FIZI | UZINDUZI WA SANAMU YA MBAVU MOYA FIZI CENTRE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 Год назад

    Wow nimechelewa .ila naona bado mapema nimependa sana tukio kama hili la asili na kufanya kitu kikubwa mno uyo ndugu Mungu awe nae kwakila afanyalo .from KENYA NAIROBI

  • @saidibuja5050
    @saidibuja5050 2 года назад +2

    Tunaitaji watu ambao wako na mawazo kama aya kwetu FIZI, ambao tume watuma kwenda kutu teteya uko kinshasa, wame niliza sana jana, mu ensemble wamekuwa na sinziya tuuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, akiwa mgombeya uyu baba namupa kura yangu

  • @Elila-TV-243
    @Elila-TV-243 2 года назад +1

    Courage Vraiment

  • @abwesumail5026
    @abwesumail5026 2 года назад

    Tunashukuru sana kwa ginsi ulipandisha fizi

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 Год назад

    Daaah sanamu inawekwa porini 😂😂😂😂😂

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 2 года назад

    Asante sana muheshimiwa kwa jambo ulilo fanya ni jombo kumbwa sana kwa watu wanao juwa ufahari na ukubwa wa kabila letu ili swala natamani ninhekuwepo hapo nafura mno kama kunawatu awakujitokeza mungu awasame

  • @izack9191
    @izack9191 7 месяцев назад

    Huyu sio mbavu moya bali mbavu tatu 😂😂😂

  • @alimasiitenda6342
    @alimasiitenda6342 2 года назад

    Felicitation a cet initiative patriotique

  • @benjamint.bins.6504
    @benjamint.bins.6504 2 года назад

    Élùmbé k'ya BABONDO " MBAFU MOYA M. "

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 Год назад

    Ila inamaana hiyo bendera ndo ya fizz au? Maana mimi sielewi congo vizuri

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 Год назад

    Hivi imagine kwanza na sanamu ya dar es salaam na hiyo sula mlio weka imekaa kivingine kama mdoli 😭 ukweli usemwa
    Nyie wekeni sula halisi ya mtu

  • @congoleseyouthnetworkc.y.n1803

    Kwetu

  • @ngeleloembete2956
    @ngeleloembete2956 2 года назад +3

    Mume fanya jambo kubwa mno maana ukweli hubaki kuwa kweli leo kesho hadi milele
    Mara ya kwanza kuwekwa sanamu la mwana mapinduzi ya mwelekeo wa kivita ulimwengu mkongomani wa asili ya ZONE YA FIZI kuwekwa katika nchi yake ya ASILI DRCONGO/FIZI