Khaligraph Jones: Hajaniposti, Siwezi kujipendekeza kwake / Collabo yangu na JAY Z mwaka huu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 136

  • @LilOmmyTV
    @LilOmmyTV  6 лет назад +51

    Pamoja sana wote kwa kuangalia. Kuangusha Comments. Gonga like pia share kwa washkaji zako kwa whatsapp, facebook au twitter. Pakua Lil Ommy App kwenye google play store uweze kupata habari zaidi na videos

    • @ahutamorris
      @ahutamorris 6 лет назад

      LilOmmyTV mahojiano yamekubalika huku kwetu Kenya kakangu

    • @stephenziro8530
      @stephenziro8530 5 лет назад

      Lil ommy ukija tena Kenya ulizia kalamoto kiumbe ukisikia moto sasa huyo nmoto.. ..fid q wetu wa kenya coz anaeleweka broo tena ikiwezekana umkalishe na msodoki weeeee kutatokea moto♨♨♨

  • @ogangakhadudu
    @ogangakhadudu 6 лет назад +28

    Huwa nadharau interviewers. Lakini huyu Lil Ommy ako juu tu sana 👌

    • @zak5065
      @zak5065 6 лет назад +2

      +Oganga Khadudu budah nakuona unawakilisha popote pale #PapaJones ako au ww photographer wake????!!!!😆😂

    • @ogangakhadudu
      @ogangakhadudu 6 лет назад +3

      Born A Legend kivuli chake 😂

  • @zak5065
    @zak5065 6 лет назад +15

    #PapaJoneS we here bro. 🔥🔙🔛🔝💯✔
    #LilOmY ....BiG uP BrO. U on the Next Level 🔥🔥🔥💯✔

  • @agcreatedit
    @agcreatedit 6 лет назад +8

    LilOmmy Kenya we love your work...#RespekTheOG Kenya finest

  • @nickymeel986
    @nickymeel986 6 лет назад +5

    Ommy fanya uje kenya tukucheki..we lovyu dude😍

  • @j-lisheonline
    @j-lisheonline 6 лет назад +23

    Jamaa linajielewa sana hili, nalikubali kinoma! 😂😂

  • @jeshirea1907
    @jeshirea1907 6 лет назад +4

    254 OG ndo kusema meen this the king so far

  • @tasteradio1060
    @tasteradio1060 6 лет назад +1

    Of cosi papa Jonzi pale. Mtu fresh kabisa

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 лет назад +80

    Huyu mtangazaji tunamkubali huku KE anafanya research before interview

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 6 лет назад +1

    Salute sana wazee Lil ommy show lakibabe sana mnyama nakukubali sana we sio kama Wale maboya wengine we ni high-class, Papa jons napenda vile una answer ma questions very clear ,interview iko so smart 🔥 🔥

  • @bernardchibwana6176
    @bernardchibwana6176 6 лет назад +1

    Lil ommy kizaziii sana mazeeeee baba!!, Papa Jones ninoumaaaa

  • @simbachafosa6880
    @simbachafosa6880 6 лет назад +2

    Salute lilommy! Kwa interview za kiutu uzima na ubora wa hali yajuu!
    Nakupa vyeo! O G anajibu kizazi sana!
    Big up

  • @ToyTz
    @ToyTz 6 лет назад +2

    OG!! real Nigga,,t.o.y de baddest rapper

  • @dennismkallah1391
    @dennismkallah1391 6 лет назад +2

    huyu lil ommy upo sawa APA Kenya namkubali kibinafsi natamani afanye interview na octopizzo pia inakuwa mpango mzima

  • @felixtiffs6260
    @felixtiffs6260 6 лет назад +9

    this guy is a presenter in with PHD from HAVARD

  • @kokiiry
    @kokiiry 6 лет назад +1

    Eh top class journalism. Research, research, research.

  • @kingdully7208
    @kingdully7208 6 лет назад +1

    I lov the way anajibu maswali so cool bro

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 6 лет назад +2

    lil ommy uko juu interview chako ziko juu #respectTheOG

  • @Dan_Alan
    @Dan_Alan 3 года назад +1

    A nice interview OG anajielewa xnnar 4rm +254

  • @amosmagundo7518
    @amosmagundo7518 6 лет назад +2

    papa jones ,noma sana from mombasa

  • @bakaribakari_
    @bakaribakari_ 6 лет назад +3

    Lil Ommy huku 254 tunakutambua sana. #KizaziSana

  • @mchinathegreat9619
    @mchinathegreat9619 6 лет назад +8

    OG iz Already respected

  • @hezronomwenga7633
    @hezronomwenga7633 6 лет назад +3

    Wisdom sana OG!

  • @musanjama2211
    @musanjama2211 6 лет назад +14

    Nimependa OG alivosema kua anafanya video kulingana na their own idea hapa watanzania tujifunze kitu kupitia Kenya katika kuipa fasihi Uhuru

  • @motivateU849
    @motivateU849 6 лет назад +3

    LilOmmy uko poa.coz unafanya research kwanza. Big up 254

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +5

    Kibabe sana, love Tambwee kwa show yako yakibabe.

  • @nyamagegang6555
    @nyamagegang6555 6 лет назад +1

    Khali King 4 254 Hiphop Forever

  • @ChoperTV328
    @ChoperTV328 6 лет назад +5

    Khaligraph ni motoooooo🔥🔥🔥🔥

  • @moneymusics6072
    @moneymusics6072 2 года назад +1

    Hiyo kari mazee

  • @wicklifeomondi5171
    @wicklifeomondi5171 6 лет назад +2

    The beast hip hop guru cherish u Jones #+254 kayole mutations

  • @solomonmwadori1282
    @solomonmwadori1282 6 лет назад +6

    lily ommy unajua Ku interview big up bro..254 tunakukubali

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 лет назад +2

    Papa Jon's tunakukubala sana Tz

  • @martinsilwimba4282
    @martinsilwimba4282 5 лет назад +6

    Khaligraph jones natamani sna kama mngefanya ngoma na fid q na baada ya hapo mkafanya na sarkodie nafkili itakua bonge la truck kali ya hip hop afrca mkaongelea politics kwenye ngoma hiyo yanii yaani verse ya kwanza ukaanza nayo ww second akasimama sarkodie at the end akaua mzee mzima fareed kubanda ...

  • @oscardimoh
    @oscardimoh 6 лет назад +1

    Brilliant interview technique!
    👏👏👏

  • @KUZZI_TV
    @KUZZI_TV 6 лет назад +3

    Salute lily ommy interviews

  • @zak5065
    @zak5065 6 лет назад +5

    Tunasubiri #ParT2 Omy
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯✔

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 3 года назад +2

    Confidence iko na boy wetu papa jones a.k.a O.G inafanya nitake kulipa ticket mbili kwa gate

  • @nabakadinde3354
    @nabakadinde3354 6 лет назад +1

    Congrats ommy.......you lock aisee

  • @alphoncemihayo8165
    @alphoncemihayo8165 6 лет назад +1

    Upo vizur lilomy

  • @jimmymwandenuka8690
    @jimmymwandenuka8690 6 лет назад +4

    papa jones mtu mbayaaaaaaaa

  • @mudyramadhani3020
    @mudyramadhani3020 6 лет назад +26

    sasa hapa ndo utagundua na presenter mkali chek anavyo ulizwa maswali hlf kaskilize naile alio fanyiwa na lile kundi la ruge utagungua nan! mkali kwenye hizi kazi

    • @omariommy8519
      @omariommy8519 6 лет назад

      Papa jones big up sana br ..

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 6 лет назад

      Mudy Ramadhani uko vizuri mudy

    • @semanasitv8303
      @semanasitv8303 6 лет назад

      budaa mi sisikilizangi ile radio

    • @halidymanka2174
      @halidymanka2174 6 лет назад

      Mudy Ramadhani hahahahahaaa noma Ommy mnyama sn

    • @ramadhankisila452
      @ramadhankisila452 6 лет назад

      😂😂😂 kule huwa ni kama tu vpnd vya milindimo ya pwan mambo yataarabu wenye akili wote tushaachaga zamaan kufuatilia ujinga wao

  • @nestorymsacky6838
    @nestorymsacky6838 5 лет назад +1

    The #OG

  • @fittyblack2549
    @fittyblack2549 6 лет назад +2

    Napenda jinsi unavyofanya interviews zako lil omy yani unaielewa zaidi kazi yko

  • @antaraly9163
    @antaraly9163 6 лет назад

    Huyu presenter ni noma, big up from Kenya

  • @briankirimi9957
    @briankirimi9957 6 лет назад +3

    Luv u to the fullest bro

  • @sylvestrebargoge9705
    @sylvestrebargoge9705 6 лет назад

    Interview kali sana.lil ommy presenter amekomaa kwa kazi yake

  • @Marceloh369
    @Marceloh369 6 лет назад

    I had a dream than one day I'll be sitting on a round table with Kenye ,talking bout bizness and buying beats from Andre they say the best things come to those who are humbly..papa jones naamini one day it will come true

  • @nickymeel986
    @nickymeel986 6 лет назад +3

    Ommy mm nitakukubali hadi mwisho

  • @harounmalaumalau2921
    @harounmalaumalau2921 6 лет назад +1

    Kizazi sana ommy

  • @amirisimba1057
    @amirisimba1057 6 лет назад +16

    unajua kuendesha interviews mkali wangu lil omy .... yani huwa cjutii ku subsvribe chanel yko hii

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  6 лет назад

      amiri simba pamoja sana. Pakua pia Lil Ommy App uwe unacheki na madude ya kizazi

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 6 лет назад

    lil ommy baada ya muda mfupi unafunika watangazaji wote tz, umekuwa the best presenter ! unaongea vizuri mno

  • @pizothe1269
    @pizothe1269 6 лет назад +2

    lil Ommy hapo ni padogo sana yani uyu jamaa ni lavel za kutangaza bbc.

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 лет назад +1

    Kingkali 💯✔🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @charlesndungu9931
    @charlesndungu9931 6 лет назад +20

    Lil ommy kwa hii imebidi subscribe uko juu manze

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 лет назад

      charles Ndungu yes ako fresh me niko Mombasa uku nampata sana ako na talent

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  6 лет назад

      charles Ndungu karibu. Pia unaweza kupakua / download Lil Ommy App on google play store

    • @StephenNdungu
      @StephenNdungu 6 лет назад

      LilOmmyTV yuko juu sana! Napenda mahojiano yake sana. Mtu hupata kujua mengi kuhusu wasanii wetu.

  • @ogangakhadudu
    @ogangakhadudu 6 лет назад +4

    OG

  • @soudysaidy23
    @soudysaidy23 6 лет назад +1

    Kizazi Sana

  • @_gheeleys_au
    @_gheeleys_au 6 лет назад +6

    Khaligraph anajibu maswali vizuri Tanzania...in Kenyan media akitaka kujibu maswali lazima aseme..."first of all lemmie introduce maself my name is papa jones,aka mr mazishi aka baba yao aka they daddy aka they father....etc so i donno if its childish or just an ego😞😞😞

    • @chareemuchareemu1197
      @chareemuchareemu1197 6 лет назад

      Gily The Don but I love him tho😩😩😩 ... Mtu ni kujichocha

    • @bigfishke7100
      @bigfishke7100 6 лет назад

      Gily The Don 🤣🤣🤣🤣🤣🤣that’s very true. But elewa anajimarket kule nje hawezi peleka kiburi

    • @mchangeboy5928
      @mchangeboy5928 5 лет назад

      G!ly pamoja

    • @mchangeboy5928
      @mchangeboy5928 5 лет назад

      Nakubali omy

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 6 лет назад +2

    big upp omollo

  • @ericbwire7503
    @ericbwire7503 5 лет назад

    rep 254.....the real OG's

  • @gintezcabayser
    @gintezcabayser 6 лет назад +1

    Respect to tha OG

  • @mchangeboy5928
    @mchangeboy5928 5 лет назад

    Nakubali

  • @danykagawa8225
    @danykagawa8225 6 лет назад

    my best presenter in EA

  • @RadiantTunes
    @RadiantTunes 5 лет назад

    I like this radio presentor

  • @andydollar3453
    @andydollar3453 6 лет назад +1

    Lil ommy🔥🔥🔥

  • @ARTCELLENCY
    @ARTCELLENCY 6 лет назад +1

    Lil Ommy tunakukubali +254

  • @mirajifikirini6305
    @mirajifikirini6305 6 лет назад +2

    Nice

  • @phil_kioko_
    @phil_kioko_ 6 лет назад +2

    Respect the OG

    • @zak5065
      @zak5065 6 лет назад

      PHILIP KIOKO 🔥🔙🔛🔝💯✔

  • @musanjama2211
    @musanjama2211 6 лет назад +2

    Kiukweli Huyu jamaa lily omy mtu mzima tambwe hakuna bongo presenter like you nimeangalia clouds hakuna anakufikia kiukwwli

  • @amosnjeru5011
    @amosnjeru5011 6 лет назад +1

    Kaliiiii.Tambwe!

  • @chrisostomchilato5608
    @chrisostomchilato5608 6 лет назад +1

    big up

  • @kinyuakariithi
    @kinyuakariithi 6 лет назад +1

    i have subcribed to your channel, Bruuh how can i listen to you radio,,,

  • @aligmohammed3738
    @aligmohammed3738 6 лет назад +3

    254 wakilisha bro

  • @erickdioniz3197
    @erickdioniz3197 6 лет назад

    Kila siku ni nakubali

  • @malikissa8251
    @malikissa8251 6 лет назад

    Big up ommy

  • @mudyramadhani3020
    @mudyramadhani3020 6 лет назад +3

    papa jons

  • @barackjombaajr7467
    @barackjombaajr7467 6 лет назад +1

    Og bongo saport

  • @enock7271
    @enock7271 6 лет назад +2

    Papa jones

  • @rajabseif2301
    @rajabseif2301 6 лет назад +2

    Kama umesikia 25 flow mkono juu 😂 😂

  • @quincynjuguna9965
    @quincynjuguna9965 4 года назад

    Walah huyu presenter yuko fiti!,lingi ya tuva

  • @Dakingyasta
    @Dakingyasta 6 лет назад +1

    OG NI MSEMO TOKA CHUGA KITAMBO SANAA HATA G NAKO ALIIMBAA ...ARUSHA

    • @albanbros7210
      @albanbros7210 6 лет назад

      REALITYtz TV Ha ha ha haikatai

    • @Dakingyasta
      @Dakingyasta 6 лет назад

      haikatai wizee

    • @rayerasto6356
      @rayerasto6356 6 лет назад

      YaSta TV fará ww

    • @georgedonald5363
      @georgedonald5363 4 года назад +1

      Msemo kutoka Chuga!!!! 😂😂😂😂 huu ujinga huwa mnafundishwa na nani?!? 😂😂😂😂

  • @timotheoibison4280
    @timotheoibison4280 6 лет назад +2

    We halaka iyo part 2

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад +4

    Mchawi wa rap East Africa

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 лет назад +1

    oyi uyu jamaa umemtoa wapi ase NAMKUBALI MBAYA ase

  • @pendokenneth8729
    @pendokenneth8729 5 лет назад

    Huyu jamaa amekomaa kuuliza maswali si ka hao wengine

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri8949 6 лет назад

    Kizazi tambweeee

  • @yusuphsaid8206
    @yusuphsaid8206 6 лет назад +4

    Huyu chalii wa kenya ana akili sana
    Namfananisha na Fid Q wa bongo japo kwa mbali maake Ngosha ni kelele

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 4 года назад +1

      Fid ni mkali sana, uzuri wa khaligraph Jones ni kujituma sana kuliko marapper wa kibongo, kwa lyrics fid ni mkali kuliko khaligraph

    • @rashidhamisi8365
      @rashidhamisi8365 4 года назад

      Umerogwa bro, usiwai sema kitu Kama icho tena mbele ya genjii

    • @selector728
      @selector728 3 года назад

      @@rashidhamisi8365 umelogwa sio umerogwa🚮

  • @aligmohammed3738
    @aligmohammed3738 6 лет назад +2

    254

  • @freddysijaiionekanakwanews5810
    @freddysijaiionekanakwanews5810 6 лет назад

    meaning ya OG ni nini??

    • @evareturn6439
      @evareturn6439 5 лет назад

      Freddy sijaii onekana kwa news in case hujajua bado its original.

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 6 лет назад +1

    kasayole na kasabun

  • @juanitaokech4136
    @juanitaokech4136 6 лет назад +1

    Who heard papa jones belching yawa! 🤢

  • @alfamajengo8930
    @alfamajengo8930 6 лет назад +1

    Huyu ndo presenter cyo kile kikundi kingine cha wanafiki

  • @stantheman5839
    @stantheman5839 6 лет назад +2

    OG

  • @gibson_254
    @gibson_254 6 лет назад

    OG

  • @fellovizonboy
    @fellovizonboy 3 года назад +1

    OG