MSALABA PART 2,MWALIMU CHAKA ASHIDWA KUJIBU MASWALI KUHUSU KIFO CHA YESU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 58

  • @iddykaje3691
    @iddykaje3691 4 года назад +1

    Mungu awazidishie nasikunyingine mmuwaulize hao waskristo kama yesu nimgungu kwaanini alijalibiwa nashetani tena akasikia hadinjaa hivi shetani anaweza kumjalibu mungu paka mungu asikie njaa

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 лет назад +6

    yesu hakufa wala hajasulubiwa ndio maana kila mkristo anaeleza tofaut kuhusu madai yao

  • @doctorkisale9430
    @doctorkisale9430 4 года назад +9

    Nime kueleweni vizuri waalim mmefundisha mafundisho mazuri nimegundua kitu ktk bibilia kuwa yenyewe inajikataa wanaoripoti ktk bibilia Wana pingana laiti kanisani wangekuwa wanatufundisha hivyo Kama mlivyokuwa mnafundisha asingebaki mtu ktk kanisa Mimi na mkewangu tumekueleweni Sana tunahama kanisani mwalim wetu hapo kashindwa kusitibitisha kuwa yesu kauwawa kisahihi ktk Aya zipi Kati ya hizo mbili zilizo tolewa na waisilam ndani ya bibilia kuwa ipi Aya sahihi

    • @mwanaishamlima2047
      @mwanaishamlima2047 4 года назад

      Hongera karibu ktk uislam

    • @ramzanqarim4977
      @ramzanqarim4977 4 года назад

      Mashaa allah kheir..mwenye kuelewa ataelewa mwenye moyo mgumu atabaki kuwa mbishi tu.

    • @alibaya2685
      @alibaya2685 3 года назад

      Aki watu wamusalaba washindani sanaa waislamu wanakufunza nyinyi bibilia so tufate mandiko plz chaka

    • @mzackibra6360
      @mzackibra6360 3 года назад

      Manshaallah

  • @mohammedali7803
    @mohammedali7803 6 лет назад +5

    Jezaka'Allahu kheiran 👍

  • @mohammedali7803
    @mohammedali7803 6 лет назад +5

    Masha'Allah 👍

  • @raelmonda1878
    @raelmonda1878 6 лет назад +6

    Ndo Maana Mungu kanijalia kuingia ktk uislam njia yenye inaeleweka kabisa Hamdullah

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 лет назад

      Alhamudulillah

    • @samkipandula
      @samkipandula 5 лет назад

      Hapo umepotea, rudi kwa Yesu utubu ndugu.

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 года назад

      @@samkipandula Ww wamjua Yesuu, ushawahii kumuonaa, wajua kituu ganii kuhusu Yesuu, maana ww ndio Munguu, dinii ganii yamtukana Munguu hiyo, heriii nisiwe na dinii kama kuwa mkristo, maana ni dini hainaa msingii na kama huaminiii fanyaa utafitii hata ww utaacha ukristo. Uislamu ndio dinii pekee ulimwengunii Munguu kamfanya kilaa mmja apendane na mwenzake

    • @samkipandula
      @samkipandula 3 года назад

      @@yusarjunkhanna4100 ndugu yangu bila kumwamini Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako ni hasara kubwa na unakuwa umepotea (yohana 3:16) kasome hiyo

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 3 года назад

      @@samkipandula Kilaa kituu kilikuwa na wakatiii wake, kama vile ulivyonitolea Aya kwenye bibilia na mimi niko na Aya zanguu kwa bibilia, hebu nifafanulie hapa katika Mathayo 15:24,sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli, kama wafuata bibilia na hizii Aya pia lazima uzifuate, ndio maana nakwambia Rafiki yanguu kama Kuna watu wanampenda Yesu basii ni waislamu, maana wanafuata mafundisho yake yote pamojaa na mitume wengine, kwahivyoo omba toba kwa Munguu na umkubali mtume Muhammad kuwa ni mtume wako na ulimwengu mzimaa, maana kama wataka uwongofu basii ni kwa waislamu maana hakuna ubaguziii, si kama kwa wazunguu kilaa mmja Ana dinii yakee, na dinii ni moja tuuu kufanya mapenzi ya Munguu kama Yesu alivyotufundisha

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +3

    Chaka Hana Kitu Anapoteza Muda Tu. Mada Ishamshinda.

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +3

    Kwa Njia Hii Wakristo Watafedheeka Sana. Kumbe Hawa Wakristo Hawaelewi Hata Kiswahili.

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 лет назад

      Kabisa

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 4 года назад

      Kuambiwa wataambiwa ila hawatakubali kuona wataona ila hawatafata .cuo ca nabi isaya kiliamiya mudikitini wemawalopita wanaendelea musikitini sio kanisani ukiwa mucamungu kweli lazima umukubali MUTUME MUHAMADI S.A.W ndiyo milzngo yake inafunguliwa kwa sasabmpaka kiyama ata yesu akija atasali musikitini ndiyo mana bibilia inawaambia yesu ataukumu walokufa nawazima bimana akija atakuta watu walipotezwa nabadala yakuja hakuna ukirisu kilamutu atakuwa anajuwa kweli na dini itabaki moja mpaka kiyama

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 4 года назад +1

    Chaka swali la msalaba halijui na hatalijua milele

  • @amourjuma1441
    @amourjuma1441 4 года назад +1

    Tatizo swali analiruka chaka analeta Mada nyengine ni bora kusema nimeshindwa ila tumefaham mana ukibishana na mjuzi atapatkana mshindi ila ukibshana na mpumbavu hawez patkana mshindi

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +2

    Hiyo Mada Ni Nzito Sana Kwa CHAKA. Chaka Mate Yamemkauka Kinywani.

  • @kalulemusajr2201
    @kalulemusajr2201 6 лет назад +5

    Chaka amechanganyikiwa.
    hawezi Elimu ya Wa Islam.
    waislamu ni maji malefu ndio maana Chaka kazamia mle mle.Lo!

  • @raelmonda1878
    @raelmonda1878 6 лет назад +4

    Achana na huyo, hajaleta point ya kueleweka, Mada imeeleweka kw upande wa waislamu, huyo atawahibisha wachristo wenzake.islam is straight and forward no hiding anything.

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +4

    Anachoongea Chaka Hakieleweki Anapoteza Muda.

    • @lazaromalanga6543
      @lazaromalanga6543 6 лет назад

      Unajua ww umejiandaa kutokuerewa tu

    • @harounkapingo4139
      @harounkapingo4139 5 лет назад

      watasikiliza lakini hawatasikia,
      watatazama lakini hawataona.
      damu yake yesu inanena mema.Ameen

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 года назад

      @@harounkapingo4139 Ushawahii kuionaa damuu ya Yesuu, wajua tusidanganyanee, Mungu yupo na yupo milele, ukikaa wamwabudu binadamuu mwenzakoo utaangamia, Yesu mwenyewee alikuwa anamwabudu Munguu

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 лет назад +1

    CHAKA mwenyewe yuko kichakani anangojea kitoto kondoo apewe sadaka

  • @sheriffshatterz
    @sheriffshatterz 4 года назад +1

    Hii mada ya msalaba: huyu mchungaji kwa kusummarize kumfanyia radd na kumfunga kabisa kwenye hoja yake inajibiwa na andiko moja tu: mathayo 12:40, tukianza katika aya ya 38:
    Hapo baadhi ya waandishi wa mafarisayo wakamjibu, wakasema, mwalimu twataka ishara kutoka kwako
    39: akajibu,akawaambia kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara,wala hakitapewa ishara ila ishara ya nabii Yona. 40: kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi,hivyo ndivyo mwana wa adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.
    Kwa hivyo Yesu kwa muujibu wa biblia anatoa bishara kuhusu kuwa atakuwa kama Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la samaki...
    Swali la kumuuliza shaka na wakristo wengine...kama yesu kweli alikufa akafufuka ina maana hii prophesy yake aliyoitoa yeye yesu ni ya uongo, kwa sababu yona Alikuwa katika tumbo la samaki kwa siku tatu mchana na usiku alikuwa hai na mpaka ametoka katika tumbo la samaki yupo...na yesu ametoa ishara kuwa yeye atakuwa kama Yona..kwa hivyo na yeye atakuwa hai kama yona katika moyo wa nchi ama atakufa kama wanavyodai wakristo...tushike maneno ya yesu ama tushike maneno ya kina chaka????

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 года назад +1

    Bibiliya imo ndani biashara ya sheitani na kumuzingishia yesu yesu hajuwi bibilia biashara ya wazungu .ukifata uasio yayesu ameshasema wewe ni mupumbavu wapi yesu amesema mwende mukanisa????? Yesu ni muisilamu matendobyakeyote niyawa isilamu

  • @harounkapingo4139
    @harounkapingo4139 5 лет назад

    mtaambiwa ukweli lakini hamtaelewa,ni kwa neema ya Mungu tuu ndiye atakaye wapa mwanga wa kuweza kuliondoa giza mlilonalo ninyi waislam.Nakupongeza mwalim Chaka
    kwa imani yetu ya kikristo tunapaswa kufika mahali kuiacha injili ya Kristo Yesu ipenye yenyewe kwa hawa watu,Mungu anawapenda bado muda haujafika tuu.

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  5 лет назад +1

      Hahaha,chaka amechanganyikiwa sawiya na wewe

    • @silaswilliammakashi3227
      @silaswilliammakashi3227 5 лет назад

      Haroun kapingo ni kweli kabsaa hao hawawezi elewa kwa sababu waislam hawana roho mtakatifu ni ngumu sana kuelewa na Biblia ni ngumu sana ukiisoma kama gazeti

    • @silaswilliammakashi3227
      @silaswilliammakashi3227 5 лет назад

      Yaani Chaka ana uwezo mkubwa sana ukimlinganisha na hao masheikh

    • @harounkapingo4139
      @harounkapingo4139 5 лет назад

      ni kweli kabisa
      @@silaswilliammakashi3227

    • @harounkapingo4139
      @harounkapingo4139 5 лет назад

      jambo moja tuu wanapaswa kufanya ni kumkiri YESU KRISTO kwa kinywa ili wapate kuijua kweli.
      @@silaswilliammakashi3227

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 6 лет назад +1

    Chaka anapinda ulimu.msibha!

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 лет назад +7

    Chaka hapo umeingia CHAKA DUME.....
    Hiyo hoja wakristo hamuiwezi
    MUNGU
    alisema ‘ wanaodai wamemuua Yesu wamekhitilafiana....!...maana alishasema HAWAKUMUUA wala HAWAKUMSULUBU...!
    Na kuna mambo mawili muhimu :
    1-MUNGU alishasema kifo cha Mtini ni cha LAANA’ Sasa hawezi kumfanya Mtume wake awe LAANA..!
    2- Pia sheria ya WAYAHUDI kipindi hicho mtu hawezi kutundikwa Msalabani kabla hajauliwa..!
    Sasa Chaka unataka kupingana na MUNGU alichosema na sharia ya kumtundika Mtu msalabani nayo unapingana nayo...!
    Sasa tuambie huyo aliyekufa kabla ya kutundikwa ni nani......na huyo aliyesema ELOHI ELOHI laa Masabakhtani pale Msalabani ni nani..?..Usilete UJANJA UJANJA..!
    ....KASOME vyema maandiko CHAKA....!.ACHA UBISHI...!

    • @gilloshaban2880
      @gilloshaban2880 6 лет назад +2

      Hahaha chaka

    • @ramadhankiponza6730
      @ramadhankiponza6730 6 лет назад +2

      Chaka Kaingizwa Chaka. Hakuna Mkristo Atakayeweza Kujibu Hoja Za Waislam.

    • @stanleynyabutooruta5509
      @stanleynyabutooruta5509 4 года назад

      Swala wokovu kwa waislam ni ndoto , ni sawa na kupigia mbuzi guitarp

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 4 года назад

      Iko katika kibaruwa ivyo nivizazi vibaya navyazina vimetegemeya isharacya kifo kwake amewajibu nzkuwacana ishara ya kifo cake itakuwa lama nabi yona kwenye oxygen yesu amepoteya wakasulubisha mwengine ambao Allah kafananisha isa sema hawana IMANI yakujuwa Allah analinda vipi mutume wake waje waine wa uma hu alivyo ficwa kwa hekima za Allah walahi tusipokwenda waisilamu peponi tutakua tumezembeka yani ni bonis fulani kabisa Allah iko nauwezo wacocote kile mutu kushindwa kuelewa kama Allah amemulinda kifo MUTUME wake yesu iyo imani ya ucristo ni imani potovu aceni kuwabembeleza makafiri yesu hajafa na anayoyajuwa ayo MUTUME MUHAMADI S.A.W njo anayajuwa ya Allah wengine wote wapotoshaji tu

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад

      #StanleyNyabutoOruta ....toa Andiko ndani ya biblia linalosema kuna waliokoka duniani na hawana dhambi..!

  • @mohamednassor1891
    @mohamednassor1891 4 года назад +1

    Nimemtafakari na kumskiliza chaka nimeshindwa kumuelewa nikasema nimeze panadol kichwa kitulie labda ntamuelewa lakini wapi. Kiukweli wakristo hamna dini ila mna taasisi ya kupiga ela tu full stop

  • @pulakonzo5752
    @pulakonzo5752 4 года назад +1

    Waislam amuwezi kuelewa biblia sababu hamuna ROHO mtakatifu