Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
POLEN SANA NDUGU ZETU MLOPATA MATATIZO MUNGU AWAFANYIE WEPES INSHALLAH WATOKE SALAMA WALOFARIKI ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YAO WAPUNZIKE KWA AMAN
mw/ mungu awatie nguvu wote waliopotelewa na ndugu zao amiin
Mungu tunaomba msadawakotuu
Poleni sana ndugu zetu Watanzania
Asante sana 😢
Poleni sana
Pole. San
Poleni
Daah pesa hizi
Mungu awasaidie jamani 😂😂
Khaaa jmn uhai muhmu kulko pesa jmn pesa zpo
Huyu dogo anajua kutunga story balaaaa😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Tusimulie wewe ambae ulikuwepo kwenye eneo la tukio. Wabongo kwa kujifanya wajuaji.....
Kuna watu huona mitihani kama hii hufanya maskhara subhanallah kama katunga tupe yako ya uhakika
Kwahiyo huo mkono kajiumiza kusudi?jifunze kuwa na shukrani ndugu
Mmh kweny kifo unakumbuk pes jmn bdal y huai
Kapigiwa simu arudi akaokoe
😂😂
Mwandishi Rudi shule
Huyo dogo kuweni nae makini ni tapeli
Amekutapeli nn na kama amekutapeli siuende polisicukashtaki shenzi ww,kama una bifu nae mtafute ,tunachojua sisi amesaidia watu bas
Roho mbaya tuu mfyuuuu,eti tapeli
Watu jamani acheni mtu anashuhudia alichoona sasa mnabisha nini?
Huyo mama alie rudi kuchukua hela atakuwa ni muchaga bila shaka! Mchaga ndo haachi pesa! Yani mchaga bora afe kuliko kuacha pesa!, wachaga mbadilike, msithamini pesa kuliko uhai wako!
Acha hizo rafiki. Tanzania kuna watu wengi sana.