Siasa za Vitambulisho: Tofauti zaendelea kuhusiana na agizo la Ruto kuondoa ukaguzi wa watu mpakani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Tofauti zimeendelea kuhusiana na uamuzi wa Rais William Ruto kuondoa sheria ya miaka 60 ya ukaguzi wa wakaazi wa maeneo ya mpakani kabla ya kupewa vitambulisho vya kitaifa. Huku upinzani ukisoma siasa kwenye uamuzi huu wa Rais, wanasiasa wanaomuunga mkono wasema hatua hii inaondoa ubaguzi.

Комментарии • 60

  • @majorwaithaka5304
    @majorwaithaka5304 16 часов назад +30

    I think ruto he is not okay mentally

  • @dorcasnjeri2858
    @dorcasnjeri2858 15 часов назад +11

    Anataka Kenya kuwe Goma ingine watu waingie baadaye vita zianze wakisema we are kenyan citizen

    • @patrickmchaina3796
      @patrickmchaina3796 15 часов назад +4

      Nimeona sio mimi pekee naelewa history ya Congo 🎉

    • @manassiibonja
      @manassiibonja 13 часов назад +2

      aki wewe umeongea ukweli nimekukubali mia kwa mia
      from germany

  • @GeorgeMwakio
    @GeorgeMwakio 16 часов назад +17

    Ruto is mad

    • @PalinaAkhwale
      @PalinaAkhwale Час назад

      Alafu mnatetewa na wale matapeli wanaitwa human rights society

  • @Kat-j6g5x
    @Kat-j6g5x 4 часа назад +2

    From Northern Eastern, Western, Nyanza, Rift Valley, Nairobi and Coast are with Ruto. Ruto tosha 2027.

  • @mumbiwachira9397
    @mumbiwachira9397 15 часов назад +9

    Al shaabab loading soon

  • @BossBiggieKe
    @BossBiggieKe 11 часов назад +2

    DR RUTO KBB❤

  • @VictorCheruiyot-r8y
    @VictorCheruiyot-r8y 14 часов назад +4

    Must go home Mr president

  • @isaacjoshua6884
    @isaacjoshua6884 16 часов назад +8

    So you believe that this is the first truth rutto will implement, rutto is alair nothing will happen

  • @josephkimondo1315
    @josephkimondo1315 15 часов назад +5

    Uganda na Tanzania haina shida shida ni somalia dio huwa wanatusubua

  • @MagyNganga
    @MagyNganga 14 часов назад +3

    It's risky sana

  • @mumbiwachira9397
    @mumbiwachira9397 15 часов назад +4

    Jesus Jesus Jesus

  • @mosesdmakingmoreto
    @mosesdmakingmoreto 3 часа назад

    Sign of desperation 😢
    A desperate person can do anything to save himself.

  • @wycliffemisigo4445
    @wycliffemisigo4445 14 часов назад +2

    Uganda and Tanzania are peaceful countries that's why people along those borders are not vetted, somalia is troubled; Northeastern is troubled. We love waria but let them first clear their mess.

  • @chegepatrick2730
    @chegepatrick2730 12 часов назад +2

    This is a way of bringing al shabab in the country yet he knows what they are capable of he is really a don't care

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed136 16 часов назад +6

    Sahi sisi tunacheka wale wanapiga kalele shauri yenu

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 15 часов назад +2

    Al shabaab wanaanza kutuua sasa sisi wa kristo wakwende nauko

  • @AbedomolloZerobilla
    @AbedomolloZerobilla 17 минут назад

    I miss our late president Moi. and to the current president,Wrong move...time will teach you and us as Kenyans a lesson. When are we going to learn as Kenyans..

  • @mustafa5516
    @mustafa5516 16 часов назад +1

    Ruto anaingia bila wasi wasi

  • @DanielMukuria-pm1er
    @DanielMukuria-pm1er 14 часов назад +1

    Wow! Hata hao drug traffickers watapata IDs? Enyewe hiyo ni PHD!!!

  • @fredmokamba8386
    @fredmokamba8386 13 часов назад +1

    waaalifu wote wanafurahia sasa

  • @Kenyalove
    @Kenyalove 15 часов назад +1

    Ruto.. what are you doing? Ni akili zako ama unafuata ushauri wa fala yupi?

  • @Muzammil99p
    @Muzammil99p 12 часов назад +3

    Ruto kumi bila break ❤

  • @ahmedsheikh1635
    @ahmedsheikh1635 16 часов назад +3

    Ruto Tena Mungu abariki rais wato

  • @communitywatch211
    @communitywatch211 16 часов назад +3

    Farouk speaks as who....???

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 13 часов назад

    Niwakatii sasa walishababu kuingia kenya huyu kasongo anampango gani n Kenya kweli 😢😢hii SHETANI situamke morning tusikie alikufa akilala yawa am really tired 😫 of him shetani ashindwe aki

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 5 часов назад +1

    wakikuyu wako nachuki sasa ruto Tano fresh

  • @EstherAchieng-m9d
    @EstherAchieng-m9d 15 часов назад

    Hao wana siasa nima tumbu yao wana tafutia..

  • @communitywatch211
    @communitywatch211 16 часов назад

    Kenya is turning into somalia....

  • @sessiasammy-ud6hp
    @sessiasammy-ud6hp 10 часов назад

    Kwani being a kenyan ni kitu cha maana????pea kila mtu id

  • @AbdiazizMohamed-lf9ep
    @AbdiazizMohamed-lf9ep 15 часов назад +1

    Ruto kumi bila break

  • @kimwillis254
    @kimwillis254 16 часов назад +1

    Ruto is pleasing who?

    • @ibrahimmohamed9255
      @ibrahimmohamed9255 15 часов назад +1

      He is pleasing all Kenyans including Somalis bcz they too have right as you have.....

    • @kimwillis254
      @kimwillis254 15 часов назад +1

      @ibrahimmohamed9255 machiefs wenu walorudi ama Bado wako somalia. We lost our innocent kids in garrisa university because of such carelessness.

  • @Rockyline7386
    @Rockyline7386 17 часов назад

    If God says it is Ruto until 2032, what will you do?

  • @johnw2151
    @johnw2151 16 часов назад

    Doing that will put kenyan at great risk,..Alshabab,are now welcome to kenya.
    Those are our kenyans,whoever the alshabab do hide in them from somalia

    • @yussufahmed136
      @yussufahmed136 16 часов назад

      Sisi sahi tunacheka kalele yenu haitutishi kabisa 😂😂😂

    • @josephw1471
      @josephw1471 14 часов назад

      ​@@yussufahmed136mshaanza kujipanga sivyo ??😂😂

  • @halimaissack4719
    @halimaissack4719 13 часов назад

    Thank you mr president...tulikua tumechoka aki ....we will never forget this ❤

  • @Kamakazedatraveller
    @Kamakazedatraveller 16 часов назад

    Vetting itafanyika.forms zikifika headquota zitaangaliwa tuu.

    • @Billcl8nyon
      @Billcl8nyon 15 часов назад +1

      Nobody has a problem with vetting but shida ni mtu kusubiri kitambulisho 3 years unless alipe pesa ? Why. Hata kupata birth certificate ni pesa. Maybe tufanye referendum north-eastern itoke kenya

    • @Kamakazedatraveller
      @Kamakazedatraveller 14 часов назад

      @@Billcl8nyonhapo kwa muda Wa kungoja I'd Ni ukweli.let our Kenyan Somalis be careful alshabab Ni adui Wa wengi

  • @andersonmberi7672
    @andersonmberi7672 9 часов назад

    Welcome 😂😂😂 alshabab conquer Nairobi sasa mpaka am ready for you guys coz Kenya mliamua tu kurudi next congo

  • @AbdiazizMohamed-lf9ep
    @AbdiazizMohamed-lf9ep 15 часов назад +1

    We pasta fanya kazi yako bana

  • @AliOzil-q3g
    @AliOzil-q3g 11 часов назад

    Ruto kumi bila break