MKOBA WA MAMA Episode [ 16 ] {S2 } Tradition & Love story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024
  • kikubwa ni kutunza UTAMADUNI watu wengi wanashindwa kurithkitui utamaduni wao kwasababu ya tamaa za kidunia fuatilia hadithi hii utajifunza kitu kikubwa sana kwenye jamii inayokuzunguka

Комментарии • 245

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid День назад +18

    Jamani tusiompenda MHINA tuna like hapa

  • @NajmaRajabu-y8b
    @NajmaRajabu-y8b День назад +33

    Hii move inamafundisho mnoo jamani😢shirki nimbaya mno 😢waganga niwatu wabaya mno😢asante sana mr tanu kiukweli najifunza mengi mno katika mkoba wa mama 🙏 kiukweli tujitahidini tuwe wenye kumtegemea Allah kwakila hali🤲

    • @dendegozaina9410
      @dendegozaina9410 День назад

      Kweli ndugu mana akifanya ili anaambiwa hili yani balaa mwishowe anakabidhiwaa uchawi

    • @Issa-d2x
      @Issa-d2x День назад

      kwnza unatakiwa utambue hiyo ni muv kjana pia si kila😂mganga atakuambia ulale na mtu ndipo tatizo litoweke si kwel pia jmbo lolote ukitaka ulijue vzur bas litafute kwa elimu yake upate kulijua kwa wale wnye elimu ya jmbo hilo si hawa ambao wao wametumia by friction tu

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 21 час назад

      Kabisa😢

  • @mildredowino7323
    @mildredowino7323 День назад +17

    Kama unatazama hii filamu na haujajifunza ktu bc jua ww n mkembe 😂😂😂😂cku zote amtegemeyea mwanadamu amelaaniwa🙏🙏🙏🙏mbarikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @EspéranceNdayishimiye-l6b
    @EspéranceNdayishimiye-l6b День назад +10

    Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 wa kwanzaaaaa😂😂😂

  • @ngalaawadhi
    @ngalaawadhi День назад +5

    Move ni nzuri sana shida nikuchelewa kwa vipande

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 21 час назад +2

    Tupo nao mkoba mpaka kieleweke❤🎉

  • @mombasan_soshii
    @mombasan_soshii День назад +7

    Wakwanza kutoka kenya🇰🇪

  • @UrbanMunyalo
    @UrbanMunyalo День назад +4

    Kazi Safi Sana kaka Tanu fanya Hima umuokoe dada Halima dada mwenye roho Safi Sana .....Wacha muhina Na samiri wafe badala yake Kijiji kipate Amani .......nawapenda Sana kutoka nchini Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g День назад +8

    Ugomba umuhe uburozi we Muha 😂Yani wewe na Sibo mnanitesa sana

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy День назад +7

    Tunawashukuru dana ila msikue mnachelewa❤❤

  • @OmarAbubakar-wd7rr
    @OmarAbubakar-wd7rr День назад +5

    Muhina bado zako zaja utaona tu🎉

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 День назад +4

    Natamani ningepewa mimi kazi ya kumuuwa samir na muhina chapu 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @fawwadhibrahim
    @fawwadhibrahim День назад +6

    🎉🎉🎉 nimewahi

  • @SaidBwanamkuu-d8j
    @SaidBwanamkuu-d8j День назад +7

    Nawakilisha nikiwa qatar

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean День назад +5

    Congo 🇨🇩 njoeni ❤❤❤ Lualaba kolwezi.

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t День назад +16

    From oman gys tm strong like zangu 🎉❤🎉❤

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад +1

      Tupo tupo tupooooooooo 🇴🇲🇴🇲

    • @OmanMobile-v7h
      @OmanMobile-v7h День назад +1

      ​@@MonicaMkombweudugu wangu Oman moja kwema

    • @FakikhAsmah
      @FakikhAsmah День назад +1

      Tupo kipenzi tuna kodoa 😂😂❤❤❤❤

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад +2

      @@OmanMobile-v7h kwema from SuwaQ

    • @Rehema-h6t
      @Rehema-h6t День назад

      ​@@OmanMobile-v7hyaa alhamdulillah tuna pambana huku ❤

  • @ZaituniIddy-pi9yv
    @ZaituniIddy-pi9yv День назад +12

    Sarah Sarah Sarah nimekuita mara tatu unachokitfta utakipata

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад +1

      Nilikuwa sijajua kwanini umemuita mara tatu

  • @GraceChege-gy5sk
    @GraceChege-gy5sk День назад +5

    Kazi nzuri

  • @pogo946
    @pogo946 День назад +4

    Duh!! Kidali hiyo miguu vaa suruali..

  • @mwarabuabdillah-tg1rf
    @mwarabuabdillah-tg1rf День назад +6

    Wa kwanz naomben likes zangu

  • @EjideSilas
    @EjideSilas День назад +5

    Ndabashimye chane imana ibahezagile

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g День назад +5

    Muhina noma kwa kutia mimba wanawake kinoma hivi wamesha kuwa wa wili ,Muhina anahisi kufa kwa ubaya wake

  • @michaelkaowe4353
    @michaelkaowe4353 День назад +5

    Nice

  • @J74251
    @J74251 День назад +3

    Yo mwanangu tanu nakukubali sana 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki День назад +3

    Heee mambo yamekuwa mambo 😢mama kalala na mutoto anataka kuwa mucawi sasa 😢ahaaa iyoyote kunganganiya mutoto asiyekuwa wako nimtihani

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os День назад +4

    Nyie hii mov inafunzaaa sanaaaa .....

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 День назад +1

    Mkoba leo umenoga huyu mganga wa Leo nimempenda mwema kweli walahi Tena ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mauwa Yako mganga

  • @arunibarafua7802
    @arunibarafua7802 День назад +3

    Kutoka kongo Leo naombeni like zangu

  • @fawwadhibrahim
    @fawwadhibrahim День назад +4

    Wakwanza

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 День назад +3

    Fungafunga tuondoke😂😂😂😂

  • @Awoshy
    @Awoshy День назад +2

    Jamani huyu mama Tofa anajua kumpambania mwanae🙌🙌mambo anayoyafanya😢🙌

  • @mariammhango6135
    @mariammhango6135 День назад +3

    Duuh mamb yanazid kua hatar

  • @NKESHIMANABarton
    @NKESHIMANABarton 22 часа назад +1

    Kigoma language 😂😂😂

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 День назад +2

    Unachelewa Sana

  • @SakneyMwanga
    @SakneyMwanga День назад +4

    🎉🎉

  • @FatumaMwaravino
    @FatumaMwaravino 21 час назад

    Kz nzuri sana halima ogopa isiwe eti wajaliwa .nalabuki tupe kitu kizito cma ianguke

  • @jabirirankunda7779
    @jabirirankunda7779 День назад +1

    Wakwabza kutoka burund🇧🇮🇧🇮

  • @domysulley1887
    @domysulley1887 День назад +1

    Halima nawe mzembe Sasa uganga wako bure kweli

  • @mgogokagongo1387
    @mgogokagongo1387 День назад +3

    Mhina kwenye hii move sikukubalo hata kdg unaroho mbaya sana

  • @mohdkidarasa
    @mohdkidarasa День назад +1

    Jamani mkoba umenoga🎉🎉❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 День назад +1

    Poleni ila halima Pole zaidi

  • @Yusco_Rhynova
    @Yusco_Rhynova День назад +1

    Noma sana

  • @MercyJason-x1b
    @MercyJason-x1b 11 часов назад

    😅 Mhina jamani, problems always et eeh continue......tuongeze miguu et Mhina 😊😊😊😊😊lakini uko Sawa Mr smart

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 День назад +2

    Waganga mtihani mnazalilisha watu kwq mambo ya ajabu

    • @Issa-d2x
      @Issa-d2x День назад

      Unaamini kuwa waganga ndio wapo hvyo kma hii muvi?

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 День назад

    Mshindo ndani ya mjengo❤❤ ndio i like🎉🎉🎉...kuendelea kumuamini mtu ambae ashawahi kukufanyia ubaya ni kosa kubwa sana

  • @kolojojames1665
    @kolojojames1665 День назад

    Duh aiseee hiii move kiboko sasa kila siku inazidi kuwa tamu❤🎉🎉

  • @MariamAmir-x3k
    @MariamAmir-x3k День назад +3

    Jamani Da Halima asife duh😭

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki День назад +1

      😂😂😂unaanza kuogopa hatokufa

    • @MariamAmir-x3k
      @MariamAmir-x3k День назад

      @RizikiZiki aisee sanaa

  • @BrysonJohn-
    @BrysonJohn- 22 часа назад

    🎉🎉🎉tanu tanu tanu 🎉🎉🎉🎉 aisee kweli hii ni szon bola sana ndugu Yang hongeren sana

  • @NoorEesa
    @NoorEesa День назад +1

    Kiukweli mafunzo yalio hapa ni hatari sana 🔥🔥

    • @AmiriKiondo-zk1xy
      @AmiriKiondo-zk1xy День назад

      Jamani Kuna wadada wazuri😋 jina gani unatumia fb nije nikupe like

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 День назад +1

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @KivuvaMutua-bd7ld
    @KivuvaMutua-bd7ld День назад +1

    Kitu safi

  • @JarvenJux
    @JarvenJux День назад +1

    Mimi nipo Zambia 🇿🇲❤😂

  • @AmiriKiondo-zk1xy
    @AmiriKiondo-zk1xy День назад +2

    Hadi sasa Muhina anatarajia kupata watoto watatu🙇

  • @Mrschado-master
    @Mrschado-master День назад

    Like kwangu ❤❤ hii move n nzur jmn na watu wenye roho kama muhina n weng sana na tunaish nao jpokuwa tunashindwa kuwathibit sabb ya nguvu na mabavu yao

  • @MashaMwakindangi
    @MashaMwakindangi День назад

    Mganga wa leo mashaallah kaongea kweli

  • @LilianAchieng-j3x
    @LilianAchieng-j3x День назад

    Naipenda hii movie ❤❤❤

  • @jofreymzungu2874
    @jofreymzungu2874 День назад

    kazi nzur team tanuplus+

  • @PhinarBotea-ed3xm
    @PhinarBotea-ed3xm День назад

    Movie kalii san haiish radha wallay

  • @domysulley1887
    @domysulley1887 День назад

    Hivi waganganga gani nyie msioweza kujua mitego mnayowekewa ya kuwauwa. Wa hovyo kweli

  • @ahmedimarusu-rp3bk
    @ahmedimarusu-rp3bk День назад

    Mkoba wa mama S2 inazidi kunoga big up sana 💪 to U guys

  • @YusraYusuph-z1r
    @YusraYusuph-z1r 5 часов назад

    Vaito hiv utauweza kweli , Aya m nasubiri kuona jinsi unavyo walamba 😂😂😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 День назад

    Waganga wapya wamotooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera Mr tanu

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 День назад +7

    Kwahiyo mama kashenyentwa na mwanaume ambaye kalala hana fahamu? Hiyo ndude ya Tofa imesimamishwa na nini ikiwa yeye hajitambui? Au na mganga?😂

  • @paulmwanyika7622
    @paulmwanyika7622 День назад

    Mumemuongeza Mshindo Jumanne...huyu jamaa anawezea sana habari hizi za kushiriki na, ni fundi haswa.

  • @killyblanks
    @killyblanks День назад

    hongela sana bwana vava ufanya vizur sana❤

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti День назад +1

    Na mimi naunga mkono samili na misigaro wauwawe🎉🎉🎉 allima anusuruke na waganga hote

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD День назад

      Qwani misigaro amefufuka tena au misigaro mgani

  • @swabramulanga2851
    @swabramulanga2851 День назад

    Kupewa uchawi tena kazi ya moto hii😂😂

  • @jajaQueeny
    @jajaQueeny День назад +1

    Congrats 🎉🎉tan 🎉🎉❤❤❤

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z День назад +1

    Muhina mashapu kama mandasi kwanini wewe mkatili hivo dar😢

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 7 часов назад

    Kazi ya movi hii nikuana tu.

  • @paulmwanyika7622
    @paulmwanyika7622 День назад

    Kidari,mguu wa kiume huo.
    Mguu wa kuvalia pensi

  • @VictoriaMalema-n9n
    @VictoriaMalema-n9n День назад

    San vaito wanyooshee ❤

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 День назад +1

    KAKA TANU UNAJUA MNOOO MPKA NAANDIKA KWA HERUFI KUBWAAA. Yani ww levo zako sio za nchi hizi

  • @aganzeroger
    @aganzeroger День назад

    Samiri afe kabisa unashelewa nn🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Morand-x4k
    @Morand-x4k День назад +3

    ❤❤❤❤❤

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 День назад +1

    Ila muhina ww ni noma 😂😂😂 KIZAZI UNACHO KAKA ANGU

  • @maryammoddy9309
    @maryammoddy9309 День назад

    Yani Mhina unakera jamani😢😢mpaka nakuona mbaya kwenye cinema zingine pia

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 День назад +1

    Mbn dakika chache jaman

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 День назад +1

    Ila muhina😂😂😂

  • @ngalaawadhi
    @ngalaawadhi День назад

    Manikin Halima naomba asifanikiwe kula chakula chenye sum.Nimpambanaji sana

  • @Thumaommy
    @Thumaommy День назад

    Jamani hvi huyu sibomana alitokomea wp ...😂😂😂

  • @dapheenndege7191
    @dapheenndege7191 6 часов назад

    Muhina anaendelea kupanda mbegu mbaya, Hao watoto watazalia watakua pasua vichwa

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 День назад

    sema muhina handsome 😊😊😊😊Kazuri mwenyewe na kasura kake 😊😊😊😊

    • @ZenaKambi-d6n
      @ZenaKambi-d6n День назад

      𝙰𝚗𝚍𝚞𝚗𝚓𝚎 😂😂😂

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 День назад

    Muhina kaja mjini kusamabza watoto na kuwalagai wadada uwiiii

  • @FRANKNTIBENDA-m4x
    @FRANKNTIBENDA-m4x День назад

    Bhasokulu bhahanze 😂😂😂😂 twalinjiliwe tayal

  • @BrainMbihi
    @BrainMbihi День назад

    Muhina the best actor

  • @JohnChibanhila-ld6vv
    @JohnChibanhila-ld6vv День назад

    Safi 🔥

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 23 часа назад

    Fanyeni yote Halima asife please 😮😢😢

  • @MauridiCharlotte-k1p
    @MauridiCharlotte-k1p День назад

    From DRC iyi filamu ninzuri sana na inatupatia mafundisho makubwa kwaiyo musichelewe sana kwa episode ifwatayo please

  • @ShariphaSaid
    @ShariphaSaid День назад +1

    Muhina umezidi umalaya bhana weee kila mwanamke mimba ivi unambegu gani ww lkn😂😂😂 yani ni tip tap mimba kheeeee😳

    • @ZenaKambi-d6n
      @ZenaKambi-d6n День назад +1

      𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚠𝚊 𝚏𝚞𝚙 𝚔𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚣𝚊𝚊 𝚊𝚌𝚑𝚊 𝚔𝚋𝚌 😂😂😂

  • @JumaMtilikwa
    @JumaMtilikwa День назад

    Ko mama kaliwa na mwanae

  • @kolojojames1665
    @kolojojames1665 День назад

    Msaniii mwina tayari kashamwingiza mtu choo cha kike😂kama kawaida yake Ila muhina

  • @godfreymsafiri6508
    @godfreymsafiri6508 День назад

    Nimependa mganga vaito mfipa wakumwitu 😅😅

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 День назад

    😂😂😂 haya sasa baba k na mama k wanataka kuongeza na miguu ya mtoto😂😂😂😂kwel muhina balaa😂😂😂ila ameitendea haki position yake❤😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 День назад

    😂😂😂😂😂Muhina kla atakapoenda lazima aache mbegu
    Umalaya ni mwingi muhina 😂

  • @TeodosiaNdunguru-sc6mf
    @TeodosiaNdunguru-sc6mf День назад +1

    Mussa banz🎉

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo День назад

    Kazinzuri sana

  • @Maryam-ye2xg
    @Maryam-ye2xg День назад

    Kimeumana kwa waganga wa mjin kiboko wa kijijini moto wa kuotea mbali mm naomba tu samir auwawe

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 День назад

    Mungu piga mkono wa Halima, chakula kidondoke😢

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 День назад

    He kalala nae kwel makubwa haya sasa tena uchawi 😂😂😂