Njia iliyonyoka - 1.Hukumu ya mwenye kuacha swala
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Asalam waliekum warahmatullahi wabarakatu
Hi mawaidha ya khutbah ya ijumaa yaliyotolewa katika msikiti wa ihsaani vetinar Temeke Tar. 28.08.2009
Mada ni, Hukumu ya Mwenyekuacha Swala (part 1) mtoa mada ni Sh. Nurdeen Muhammad Ahmed Kishki
Masha Allah mungu akulipe kheli akupe mwisho mwema sheghe wangu nakupenda kwa ajili ya Allah
Ameen Allah atutakabalie swala zetu sote waislamu
Shukran sana Shekh Nurdin. Allah S.W akupe mwisho mwema
Shukran sheikh Kwa mawaidha mazuri.
M/mungu mjaalie uhai mrefu mja wako,kipenzi chako pia umpe afya bora na moyo wa kuendelea kutupa darsa inshaallah
shukuran lnshaallah swala zetu zenye kutakambaliwa
ameen
Jazak Allahu kheir. I learned a lot
hi
Jazakhalau kheyran.sheikh kishki
Aksante sana ma shekhe wetu.