Hongera kwa hivi vipindi juu ya vipengere tofauti ambazo vinausu wanainchi. Labda ungeguzia mambo ya mashamba na vipengere vinausiana na mambo ya: kuuza; Kurithi; na mengine. Huzusan kwa lugha ya kiingereza "adverse possession". Haha watu wananyanganywa mashamba kutokana kutoelewa; kutojua na kathalika. Naomba in future hupate nafasi kuelezea kwa undani vipengele muhimu juu ya mambo ya mashamba na aridhi kwa jumula. Hasante.
Hongera kwa hivi vipindi juu ya vipengere tofauti ambazo vinausu wanainchi.
Labda ungeguzia mambo ya mashamba na vipengere vinausiana na mambo ya: kuuza; Kurithi; na mengine. Huzusan kwa lugha ya kiingereza "adverse possession". Haha watu wananyanganywa mashamba kutokana kutoelewa; kutojua na kathalika. Naomba in future hupate nafasi kuelezea kwa undani vipengele muhimu juu ya mambo ya mashamba na aridhi kwa jumula. Hasante.
Nakutakia heri njema!
Kila la heri Danstan omari mbele kwema