JOEL LWAGA ft. BOAZ DANKEN - NI NEEMA (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 893

  • @esterheri9592
    @esterheri9592 Год назад +147

    Kama umebarikiwa na huu wimbo kama Mimi tafadhali like zikuwe nyingi nyingi hapa😩😩🫂🫂🙌🙌🙌🙌🙌🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

  • @esterheri9592
    @esterheri9592 Год назад +350

    NANI MWINGINE AMEWEKWA KWA NEEMA KAMA MIMI A LIKE COMMENT YANGU😩😩😩😩🫂🫂🫂🫂🍎🍎🍎

    • @selahythera1110
      @selahythera1110 Год назад +13

      Ni NEEMA imeniweka Hapa🙏🏽

    • @liliannyonela1185
      @liliannyonela1185 Год назад +6

      Ni NEEMA TU MY SISTER IMETUWEKA HAPA. JINA LA YESU LIHIMIDIWE MILELE NA MILELE

    • @nuruanafisoo4220
      @nuruanafisoo4220 Год назад +3

      Jaman ni neema tu imeniweka hapa sikustahili

    • @MUSSA638
      @MUSSA638 Год назад +3

      Ni neema ya bwana sister

    • @lozirachael2390
      @lozirachael2390 Год назад +3

      Ni Neema tu singefika hapa leo

  • @CarolPeter-c5t
    @CarolPeter-c5t 22 дня назад +4

    Today am here 31 December 2024,,,,,, ni Neema imenifikisha leo

  • @adianadia004
    @adianadia004 Месяц назад +8

    Sikustahili lakini Niko hai ni neema the song always humbles me😢❤

  • @NeemaMoto
    @NeemaMoto 12 дней назад +1

    Ni Kwa Neema yake tu glory to God

  • @florenceliberty2272
    @florenceliberty2272 Год назад +4

    sikustahili🥺

  • @barakabenedict463
    @barakabenedict463 9 месяцев назад +7

    Umenitendea mambo makuu sana nisiyositahili.hukuangalia udhaifu wangu wala dhambi zangu.Ahsante Yesu kwa neema ya uhai,kazi, watoto,mke mwema.wewe unajua ulikonitoa.Hakika sikustahili.

  • @mathiasmsangi9976
    @mathiasmsangi9976 Год назад +13

    hakika ni neema nimekumbuka nilikotoka mpaka machozi yamenitoka hakika sikustahili 😭😭😭😭😭

  • @gracekisumila
    @gracekisumila Год назад

    ubarikiwe wimbo unanibariki sanaa

  • @JustineYolonimo
    @JustineYolonimo Месяц назад +2

    Kuisikiliza hii nyimbo ni neema toshaaaa

  • @miraclesmercyandgrace
    @miraclesmercyandgrace Год назад +6

    Ni kweli ni neema ya Yesu inatifanikisha. Best collabo nimeipenda

  • @ServedwithGrace-RozinasKitchen
    @ServedwithGrace-RozinasKitchen 5 месяцев назад +12

    Kenyans tutembee Tanzania jameni 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @virginiam7842
    @virginiam7842 2 месяца назад +2

    Neema imenitosha

  • @cynthiaobiero445
    @cynthiaobiero445 Год назад +75

    Tanzanians are so blessed with good singers❤❤

  • @boniphacemgowozi4612
    @boniphacemgowozi4612 Год назад +9

    Yani kama mimi nimdhambi sana hata sifai kuchaguliwa ila NEEMA ya Mungu Imenibeba ,,MUNGU we mkali sana ahsante kwa yote

  • @naomichuri7983
    @naomichuri7983 Месяц назад +1

    Nineema

  • @AbigaelyChambo-pr9ro
    @AbigaelyChambo-pr9ro Год назад +5

    Wimbo huu ni ushuhuda mkubwa sana kwangu...ni neema ya Mungu mpk hapa nilipofikia...uhimidiwe JEHOVAH

  • @rachel8213
    @rachel8213 Год назад +3

    Ni neema🙏

  • @mkalisimbatv1915
    @mkalisimbatv1915 Год назад

    Vile tulikosaga chakula,tukalala na njaa kwa hakika hapa nilipo ni NEEMA ya MUNGU TU

  • @agathaatuganile1993
    @agathaatuganile1993 Год назад

    RUclips wangekuwa wanatoa prize, ningepata leo mweee, left the song on repeat 6 hours now! 😂, Kyala abhasaje bha kaka, fresh oil daily.

  • @WanaruaMusic
    @WanaruaMusic Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @Mazon_Gospel
    @Mazon_Gospel Год назад +1

    Hakika ni neema🙏

  • @SpolaWolfram
    @SpolaWolfram Год назад

    Sikustahili kweli 😅😅

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 Год назад

    Huu wimbo angeimba Joel Lwaga pekeake,ungetoka chicha mbaya, asikwambie mtu lakini hata hivyo sio mbaya Sana.

  • @Piterjohnson-hj2et
    @Piterjohnson-hj2et Год назад

    Kaka Joel SAMAHANI
    Naomba njoo kwenye acaunt yangu ninanyimbo nimerecod na simu naomba usikilize na hata kunishauri kaka mkubwa kama sio kunisaidia tafadhali sana kaka

  • @justinministry001
    @justinministry001 Год назад

    Tafadhali naomba wimbo mwingine kutoka kwenu bado naskia kiu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Год назад

    Hakika ni neema tu mm bila hiyo neema ni kazi bure

  • @Clements8814
    @Clements8814 Год назад +4

    Wokovu ni neema, maani, furaha, afya n.k Hakika ni kwa neema tu!.
    Mbarikiwe sana

  • @leahngondya-sj3fy
    @leahngondya-sj3fy Год назад

    Sichoki kuusikiliza huu wimbo machozi hayakauki kwangu mimi ni Zaidi ya neema

  • @edwardnyupile598
    @edwardnyupile598 Год назад

    Umebarikiwa baba

  • @hurumalupasa3844
    @hurumalupasa3844 Год назад

    Hakika ni Neema tu

  • @topisternalianya466
    @topisternalianya466 Год назад

    Wow wow wow powerful kweli SIKUSTAHILI

  • @evamanirubamburachristian9970
    @evamanirubamburachristian9970 Год назад

    Neema yake MUNGU yanitosha. Asanteni sana, ninyi ni baraka sana kwangu🧎🧎🧎🧎

  • @FrankMgina-i5e
    @FrankMgina-i5e 3 месяца назад +1

    Daah kumbe kuna wimbo mzuri hivi na hatupigiani simu na namba yangu mnayo😂😂😂

  • @njingobuzuka8829
    @njingobuzuka8829 Год назад

    Nimeikubali

  • @ShukuruKaduma-ph9oh
    @ShukuruKaduma-ph9oh 10 месяцев назад +1

    sikustahili baba asnt mungu

  • @gloriajasson8973
    @gloriajasson8973 Год назад

    hii ndo featuring sasa💥💥

  • @paulinajohn5911
    @paulinajohn5911 Год назад

    Hakika ni Neema ya Yesu imetufanya hivi tulivyo

  • @charitynema75
    @charitynema75 Год назад

    Kweeli ni neema ya Yesu😊😊

  • @EllyJackson-mv7xg
    @EllyJackson-mv7xg Год назад

    ni neema tu sikustahili ,,,mungu awatunze sana

  • @vitonnyenza5938
    @vitonnyenza5938 Год назад

    Kwa kweli wimbo umenigusa sana.by antony myovela

  • @berthabosco5122
    @berthabosco5122 Год назад

    Ni neema kwangu🙏🙏🙏🙏🙏🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @florenceelikana3040
    @florenceelikana3040 Год назад

    Nineema sikustahili nineema imeniweka hapa

  • @TumpaleEdson-je4rp
    @TumpaleEdson-je4rp Год назад

    Nimefurahi kusoma kaka Boaz anaimba vizuri hivi nilizoe Kuna akiimba live tu....Mungu azidi kukuinua kaka Boaz

  • @TheopistaAloyce-ht8kr
    @TheopistaAloyce-ht8kr 11 месяцев назад +3

    Sikustahili hata kidgo lakini YESU amenistahilisha pale msalabani, Asante YESU.

  • @dkoko140
    @dkoko140 Год назад

    Kuna mtu alikufa msalabani 😢❤😢

  • @BrendaMunuo-s6j
    @BrendaMunuo-s6j Год назад +1

    Ni kweli ni kwa neema ya Mungu nimefanyika mwanae,me nimesamehewa dhambi zangu zote😅😅😅 nimekombolewa mimi🙏🙏sihesabiwi dhambi milele kwa kulipiwa deni langu la dhambi na mwokozi wanguuu.NAJIVUNIA YESU WANGU

  • @ApiaKweka
    @ApiaKweka Год назад

    Sikustail sikustail n neema❤❤❤❤❤

  • @elizabethmtabale-wt7bd
    @elizabethmtabale-wt7bd Год назад

    Kweli ni neema2

  • @absamiaabas799
    @absamiaabas799 Год назад

    🥹🥹🙏 asanteee mungu wangu ni neema Tu umeniweka hapa

  • @rosechetty418
    @rosechetty418 Год назад +2

    Ooo wow hakika ni Neema tu imenifikisha nilipo

  • @KirianiNzogela-tc6el
    @KirianiNzogela-tc6el Год назад +1

    Ni kwa neema tu

  • @MachoziKitabu
    @MachoziKitabu Год назад

    Kwaneema. Imeniweka hapa ubarikiwe

  • @juliahwanjiru5594
    @juliahwanjiru5594 Год назад +3

    Sikustahili ni neema imeniweka hapa❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @enockfrancis211
    @enockfrancis211 Год назад +12

    Huu wimbo unanigusa totally, maana mm ni mmoja ambae ninaishi kwa sababu ya neema

  • @rahelphilipo4577
    @rahelphilipo4577 Год назад

    Wimbo mzuri mnoooo

  • @EvaKalinga-b4p
    @EvaKalinga-b4p Год назад

    Kweli mungu ametupendelea

  • @AnnaMagawa
    @AnnaMagawa 3 месяца назад

    Nani mwingine ameangalia huu wimbo zaid ya mara moja like hapa

  • @Lilyg18
    @Lilyg18 Год назад

    KWELI NI NEEMA GOOD SONG REMEMBER GRACE LIFE KENYA

  • @dinahwaweru3183
    @dinahwaweru3183 Год назад

    Ni neema imeniweka hapa 🙌😭😭

  • @innocentndowo2258
    @innocentndowo2258 Год назад

    luaga bro wewe ni wa kipekee sana

  • @bonifaceotieno741
    @bonifaceotieno741 Год назад +2

    Ni Neema mahali nime fika licha ya changa moto

  • @JosephSwalehe
    @JosephSwalehe Год назад

    Utukufu Kwa mungu,,🙏🙏

  • @pickfordjustin3432
    @pickfordjustin3432 11 месяцев назад

    Nikipi alichokificha director ilipofika dakika ya 2:47😂😂😂 kwenye vidole vya singers wetu

  • @chrisstaielkristofah
    @chrisstaielkristofah 3 месяца назад +1

    ABBA & NORTH & GATHER...ÑÇ+YÅH

  • @pesh-yn8ui
    @pesh-yn8ui 2 месяца назад +2

    Sikustahili sikustahili ni neema imeniweka hapa

  • @TekraSanga
    @TekraSanga Год назад

    Mungu awabariki sana watumishi, kweli kabisa ni neema tu kupata wokovu.

  • @dsushowtv95
    @dsushowtv95 10 месяцев назад +7

    Only to cry😢😢😢😢😢😢,I can't find where to start talking about My God's grace to me,guys God bless you for this song,Only for neema yamungu,from Rwanda 🇷🇼

  • @miriamsospeter5996
    @miriamsospeter5996 Год назад

    Mmenibariki sana kwel ni neema Mbarikiwe sanaa

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 11 месяцев назад +1

    Kweli sikustahili kabisa, hata kuwepo hai leo ni neema yako Yesu

  • @robinsonrugano
    @robinsonrugano Год назад +4

    SI KUSTAHILI....NI NEEMA NA REHEMA YAKO YESU KRISTO

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 2 месяца назад

    Neema ya MUNGU ni kubwa ya kutisha..nayo anatufuatia kila tunapokuwepo...sijawahi kupata kitu kwa akili yangu....bali kutoka kwa Mungu wangu...Jina la Bwana YESU Kristo lisiwe milele...zidi kubarikiwa Mjori wa Bwana...

  • @tununehemia-fg3kb
    @tununehemia-fg3kb Год назад

    Nabarikiwa Sana

  • @MariaMsigwa-bh7tk
    @MariaMsigwa-bh7tk Год назад

    Kweli sijastahili Mimi yesu Asante kwaneeema hiyo

  • @victoriamadusa-4014
    @victoriamadusa-4014 10 месяцев назад

    Sikustahili sikustahili❤❤❤❤

  • @pesh-yn8ui
    @pesh-yn8ui 3 месяца назад +2

    Kweli ni neema tu sikustahili

  • @TheopistaAloyce-ht8kr
    @TheopistaAloyce-ht8kr 7 месяцев назад +8

    Hakika si kwa elimu uliyonayo wala utajiri ulionao umekufanya ufurahie hii dunia bali NI NEEMA YAKE MUNGU TU,YESU NASEMA ASANTE KWA KUNISTAHILISHA.

  • @reginahkinyua8929
    @reginahkinyua8929 9 месяцев назад

    God remember me, visit me

  • @ZawadiMbatta-lt3yh
    @ZawadiMbatta-lt3yh Год назад

    Ni neeema mm kuwa hapa

  • @JanethMrema-r9z
    @JanethMrema-r9z Год назад

    Hakika ni neema sikustahili Mungu wng nakushukuru

  • @robinsonrugano
    @robinsonrugano Год назад

    Ni Neema si kustahili

  • @christinamwangoc4779
    @christinamwangoc4779 Год назад +11

    Huu wimbo haujawahi kuisha bila chozi kunitoka, kweli ni NEEMA tu ya YESU, mbarikiwe sana❤

  • @veronicanissa588
    @veronicanissa588 2 месяца назад +2

    Kwa kweli ni neema ya mungu

  • @hellydalton2678
    @hellydalton2678 Год назад +11

    Jaman jaman nyie achen....Huu wimbo unanpa amani sana jaman Mungu huyu....Aliponitoa moaka hapa nilipo kweli n neema na sikustahili😭😭😭😭😭😭😭😭...Yesu alkufa msalabani kwaajili ya kubeba mizigo yangu

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Год назад

    Hakika najihis kufunguliwa 😭😭

  • @veronicanissa588
    @veronicanissa588 Год назад

    Hakika ni neema ya mungu nabarikiwa Sana na wimbo huu

  • @robertthadeo
    @robertthadeo Год назад

    Hakika ni neema

  • @samsonkihwele6544
    @samsonkihwele6544 Год назад +1

    Ni neema.
    Hakika ni neema tunapoeenda kumaliza mwaka huu hadi Muda tuna uzima tele

  • @nestorynwele-cl4um
    @nestorynwele-cl4um Год назад

    Ni neema yake mkomboz

  • @dennisorenge6852
    @dennisorenge6852 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂mungu akuweke bro.#iposiku

  • @samshalizerbrands8629
    @samshalizerbrands8629 Месяц назад +1

    Ni neema kweli ya mwenyezi my favorite tune

  • @NaliakaMaureen
    @NaliakaMaureen Год назад

    Kweli ni neema ya Mungu

  • @TiffaMwaisela-f2e
    @TiffaMwaisela-f2e Год назад +5

    Hakika ni Neema ya MUNGU ndio inayotuweka hai mbalikiwe watumishi wa Mungu 💕💕💕

  • @FloraGodwin-pm4sh
    @FloraGodwin-pm4sh Год назад +1

    Sikustahili, sikustahili, sikustahili 🙏

  • @stellakusaga4916
    @stellakusaga4916 6 месяцев назад +8

    For sure huu wimbo umegusa maisha yangu nausikiliza nakutafakari hata masaa manne matano

  • @olivierigani5850
    @olivierigani5850 Год назад

    Hawa ni mkubwa na mdogo mbona kama wanafanana sana?
    Watu nawapenda bure

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Год назад

    Kwa kweli ni neema

  • @MekitildaKitambi
    @MekitildaKitambi Год назад +1

    Hakika mnaigusa mioyo yetu,hasa pale tunapokuwa na uhitaji wa rohoni. Ila mavazi yampasayo mwanamme,mwanamke asivae Yeremia 22 : 5. Hii najua ntapingwa na wote lkn usipunguze neno lolote

  • @RoseKapaya-w8r
    @RoseKapaya-w8r 11 месяцев назад

    Wimbo huu unanibariki Sana mpaka najikuta nalia😂

  • @jeniphergrayson3689
    @jeniphergrayson3689 Год назад

    Ni neema ni neema ni neema yako yesuuuu imeniweka hapa..... sikustahiliiiiiiiii