Nice and very blessings song, kweli nimekuwa nikisikia mungu hutendea wengine but now I can declare amenitendea,barikiweni na neema ya mungu iwajalie meme
Hio jeremia 17:5 iko kwa Biblia ama ni nation??somo hio basi pia nimetoa kwa Biblia Tito 3:10 mtu aliye mzushi ,baada ya kumwonya mara ya kwanza na pili,mkatae. God bless ur
Watching from Saudi Arabia waiting for a flight nirudi nyumbani kwanza niondokee hizi taabu
Mnaimba Vizuri ila vipodozi vyenu Ndio aibu. Nywele za kujinunulia, mavazi ....
Hata wewe hukuzaliwa na nguo toa utembee ulivyoumbwa... Binadam na doctrine zao.ni shida
This song is so motivative may God bless you
Ila rose muhando wa sasa ni tofauti na wazamani.Nyimbo zako za sasa kama zina ukavu.Za zamani zinaishi ila za sasa naona kama Uungu wa Mungu haupo
Safi san mama Rose mungu akubariki mtumishi wa mungu
Rose wetu hadanganyi👌
Hatari dada hujawai kosea aiseee nakukubari
Umenona dada, neema ya bwana i juu yako kweli
Mungu azidi kkuonekania. Mama Rose
Waaaaouw nice song iko chonjo kabisa watumishi wa mungu asantee Sana
hapo safi kabisas
I love u mama Rose unakuwa na lengo ukiimba May God grant u more favour u really me dear nikiwa Kenya machakos
Ukiimba na Rose lazima utacheza upende usipende. Hongera sana Rose❤️
Mungu ww ni mukuu
Mungu akubaliki Sana rose muhando
Nice and very blessings song, kweli nimekuwa nikisikia mungu hutendea wengine but now I can declare amenitendea,barikiweni na neema ya mungu iwajalie meme
Simba wa kuimba Rozi Mungu azidi kukutunza
Halelujah! Rosey, hapooo juuuu Sana barikiwa am Phanice Okongo
Aminaa 🙋🙋🙋,, nko na Imani atatenda,,
Baba tenda maadui wanyamaze
Thank you for your song my God be with you blessed songs
God loves you rose,more grace, silence your enemies by praising God
Amen.hakika atatenda
Ooohh yes hallelujah 👏👏👏
Amen amen,mungu awabariki.
Kweli Yesu atatenda kudos
Barikiwa mno mama yangu
Tenda ata kwangu mungu
Ubarikiwe mtumishi
rose muhando hako kabeat ka wakamba kamemshika,
tz hawatuwezi.
Encouraging song
Tenda Kwa maisha yangu na Mimi Mungu
Pia mm Mungu nitendee
Ameni
Thanks sister Rose God bless you and protect you
Mink's
Ameeeeeeeeen
💗
Ameeen
Tenda na kwangu Mungu wangu hakuna gumu mbele zako Mungu, asante Mungu
kweri wewe ni chombo cha sifa
Wow nice song
Nice song May God Bless You.
Always outstanding and expressive in God
Nice song
nice one
Ame n amen amen
But Rose muhando try sing alone not with everybody ur see
wewe kuinua wengine ni kuinuliwa
Rose anafanya kazi nzuri ya kuinua wengine...we wacha wivu
Mungu ndio uinua watu si mwwanadamu ..Yeremia 17:5 Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu....wewe ni mtu wapi somo Biblia sina wivu na mtu mimi
@@dennismwenje7041 do not use your own understanding to explain the Bible....soma neno la Mungu na uombe uweze kulielewa
Hio jeremia 17:5 iko kwa Biblia ama ni nation??somo hio basi pia nimetoa kwa Biblia Tito 3:10 mtu aliye mzushi ,baada ya kumwonya mara ya kwanza na pili,mkatae. God bless ur
So good
Amen
Amen
Amen