Ngw'enetu Kusa nimefurahi sana Wewe kuongea lugha (kishambaa) Nizatamiwa sana ., I was very happy Bro tanga juuuuuuuuu!!juu juu zaidi❤❤❤👉👉🤛🤛❤❤❤❤cheers Luv u bro.❤❤❤❤
nawapenda bure...mbona msichana mdogo akiolewa na mume mtu mzima anaesabu siku zakufa watu hawaongei hawasemi.lkn mke mkubwa akiolewa na mume mdogo midomo inabwata kishenz roho zinawawa ataree waacheni km walivyo awe mdogo awe mkubwa mashin niileile tu mstuvuruge
Safi sana kusah Mwanaume yoyote duniani kama hajapitia scandal,bado sio mwanaume Hata Adam aliambiwa na mungu usile tunda kln alirubuniwa na akala,hiyo ni scandal ambayo inatutesa mpaka sasa Nabii suleiman mbali na kuwa na hekima na wake lkn alikuwa na michepuko zaidi ya 700,sembuse ss,mwanaume kaumbiwa tamaa...
Safi sana bi hadija alikuwa mkubwa kiumri na alimpa heshima yake kipenzi Mtume wetu Muhammad (s a s)mapenZi hayana umri nimefurahi kwakuwa wewe ni msambaa mwenZangu 😂
Santeee kusah tofaut yetu haijamshinda bi Khadija biup ucachie zgo daima linangaaaa🥰🥰🥰🥰
Kusah jamani 🥺🥺🥺❤️❤️❤️Humble ,clever , an handsome with respect 😍😍😍❤️❤️❤️❤️
Manshaallah tabarak Allah ❤. kutokana na myaka umewapa jibu la busara na lenyeuhakika. be blessed guys 🤲🏻
Nice speech sana kusah mashallah big up twakupenda sana from kenya 🇰🇪🔥💪🏿💪🏿
Pongezisana kwake kusah kwakiziyake nzuri
Uwoooooo kusah kumbe umshambaaaa, kakajanguuuuuu ighaaa n,gwana shambaaii weraaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nnwakaya uyoo nng'eamuingaaee duuu
Aighae kweiii
Mashallah ndio kwanza leo najua kumbe kaka ni mgosi hongea sana umbuje kusah uzatiusha shoni sana hongea maa mbwanga wa bumbui
🤣🤣mbwaga wa bumbui
@@agnesakazinzurbadamwemanel8909 nzatamiwa kumbea azinkia ahose hetu akiita bumbui
Masha Allah kusah unajibu kistaarabu na hekima pia wivu ni sunnah
Mashallahh Rahma hongera Antyyyy
Kusa kumbe msambaa masha allaah msambaa mwenzetu hongera😍😍😍
Wasambaa tujuane ✌🏻🤛😘
Wonderful kusah mpende hadi watu washangae😍😍
Mashallah nawapenda rahma na kusah allah awape khery ktk ndoa yke
Wanavitukoooo 😊😊 wanajichanganya wakishindwana wanatukanana maisha ya mtandao magum jmn
Ngw'enetu Kusa nimefurahi sana
Wewe kuongea lugha (kishambaa)
Nizatamiwa sana ., I was very happy
Bro tanga juuuuuuuuu!!juu juu zaidi❤❤❤👉👉🤛🤛❤❤❤❤cheers
Luv u bro.❤❤❤❤
Nani kawambiya Kuna ndoa ya mujamuzito subhanallah wasani munamambo jamani
Kashajifungua ndo wakafunga ndoa😂
Mashallah majibu mazuri sana kusah🔥🔥🥰🥰❤🇰🇪
Majibu mazur ruclips.net/video/AkrZPdrsOQU/видео.html
Mansh'allah ❤Allah awalindie ndoa yenu muweze kuzikana insh'allah 👏👏🤗🤗
Kusah kijana mmoja makini snaa
Kusha kijana makin sana hongera❤️❤️
Not kusha say kusah
Congrat Aunty Ezekiel
KUSAH BABA NONO MAMA NONO ni mkee❤❤❤
MashAllh jina langu
Kusah karibu I sana kwenye ndoa mashaallah
Kusah umenenepa sana, mapenzi raha 👌👌👌
Hongera msamba mwenzetu Ant wetu anaheshima sana tunamkubali
Wasambaa on top au vp
Mashalla kaongey ukweli
wasanii hawakubali ukubwa kila siku wadogo
Kusah your‘e a nice guy
Mashaalh 🥰🥰🥰 Mungu awape mwisho mwema
Ktk watu ambao sichokagi kuwasikiliza ni kusah na anti mwanzo mwisho hamjamzungumia mtu zaidi ya mapenzi yenu penda sana wawili hawa
Kama mimi wallah nawapenda hawa watuuuuu nataman wadumu saana
Mashaallah amejib Kwa busara Sana 😘
Msshala kus jmni napenda san mapenz yenu mungu ayajalie
Well kusah mooree happy to mer
Rahma welcome kwenye Dini yenye heshima bb 💞 💞 wifi yetu Karibu San 🥰 🥰
Up to
dini gani haina heshima?
Congratulate kusah,big up sana
Mashaallah Allah awape masikilizano mema
Mashaallah mashaallah kuuusah
Ila kusa kihandsom nyie asikwambie mtu, @ant ezekiel unafaidi dada zuia hapohapo👏🏼👏🏼🥰🥰
Wajina unam'mezea mate nini...? 😂😂😂🇹🇿🇴🇲
Hakika
Jamani kusah kwanini ata usinioe mm msambaa mwenzio ishi jawana
Kusah ur smart wewe penda mkeo maneno ya watu yapo tuu washamba tuu hao.
Oee kusaah- Big up sanaa kakaa
Machallah nawapenda sana
hongera sana rahma
Hata kuhoji hamjui chaneli za bongo bwana
Much love for you #KUSAH 🙌🙌🙌
nawapenda bure...mbona msichana mdogo akiolewa na mume mtu mzima anaesabu siku zakufa watu hawaongei hawasemi.lkn mke mkubwa akiolewa na mume mdogo midomo inabwata kishenz roho zinawawa ataree waacheni km walivyo awe mdogo awe mkubwa mashin niileile tu mstuvuruge
#Kusah Anahakili sana nimemupenda anajua kuongea
Patamu mashalah
Rahma
❤️❤️❤️❤️ nawapenda mpaka Basi
Nimeipenda iyo ulivojimbu
MashaAllah majibu sadakta
Waaaachaweeeeeee wasamba on air
WiFi RAHMA WELCOMETO TANGA
WE LUV YOU DEARLY.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋❤❤❤
Mkaka mzuri na eshima yake
nakupenda sana kusah upendi kumuongelea mtu
Mashallaah kusa upo very good
Wanapenda kulelewa wago..
Kumbe kusah ni ndugu yetu Msambaa Wa wapi tujuane .
MashaAllah haki upo mstarabu sn jmn
Kusah kapendeza
Ndio ata mama anasemaga mwamaume ata kama mdogo lakin ni mkibwa
Mashallah
Umtunze neja wana maa iwe ushetegheze mbui za wandu maa umbuje
Jaman wanapendana xana
Neja wana👍👍
muwe mnawapa tish wasanii ommy una muangalia tu mwenzio ana sweti watangazaji wa bongo
Nimependaaaaaa❤️❤️❤️❤️
Kusa anaamajibu kama yote 😀😀😀
Hongera
Wow
Mashaallah🥰🥰🥰🥰🥰
Nice brother
Ahsante kwa kutuletea wifi mzr
Kusah hazidi 24
Any jamani amepata mume
Duh kusah utamuuwa mtoto wa watu ruby jmn uwiii usiniambie aunty ana mimba tena uwiiii
Safi sana kusah
Mwanaume yoyote duniani kama hajapitia scandal,bado sio mwanaume
Hata Adam aliambiwa na mungu usile tunda kln alirubuniwa na akala,hiyo ni scandal ambayo inatutesa mpaka sasa
Nabii suleiman mbali na kuwa na hekima na wake lkn alikuwa na michepuko zaidi ya 700,sembuse ss,mwanaume kaumbiwa tamaa...
Mmmh et miaka 26😀😀😀😀 wakat ni mtu mzima kabsa
Love u kusha umtunze aunty
Big step mdogowangu
Acha kujifariji kusah
Baba Nono wetu Wakitaifa
Lil wap Mshanah......... A.K.A mtoto wa masakiiii
😆neja wana 😍masambaa
Kwani umri unahusiana na nini
Kusah handsome husband wa taifa
Wajina wowww
Ma Sha Allah Kusa anaongea ukweli wasanii wengi waongo
Nakubali kusa boyy
huyu ndo mwanaume anajielewa saf san
Fanyeni yenu msisikilize maneno ya watu kusah
Maisha haya bana
Safi sana bi hadija alikuwa mkubwa kiumri na alimpa heshima yake kipenzi Mtume wetu Muhammad (s a s)mapenZi hayana umri nimefurahi kwakuwa wewe ni msambaa mwenZangu 😂
Mashaallah
Rahma mbona alikuwa anaitwa kabla ya kuwa na kusah upande ni muislam ant
Kusah una akili nyingi sanaaaa
Kuvaa Kibachela hamna ndoa
Piga kelele kwa wifi yetu weweeeeeee karibu tanga rahma wetu
👌👌
Walitudanganya hilo swala la kuoana
Kizazi ndo nini eti nimeisikia mara saba🤣🤣