Pumzika kwa Amani mzee Mwinyi..... Asee ni pigo kubwa sana kwa watanzania wote... Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti.... Nenda baba, kamsalimie mzeebaba Magufuli, mwambie tunamkumbuka tena sio kwa mabaya tunamkumbuka kwa mema sana sisi watanzania...... Sema kifo ni fumbo sana duh wazuri wanaenda wabaya wanabaki
To the (retired) President of United Republic of Tanzania - Ali Hassan Mwinyi and currently President of Zanzibar - Dr. Hussein Ali Mwinyi and all the members of your family. I’m deeply sorry as I’m learning that you are experiencing such a great loss to your family. Kindly accept my sincerest condolences for you and your family at this difficulty time. You have my deepest sympathy and unwavering support. Wishing you peace, comfort, courage, and lots of love at this time of sorrow. You are in my thoughts during this difficult time. My heart goes out to you at this difficult time. May his soul rest in peace. Amen!
labda usiwe CCM ndio utapenda kutenda haki, lkn hakuna CCM hata mmoja anapenda haki, sikwambii kuitenda hata kuitamka hataki. ili uwe asui kwa CCM uzungumze haki au utende au upende haki, haki kwa CCM mwiko na dunia itafika mwisho CCM hawezi kufanya jambo la haki hata awe nani..
Pole sana Mr ibrahimu kweli marehemu alikua mtu bora sana mjomba wangu Abdalla alikua akifanya kazi kwake kwa upendo nae ni marehemu sasa
Pumzika kwa Amani mzee Mwinyi..... Asee ni pigo kubwa sana kwa watanzania wote... Mwenyezi Mungu akupe kauli thabiti.... Nenda baba, kamsalimie mzeebaba Magufuli, mwambie tunamkumbuka tena sio kwa mabaya tunamkumbuka kwa mema sana sisi watanzania...... Sema kifo ni fumbo sana duh wazuri wanaenda wabaya wanabaki
Aliyekufa ni mtt wa Mwinyi na sio Mwinyi mwenyewe
Pole Ibrahim my Friend kwa Msiba Mzito Allah akupe subra
Pole kuondokewa na baba mzazi anauma nyie hutasahau maisha yako yote sikia kwa mtu lilikufika ndo utajua umhimu wa mzazi
Wallah ni kweli mimi mpaka leo nalia ,kwa kua kazi ya Allah haina makosa ,Allahumma ghufrly warhamn.
Poleni jaman mloondokewa wallah 😭😭😭🙏
Innalillah wainna ilayh rajoun pole sana rais wetu na familiya yako Allah awape subra
Poleni sana sanahaaa nice speech excellent 100 % again poleni sana sanahaaa inauma
Pole sana mzazi anauma hutosahau maisha yako yote
Allah amjalie kauli thabiti
Allahuma ghfilahu warhamhu wamaskanahu min riyadhi L-Jannah.
Aaymin
Pole sana napolekwamzehe mwinyi
Poleni sana wanafamilia Tunamuomba Allah akuzidishien subra naakulipeni malipo yakusubiri. Mbele yake nyuma yetu
Iina Lilah Wainnailah Rajuun Mungu akampe kauli thabit marehemu na amuepushie adhabu ya kaburi.
Nmeshtuka pole sana wanafamilia
Hata wewe unaonekana uko vizuri. Pole sana.
Hii ndio inavyotakiwa Leo baba yako anakuwa mjumbe wa nyumba kumi unaviimba daaa hatari Mungu atuepushe na kiburi
Ina lilah waina ilah rajiun
Allah atamjalia awe makazi yake ni janna firdous ulya yarab amin
Pole Sana ndugu
Poleni
Pole mzee Mwinyi.
Mwenyezimungu ampe kauli thabiti
Innalillah wainnailaihi rajiun poleni sana
⚘Eternal rest grant unto him O Lord. And let perpetual light shine upon him. May his soul rest in peace. Amen
Poleni sana
Allah amrehemu
Poleni sana
To the (retired) President of United Republic of Tanzania - Ali Hassan Mwinyi and currently President of Zanzibar - Dr. Hussein Ali Mwinyi and all the members of your family. I’m deeply sorry as I’m learning that you are experiencing such a great loss to your family. Kindly accept my sincerest condolences for you and your family at this difficulty time. You have my deepest sympathy and unwavering support. Wishing you peace, comfort, courage, and lots of love at this time of sorrow. You are in my thoughts during this difficult time. My heart goes out to you at this difficult time. May his soul rest in peace. Amen!
Aaaamin
Anakujuaaaa ameisomaaaaa hiii Una namba zao
Innalillah wannailayh rajiun
Innallillah wainnallillah rajiun
R.I.P.Marehemu.Pole Sana Mzee Mwinyi.
Inalilah wainailahi rajiuun
Bas na ww msihi baba yk mdogo na babu yk watende haki kwa wa zanzibar
Sounds like a good person. RIP.
Why you say like?
@@khalidikmuhija5397 i don’t know the deceased..you can correct my grammar if I am wrong.
ɪɴɴᴀʟɪʟʟᴀʜ ᴡᴀɪɴɴᴀɪʟʟᴀʜ ʀᴀᴀᴊɪᴏᴜɴ
innalillahi wa inna ilaihi rajiun
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun
Pumzika kwa amani sote njia moja 😭
Kumpoteza mzazi hakuna anaelewa isipokua tu sisi ambao yametukuta pole sana
polen sana
Inalillah wainailahi rajiun mngu ampe kauli thabit ameen
Amin
Innalilahi wainailah rajuun Sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea pole Sana
Nauliza raisi wa Zanzibar huyu wasaivi ni mtoto wa marehem mzee mwinyi au
Inna lilahi wainna ilayhi rajiun
Innah LILLAH Wainnah iley Rajioon
Allah amjaalie makaazi mema na wote waliotutangulia mbele za khaki
Inalillahi wainailahi rajuun.. Allah mpe kauli sabiti 🤲
Amin
Poleni jamani
Polesan. Babu. Weetu
labda usiwe CCM ndio utapenda kutenda haki, lkn hakuna CCM hata mmoja anapenda haki, sikwambii kuitenda hata kuitamka hataki.
ili uwe asui kwa CCM uzungumze haki au utende au upende haki, haki kwa CCM mwiko na dunia itafika mwisho CCM hawezi kufanya jambo la haki hata awe nani..
Poleeni wafiwa wote
Na ndugu yake Hussein alimwambia afanye haki asichukue haki ya marehemu Maalim Seif lkn hakujali na alikataa hio ndio dunia ni sehemu ya kupita tuu
Innalillah wainna ilahim rajuun
Inna lilahi wa inna ilayhi rajiiuun.
Hataki dawa dawa nikula mwadilifu Naimani ya Allah watu namanjozi Yao weumo dawa dawa ushirikina tu
Hii familia ina uwezo Ila inaonekana hawana mambo mengi. Kafa leo na wamezika utasema si mtoto WA Raisi mstaafu. Atakuwa alikuwa mtu asiyependa makuu.
waislam tunazika siku hiyohiyo.
Maiti ya kiislam haiwekwi mtu akifarik bas anatakiw azikwe
Uku Iraq ukifa hukai hata masaa matano wanakuzika atakae chelewa basi na hakuna matanga huku
Ukishakufa katika Uislamu ni kuzikwa tu, huna cha kusubiri tena.
Namfahamu hilo Ila wengi wanazika hata kesho yake. Lakini nimeangalia wadhifa wao na Mazishi yalivyokuwa wangeweza kuwa na sururu wa viongozi .
ruclips.net/video/8Hm0SSFKjtY/видео.html
Bofya hapo👆
😥💦
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI,ATAKUPA UTAKACHO.*#.*#
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI,ATAKUPA UTAKACHO...*#
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
Poleni sana
Inalilahi wainailayhi rajighuwn
Innalillah wainnailaih rajiun
Inna Lillah Wainna Ilah Rajiuun
Inna lilah waina ilayhi rajiun
ruclips.net/video/8Hm0SSFKjtY/видео.html
Bofya hapo👆
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI,ATAKUPA UTAKACHO...*#
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI,ATAKUPA UTAKACHO.*#.*#
ruclips.net/video/6tia-5UH4MI/видео.html
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
ruclips.net/video/8Hm0SSFKjtY/видео.html
Bofya hapo👆
ruclips.net/video/8Hm0SSFKjtY/видео.html
Bofya hapo👆