Ndugu yangu kila mtu na msimamo wake... Kuna njia ya kuwaambia watu si kusema upuuzi si vyema kabisa.... Na nyinyi mnaemjibu tumieni njia ya kumjibu si kumtukana. Sisi sote ni waislaamu tunamuamini allah na mtume wake , tunaswali swala tano, tunafunga, tunatoa zaka, tunakwenda hijja sehemu moja. Licha ya tofaut zetu hvi vitu hatujatofautiana. Kwa hyo tuacheni kuambiana kauli mbaya. Assalaamu alaykum
Mashaallah mungu awaweke mathwarika
Mashallah matunda ya sharifu Sayed Hussain Badawiy Allah Amlaze katika waja wake Wema Tutamkumbuka Daima Sharifu Wetu
Mashaalah
Mashaallah ❤ naipenda sana hii kaswida 🥰
Ma Sha Allah ❤
Mashaalh
Mashaallah🌹❤️
MashaAllah MashaAllah
Namuona ndugu yangu wa tangu Qadiriyya Omar kifigisa akifanya yake MashaAllah
Buhar
Munguakupe
Mazuz
Maaashallah 🎉
Maa Shaa Allah
Mashallah
Mashaallah
Kifigisa...Maaa shaaa Allah
Twayyib
ARal si Alal (أر الهلال تلال
Zafa ya maawa
Vpi Huseni nataka kuungana na wew nipe nafasi kaka naitwa nasibu wa rashadi day.
Daaaaaah kifigisaa
Zaaraw mawlid
😉💘💘💘
Kazi kubwa
Am against Mawlid but nice maqaam Ajam and I loved the way he sang
Huyu bhana heb soma mawlid upate thawabu
@@ag-rabbitzenj1379 Heri nizini najua napata dhambi kuliko Nisome Mawlid nijue napata thawabu
Mic zinasumbua kila mara halafu ni kila siku.
Hebu nunua mic mzee
Uwezo.. nadhani tununulie vifaa vipya tufanye mambo
مقام عخم
Upuuzi mtupu
Umefuata nini hapa kama wewe si mpumbavu
Haya yanayofanyika shekhe niharaam acha kusifia ujinga
Twahir omar..haram kwakoo
Ndugu yangu kila mtu na msimamo wake... Kuna njia ya kuwaambia watu si kusema upuuzi si vyema kabisa.... Na nyinyi mnaemjibu tumieni njia ya kumjibu si kumtukana. Sisi sote ni waislaamu tunamuamini allah na mtume wake , tunaswali swala tano, tunafunga, tunatoa zaka, tunakwenda hijja sehemu moja.
Licha ya tofaut zetu hvi vitu hatujatofautiana. Kwa hyo tuacheni kuambiana kauli mbaya.
Assalaamu alaykum
ndo tunao upenda huo upuuzi .. unatukonga nyoyo zetu..
Zafa ya maawa
Zafa ya maawa
Zafa ya maawa