ungependa nifundishe
@@Eli_Music natamani kama ningepata mwendelezo wa kutoka katika open codes 4 ambazo ulifundisha before , ili niendelee mbele zaidi,,