SPORTS AM 4/11/2018: Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' kafunguka yote kuhusu soka lake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024
  • Mfungaji bora za mashindano ya Chalenji ya mwaka 1981, Zamoyoni Mogella anafunguka mengi kuhusiana na soka lake na kisa cha kuisaliti timu aipendayo ya Simba SC pale alipoamua kuhamia kwa watani wa jadi, Yanga SC.
    Unajua kuwa huyu ndiye, GOLDEN BOY?
    Je, ukweli ni upi kuhusu lina na nani alimpa jina la Golden Boy, Mogella ana kumbukumbu inayokinzana na ushahidi alionao Bin Zubeiry, ipi ni sahihi?
    Mogella alimpiga mwandishi James Nende? Tukio lilikuwaje? Mogella anafunguka yote hayo.
    Ligi Kuu ya Tanzania nayo haijaachwa kando, wachambuzi wako Anuary Mkama, Amir Mhando, Andrew Kingamkono wakiwa na Mahmoud Zubeiry a.k.a Bin Zubeiry wakiyachambua yale yaliyopata nafasi wikiendi hii kwenye Ligi Kuu.
    Sports AM huruka kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 1:30 asubuhi ndani ya AzamSports HD.

Комментарии • 6

  • @saidihussein612
    @saidihussein612 2 года назад

    Golden boy zamoyoni moggela

  • @AshaMasudi-px3qc
    @AshaMasudi-px3qc Год назад

    Mimi nakumbuka hapo mogella zamanimiaka ya sabini na alitaka kufa Kwa ujasili wake goli kipa wa timu ya mzinga migu miwili kifuani akazirai chibi viongozi was timu ya reli wakawa ktka taharuki ya kuokoa maisha take mm nautwa masalo said msenda

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 лет назад +1

    Huyo alikuwa hachezi.. akipata nafasi ni lazima achungulie nyavu.. enzi hizo..!

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 6 лет назад

    Zuberi penda timu yako lakini kwenye matukio wacha kuzua. Unajivunjia heshima.

    • @nasibumaiko2035
      @nasibumaiko2035 6 лет назад

      Mahad Shekh Huyo mwandishi in mnafiki eti okwi anasajiliwa kila mwaka ila hatimizi malengo ya club acha uchonganishi na wivu haoni magoli anayofunga na pua hachezi mwenyewe

    • @alidslv9883
      @alidslv9883 3 года назад

      @@nasibumaiko2035 Hakusema okwi hatimiz malengo .amesema chipukiz wanasajiliwa kila mwaka hawatimiz malengo sikiliza uzuri ndo ucomment.