Balaa!!!!: VIONGOZI WAINGIA 18 ZA WANANCHI | Waibua Kasheshe Mkutanoni "SISI SIO PUNDA KUKAMUA KODI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 10

  • @CostantineAmos
    @CostantineAmos 3 месяца назад +1

    Daaaah..hawa raia nimewapenda Bure....

  • @mudykebeshe
    @mudykebeshe 3 месяца назад +1

    Ujue kuna mambo yanafikilisha sana hii ndo safiii🙌🙌🙌

  • @iam_sami
    @iam_sami 3 месяца назад

    Nguvu ya umoja 💪🏽

  • @African511
    @African511 3 месяца назад +4

    Mzee wa koti jeusi una akili sana,gonga meza hapo ulipo😂😂😂

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 3 месяца назад

    Huyu mzee ana akili nyingi sana haki itendeke dhuluma ni mbaya

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 3 месяца назад +2

    Piga spana mkawa waelewa
    Wamezid kuonea watu

  • @msafirichawe3064
    @msafirichawe3064 4 месяца назад

    Nimefurahi kuona watu wanajua namna ya kutetea haki yao🙏

    • @idawamedia
      @idawamedia  4 месяца назад +1

      Asante kwa kutazama video yetu

  • @barakafifi1607
    @barakafifi1607 3 месяца назад +1

    Iringa hakunaga wajinga