BEIN SOL AONGEA UKWELI SAKATA LA UGOMVI WA DIAMOND PLATNUMZ NA WILLY PAUL KENYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 62

  • @nexiebeatz
    @nexiebeatz День назад +11

    Bien Akili mingi sana❤❤

  • @SaumuNasenya
    @SaumuNasenya День назад +7

    Ndo maana nakukubali sana kaka 🙏 much love from 🇰🇪

  • @Macamp312
    @Macamp312 День назад +10

    Bien anajuaa tunahitajii collaboration na ww tenaaa nyingine

  • @killerwizzyofficial2157
    @killerwizzyofficial2157 День назад +6

    Big up so well buda bien

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 День назад +12

    Sijui alikua anapigania nn😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @NeemaMoshi-h3b
    @NeemaMoshi-h3b День назад +16

    Kenya mtapambana na Hali zenu ukabila utawaua

    • @phylchevy8567
      @phylchevy8567 День назад +2

      You don't know what you are talking, shame on you tz people 😂

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 День назад

      Ukabila gany nyinyi watumwa watu wasiojielewa Kenya we are one

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 День назад +1

      ​@@chuchudorice8531fujo kila wakati ndo maana hakuna amani kwenye nchi yenu ovyo

    • @AyoubShemmela
      @AyoubShemmela День назад

      ​@@chuchudorice8531jifunzeni kwanza kuongea kiswahili ndo mje mshindane na Tanzania kwenye music😀😀😀😀😀 wivu utawaua tumewazid kwenye music had mpira

    • @hafidhissa4405
      @hafidhissa4405 День назад

      Ukabika kweli 😂😂😂

  • @OliviaOlivia-rh1eb
    @OliviaOlivia-rh1eb 22 часа назад

    Much love from uganda ❤️ 🇺🇬 one love one Africa ❤️ 🌍 💙

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 День назад +4

    SAFI BIEN ILA HUYU WILLY TUNAMKARISHA BONGO
    AJE AISHI HUKU KAMA KENYA WAMEKUCHOKA.
    TUNA ROHO MBAYA KAMA WEWE.

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa День назад +7

    0:59 sio bein ni bien jina lake ni lakifarasa kwa urefu ni bien-aime kwa Kiswahili ni(mpendwa) .

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 День назад +1

      sawa mwalimu wa kiswahili

    • @abdullahmapesa
      @abdullahmapesa День назад +1

      @ashurahatibu5069 apana Kiswahili ni kifarasa ndo naona waneandika makosa , na mbili mimi sio mwalimu 😂

  • @karyori69
    @karyori69 День назад +2

    ndio maana muziki wa Kenya hau-cross boundaries the trendy saahii ni Amapiano! Endelea kujidanganya!

  • @directorwilly-f8w
    @directorwilly-f8w Час назад

    Yeah 👍

  • @nassororashidi33
    @nassororashidi33 День назад +10

    Bien mkubwa sana kimuziki

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 День назад +1

    Bien ni mtanzania anaeishi kenya😁

  • @Jaxmusic-dr9uu
    @Jaxmusic-dr9uu День назад +1

    Afu mnamkosea Simba bhn yeye akuwa na vurugu ni will Paul tu mazee😂😂😂

  • @collinsliru-n3v
    @collinsliru-n3v 21 час назад

    Sauti saul❤❤❤❤❤

  • @Officialjaydesignertz
    @Officialjaydesignertz День назад +5

    👍👍🇹🇿

  • @derrickwanatanzega5047
    @derrickwanatanzega5047 14 часов назад

    HUYO WILLY PAUL MSHAMBA SANA HUYO

  • @Kaida_Cut254
    @Kaida_Cut254 6 часов назад

    Plan yenu ilifail sio??? Tunaijua hio mlijua wakipiga show watu wote wataenda Ila Bien ni noma walimngoja.

  • @officialsalim3955
    @officialsalim3955 День назад

    Wakenya Mko proud kuongea lugha ya Watu... dah nyinyi watu akili hakuna.. Uliwahi kuona wachina kujivunia kuongea Kingereza?? this is crzy.

    • @magzakky2781
      @magzakky2781 21 час назад

      Kweli nimeamini ww ni kenge 😅yaani uko na ujasiri wa kuongea upuzi na unamalizia na iyo iyo kiengereza 😅ama iyo ndio unajua 😅 skiza sitaki kuongea kuhusu iyo coz huezi elewa buh skiza hapa ww mtoto wa mchepuko tulia kwenu uko na ukojoe ulale puga ww kizungu na kiswahili ni official language uku na tunapenda kuchanganya so lalisha matako usubiri pdiddy wenu 😅

  • @jaykaris
    @jaykaris 21 час назад

    Haitwi Bien sol anaitwa Bien Barraza. Ben sol ni mwengine

  • @farahali6041
    @farahali6041 День назад

    Mm sikuona lamana niliona nguo nyeusi na njano tabu tu

  • @sabatoager
    @sabatoager День назад

    sijui wanagombania nn

  • @farahali6041
    @farahali6041 День назад

    hakuna anae gombania pozee ndio anajione ddy

  • @chuchudorice8531
    @chuchudorice8531 День назад

    Diamond Kenya ni paka la mapaka alikimbia angepigwa mawe😅😅

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x День назад +1

    Bien soul ndio nani Sasa alaa

  • @IRENEIKWAP
    @IRENEIKWAP 22 часа назад

    Willy Ako sawa

  • @solomonnzioka-eo3zy
    @solomonnzioka-eo3zy День назад +7

    Simba wenu wa kijijini haezi nguruma mjini 😂😂😂mke wa p Diddy 😂

    • @xfamefatetv
      @xfamefatetv День назад +2

      Numbers mpuuzi ww.... 😂😂😂😂 Simba la Masimba Dangote wetu sote EA. Period

    • @ManirambonaBashiri
      @ManirambonaBashiri День назад +4

      Alafu simba inakula sana wa Kenya, kama unabisha kamuulize Tanasha,😂😂😂😂 acheni roho mbaya kwa wanaowazidi

    • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
      @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM День назад +2

      Simba ni levo kubwa ,chuki ni mbaya ,mungu Alisha mubariki

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy День назад

      we mbona mke wa Eric omindi

    • @prudentjm3039
      @prudentjm3039 День назад

      Sawa mke mdogo 😂😂