MWALIMU KASHASHA AICHAMBUA SIMBA KISASA “HUWEZI KULA BIRIHANI UKAWA NA AFYA NJEMA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 60

  • @tysonsinga5021
    @tysonsinga5021 4 года назад +10

    Mwalimu Kashasha wewe kweli mwalimu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👍

  • @jumasharif7146
    @jumasharif7146 3 года назад

    Pumzika kwa amani mwalim Alex kashasha. Mungu akubariki.

  • @remmybenjaminkasochela1901
    @remmybenjaminkasochela1901 4 года назад +3

    Mwalimu kashasha big up sana namkubali huyu mzee

  • @danielmbalwa9307
    @danielmbalwa9307 4 года назад +2

    Umetishaaaa mwalimuu Kashashaaaaa !!

  • @ommyclever5404
    @ommyclever5404 4 года назад +4

    Mwalim kashasha yuko vizuri 🇧🇮🇧🇮

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 года назад +2

    Asante mwalimu kashasha

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 года назад +3

    Ahsante mwalimu Kashasha.

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 3 года назад

    Dah mwalimu

  • @josephakida7561
    @josephakida7561 4 года назад +4

    Asante mwalimu kashasha.

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 3 года назад

    Dah R.I.P mwalimu kashasha

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 4 года назад +2

    Wakupe ukocha tuu mzee Wang ata wa taifa 🌟

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 4 года назад +4

    Wewe kweli mwalimu

  • @stn4873
    @stn4873 4 года назад +4

    Mwalimu wa mpira.🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @martinnyalusi4975
    @martinnyalusi4975 4 года назад +2

    Kashasha ni noma

  • @kastokastor4791
    @kastokastor4791 4 года назад +3

    Safi sana mwalimu kashasha

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 3 года назад

    M/Mungu siku zote huchukua viumbe wake tulio wazoea machoni mwetu ili kutukumbusha safari yenye hofu, kutisha, isiyosimulika, isiyo na uzoefu na isiyoepukika. Kujifariji na safari hii ni kuwa mtu mwema, mcha Mungu, usiyebeba vitu na kuumiza watu. TUJIANDAE NA SAFARI HII✍️

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 4 года назад +2

    A can be B and B cna be A

  • @kassimsaidi1838
    @kassimsaidi1838 3 года назад

    Tt.....umenikumbusha standard II jaman dah

  • @zappe5528
    @zappe5528 4 года назад

    "Tunarahisisha sana Carrier ya Coaching". This is very very true, Bongo kila mtu kocha..

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 4 года назад +4

    Mwalim Kashasha.

  • @kivungemmbuji2311
    @kivungemmbuji2311 4 года назад +4

    Goli LA Ruvu shooting fc liltokea upande WA Mohamed Hussein, Achieng Onyango akakimbilia kumkaba mshambuliaji WA Ruvu shooting. Mpira ukarudishwa pembeni, wakati huo Mohamed Hussein Tshabalala alikuwa anatembea tu !!

  • @barakamgina6630
    @barakamgina6630 4 года назад +4

    UMETISHA KASHASHA ...YANGA DAMU

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 года назад

      Shida sana mashabiki wa simba na Yanga.Mtu akisema ukweli utasikia huyo ninwatimu fulani.Ndo maana mpaka leo hatuna timu ya Taifa.Tuna timu malumbano.

  • @onesimosylivesterbakinika2126
    @onesimosylivesterbakinika2126 4 года назад

    Yan, huyu mze tunu ya taifa inabidi kujivunia ktka huyu jaman, na tufte namna ya kutambua mchango wake akiwa hi, bjaman tsisubir mtu ameshaondoka ndo tunaanza kumpa sifa. 💪💪💪🤜Mwlm kashasha more lifeee.!!! 🔥

  • @e.e5698
    @e.e5698 4 года назад

    Mwalimu kashasha 🙌...

  • @mishaelmisana7674
    @mishaelmisana7674 4 года назад +1

    A can be B,B can be A or AB equal

  • @renatusmatungwa6506
    @renatusmatungwa6506 3 года назад

    Dah R.I.P

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 3 года назад

    Kazee kaongo haka mmh

  • @mohamedimpunda7428
    @mohamedimpunda7428 4 года назад +5

    Kashasha jmn😁😁😁😁😁

  • @josephchimbunga4886
    @josephchimbunga4886 4 года назад +5

    Eti kuna TQ 🤔🤣🤣🤣

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 4 года назад +1

    Huyu siyo mwalim wa kufundisha tim huyu ni mchambuzi wa mchezo wa mpira

  • @agreygottadallu4486
    @agreygottadallu4486 4 года назад

    Mwalimu 👏👏👏

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 3 года назад

    Tutakukumbuka daima

  • @barakajohn9516
    @barakajohn9516 4 года назад +4

    Akipewa timu huyu atafungwa nyingi sana mpira cyo midomon mwalimu
    Chukua timu tuone hayo unajivunia hutaki kufafanua

  • @maxonlinetv5056
    @maxonlinetv5056 3 года назад

    Mwalimu wa walimu

  • @sellinakapama4375
    @sellinakapama4375 3 года назад

    R. I. P Expert!

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 3 года назад

    Wewe mzee niyanga tunakujua ila time well tell

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 года назад +1

    Et mpira birian sasa ushakua mpira wali maharage

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 3 года назад

    Mzee kasheshe kula biryani kaka

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 3 года назад

    Kashasha alikua anaujua mpira

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 4 года назад +2

    Yaaaan huyu mzeee adumu Sana

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 4 года назад +2

    Mzee uko sawa na shule ulienda naomba mungu akili hy arithi hata mjukuu wako

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 года назад

    Umesemaaaa benchi ya ufundi bovu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shikamooo Kashasha

  • @maulidkiswaga1906
    @maulidkiswaga1906 3 года назад

    Kwako kashasha

  • @amiabillity1635
    @amiabillity1635 4 года назад

    Haka kazee kaongo pumbavu xn,kanajifanya kanajua kuchambua soka kumbe Simba wana bifu na kocha wao.kaone pale mapengo mtupu! mbwa wew

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 года назад

      Unaonaje tukamtukana Baba yako? au unasikia raha kumatukana mtu kwa ajili ya vitu amabvyo havikusaidii??Kuwa akili sio mwili.

  • @iamthand2029
    @iamthand2029 4 года назад +3

    Mmmh

  • @anuaryabdul9850
    @anuaryabdul9850 4 года назад +1

    huyumzee atalisan

  • @avidoniinacio59
    @avidoniinacio59 3 года назад

    Made be lidai

  • @saulimwasulama6311
    @saulimwasulama6311 4 года назад

    Natamani kashasha atafute timu afundishe tuone ubora

  • @impulse_official4455
    @impulse_official4455 4 года назад

    Ukimaliza kuangalia video hii ebu uniambie umeingiza maneno mangapi mapya kichwani kwako 😁😅.
    #Kashasha fundi

  • @kabindamatata1666
    @kabindamatata1666 4 года назад +2

    Kashasha...ni kwikw ... kwenye michambuo..😄

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 года назад +3

    Ahsante mwalimu Kashasha.