"kuna time nilikua kwa crowd,,na kuna time niligeuzwa steven,rip my patner in crime alikua stoned to death juu ya wizi" hapa anamaanisha kuna wakati alikua kwa kikundi fulani cha wakora,alafu time aliguzwa steven hapa ni pale mnakumbuka kwenye bibilia stephen alipigwa na mawe juu ya imani,,sa anamanisha kuna time alipigwa na mawe alaf rip my patner in crime alikua stoned to death juu ya wizi,hapa anamkumba rafikiye aliye pigwa na mawe na umati hadi akafa ju ya wizi.
karau nilimtukana na mkamturukana [waturkana ni tribe wakali pia kwa kukimbia race olympics] so alipomtukana alikimbia, nlimbongesha kilami[ kilami ni english but pia lami ni barabara ]so maana ya pili alikimbia kama mturkana kwa race /marathon
Lmao usiskize uwongo ya Malala ka hawa. That line got nothing to do with a race. Karao nilimtukana means polisi nilimtukana. Ni kamtrukaka, nilimbongesha kilami means the police is from turukana which a lot of police officers are from. Nilimbongesha kilami simply means I spoke to him in English and he probably didn’t understand. Nothing whatsoever to do with a race.
Munga na Sewer wanaregret their past life as criminals. While scar just came with the flow.. These guys come from an area where poverty is managed and crime is the only solution
Mkate ikatwe nusu nusu biz legit tukiwa mi na Wuzu .... Anamanisha tukifanya kazi ama biashara kama ni halali basi lazima tugawane kila kitu sawa . Wuzu hapa ni partner
"kuna time nilikua kwa crowd,,na kuna time niligeuzwa steven,rip my patner in crime alikua stoned to death juu ya wizi"
hapa anamaanisha kuna wakati alikua kwa kikundi fulani cha wakora,alafu time aliguzwa steven hapa ni pale mnakumbuka kwenye bibilia stephen alipigwa na mawe juu ya imani,,sa anamanisha kuna time alipigwa na mawe
alaf rip my patner in crime alikua stoned to death juu ya wizi,hapa anamkumba rafikiye aliye pigwa na mawe na umati hadi akafa ju ya wizi.
This how I was interpreting my chemistry paper with confidence.. only to get 2%
umoroto ni jiji
😂😂😂atleast he did it bruh
@@chericheri1356 haha I know right
Umoroto ni jiji na bado ni mboka
😂😂😂😂😂😂💯
nimetoka umoroto(hustle) kusakia wife na mjunior dema (chakula) aaah, nkiingia keja njumu (kiatu) inatepa (inanuka)
Van Isikaka,naeza kua translater bro!!Ni invite kwa studio tuinue show ikue kubwa💯💯
Your introduction is totally lit
Man you are 🔥🔥🔥 you got such a good ear for music ata sheng ikikuchanga
Wakadinali wanapea huyu boyz stress😂😂😂
Umoroto(umoja 3560)mtaa moja na ethic na mbogi genje
This is me candidly explaining my answers in Physics paper 2 exam
NOMAA heheheheh
karau nilimtukana na mkamturukana [waturkana ni tribe wakali pia kwa kukimbia race olympics] so alipomtukana alikimbia, nlimbongesha kilami[ kilami ni english but pia lami ni barabara ]so maana ya pili alikimbia kama mturkana kwa race /marathon
Nimeelewa sasa😂 Hawa majamaa ni magenius yani lyrics zao ni kama setbook lazma uketi chini utafakari
kubongesha kilami means "Fuck you " ....angalia ishara ya kidole hapo kwa video
We ujui kile unasema
Zinaitwa double entendrs
Lmao usiskize uwongo ya Malala ka hawa. That line got nothing to do with a race. Karao nilimtukana means polisi nilimtukana. Ni kamtrukaka, nilimbongesha kilami means the police is from turukana which a lot of police officers are from. Nilimbongesha kilami simply means I spoke to him in English and he probably didn’t understand. Nothing whatsoever to do with a race.
Reaction zote zako za Wakadinali zinakuanga fireeeeew🔥🔥🔥
hiyo si fegi ni bangi ..shash kindukulu 😂😂😂
Umoroto Ni Wera... Yaani Kazi... Sheng Invented By Wakadinali
🔥🔥🔥🔥 van umetisha hii reaction niliingoja Sana bt finally imefika✌️👊
Kazi safi sana ningependa uangalie kazi za msaani wa kenya anitwa idy mhbarak
Ukitaka kuelewa Sheng lazima ukuwe sharp kuelewa mbele nyuma, kama fisa, safi.
Nakupenda Kaka❤️
Ushanimalizia siku na bado mapema🔥🔥🔥
Rong Rende🔥
Mirugi ..miraa,karao..askari,nlikatukana ..ni mturkana(jamii ya north kenya)..ulizia sheng huku ke 254 🇰🇪 ..umoroto n umoja nairobi mtaa flani
Bro I just love your reactions 😂😂❤ from 254
Literally this group "wakadinali" were gangsters but they reformed
Stephen kwa bibilia alikuwa stoned to death....kimob -justice... yaani mkaliii
You really spice a song🤗🔥💯💯
@vanisikaka ..we ushajua sheng... Welcome to Nairobi manze...we ni mnoma😂😂😂
Usijisumbue sana ata mm ni born and raised in kanairo bt sielewi saa ingine bt the music is fire
Cool kid 😂😂
Domani is the gang leader, mnoma kwa wote.
Vitu wanadu tunaboo wanabuya(wanaogopa)
Ndenga n bunduki bro
Ndenga ni bundukii ....pa pa paa
Buda react to nyama ssaru.alafu umoroto Ni uhommy au unyumbani yaani moroto Ni keja
Sheng ndio lugha yenye ss ubanje hii kanairo..sai tunadai tuifanye national language ya hii mtaa yetu bna..
React kwa nyongaah by kalmaarufu.niskie unyamwezi
Apo kaka wamskie @kalmaarufu
Na kikubali sana kaka
React to hakuna chorus by breeder...ni mbich✨
Na silei Osama usiwahi enda kuiba 🔥
Van isikaka unapenda sana sheng anyway big up brother shout out from +254 sisi wenyewe huku Kanairo mpaka tukaze maskio coz maneno mob zinatupita
Vanny React to scar mkadinali-stoko,Zote,black
Bado Ako na ndoto ya kumiliki benzo na bima(Mercedes Benz na BMW)
React to Nakufa by okello max ft bensoul & amyloto
Eastland to the world
Free comedy 🔥🔥
umoroto ni hustle
kuna time nilikuwa kwa crowd masaa ingine nimegeuzwa stephen✊✊✊genje
Van sikaka nataka umsikize msanii yuwaitwa kushman kutoka kenya
Niliacha kuzifanya hizo madawa jaba na miraa.
Saase ni mapolice
Umoroto ni hustle mkaka
Nyakoo ulimtoa kwa bar(nyako mdada)
After utoe y wakadinali nimesubscribe different
Munga na Sewer wanaregret their past life as criminals. While scar just came with the flow.. These guys come from an area where poverty is managed and crime is the only solution
Fool you don't know what your talking about just keep quiet if don't know
Ndenga ni risasi
Sanseee ni polisi
Munga havuti fegi hio ni bhangi🤣🤣🤣
React one from burukulyne Boyz inaitwa catalyst
Wakadinali ni WA Umoja..wale wa East
Nmetoka kazi tena,
react to surebet...katapilla ft scar mkadinali
Wanatoka Umoroto 😤
Rong siku zote 🇰🇪🇰🇪
Unyamwezz
Huyo mtoto anapenda stick but ako shy kusema😜😁
Wakadinali wanatoka Umoja Nairobi
This time Round react to KUTU by PETERWIZ 254
Karao nilimtukana - nilitusi polisi
Tena nikam Turkana - TURKANA ni kabila flani kenya
Hio ni dope Rhyme Wakadinali
Turkana wanajua kukwepa
🔥🔥💯 kunaingine ya wakadinali inaitwa mrenga
Akili hailali kwani iko nini yeah
Mbwenya - koti
Stephen wa bibilia alikua stones by a Crowd
Sanse ni karao/polisi
Mbwenya ni kuvaa suit ya ofissi
chem utapita na hiii song
💯💢💥
wakadinali time rembeis
Ni instaglam kweli mwanangu
Unajifanya mjanja na umechanuka jana bombo mtu wangu we nyamaza
254 Kama 254...
Baanaa unafaa kuanza ku react ngoma za breeder lw maze ni mnoma uku sanaa joh
Karao nilimtukana na nika turkana..nilimbongesha
Boza ni bangi
Stephen it's the one in the bible
Nde'nga ni gun😂😂aliiacha home
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰
Karao polisi yani alimtukana n ni mturukana thats a tribe kilami ni Kizungu
React to MTU bad by smady MG
"Ati Stephen ni nani, weka comment pale" 😂😂 📖
React to Ajay from buruklyn boyz the song is called slide
Hii n damu yangu mzee, mwamba watu wangu hawa yaan noooooma Mkadinali apa
Wakadinali wametoka zinza
Mkate ikatwe nusu nusu biz legit tukiwa mi na Wuzu .... Anamanisha tukifanya kazi ama biashara kama ni halali basi lazima tugawane kila kitu sawa . Wuzu hapa ni partner
Plz vani react "Ganji by Ssaru
Risto zako nani (Stori zako nani)
Funny AF😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Madawa maduya(tembe flani za kulevya) kubuya ni kuogopa na pia kugwaya
Vitu wanadoo tunaboo, wanaogopa
nilimbongesha kilami yaani nlimuogelesha kizungu
Mbenya ni suite
"Aty wow I Iike it" na umeinterprete vitu zako🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂E for effort lakini
What u talking nani, nawezakubuyia kwa bar na unazima...
Oya sare ngoma zetu mlungula uta jikuna haga
Ndeng'a ni gun
Umoroto ni Jela😂
Mbwenya ...ni suti
ndeng'a ni mchuma ya bunduki
KARAO NILIMTUKANA NA NI KA TURKANA NILIMKOMESHA KILAMI(POLISE NILIMTUSI NA NI MTURKANA NILIMKOSHA KWA TUSI LA KILAMI KIDOLE CHAKATI(MIDDLE FINGER)
Kilami ni kizungu