Homa ya dunia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 45

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 3 года назад +1

    Homa hii ya dunia duuu ulitabili ww ni nabii sollo

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 года назад +4

    Huu wimbo mtungaji aliona mbali.. COVID-19

  • @issakiwamba6348
    @issakiwamba6348 4 года назад +7

    Homa ya dunia my favourite song,yaliyotabiriwa yametokea 2020 Corona ni homa ya dunia

  • @ishipalemypascokabeya6154
    @ishipalemypascokabeya6154 4 года назад +2

    Nyimbo nilio isikiliza bado niko mdogo leo imetokea kweli.kaka salute kwako broo

    • @mtitually5860
      @mtitually5860 4 года назад +1

      kweli wewe ndio msanii wangu bora wakarnehi wewe ndiowali umetabri kweli homa ndio hii ambayo ninayo iyona🙏🙏🙏

  • @edsonbrighton6393
    @edsonbrighton6393 4 года назад +4

    Solo thang uliwaza nini babu,dah hii kitu noma

  • @hamisially-c4x
    @hamisially-c4x 2 месяца назад

    Hii nikichwa Mzee solo heshmayako

  • @pascalmilinde7856
    @pascalmilinde7856 4 года назад +5

    Homa ya dunia ndoo hii ama kweli mboni za solo thang zina mabaki ya unabii aliona mbali leo dunia imepasuka tunajionea wenyewe jamanj

  • @lewiskiki6087
    @lewiskiki6087 3 года назад

    Big up bro

  • @hamzachande8638
    @hamzachande8638 4 года назад +2

    Msafiri kondo mzaramo mwenye mtazamo na ubashiri wa maradhi...

    • @rashidhassankadege1455
      @rashidhassankadege1455 4 года назад

      Huyu siyo msafir kondo huyu ni solo bhn

    • @hamzachande8638
      @hamzachande8638 4 года назад

      @@rashidhassankadege1455 jombaa naona bado sana kujua music wa bongo msafiri kondo ni ulamaa aka solo thang...

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 4 года назад +3

    Huyu jamaa anadeserve kuitwa nabii,miaka 18 baadae dunia imekumbwa na corona. Watu wanakufa km kuku wa kisasa. What a prophecy!

  • @sundaysunday2608
    @sundaysunday2608 4 года назад +2

    Yupo wapi huyu jamaa ?

  • @idrisahussein6654
    @idrisahussein6654 3 года назад

    Ulamaa mwanazuoni alokomaa

  • @swideranthonywaafyizugd.su9494
    @swideranthonywaafyizugd.su9494 4 года назад +3

    Miaka 20 baada ya hiii ngoma Yaliyosemwa yanaikumba Duniaa🤔

  • @lewiskiki6087
    @lewiskiki6087 3 года назад

    E MUNGU AKUBARIKI INSHALA

  • @fatmakhamis6492
    @fatmakhamis6492 3 года назад

    Dah sina LA kusema

  • @DonDallas
    @DonDallas 4 года назад +4

    Solo thang hili song still a live

  • @kapituomary2344
    @kapituomary2344 4 года назад +2

    Kusema ukweli dunia imechoka solo uliona mbali daa

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 3 года назад

    Homa ya dunia 15yrs later

  • @kuburilinyama8111
    @kuburilinyama8111 4 года назад +2

    ama kweli solothang mwanazuoni aliekomaa

  • @anethshio497
    @anethshio497 4 года назад +5

    Solo Thang kweli Macho yako yana Mboni ya Kinabii, uliiona CORONA miaka 18 iliyipita wakati Manabii na Mitume yetu feki wamenyimwa Maono.

    • @othumodo3888
      @othumodo3888 4 года назад

      Solo respect you

    • @othumodo3888
      @othumodo3888 4 года назад

      Solo respect you

    • @christianmichael5331
      @christianmichael5331 4 года назад

      Old is gold
      Respect legends wooote

    • @faridachande933
      @faridachande933 3 года назад

      Salti kaka solo ndugu yetu wa mbagala mwenzetu wawatanzania wote ww ulitabiri kama kitabu cha karne magufuli akawa kama nabii vile wa waafrika wote tumrudie mungu sana tujiamin akaukimbiza ushoga asioupenda mungu na akawa anatusii sana tumjue mungu kwakua yyendo kimbilio letu tusipotoshwe na wazungu tukiiga kila kitu kutoka kwao nae kaondoka kama ww ulivyo imba nyimbo ya karne ungekua umezaliwa uko kwawanao jiita wanaishi duniyan nyimbo yako ingeingizwa kwenye nyimbo ya krne ila kizazi sana kaka mungu ni mwema

  • @babamarko6581
    @babamarko6581 4 года назад +3

    Hatari nyimbo inaishi

  • @lewiskiki6087
    @lewiskiki6087 3 года назад

    Mi ni under ground

  • @charlesmbaga6088
    @charlesmbaga6088 4 года назад

    🔥 🔥🔥🔥⛽️

  • @managermipango2843
    @managermipango2843 4 года назад +3

    Dah,No comment

  • @missfetty2446
    @missfetty2446 4 года назад +3

    Uzuri wa hip hop. Ni unabii

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 4 года назад +1

    Respect solooo

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 4 года назад +2

    Sollo alitabir haya yanayotokea

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 года назад +1

    2020🤣🤣

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 4 года назад

    Kali saaana 🤣🤣 solo thang is a legend

  • @odasstaphord2127
    @odasstaphord2127 4 года назад +2

    Hatari

  • @andrewkizenga21
    @andrewkizenga21 4 года назад +1

    Dah rona is real

  • @lewiskiki6087
    @lewiskiki6087 3 года назад

    Big up nigga

  • @kuburilinyama8111
    @kuburilinyama8111 4 года назад +2

    ama kweli solothang mwanazuoni aliekomaa