Fredrick, Fredrick..!!!.. This is unfair!!.. Why do this to Senior Dave?....Is this the Government who should protect people...!! Ngai Fafa 😢😢. May Almighty God fight for Senior Dave
Uko na akili wewe,,,luo wametokea wapi APA?? Watakuja tawala Kenya usikie Ivo,,uyu jamaa amejam na msichana nmalaya chipukizi kamtolea na kumpanulia,,,uyu ayuko na kosa
OMG All our trust was on fred. I can't even imagine fred anaweza saliti sisi ma fans as a whole ?😮😮.sasa afhadhali ndolo apewe ile 1m anadai dave aachalie champe from the spirit of madness. NDOLO .now you can deal na hao watu wawili(FRED AND TOM) .😮
The Pastors, the Prayers, and the Singing 🙆🏽♀️🤔 Senior Dave pole sana and may God Bless and Protect You 🙏🙏 But for a good reason the Lord Jesus Christ allows things to happen 🙏🙏
Waaah sisemi kitu,huyu ni dci Fred we were praying for him ati ni mzuri weeeh nimeshangaa kumbe he came to look for money in the name of helping a friend Senior Dave,Ngai never trust even a close friend,guys hatuna ulinzi kwetu thuluma na kupenda pesa kwa wenye tuliamini kama walinzi wetu but for me mlinzi wangu ni Yesu no 1.
Guy's 2027 tupee Eric omondi akuwe president ruto ameangamiza Kenya ya kutosha juu akuna kenya DCI wa ukweli wote n kidnappers wote sasa huyu ndo tulijuwa n mkweli kumbe yy ndo mbaya sana🙏🙏🙏
Senior Dave, for security please trade in your car and get a new one .look for another house and put anti tracking on your phone and Anita's line . you're in danger.
When Anita Dave was kidnapped, Dollo said it was the officer who wanted his final dues. That one l trusted his words by the way he reasoned. Senior Dave should get the money from well wishers and stop dealing with the government officials
Ndio maana nilisema ww unatafuta viwas na kukaribisha kila mtu me niliona wakati urikaribisha ule mumama mwenye mtoi wa mimba ata me nilijiurisa mbona ujamarisana na kesi.y kwanza na unaanzana na ya pili😢😢😢
Dave surrender this case bure utamalizwa na familia yako,dont joke with cops haukuona vile magistrate aliuliwa,tafta kina miriam warudishe pesa ya Ndolo n run for your life
I told you people muache kutetea Fred kwanza tujue ukweli oneni sasa? He pretended to be good ndiyo akamue pesa kutoka kwa ndolo i believed ndolos story because ilifanana na ya Tom!! Who should we trust now? Kama hawa ndiyo police tuko nao!! Ndolo waroge wote but wachana na Dave!
Me i believe Dollo for sure na hata toma alisema kumbe Fred ni jambazi suku na hata amefutwa kazi na amepregnete mwanafunzi those who were supporting continue then
The way I had respected this guy as the true servant of the Kenyan people......Kwa hivyo Kenya imeeisha
Yes, it is all confusing stuff.
Mchangieni pesa mlizoea kutumiwa. Kiujinga Mimi nijikute nikichangjga Kwa hii ujinga
@@salminasalim5630 dogo wangu huo ukweli kabisa
@@njugunagathoni3392 😂 😂 Wenye wameacha gather here like me
Aki this people are very corrupt. This Kenya is most of government people are very corrupt
When God is at work, He never leaves any stone unturned. God have mercy on our country kenya
Wale tulikua tunatetea Fredrick wapy likes zake koz Dave alijifanya mzuri kuchunguza sasa ona mambo,😂😂😂😂😂wanaitwa askari wa kenya yetu
😂😂😂
Amerogwa na dollo
Mimi huwanga naamini dollo sana...he is not a hypocrite but always very straight.
I can't imagine,i will never trust any one.Mungu tusaidie aki.
Pia mimi
Me too nimeinua mikono🙋🙋 juu aki nitakuwa naangalia tu but unaombea mtu na kumbe ndiyo criminal mkubwa
Ata mi nimeshangaa na vile nmemuombea sana aki
EEE mungu tusaidie kweli heh Ata hatujui TUSEME nn sasa
🙆🙆🙆😢😢😢🙏🙏🙏
Freddy Freddy kube umulipwa jameni, Ngai navienye tumekutetea, Jehova 😢😢😢ata Mungu wa mbinguni anaona hii yote. WHO TO BE TRUSTED NOW
Sisemi kitu Jamani 🤐🤐🤐🤐🤐.I honestly surrender my life to Jesus Christ 🙏. 😳😳am totally shocked RUclips.👋👋 Jehovah 🙆🙆 Am 🏃🏃 running to Jesus
Ama amerogwa😢 juu siamini Bado eti huyu ni Fred
That's the only way, the world is rotten you don't have to trust anyone anymore. Only Jesus christ our savior is the answer..
Hallelujah 😂❤❤❤❤
Welcome to the kingdom
And thats the only way
Fredrick, Fredrick..!!!.. This is unfair!!.. Why do this to Senior Dave?....Is this the Government who should protect people...!! Ngai Fafa 😢😢. May Almighty God fight for Senior Dave
That's why luo will Neva rule this country
Exactly 😢this guy's hawako Kwa serikali ni majambazi
Uko na akili wewe,,,luo wametokea wapi APA?? Watakuja tawala Kenya usikie Ivo,,uyu jamaa amejam na msichana nmalaya chipukizi kamtolea na kumpanulia,,,uyu ayuko na kosa
Very true
Sasa ndio nimeamini
Angalia huyu jaka shetani wewe Fredrick !hizo prayers tumekuombea zikue moto kwa kichwa chako huna adabu !
Waaaah 😢😢😢 God from today i will never never & never trust anyone except God alone!
labda DCI Godfrey
Na vile Freddie nilikua nakuhurumia surely 😮😮
Kwan amekosea wapi? Fred ako sawa,msichana nmalaya chipukizi alijpeleka kwake na bdo siamini ka ako na bol
Navile amefaya tulie tukimuobea
My God uyu ni fredei ame madilika ivi 🙆 kwani kunaedaga aje guys vile nilikua nimemheshimu 😢😢😢😢😢😢oooh noooo
All this story building up from Karen and Dan 😢😢😢.
weeeeee.....pia Frederick na vile alilia.. Mungu wangu Dave achia Mungu..ndiye mwenye haki...let it go 😂😂😂😂😂😂
Dave plz achana na hii story plz tafuta ingine plz
Kwani ninani mwenye alikula pesa za wenyewe kwani
@@aboudijaaboudija Fred anamakosa b4, and all thesethings kafanya, asingekuwa kafanya asingekuwa na hasira
@@aboudijaaboudija but wah this life no balance hii kesi sia you tube nia kwa police station to
Huyu Dci , remember u have the family and uko na watoto , one day one time😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 , hiii kenya siamin ak .
Dollo is right i thought alikuwa mtu mbaya kumbe hizi kunguni ndio zinampoteza
Heri dollo
😢😢😢 I have nothing to say may God protect you Dave and also your family director weuh kumbe Fred pia yy ni ......
Waaah fred ni mkora kabisa
Dave wachana na hiyo kazi
😅😅😅😂😂😂 Heheee.... Fredrick may Ndolo Roga you properly 😅😅😅 ukule nyasi na uvamise na nyuki milele😅😅😅
Fred has shown us his other side which we never knew about
ndolo huyu akule nyasi na mimea yote
Dollo ametumia dawa na alisema direct
Dave anaboh ebu tumu unsubscribe..aache kuaribia Fred jina
I used to support him but he is a traitor navile Fred cries like a bb mitie wife yake ndio dawa yake😂am nyoroshe
@@LovelyBeignets-ec5sgwhat do you mean this is true character of Fred Dave is ok
OMG All our trust was on fred. I can't even imagine fred anaweza saliti sisi ma fans as a whole ?😮😮.sasa afhadhali ndolo apewe ile 1m anadai dave aachalie champe from the spirit of madness. NDOLO .now you can deal na hao watu wawili(FRED AND TOM) .😮
Iam speechless 🙊 😶 😳
Where is the world going like seriously 😐 🙆🙆
The Pastors, the Prayers, and the Singing 🙆🏽♀️🤔
Senior Dave pole sana and may God Bless and Protect You 🙏🙏
But for a good reason the Lord Jesus Christ allows things to happen 🙏🙏
Na vile nimekosa usingizi siku mingi😢😢😢😢kumbe freddi ni shetani pia😢😢
😂😂😂😂
Mguu mmoja tena🤔🤔
Mimi ata sikulala siku mbili vile alisema hana job ata kukula ilikua shida nikimuombea okopa mtu anaitwa rafiki
@@evilynbetha2350 then akasema ameenda missing kumbe alikuwa anakula pesa ya ndollo pole pole
Aki don't trust any body
Waaah sisemi kitu,huyu ni dci Fred we were praying for him ati ni mzuri weeeh nimeshangaa kumbe he came to look for money in the name of helping a friend Senior Dave,Ngai never trust even a close friend,guys hatuna ulinzi kwetu thuluma na kupenda pesa kwa wenye tuliamini kama walinzi wetu but for me mlinzi wangu ni Yesu no 1.
I can't imagine huyu ni fred
Dollo was right cause he was fighting for his justice....angerudishiwa pesa ya mtoi yenye anadai 😮😮😮😮uweeeeee 😮
Huyu anakaa kujiua ndio maana anataka kujua wengine. Justice for Dave
Instead of Fred to clear his name he came to fight Dave surely. Dollo was right all the way
Uyundio tulikua tunaona ni afathali kumbe ndio mpaya kabisa waaaaah 🇰🇪 xx akuna aman aki dave pole kikulajo ki nguoni mwako😢😢😢😢😢😢
Now iam back in love with Dave again, Dave sasa kuwa rafiki ya ndolo u expose hao watu wote.
😂😂😂😂😂afro Cinema continues shortly
So painful video 😭😭😭😭
Dave what did you do to this man to deserve this dear? 😢😢😢😢😢
Betrayal of the highest order
Waaaaaaaa😢😢😢😢😢Rutoooooo,who. Can we trust now
Guy's 2027 tupee Eric omondi akuwe president ruto ameangamiza Kenya ya kutosha juu akuna kenya DCI wa ukweli wote n kidnappers wote sasa huyu ndo tulijuwa n mkweli kumbe yy ndo mbaya sana🙏🙏🙏
Dave be careful bana
Surely
Siamini kabisa iki kinachoendelea mungu irehemu kenya na watu wake
Dave naye alimsaliti Fred kwa dollo ndiyo maana Fred amechukia sana
@user-zq1bn8zs2v Kabisa shame on you
Senior Dave, for security please trade in your car and get a new one .look for another house and put anti tracking on your phone and Anita's line . you're in danger.
Kumbe hata story ya kufutwa job ilikuwa uwongo baada ya kusanya hongo akajitoa !!!!!Wah wah police ni police kweli!!!!!!!!!!
Ni hajabu kweli mmmmm kumbe ni heri nai ishi na muchawi mwenye na juwa kulikoni munafiki😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢pole sana SN DV
Sr.dave please please wachana na hio show if you love 😍 yourself and your family 👪
I am speechless 😢😢, wueeee kumbe ulikuw umevaa ngozi ya kondoo😂😂I regret for praying 😂
We take back our prayers 😂
@@reggiesmyth and also to reverse our Money,
Haya mlikuwa mnatetea Frederick
Ili ni jambazi af Dave naye badala afige mtu Ayo makende na teke anavumilia tuu,,Fred n jambazi
@@JacksonMutinda-jw5qw 😀😀😀mtu ako na bunduki
@@siliviaDali aezi shoot ju anajua uo unakua mwisho wake
@@JacksonMutinda-jw5qw eeeh hta alkuwa anamtishia..dave n muoga kupiga nduru tu
@@siliviaDali afai kuwa mwoga Ivo,Kenya yaleo wengi ujifanya wazuri wakifika uchafu kama uyu fred
Hii ni jambazi kuliko Dollo and Tom 😢😢😢😢😢. May justice take his course 😢😢😢. We are watching
Now fred wonted champee to die?,Eeeeh this world is weakened
C alilipwa
Woi
Si unasikia akiuliza Champee ni nani, meaning hata akikufa ni sawa
Never trust anyone in this world 🌍🌍🌍 God help us .
Very true in this world never trust anyone only God ndio wakumwamini pekee yake
The time aliamua ku ignore your calls. I knew there was something fish
Me too
When Anita Dave was kidnapped, Dollo said it was the officer who wanted his final dues. That one l trusted his words by the way he reasoned. Senior Dave should get the money from well wishers and stop dealing with the government officials
😢😢😢wareeeeeee, mwenye tulikua tunaamini, woooooy shetani ashindwe
In this world never trust anyone even your one of your ✋👌
Ngai Freddie alikua shetani walai 😭😭😭😭kube gozi niya kondoo
It is very sad aki,i can't imagine,Fredrick can do this to Dave aki.
Dave please for your safety ama hapo 😢😢may God protect you. Nime amini vile ndolo na Tom amesema woiii fred kumbe wewe ni shetani
Dave mungu akulinde baba❤😢
God God Kenya Kenya Kenya imeoza.davhii story ata Iko na ushetaaaaani all thro.iacheeee
Ghai we call the Goverment of kenya yani serikali ya kinia weeeeh
Serikali ya mjabazi
@@Elizabethkhavetsa kimewaramba bwana ndio huyo heri Dollo wangu 🫶
Kama huna pesa usi ite serikari ya kenya inawenyewe I beg
Ngai can't believe this 😳!...In who's hands are we safe😭😭
I said it never trust anyone people love money more than anything do ata wale wa kumtetea nz kukimbilia kumchangia see your life now😂😂😂😂
Na ilikuwa karibu nitume kakitu imgn but nikasikia roho ingine ikiniambia ngoja kwanza, kumbe kikulacho kinguoni mwako
Can you keep quiet 😂😂😂😂😂😂
I thought kenya is better than Uganda but ooh. Greatings🤝🤝we are the same 🤷🫣🫣🫣🫣
Jesus Christ for sure what is happening with these police officers
All the time god is good 💞💞 i play 4 you all god hapo hapo dave please 🧘♀️🧘♀️🧘♀️
Huyu ndio tumehishi kuombea 😅wee hii ni nyoka hky
😂😂😂😂na vile nimefunga nikiomba wah hii dunia ni normal
Nimeshtuka yangu yote
Ama ni machungu juu ameanikwa
Kwani imekua Nigerian movie, Dave take care tusikupoteze, we need you bro.😮😮😮.
Dave Dave utapoteza uhai wako njuu ya hii kezi please please wachana na hii kezi
I agree with you he should leave this case period.
Senior Dave please hamisha everything you have.... Studio, change your car na uhame place ulikua.
Ulifanya kazi zuri FRED usi jipatishe haya.acha hiyo mambo acha kutishiya Devi please 🙏 edeleya na kazi zako zuri Mungu ata kubariki
Devi atatishiwa juu anamuharibia Jina kila.kitu anaanika.kwa nn
@@maryammaryam7354..True ..ata amenibore Sana aishhh
Sorry Dave everything happens for a porpose 😂😂😂😂 pole
Dave ni juu alimharibia jina na kazi aliyofanya fake DCI kuyabadilisha ndio maana Fredrick amekasirika na Dave
Mungu yuko
Dave pole iyo story achana nae kumbe Frederick ni munyama ee mwenyezi mungu tunaomba utusaidie maana wewe ndyo tunakulilia❤
Ndio maana nilisema ww unatafuta viwas na kukaribisha kila mtu me niliona wakati urikaribisha ule mumama mwenye mtoi wa mimba ata me nilijiurisa mbona ujamarisana na kesi.y kwanza na unaanzana na ya pili😢😢😢
Kumbe fred wewe ni mwizi nae mungu si mwanadamu no work utateseka wewe mbwaaaa hiiii na usiwahi rudiii kazi maana wewe ni mkoraaaaaaa
Tupewe wote bunduki ,they take advantage of it, hypocrites, taking bribe and kidnapping.shame on you.
🥺🥺🥺🥺😥😥😥😥💔💔💔💔Mungu mtetezi wawanyonge woi .aki Dave akufiche aki .
Never trust a police officer even if is your brother these people are cursed when it comes to money
Never trust anyone ,,,watu hupadilika wanajifanya lakini dani ni wanyama😢
Uwiiiiiiii siamini macho yangu akh 🥲 Fred whatever you are planning you will harvest
Hayuko job,but He has a Gun 🔫...hii ni maaajabu... Kenya yetu
Huyu ako Job n uongo tu
Hawa watu si jambazi hawako Kwa serikali I doubt
labda amepewa na tom
Ako job huyu
Mim naona hii ni madawa inafanya kazi
weee😮kube Fred uko hviyo usiweke tumaini lako kwa mwanadamu but weka kwa mungu😢😢😢😢😢
Gaiii....pesa wewe,,nme funga mdomo kabisa mimi
Ifungue ukule 😅
Irea269 pesa iliua yesu na dave ako na mdomo lakini anapigwa kama mwanamke nakulia nduru Jesus hii dunia tunaenda wapi sasa
Ngai Ngai....is this the man we are cry for
Dave surrender this case bure utamalizwa na familia yako,dont joke with cops haukuona vile magistrate aliuliwa,tafta kina miriam warudishe pesa ya Ndolo n run for your life
Surely
Waaaa fred hhhhhh weee kumbe uko ivoooo
Usiamini mwanadamu haki fred unafaa ufutwe job
Kwn ww uko n ukweli gan,,,me I still trust fredii
Waaaaa😢 ndollo kujia pesa zako,la,sivyo lisha watu nyazi ghaiii🤷🤷🤷🤷
Senior Dave,even though this guy helped you to get Anita... kindly vacate from your house.....from the very first day I told you not to trust anyone
Uyu Fred kweli ni sheteni na venye alikuwa amenyenyekea. akiombewa na pastor,wah ndunia kwisha
Now I support Ndolo fanyia hawa watu ile kitu😂
Ndollo is a good man but Hawa Dci na Fbi no,
Tuko wote kumbe😂😂😂
Wakule nyasi
We wachaneni na kenya ikae
Eti u support ndolo? Uko na akili wewe? Jambazi lanunua watoto wawatu??
Its better a devil u know than angel u don't know 😢😢 my senior Dave woiyeee
Mko wapi wale mlikuwa mnatetea fred ur fred is ur enemy the truth is out...beta uyo dollo kuliko hao so called dci ma chui
Pole tumezip,,,mungu anisamehe
@@Victor-dh9xm😂😂😂😂😂😂😂
Davi pole kama nilikutusi juu ya fredi
Ndollo nime kubali ronga mtu
Woooiii! Enyewe hii dunia usiamini mtu yeyote ata mimi nimeacha kujiamin😂,i only trust in the Lord
I told you people muache kutetea Fred kwanza tujue ukweli oneni sasa? He pretended to be good ndiyo akamue pesa kutoka kwa ndolo i believed ndolos story because ilifanana na ya Tom!! Who should we trust now? Kama hawa ndiyo police tuko nao!! Ndolo waroge wote but wachana na Dave!
Me i believe Dollo for sure na hata toma alisema kumbe Fred ni jambazi suku na hata amefutwa kazi na amepregnete mwanafunzi those who were supporting continue then
Don't trust anyone
Ata me naamini ndollo 😅😅
Wawawaaaaaaaaaaaaa heri dci fake sasa juu ni mkweli
😂😂😂😂mimi niko confused sasa dolo ni innocent
Yayayayaya Frédéric ata wewe kweli?😢😢😢😢🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Fred is mad coz the truth about him is revealed, senior dave jitoe kwa hii stori,kindly dollo take over and do the nessesary to these two officers,
Tafadhali usituulie dave wetu wewe sasa umeeleweka nigaidi tena mbaya sana
😮😮😮😮😮😮😮😮😮now Iknow my country is Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥is not Zimbabwe
😂😂😂😂😂
😅😅😅
Mmmmh fred freddie is this you nah🤦 indeed the safest place to be is in God's hand😢
Dave you deserve this aki hukumtendea vizuri Fredrick
That is very true,hasikii hata hushide hapo ukisema
Acheni kutètea hii kunguni..evidence imetolewa alkula pesa
This one to us is a movie but for Dave and his family is the reality😢😢😢😢. He should be very careful and lie low. This two DCIs are working together
Heri dollo sasa
This is Kenya, aky Kenya hatuna askari 😢😢😢😢 weh
Uuuuuuuu iiiiiii, uuuuuiiiiii, watuuuuu, watu wengisanaaaaa. Nikwanyitana. Kwanyitanaoorimweee waaaahh
Huku guthukanite ni kuuru biu but Fred should understand devvy ni maneno ameletewa...so wachunguze before judgement....
Uyu pia alikua amgeuke.aki mungu wangu🙏🙏🙏
Wah,, wenye mlikua mnasema uyu mkora n MTU mzuri mko wapi,, ukweli unauma
@semion DCI come on utupe majibu pls
Dunia Mzima imeshuhudia kenya haina usalama. 😊😊😢😢😢😢
Wah!siamini Freddie alikuwa anatu, prank kkwa hiyo muda yote🤔🤔🤔
Dave punguza introduction zako
This one made me cry dave be careful 😢😭