FRIJI BOVU:TOBAAH!! UBAYA UBAYA TU!! YANGA WAINGILIA DILI LA MPANZU SIMBA| NI VITA YA GHARIB NA MO..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 19

  • @SamiriSaidi-k3w
    @SamiriSaidi-k3w Месяц назад +1

    Uzuri kwamba hunaga baya mzeee wa mafi shughuli au siooo,👍👍👍👍🏋️🏋️

  • @KamaMdigo-q3w
    @KamaMdigo-q3w Месяц назад +1

    Msenge muongo uyo

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala Месяц назад +1

    Na huyo feisal angoje akiludi tuu atoki

  • @YahayaAbdallahMark
    @YahayaAbdallahMark Месяц назад +1

    Ngoja waje kwa mpanzu nako wafungue kesi tff

  • @YahayaAbdallahMark
    @YahayaAbdallahMark Месяц назад +1

    Yanga wanatafuta kiki lakini hela hawana mpaka vigogo wa chama wachangishane. Ogopa mo ❤❤❤❤❤❤ Tisha sanaaaaaaaaaa!!!.

    • @AtanasioDaffa
      @AtanasioDaffa Месяц назад

      Mo kafanya nini?
      Mambo mengi mmewaiga wananchi..Yanga wako vzur hata kama hamtaki.

  • @jonathansirkintungi3440
    @jonathansirkintungi3440 Месяц назад +1

    Mpanzu si wa shs 30 milioni

  • @SamiriSaidi-k3w
    @SamiriSaidi-k3w Месяц назад +1

    Ukweli usemwee mbona kama mnateseka Wana yangaaa kaeni mtulie 😂😂😂😂

  • @GeradhiAdiliano-p3j
    @GeradhiAdiliano-p3j Месяц назад

    Hiii ipo siliazi Kwa panzu Jaman kutua simba

  • @TryphonRabson
    @TryphonRabson Месяц назад

    wew kichwa sana mpira unaujua kuuchambua vzr, unaongea v2 vimenyooka tulia ucheze mrembo uyo hapo...

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig Месяц назад +1

    Yanga awana ela ya kumsajli Elie mpanzu ela zao zamawazo Elie mpanzu ameshamalizana na simba kitambo

  • @SamiriSaidi-k3w
    @SamiriSaidi-k3w Месяц назад

    Mafi shughuli apoo my brother tuongee mambo mengine sasa

  • @HussenMadimbwala
    @HussenMadimbwala Месяц назад +1

    Atakuwa mjinga yote alio fanyiwa mpaka rais kaingilia kati atarudi tena huko siamini

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI Месяц назад

    Unamambo ya kitoto sana pia unauchambuzi wa kishabiki sana

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts Месяц назад

    Pasco anachafua tasisi ya yanga akalete ushaidi kwa hayoyote anayoyasema 1 kupewaadem iyo sio kauli nzuli kwa tasisi

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 Месяц назад +2

    Huna unacho elewa wewe

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 Месяц назад

    Tuambie yanga wametumia kiasigani chausajili sioutuambie yanga ametumia pesanyingi.simba wametuambi b 7.yangakiasi gani?

  • @AhmadiMnahaule
    @AhmadiMnahaule Месяц назад

    Huyo mchambuzi atakuhalibia media yenu mambo anayoyaongea hayana afya hakuna kupewa demu ushabiki hukukatai km umetaka kaa upande wa mashabiki we cyo mchambuzi.utaharibu media za watu.