Barikiwa mwenye masikio na wackie,Yesu atakaporudi hakutakua na please,sabab kila siri inazid kufichuliwa wanao nuna aelezeapo siri ya mashetan bac wamefungwa na giza maana shetan anazid kuaibishwa.
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa kweli aya yote niyakweli kabsa so unazidi kutufunza mambo ya maana sana usichoke tafathali tupe muedelezo hili tuzidi kuzijua hizi siri zilizo fichwa
Mambo yanatisha Sana Yesu Pekee ndio msaada waa kweli Hakuna wokovu nje ya Kristo mambo yaliyopo ktk ulimwengu wa Giza yanatisha Sana Mungu tusaidie kanisa haya ndo yanayo liuwa kanisa la Leo ndio maana watu hawapendi mambo ya Mungu wakristo tutoke kwenye usingizi maana mwisho umekalibilia shetani anafanya vita juu ya kanisa LA Kristo: lkn kanisa la kweli halita kufa: math 16:18 tutaishinda hiyo milango ya kuzim Kwa jina la Yesu! Mungu akubaliki Sana mtunishi amiri songa mbele Yesu akuinue Sana hiyo ndo kazi iliyo mleta Bwana Yesu duniani
@@danielsimiyu2810 Amina kubwa tunahitaji ushilikiano wa kutoasha ili kumshinda shetan shida ya wakristo wa Leo hawataki kushilikiana pamoja maana watu wa shetani w anafanya kazi kwa umoja itakua kazi kumshinda shetani Nje ya kanisa kua na umoja yohana 17:24
Mchungaji Unatutia Uwoga, Binadamu Ana shikwa kama Simaku Mpaka Watoto Wadogo, Jameni Tugeukieni Mwokozi Yesu, Yeye Ndiye Peke Atatuokoa Kutoka kwa Minyororo ya Shaitani🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍🏿👍🏿👍🏿❤️🇰🇪
Jamani, tuweni sana makini na dunia hii kama jinsi Mtumishi wa Mungu alivyosema hapo.. inatisha kuliko mnavyofikiria.. Nami maisha yangu ni ushuhuda tosha, ingawa bado naona Mungu ananifundisha jambo bado, ila nilipewa nafasi ya kutambua Siri nyingi sana, sana kupitia Roho mtakatifu, nilitengwa na marafiki wengi sana, toka moyo ulipoghahiri kujiunga na Masonic Brotherhood kwaajili ya kurudisha heshima ya jina la ukoo wetu na kusaidia ndugu zangu, tena nilitaka kujiunga kwa nia njema kabisa, lakini nilikuwa nimefumbwa masikio na macho nisione ili nijidumbukize humo.. Maana Lucifer anachokifanya akikutaka, anachukua akili zako na ufahamu na roho yako, anaziweka alama, pale wewe unapokwenda kwake na kumsujudia tena kwa kumiri kwa damu yako na kwa kinywa chako kuwa yeye ni Mungu wako tangu siku hiyo ili awe na mamlaka juu yako, Yesu Kristo Aliye Hai anaokoa na hadanganyi kama Satan na falme zake..
Ufunuo wa Yohana 17 umeelezea wazi wazi juu ya mama wa ukahaba aliyeulevywa ulimwengu kw usherati wake ambaye wakuu na wafalme wa ulimwengu wamezini nae Kusema wakuu wa ulimwengu inamaana ni kila aliye wa ulimwengu huu ambaye ana mamlaka si kw uwezo wa Mungu basi amejiungamanisha naye! Mpendwa popote ulipo soma Ufunuo wa Yohana 17 kw habari kamili
Asiyeamini Giza basi asiamini na Nuru Kama kuna malaika basi na Mapepo pia yapo! Na kama kuna ulimwengu wa Macho yamwili basi na Ulimwengu wa Roho upo pia na umegawanyika sehemu mbili...Wa roho wenye nuru(Mungu na malaika zake) na wa roho wa giza(nguvu za giza makazi ya roho wachafu)
Yaan jaman kuna watu Mungu amewakomboa kutoka kwenye mateso kama.hayo na ndo Mungu huwatumia katika kaz zake maana wanajua mambo ya kuzimu na ukwel wake na ukwel kumuhusu Mungu,,,, MTU kama uyo kumpiga shetan ni rahis sana
🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha kweli Mtumishi wa MUNGU eti watu wanafanya dhambi kuliko shetani, kweli kwabisaaa MUNGU atusaidie endelea kumuaibisha shetani paka aone aibu.
Huyu anayesema ni movie huu ushuhuda tunamuombea na yeye ahokoke manake waisilamu wengine bado niwabishi mno! Mtumishi wa bwana endelea na kazi ya bwana ili watu wakombolewe walio mateka.
Hii movie ya kihindi Kama hii historia Ni kweli mbona anasoma? Hii Ni mipango tu. Ili awakamate vizur maana ukitaka umkamate mkristo ongelea uchawi tu unepata wafuasi
Katoliki siyo kanisa la kikristo. Ni kanisa la mpinga kristo na ndiyo wanaofanya mipango ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ili kumfanya mpinga kristo kuabudiwa na kila mwanadamu.
Nimesikiza watumishi wengi lakini huyu anaelezea kiu ndani mpaka unaelewa continue exposing Satan and his cohorts man of God una ulinzi wa malaika wa Mungu
Asante kwa kufichua siri hii. Asante yesu
Mungu aliye hai akulinde azidi kukutumia uwaimarishe wengi wanao legea. Mungu akiwa upande wetu hakuna atakaye kuwa juu yetu.Amina
Asante sana mtumishi endelea kutuelimisha na kutuombea Mungu Akubariki
Nawaangaliaga wakina mazinge na sule kwa kweli Mungu mwenyezi awasaidie sana
Mungu aendee kukutianguvu ili uendelee kutufafanuli mambo mashafu wakiyafanya hawa viumbe vichafu ubalikiwe sana 🙏
Asante Jactan Msafiri kwa ushuhuda huu.
Nahitaji kupata mwendelezo wa huu ushuhuda.part 3 please
Asante kwa sisi hia kufichuliwa
Habari za msalaba ni upumbavu kwa wanaoangamia ,ila kwetu sisi ni nguvu za Mungu.
Asante kwa kujitambua Ndugu Amir Kwa yesu kila kitu kww uweza wa MUNGU WETU WA MBINGUNI UTAPATA .TUMEAMBIWA OMBENI NANYI MTAPEWA.
Mungu ni mwema sana anaweza yote
YESU azidi kukutumia kufungua wengi mtumishi...ubarikiwe
MUNGU atusaidie sana.Ubarikiwe mtumishi KWA mafundisho
Barikiwa mwenye masikio na wackie,Yesu atakaporudi hakutakua na please,sabab kila siri inazid kufichuliwa wanao nuna aelezeapo siri ya mashetan bac wamefungwa na giza maana shetan anazid kuaibishwa.
Asante sana Mtumishi..umefanya tunajifunza mengi barikiwa.
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa kweli aya yote niyakweli kabsa so unazidi kutufunza mambo ya maana sana usichoke tafathali tupe muedelezo hili tuzidi kuzijua hizi siri zilizo fichwa
Ahaa JeSus( JESUS)
Nimefatilia hushudazako zotehiikali hakika Mungu hatusahidie nakutuhokowa nhahopepo nawachawi kwajina la yesu
Mungu amlaani Kwa Jina la Yesu, huyo jini. Ameni!
Amen mungu akatuokoe kupitia ushuhuda huu
Asante sana mtumishi
Nimebarikiwa sana niko Kenya
Mambo yanatisha Sana Yesu
Pekee ndio msaada waa kweli Hakuna wokovu nje ya Kristo mambo yaliyopo ktk ulimwengu wa Giza yanatisha Sana Mungu tusaidie kanisa haya ndo yanayo liuwa kanisa la Leo ndio maana watu hawapendi mambo ya Mungu wakristo tutoke kwenye usingizi maana mwisho umekalibilia shetani anafanya vita juu ya kanisa LA Kristo: lkn kanisa la kweli halita kufa: math 16:18 tutaishinda hiyo milango ya kuzim Kwa jina la Yesu! Mungu akubaliki Sana mtunishi amiri songa mbele Yesu akuinue Sana
hiyo ndo kazi iliyo mleta Bwana Yesu duniani
Mungu akubaki mudgs
@@danielsimiyu2810 Amina kubwa tunahitaji ushilikiano wa kutoasha ili kumshinda shetan shida ya wakristo wa Leo hawataki kushilikiana pamoja maana watu wa shetani w anafanya kazi kwa umoja itakua kazi kumshinda shetani
Nje ya kanisa kua na umoja yohana 17:24
Mungu akubariki mutumishi nimebarikiwa san naushuda
Mchungaji Unatutia Uwoga, Binadamu Ana shikwa kama Simaku Mpaka Watoto Wadogo, Jameni Tugeukieni Mwokozi Yesu, Yeye Ndiye Peke Atatuokoa Kutoka kwa Minyororo ya Shaitani🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍🏿👍🏿👍🏿❤️🇰🇪
Wacha uwoga sikiliza uwoga utapotea Tanzania kuna mambo mengi nawafanya vizuri kuziongea ili tujue haya mambo kwa sababu wakenya hawaamini
Tunahitaji part 3 , please, and Mungu awabariki
God bless you my brother! Continue to preach gospel of Christ 🙏 with power for might name of our Lord JESUS CHRIST!
Jamani, tuweni sana makini na dunia hii kama jinsi Mtumishi wa Mungu alivyosema hapo.. inatisha kuliko mnavyofikiria.. Nami maisha yangu ni ushuhuda tosha, ingawa bado naona Mungu ananifundisha jambo bado, ila nilipewa nafasi ya kutambua Siri nyingi sana, sana kupitia Roho mtakatifu, nilitengwa na marafiki wengi sana, toka moyo ulipoghahiri kujiunga na Masonic Brotherhood kwaajili ya kurudisha heshima ya jina la ukoo wetu na kusaidia ndugu zangu, tena nilitaka kujiunga kwa nia njema kabisa, lakini nilikuwa nimefumbwa masikio na macho nisione ili nijidumbukize humo.. Maana Lucifer anachokifanya akikutaka, anachukua akili zako na ufahamu na roho yako, anaziweka alama, pale wewe unapokwenda kwake na kumsujudia tena kwa kumiri kwa damu yako na kwa kinywa chako kuwa yeye ni Mungu wako tangu siku hiyo ili awe na mamlaka juu yako, Yesu Kristo Aliye Hai anaokoa na hadanganyi kama Satan na falme zake..
Yesu azidi kukufunika aliye mfalme wa giza anayeleta nuru katika giza
Ufunuo wa Yohana 17 umeelezea wazi wazi juu ya mama wa ukahaba aliyeulevywa ulimwengu kw usherati wake ambaye wakuu na wafalme wa ulimwengu wamezini nae
Kusema wakuu wa ulimwengu inamaana ni kila aliye wa ulimwengu huu ambaye ana mamlaka si kw uwezo wa Mungu basi amejiungamanisha naye! Mpendwa popote ulipo soma Ufunuo wa Yohana 17 kw habari kamili
Amen asante Mtumishi endelea kutufunulia mambo ya shetani ili tuwe huru
Asiyeamini Giza basi asiamini na Nuru
Kama kuna malaika basi na Mapepo pia yapo! Na kama kuna ulimwengu wa Macho yamwili basi na Ulimwengu wa Roho upo pia na umegawanyika sehemu mbili...Wa roho wenye nuru(Mungu na malaika zake) na wa roho wa giza(nguvu za giza makazi ya roho wachafu)
Yaan jaman kuna watu Mungu amewakomboa kutoka kwenye mateso kama.hayo na ndo Mungu huwatumia katika kaz zake maana wanajua mambo ya kuzimu na ukwel wake na ukwel kumuhusu Mungu,,,, MTU kama uyo kumpiga shetan ni rahis sana
Wanapenda wenyewe kwenda huko Wasimsingizie Shetani
Good work.
du ostadhi amiri umepitia magumu mengi sana tuna shukulu mungu kakuokoa
Asante kwa ushuda be blessed 🙌 🙏
AMEN AMEN
Amen
tetemeko la injili ya yesu
Daaah Yesu wahi kurudi shetani katutawala sana
Yaan,unavyoongopa mpaka u,najikanyaga mwenyewe,😂😂😂😂😂😂 jioni WA wapi huyo anaitwa mkubwa wa makahaba?
Aaante sana .
Ila fungua whatsApp yako meseji zinakaa sana
JinalaBWANAlitukuzwe
Naomba namba ya huyu mtumishi tafathali ..
Jamani Mbona mnafatanisha matangazo hivo?mnatuaribia hamu ya kusikiliza ushuhuda.
🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha kweli Mtumishi wa MUNGU eti watu wanafanya dhambi kuliko shetani, kweli kwabisaaa MUNGU atusaidie endelea kumuaibisha shetani paka aone aibu.
Ni kweli maana yeye anawapangia tu hafanyi yeye
Unafaa uende Kenya uwafunze mambo haya they don't believe
Ukweli kabisa, wakenya wangesikia haya!
Promover please where is the continuation of this... +254
It's coming soon, please wait
Good job may God bless you 🙏🙏🙏
Duhh Tanga mwanachuo alipotelea pale Ufukweni Bombo mpaka kesho
Endeleza huu ushuhuda, atuambie Yale aliona wakienda na vile alivyokuwa akitumia pete
Huyu anayesema ni movie huu ushuhuda tunamuombea na yeye ahokoke manake waisilamu wengine bado niwabishi mno! Mtumishi wa bwana endelea na kazi ya bwana ili watu wakombolewe walio mateka.
Hii movie ya kihindi Kama hii historia Ni kweli mbona anasoma? Hii Ni mipango tu. Ili awakamate vizur maana ukitaka umkamate mkristo ongelea uchawi tu unepata wafuasi
Acha ujinga ww
wewe endelea kushupaza shingo utakipata sikumoja hii mipango dini gani yakuua watu?
Dini ya mpinga Kristo
Nipeni no yake
Ameitaja,angalia mpaka mwisho
Unaenda kula Bata kumbe ni wewe unayekuliwa bata.ufunuo mkubwa.
The RETIRED DEVIL'S SERVANT CHURCHES
(Jitahidini kutumia Neno KUONGOKA na siyo KUOKOKA)
Katoliki siyo kanisa la kikristo. Ni kanisa la mpinga kristo na ndiyo wanaofanya mipango ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ili kumfanya mpinga kristo kuabudiwa na kila mwanadamu.
YESU ALIKUJA KUNGOA? AU KUOKOA ACHA UBABAISHAJI WA MAANDIKO SOMA LUKA 19:10 SOMA UELEWE KUONGOA!!!??? BADIRIKA HARAKA
@@ngwanafabian9668 usilolijua Ni sawa na usiku was giza
Nimesikiza watumishi wengi lakini huyu anaelezea kiu ndani mpaka unaelewa continue exposing Satan and his cohorts man of God una ulinzi wa malaika wa Mungu
Anaeleza nini au kwakuwa anataja mashehe.
@@engzuberir.akilenza1764 umebanwa kwenye kifungo cha dini ni gereza baya sana.
Asante Jactan Msafiri kwa ushuhuda huu.
Nahitaji kupata mwendelezo wa huu ushuhuda.part 3 please
Amen
Amen