Suzie wa ENEWZ: Hakuna tatizo kuwa na nywele kwenye makwapa.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 884

  • @omaryashiraf1136
    @omaryashiraf1136 6 лет назад +549

    Gonga like kma unaamin huyu ni kati ya wapuzi wanao kumalizia bando lako

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 лет назад +40

    Sio nywele pekee ndo zinasababisha jasho kutoka au kwapa kutoa Harufu.
    Waweza usiwe nazo nabado ukawa unanuka na Unatoa Harufu Kali,,,

    • @ebronjeremiah4439
      @ebronjeremiah4439 6 лет назад +1

      Nywele zinachangia harufu pia..
      Na pia haileti picha nzuri, iwe kwa mwanamke au hata sisi wanaume

    • @shahidaashahit5700
      @shahidaashahit5700 5 лет назад

      Subhana Allah 😂😂😂😂

  • @latifajafari3784
    @latifajafari3784 6 лет назад +158

    Nywele z kwapa inaonesha hata z chini hazijanyolewa that's principle of nature huwezi kunyoa chini juu ukaacha 😂😂😂😂😂ama nasema uongo jmn?

  • @arishimosha6455
    @arishimosha6455 6 лет назад +101

    wasoma cmmnt kam mm hap gonga like

  • @DannySJ
    @DannySJ 6 лет назад +16

    Yupo sawa usafi n usafi uwe n nywele au usiwe nazo km n msafi no problem with that's

  •  Год назад +1

    Milele festival #asali 2024-2027

  • @joanithamwaudama9928
    @joanithamwaudama9928 6 лет назад +1

    Dada mi nakupa big up kila kitu kina umuhimu wake mwilini,na uwepo wa hizo nywele husaidia kuepusha maambukizi wakati wa kujamiiana,...huwa ni kosa kutoa zooote so yupo natural na msafi pia

  • @wolfhelmgothom6641
    @wolfhelmgothom6641 6 лет назад +27

    Hakuna Uchafu kama unajua Kuzihandle Vzur Ni kivutio hata kwa Mtu wako Cha Msingi ni Smart But ucziache Ziwe Kubwa Sahnaa Kwapa iko Safii Yaonekana I love you the way your♤♡

  • @sampofficial1840
    @sampofficial1840 6 лет назад +3

    Eti mpaka kwenye kwapa tuna entertain 😂😂😂😂 gonga like apa kama team kiparalla

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 6 лет назад +51

    Kama wasenge mmekosa mada amezifuga kusudi ili kutafuta umaarufu..

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      ZUBEDA MBWITA haya jadili ya kwko dhahiri!

    • @jullymshashu856
      @jullymshashu856 6 лет назад

      ZUBEDA MBWITA 😁😁umaarufu huo veeepe

    • @modestangungila8278
      @modestangungila8278 5 лет назад +1

      Duuu Suzi unapotea huo sio usupa star skola nimependa staili yako ya nywele lakini pia umrembo mamiy

    • @jacksonmbogo5961
      @jacksonmbogo5961 5 лет назад

      haya bwana nyie manajiweza bwana

  • @matonangimata6673
    @matonangimata6673 6 лет назад +17

    kutokunyoa nywele Za kwapani syo uchafu laaahaasha binadamu tuliumbwa tunatakiwa kujua umuhimu wa hizo nywele Za kwapani

  • @belsweetpie4570
    @belsweetpie4570 6 лет назад

    Suzie u are soo beautiful hatujakataa,lakini kunyoa lazima mwanamke ni hewa safi,upo??👌

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 5 лет назад

    we suzy ni mkali hapo.. mrembo.. kisu.... hta Za chini punguza tuu.... husinyoe tamu sana hizooooo 😀😀

  • @innocentkitundu6637
    @innocentkitundu6637 6 лет назад +1

    Mungu hakuwa mjinga kumuumba binadamu na kumuwekea viungo mbalimbali katika mwili wake ila pia hakukataza kupunguza baadhi ya vitu alivyokuwekea mwilini mwake mfano kucha, govi, nywele pia hivyo bac kufuga nywele co vibaya muhimu ni kuwa msafi tu!! Ila govi hata ukiangalia kwenye vitabu vya dini ni kitu cha kuondolewa mwilini japo Mungu alituumba nacho!! #NiMtazamoTu

  • @mndigaboy2534
    @mndigaboy2534 6 лет назад +1

    jamn Suzy unajiamini sana mekupenda bure ila ao wenzio wanaojifanya wasafi Ndo wale ukimfunua nguo apo unakimbia nyoa nywel alf usioge uwon jmn kua na nywel sio uchafu

  • @iam_Feza
    @iam_Feza 6 лет назад +9

    kama umerudia rudia pale kwenye naweza hata kulamba gonga like

  • @miriamlihinda7816
    @miriamlihinda7816 6 лет назад +26

    Me naomba kuuliza kitu hiv kwan Mungu alipoweka hizi nywele kwapan zilikua za nini???naamin kuna kitu alikusudia so me sion kama n shida kua nazo mrad mtu awe msafi sana

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Haha Mariam unavituko ni kweli Lakin hata kuziacha si mbaya hila zisiwe nyingi unazipunguza kidogo na unaziweka Safi wapo wengine wanaziacha wanakuwa wa nazipunguza kidogo tu halafu hazichelewagi Ota Zaman kila nikizipunguza Mala hizo samtaimu nikawaga naziacha kidogo zikizudi ndio nazipunguza hila za chini wengine hawapendi kunyowa zote wanasema unapooza ukitowa zote bola iache kidogo ukinyowa zikiota zinakaa vizur

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 5 лет назад

      Ni kweli Paulo mawigi yananukaga kipindi cha joto hata sir tunasemaga hilo halafu mim si mpenzi wa mawigi bola ya kuvaa Mala moja Yale ya kushonea kipindi cha joto utakoma mim kama nikishonea nikijionea tabu nafumuwa mwenyewe sisubili kufumuliwa ni kweli hata mim nasemaga hivyo kila mtu na Maisha yake Sema watu wamemkoment suzi kwasababu vitu kama hivyo havifai kuonyesha kama hivyo hazarani sio vizur Kwa MAADILI yetu na ndio mana wengine wanapenda kuvaa nguo za mikono mirefu hawapendi nguo za kuachwa makwapa nje

    • @irenemwanaa8160
      @irenemwanaa8160 5 лет назад

      Yes

  • @jacquilinelugaka6615
    @jacquilinelugaka6615 6 лет назад +14

    I like this Suzy confidence she as guts 😂😂😂😂😂

  • @zedyramy8203
    @zedyramy8203 6 лет назад

    Daah namshukuru mungu kuniumba hivi sijawahi hata kuziona kwenye kwapa langu....Ila sio ishu

  • @awitiyjosure5163
    @awitiyjosure5163 5 лет назад +3

    Suzi wew ni mtaalam nimekukubali style yako ya nywele

  • @straightlinecenter8429
    @straightlinecenter8429 5 лет назад +2

    Nyie munao taka like kwenye video za watu munataka kulewa?

  • @nicehonesty6686
    @nicehonesty6686 5 лет назад

    Kama nilivo basi hata kichwa mnyoe vipara mna2maliziabando......ni maishayeke........😎😎😎

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 лет назад +20

    KUOGA NDIO USAFI WAEZA NYOWA NAHUOGI SASA NDIO USAFI HATA MUMEKOSA MADA NYINYI.

  • @mkobainnocent2368
    @mkobainnocent2368 6 лет назад +22

    huyu anatafuta kiki, watanzani wanapendaa kujadili vitu vya ajabu,, ona tayari kasha trend kwenye media, Bongo bana

  • @DaveOndiekAaron85
    @DaveOndiekAaron85 5 лет назад +1

    #SUZY You’re Very Beautiful 😍🥰💋
    I love the fact that you’re very Honest
    Nakupenda Tu Sana 100%

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 2 года назад

    Suzy i like you nimekukubali sana ni kweli kinachotakiwa ni usafi tuuu
    Hizo nywele zina kazi yake ndio maana zikaumbwa

  • @mabenaofficial5213
    @mabenaofficial5213 6 лет назад +111

    Hawa wanawake wamepinda inamana hapo wanajadiri MAVUZI

  • @dadidyibrahim2959
    @dadidyibrahim2959 6 лет назад +70

    Nywel za siri zote ni uchafu, na zitabak kuwa uchafu, zinatakiw zinyolew kila baad ya siku kadhaa na hasa kwa mwanamk,
    Mama toa kifusi hikoo😂😂

  • @kisasarob751
    @kisasarob751 5 лет назад

    Kunyoa kuacha nywele sio ishu...ishu kujua mwili wako ukoje, kama unatoka jasho sana sio sahihi kuacha nywele au kama mwili wako unatoa harufu kali sio busara kuacha nywele. Ila kama mwili wako hautoi jasho sana na unazingatia usafi wote wa kutunza nywele zako sawa ziache

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 лет назад +3

    Uyu dem kama nywere. Za kwapa ziko ivo sio wakumuingiza geto ukimvua chupi utajuta umo ndani poli alina mpaliliaji kuisaka k mpk kwa tochi mamaeeee ww suzy usiseme alina alufu wanajikaz wenzako. Tu ww k yako sio poa ww imeshaasama kama mdomo wa kiboko

  • @nassoribrahim2192
    @nassoribrahim2192 11 месяцев назад

    Kunyoa kutonyoa is not a big deal, japo kunyoa mara kwa mara huleta sugu na kufanya kwapa kuwa fii , na baadhi ya wanaume hupenda hivyo alivyo kwani huongeza libido pia , kosa lake ni kuonyesha vitu vya faragha hadharani, kitu ambacho mimi binafsi sijapenda kwa kweli japo huvutiwa sana na alivyo.

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 6 лет назад +19

    Upon sahihi kabisa haimaanishi kunyoa ndio usafi watu wananyoa lakini ni balaaa....

  • @octotvdullasgroup2219
    @octotvdullasgroup2219 6 лет назад

    Alichokifany hajakosea bhn coz kikubwa nikuwa msaf unawez ukanyoa lakin bd ukawa kam aujanyoa so I like it Suzy u a perfect girl

  • @jimmyjimm1736
    @jimmyjimm1736 6 лет назад +10

    Umeaibika umeona theres no way ila kujitoa ufahamu hata video kuifuta umeona itakua soo zaidi,unajikaza kisabuni,ila we mdada toka mwazoni unaonekana hata post zako insta unaonekana ni mtu wa aina gani,kwanza huna permanent boyfriend mdangaji,mwenye angalau mwanamme ata boyfriend angekulimit ,lakini we mdangaji upo tu mwenyewe ,unawapata wa sikumbil tatu unawadanga wanachukua time,pole sana 😂😂😂😂

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад +1

      jimmy jimm duuh! 🤔

    • @alicesylivereo7572
      @alicesylivereo7572 6 лет назад +2

      Jaman wew unamjua jamn unajuaje kama hana wa permanet watanzania mna mambo kha!! Humjui hakujui ila mnajifanya mnamjua mtu

    • @jimmyjimm1736
      @jimmyjimm1736 6 лет назад +1

      @@alicesylivereo7572 sasa we humfatilii kwani mfatilie uone post zake za kimaalaya mara nawashwa leo mara kileleni sijui,mtu mwenye boyfriend hathubutu kupost vile angekua na limit ,mi gal wangu hawez kupost vile ningempasua ,na sio mm tu mwanamme yyte,sasa huyu ni malaya mdangaji

    • @praxedadominic9864
      @praxedadominic9864 6 лет назад

      Jimmy nimekupenda bure 😂😂😂

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 лет назад

      Praxeda Dominic fny uwe dem wake

  • @fdhiliemanuel4323
    @fdhiliemanuel4323 5 лет назад

    Huyu suzy n mpumbavu sana like kama unakubali

  • @princeaguero8013
    @princeaguero8013 5 лет назад +3

    Kwapa halinuki kweli? bt huyo mwenzako kanuka ebu angalia alivokunja sura hapo😂😂 na ako na moyo kulinuka jikwapa lako bovu hilo😁😁😁

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 5 лет назад +1

    mwenyewe nimezielewa hizo..nipe namba zako.. achana na wenye mapele ao hatutaki... mipele.. nywele zina raha yake ndio maana ziliumbwa zikawepo.. 😀😀😀😀

  • @waziriwaziri12
    @waziriwaziri12 6 лет назад +5

    😂😂😂😂 Tazania mwadifanya mwaogea kizungu kama za America 😂😂😂😂 Ati wait a minsss 😂😂😂😂 Kizungu kwetu ni Adui....

  • @samymdundu
    @samymdundu Год назад

    Daah ujue bana kwapa ni sawa na uchi kwaiyo hapo Ni sawa kaonuesha uchi wake so kwa upande mwingne hioo isiwe kma ndio proud yake kufanya ivyo kwenye mitandao Ila tuu ajue ni anaonyesha uchi wake ni unaonekana dunia nzima Soo embu abadilishe Kiki cz Kiki zpo nyingi Sana ... Alafu kipindi Cha dadaz Ni kizur Sana Ila kwa ishu kma izo daa kipindi kinaonekana chaa ajabu na hata kampuni kwa ujumla

  • @shomytventertainmenttanzan7842
    @shomytventertainmenttanzan7842 6 лет назад

    Hahaaa Jamani nimependa mmemwambia ukweli nice dadaz Aache uchafu

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 6 лет назад +3

    Tuondolee mivuzi yako uko mwee chefuuu😎msitu wote uwo wanini bibi ww mwanamke usaf ww harufu lazima iwepo hapo usitundanganye

  • @jacklinehashimu4758
    @jacklinehashimu4758 5 лет назад

    Sio sawa mwanamke usafi na staha,kwa stail hiyo ajae ataonyesha za chini mana vijana kazi ziko nyingi kwann kujidharilisha hivo

  • @ebronjeremiah4439
    @ebronjeremiah4439 6 лет назад +1

    Kwa upande wangu mimi awe mpenzi wangu, au rafiki yangu yeyote wa kike lazima nimwambie na kumshauri anyoe..
    Mimi mwenyewe mwanaume lakini siwezi acha manywele ya kwapa hata siku moja..

  • @nyansomunda571
    @nyansomunda571 6 лет назад

    angekuwa unataka kuwa natural na vipodozi aache kama hatujamkimbia hizo kiki bhana itakuwa amepata bwana anamtaka kuwa na vinyweleo hizo sehemu sio hapo tyuu had I chini kifusi mchafu akiwa kwenye mambo flan inakuwaje by mchafu duuh had kinyaa

  • @colepapichulo4422
    @colepapichulo4422 6 лет назад +10

    Mademu kibao tu mtaani tunawaona MNA manywele kibao mpka chini,,, just swaga tu iyo nimeipenda

  • @travodavie9518
    @travodavie9518 6 лет назад

    Nywele kama zinatunzwa vzr si uchafu, Ila tunasema ni uchafu kutokana na wengi wao ni wachafu so wakibaki na nywele kidogo tu basi wanachange dunian kote,, afu nywele za suzy za kawaida tu wala hata hazijapitiliza kiwango hicho

  • @allythabit5175
    @allythabit5175 6 лет назад +8

    ety unawezaa hata kuramba kweli wewe dada jingaaa sanaaaaaaa duh

  • @kasimukasimu4152
    @kasimukasimu4152 5 лет назад +1

    huyu dada mpuuzi namba 1 dunian

  • @shauryaronjr5609
    @shauryaronjr5609 5 лет назад +4

    Me naona upo OK dada mtoto kwapa Leupe iloh labda wao ndy wachaf

  • @Lashidyahaya
    @Lashidyahaya 5 лет назад +1

    Duh!!! Jamn sio siri ilo kwapa nalihis kunuka adi apa nlipo jaman wahuni hii sio poww kabsaa....

  • @magrethphabian6566
    @magrethphabian6566 6 лет назад

    Usifanye mile motu anapenda Tanya like unapenda Mungu kakuumbia mama funga Ila uwe unapunguza

  • @husseinmohamed1777
    @husseinmohamed1777 3 года назад

    Dadaz anapenda men asiyenyoa😁

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 6 лет назад

    Nikuweke sawa kidogo sister mwanamke na mwanamume sio sawa,mwanamke mwili wake wote ni uchi isipokua uso na viganja vya mikono na miguu.Kama unabisha tazama Picha ya Maryam mama wa nabii Issa alivyojisitiri.

  • @faidhamsangi3061
    @faidhamsangi3061 6 лет назад

    Cjaelewa dhumuni la mjadala naona kelele mwanzo mwisho km mnataka kuelimisha jamii jambo fulan bac muwe serious na hicho mnachotaka jamii ikipate co mnamaliza bundle za wa2 kuangalia mbwembwe na viswanglish vyenu cha maana hakuna.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 6 лет назад

    Binafc sioni km n ttzo kuwa na izo nywele ikiwa zpo safi, ila mm huwaga napenda mpaka kunyonya makwapa so napenda zcwemo izo nywele coz nalamba na pia nanyonya ila tu hanikeri mtu kuwa nazo zkiwa safi..

  • @rehemakanawana2449
    @rehemakanawana2449 6 лет назад

    Kufuga nywele za kwapa na chini sio uhalisia wetu so ucdanganye jamii kwa cc tulio pitia unyagoni tuliambiwa hizo zinapaswa kunyolewa mara tu zinapochomoza na usipofanya hvyo ni uchaf ulio pitiliza hvyo bac Suzi ww ni mchaf sana sana

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 6 лет назад

    Umenichekesha sana bhoke mwachen afuuu Suzy stop sounds like wemaaa tafuta your own voice

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 6 лет назад

    Daaah jmn mavuzi sio uchafu me nina demu kila akija kwangu hana hata vuzi moja sehem zote ila ananuka km mbuzi dume sasa jmn hio inabaki kua karibu na hzo manywele tu maana ukijisahau utakua na hifadhi ya wanyama

  • @hennerystephano7082
    @hennerystephano7082 6 лет назад

    Safi sana kwani mungu wakati anatengeneza hizo nywele alikuwa hajui anachofanya
    Huyo anajitambua sio hao wanaoiga Mambo ya kizungu

  • @tobabunto7086
    @tobabunto7086 6 лет назад

    Mimi naona ni uchafu... Be clean all places.. Girls be clean and attractive kwa mwanaume sawa ila... UMEZIDI SANA

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 6 лет назад +7

    Kina Dada wote hapo kwenye Runinga. Wote hapo mna nywele BANDIA VICHWANI, pia ni UCHAFU. Uchafu zaidi ni hicho Kiingereza mnachopachikapachika ndani ya Kiswahili,ili wazazi wenu wasiwaelewe. Hivi hamjui kama mnamuudhi Mh. RAIS MAGUFULI kwa kujifanya wa marekani wa Ki NDENGEREKO🙄🙄🙄🙄🙄

    • @umiy1971
      @umiy1971 6 лет назад

      wambie labda hawaelewi kuwa huo ni ujinga wameona kipindi gani kwenye rundinga ya nchi yoyote isiyoongea kiswahili wakichanganya lugha na kiswahili

    • @hafidhally1329
      @hafidhally1329 5 лет назад

      Nyoa acha uchaf

  • @ashamtandama2654
    @ashamtandama2654 5 лет назад +3

    Jamani wanaume wengine wanapenda nywele kwenye kwapa na ..

  • @abswalehmariyal30
    @abswalehmariyal30 6 лет назад

    Aaaah.... Noma Sana Haipendezi kwa mdada kueka nywele

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 5 лет назад +1

    She is really I appreciate,, let's be really let's stay really!!! I appreciate this Chick!!!!!

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 лет назад

    bhoke my ever best chick asee.,yaani ww twaendan kbs.,eti utazilamba arooh umeniamshia yaliyolala

  • @abbysauko3725
    @abbysauko3725 6 лет назад

    😀😀😀😀 et anasema kaachia nywele za kwapa kwasabu anapenda kua really na kichwani kaeka dawa😀

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 лет назад +44

    Kila nywele zina maana yake bhana.. Kama anazisafisha vizur Mbona pouwa tu...

  • @mimilenge9548
    @mimilenge9548 6 лет назад

    Unaweza nyowa lakini joto ikiwa nyingi ramanituu itatokaaa kwenye nguo

  • @mackysozy3908
    @mackysozy3908 6 лет назад

    Suzi upo sahihi sana kikubwa ni m2 kujikubali na ictosho m2 kufunga nywele c uchafu tena yule anayenyoa ndo anaweza kuwa mchafu kuliko anayeweka

  • @asiamussa3637
    @asiamussa3637 6 лет назад

    Alie nusa anajuta,,,,, harufu haijamtoka kwenye koo lake😁😁😁😁ila nimshauri atembee na kitana🙌🙌nahisi kutapika😔😏wallah

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 лет назад +23

    Bhoke kwani cream ilikuishia kwa vidole

  • @aishakidotigakii6157
    @aishakidotigakii6157 6 лет назад

    Nashukuru sina nyele za kwapa.. 😊😊😊😊

  • @nassibmussa4091
    @nassibmussa4091 6 лет назад +42

    Huyo mtoto mm namkubali sana nyie mwacheni tuu jinsi alivyo bhana nyie vp kwanza nyie hapo wengine mnanuka k

  • @elizamwaikasu4367
    @elizamwaikasu4367 6 лет назад

    Hadi huruma ,,,,duh! Et amejikubali ,et anapenda kua real huhuhuhu na huku anachanganya lugha

  • @salumkibiki7539
    @salumkibiki7539 4 года назад +1

    😂😂😂 Bangi zimeamia kwa Wadada sikuizi! !!!!!!

  • @ladykimnan902
    @ladykimnan902 6 лет назад

    Hahaha hata huko kwenye k kuchafu pia mchafu maan kikwaba kinanuka kukiwa na msitu mchafu mkubwa wew

  • @manfabytv40
    @manfabytv40 4 года назад

    Suzy uko right sana nywele zinasaidia sana kutunza kwapa

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 6 лет назад

    Daah hapa ndio naamini unyago ni kitu cha msingi!! Hapo inaonyesha kabisa hujafundwa suzy kama ulifundwa basi kungwi wako ana tatizo na yeye

  • @godlistenminja922
    @godlistenminja922 5 лет назад

    Keep it real suzie hao wanaon jifanya kunyoa vishimo vyao vinatema ukipiga mashine

  • @emmanuallydeus1243
    @emmanuallydeus1243 3 года назад

    Unajiamina sana afuuu unajikubali sana😂😂😂😂😂😂

  • @tatuyussuf7574
    @tatuyussuf7574 6 лет назад

    Kutokunyoa siuchafu ila kwamwanamke haipendezi..kuwa na hizo nywele hayo maeneo..(ondoa)..ni fedheha. bimdada.....ucjitetee....

  • @ebronjeremiah4439
    @ebronjeremiah4439 6 лет назад

    Yupo kwenye Industry entertainment, na inabidi utumie Kuusaka na kupata umaarufu..
    Alipobalehe alikua ananyoa na kwa sasa sababu ya umaarufu ndiyo kaziacha

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 5 лет назад

    Mbona wazungu wengi huwa awanyoi na No arufu naona inategemea namtu unavyojiweka,Ila zimempendezea mwenyewe kazichonga vizuri😂😂

  • @paulmoster8842
    @paulmoster8842 6 лет назад +1

    Nywele za kwapani sio uchafu uchafu ni asili ya mtu tuuu hata usipo kuwa na nywele ukawa mchafu utanuka tyuuuu😂😂

  • @ashaally3218
    @ashaally3218 6 лет назад +3

    Tatizo makabila Mengi hawajafundwa mwanamke aliefundwa hawezi kuwa nauchafu km huo

  • @sarahn7757
    @sarahn7757 6 лет назад

    Ptuuuuuu ....Katoka kwenye suzi mpk susi 😂😂😂😂 ajikubal yy ni wazir wa wachafu kitu kiishe

  • @aishakalidas9608
    @aishakalidas9608 6 лет назад

    That is not about real or fake mavuzi ni uchafu na unatakiwa uwe unaufyeka huo msitu uwe msafi or msafi as long as umefuga hilo rudo unakua mchafu na pia haipendeze afadhali angekua mwanaume kuliko mwanamke dada kiki zingine hazifai hata giggy mwenyewe mwenye kiki zake mjini hawezi kuthubutu upuuzi huo

  • @araphaalhad6362
    @araphaalhad6362 4 года назад

    Duuuh dada mwenye nguo nyeusi mic you sana

  • @maryamhussen4331
    @maryamhussen4331 6 лет назад

    Me nikiyaacha mavuzi week 2 tuu kwenda ya 3 kama cjanyoa naanza kutoa vijpu yaan nkishaona vijipu tyu bc nijue vuzi linataka kutolewa yan nna allaerg na mavuzi mie

  • @marymathew6529
    @marymathew6529 6 лет назад

    Haya ni madhara ya binadamu wa Leo kutotaka kukosolewa ukikosolewa unajiona uko sawa Dada kubali kunyoa hayo manywele ni uchafu huo,whether you like it or not, badilika basi.

  • @ebronjeremiah4439
    @ebronjeremiah4439 6 лет назад +2

    Yeye ni celebrity na amefanya hivyo ili ku-make headline, ku-trend na kupata umaarufu..
    Na tayari kashaupata

  • @hellenbanda7089
    @hellenbanda7089 6 лет назад

    Kuna mtu ananywele mpaka anasuka jamani ni uamuzi tu wa mtu ni kama masikio mwingine yanauchafu na anauona hasafishi lakini anashikwa na mtu wake na anamnyonya hivyo hivyo so ni uchafu kwa nyie mnaona kuwa ni uchafu

  • @nanikarato7179
    @nanikarato7179 6 лет назад

    Mwacheni suzy nyie msijifanue wasafi saanaaaaa

  • @lubangogabriel9292
    @lubangogabriel9292 6 лет назад

    Hahahahahahaaha Duh! anae chambwa Ana moyo nimemkubali aiseeeh! ila Mpunguze kumchamba mwenzenu.

  • @justnio2361
    @justnio2361 6 лет назад

    Tatizo si kuwa na hizo nywele kwapani na pengine si uchafu ila kwanini unashow off kwenye public, what for, umfaidishe nani

  • @fatmasanani4805
    @fatmasanani4805 5 лет назад

    Nakukubali suzan km kutupenda watupende na nywele zetu maana na wao hawanyoii mabooo yao na makwapa yao aaaf na nyie madem acheni ushamba

  • @Jakaugagi
    @Jakaugagi 5 лет назад

    Hongera kwa mavuzi

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 лет назад

    Suzy ni mbishi nyinyi amumuwrzi kwa ubishi. Mtakesha hapo

  • @lucianaguerra763
    @lucianaguerra763 6 лет назад +7

    Suzie yuko sawa km hatoki sn jasho kwapani haina shida na wengine wakinyoa wanaota vipele pia

  • @modesterdavid8500
    @modesterdavid8500 6 лет назад

    Bhoke wajina wangu we msafi achana na Suzie Sam wamisago kumbe anapata tabu sana wakiwa kwenye kipindi hiyo harufuuuuu