FULL VIDEO: DIAMOND AKIOGELEA NA TIFFAH NA NILLAN NYUMBANI KWAKE ZARI ASIKIKA PEMBENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @jasminmylovejasmin2879
    @jasminmylovejasmin2879 4 года назад +4

    Mashallaah wavimba macho kitawachoma😋😋❤️🌹

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 года назад +2

    😀😀😀 mama Dangote umenichekesha

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 4 года назад +2

    mama dangote kwenye ngeli watakuua 😂😂

  • @ayshabayun9014
    @ayshabayun9014 4 года назад +6

    Acha wivu wewe
    Hongera bibi kwa kuwaleta wajukuu home
    Zarina mama la mama una sauti traamm..mama tee kiboko ya baba tee

  • @alibell5246
    @alibell5246 4 года назад +1

    Hahahahaaaaaa mama dangote heeee utatuua wenzio huku maana hivo vicheko cio vya nchi hiiii

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 года назад

    MA heras tafuteni kama zilipo jamani mambo nikama mnavo yaona Tena ✌️😘

  • @khadijamsinzi4959
    @khadijamsinzi4959 4 года назад

    Safiiiiiiiiii 😍😍😍😍😍

  • @fourteen_kiid
    @fourteen_kiid 4 года назад +4

    Ila kwa kweli platnumz anampenda sana tiffah kuliko watoto wake wote jamani!

    • @jamilanimbona3692
      @jamilanimbona3692 4 года назад

      Ndogifunguwa tumboyake lazima mutoto wakwanza apendwe kulikowote

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 года назад

      its noticable...anampenda sana afu wakike kwa hiyo anapendwa zaidi na papa

    • @biaysha8553
      @biaysha8553 4 года назад

      Nivile wamefanana sana

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 4 года назад +2

    Mama jamani leo utakoma

  • @brendamalesi7745
    @brendamalesi7745 4 года назад +1

    Leo haogelei na Mimi Mars?

  • @bellahariminshi5149
    @bellahariminshi5149 4 года назад

    Apo patamu😍

  • @mwanaidingwita6214
    @mwanaidingwita6214 4 года назад +1

    🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥

  • @asyadaruwesh7900
    @asyadaruwesh7900 4 года назад +1

    Nimecheka Mie Mama Dangote eti mtoto anatema yai .???hahahagag

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 года назад

    mama dangoti unaniasha hoyiiiiiiiii

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 года назад +3

    Hahahah komesha wachokozi

  • @salamagat4784
    @salamagat4784 4 года назад +1

    Dai anapenda tiffa kuliko

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti anatema yai

  • @jsmastory5770
    @jsmastory5770 4 года назад +3

    Tafuteni elaa mamae tunashika adabu huku

  • @evaeveline4817
    @evaeveline4817 4 года назад

    Why showing lots of love to his daughter than the son

    • @narieivald8448
      @narieivald8448 4 года назад

      Cos he spent much time with tiffah than nillan cos nillan was 2 i think when they're separated and also nillan always minding his bussiness he spent more time with his mom

  • @fridajosephyusif4364
    @fridajosephyusif4364 4 года назад

    Zari sauti kaliii kama chizii fresh

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 4 года назад +1

    Mama daimindi mnafiki kikeeli

    • @salamagat4784
      @salamagat4784 4 года назад

      Yani achatu haoni haya huyu bibi

    • @emmanuelmchomvu2676
      @emmanuelmchomvu2676 4 года назад

      Snaaaaa aiseee ila ndo uswahili

    • @OmanOman-iu7jf
      @OmanOman-iu7jf 4 года назад +1

      @@emmanuelmchomvu2676 uswahili kwani huwa na unafiki hana roho ya mtu tu kuiendekeza

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 4 года назад

      😁😁😁😁

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 года назад

      mama wa watu na familia yake anaongea anavotaka. hajawaifata ya wengine jmni...mwacheni ajisemee tuu

  • @massimilianoraffadali5482
    @massimilianoraffadali5482 4 года назад +1

    Watoto wa Diamond wanaitaji baba kila siku, sio siku 1 kwa muaka. Diamond sio baba mzuri kwa sababu ameacha watoto wake kwa umalaya

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 года назад

      Fata yako weww sio malaya

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 4 года назад

      Acha usenge yako yanakushinda wivu tu ilooo

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 года назад

      @@sharonchristian3711 yko wewe njoyanakushinda mie nimeolewa 😃😃😃😃

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 4 года назад +1

      @@adijaniyonkuru9731 nimeolewa Niko na watoto wtatu Nina miaka ishirin kwenye ndoa cjawhi kuteseka na maisha ya mwingne pole bibi