Sheikh huyu nampenda sana anatoa neno la mungu na pia ana utani sana. mtu huchoki kumsikiza.inshalla mungu ampe maisha marefu ili azidi kuelimisha watu.22.05.19.
Upo vizur sana kiongozi upendo ni kila kitu kumbe uislamu ni upendo sasa wapi baadhi wanaotuonyesha uislam ni dini ya kikatili kumbe mpo vizur Sana...... Mungu awape neema pia ya kumfahamu Yesu
Nimefanya research, hii hadeeth sio katika hadeeth sahih, lakini dua na maneno is ok. In English, “O Most Loving, O Most Loving, O Owner of the majestic Throne, O Initiator, O Returner, O You Who do whatever You will, I ask You by the Light of Your Countenance which fills the pillars of Your Throne, and I ask You by Your Power by which You control all of Your creation, and I ask You by Your mercy which encompasses all things, there is no god but You, O Helper help me” - three times. يا ودود يا ذا العرش المجيد يا فعال لما يريد, أسألك بعزتك التى لا ترام وملكك الذى لا يضام وبنورك الذى ملأ أركان عرشك أن تكفينى شر هذا, يا مغيث أغثنى … يامغيث أغثنى … يامغيث أغثنى, Yaa Waduud, Yaa dzal ‘arsyil majiid, Yaa fa’aalul lima yuriid, As-aluka bi’izzatika laa turaam, wa mulkikal ladzii laa yudlaam, wa binuurikal ladzii mala-a arkaana ‘arsyika, Antakfiyanii syarra hadza (sebutkan yang mengancam anda), Yaa mughiits aghitsnii… Yaa mughiits aghitsnii… Yaa mughiits aghitsnii
Yussar Saleh uwislam ninjiya naiyo njiya tukiifata vilivyo mungu ata tupa pepu yake bali tumfunze charlote uwisilam ili awe muislam yousrah wewe hujuwi kweli ao
Asalamualeikum warahmatullahi wabarakatu...Tafadhali naomba namba ya sheikh hilal kipoozea...Nionge naye ma shaAllah sheikh uyu Allah ampe afya dunia na jannah amin
Kabisa, vyuo vyetu vikuu vya kiislam vingekuwa na utaratibu wa kutunukia shahada za udaktari wa heshima watu kama hawa ili wapate hadhi ya udaktari maana wanastahili kabisa!!
elias umnamaje'! kwani nawe muislam au! mbona jina tofauti na dini au vip. haya tufahamishe hiyo hadithi uliyoifsnyia uchunguzi udhaifu wake na ipo no ngapi na mpokezi wake nani?? plzz kwa hsan yako tunasubiri majibu
Wa,asalamlyekum ni hv kati ya Mussa na yesu nani katangulia,jibu ni Mussa Mungu alipo muita Mussa njoo kabla haja elekea hp Mungu aka mwambia vua viatu vyako mahali hapa ni patakatifu Mussa akavua je ni kina nani wanao vua viatu wakitaka kumuomba Mungu jb ni Uislamu na yesu alivua viatu akiwa ana sali kafuata matendo ya Mussa ina maana uislamu ulikuwepo
@@jidadaudi2255 Mfahamu sana Yesu kwamba alisema nini na kwamba aliahidi nini. Maana ndiye atakayehukumu wanadamu wote af nyie hamtaki hata kusikia habari zake. Poleni sana. Mungu awape nuru ya macho yenu kuona yaliyo mapenzi ya Mungu
Sheikh huyu nampenda sana anatoa neno la mungu na pia ana utani sana. mtu huchoki kumsikiza.inshalla mungu ampe maisha marefu ili azidi kuelimisha watu.22.05.19.
Kabisa, yaani huchoki kumsikiliza!!
Binafsi mm ni mkristo lkn hyu sheikh namuelewa xna
Allahu Akhbar sheik, after kucheka, Napata mafunzo mengi sana, hata mke wangu...even if ako mzungu, ameisha silimu. Laa ilaa ilaa laah
Maashaalha shekh kipozeo mwanamke anatakiwa awe mtundu sio
@@jumaasafisanasalehe155
"
Upo vizur sana kiongozi upendo ni kila kitu kumbe uislamu ni upendo sasa wapi baadhi wanaotuonyesha uislam ni dini ya kikatili kumbe mpo vizur Sana...... Mungu awape neema pia ya kumfahamu Yesu
Waislam wanamfaham yesu sana tu kam nabii issa bin marim
Asalam alaikum ndugu zangu ktk Imani. Wallahi muumba mbingu na ardhi awape masheikh wetu nguvu na sisi pia tuweze kuitetea dini ya haki ya uislamu.
Amina
Mansha allah djazaa kalahu khayran
Yarb Tuongoze katika njia ilionyooka in Sha Allah.
shukran kwa mawaidha mazuri, Allah atupe mwisho mwema
Iwapi hiyo DUA umehaidi twasubiriya ln Sha Allah From Saudi Arabia
وعليكم السلام ورحمة لله وبركاته inshallah kheri mawaidha nimazuri sanaa ajaliye iwee kwenye memaa yako naomba unitumie dua tazakallahu kheri
Mbona mapema sheikh
Allahu akupe maisha marefu ya kheri ili uzidi kutupa faida...
Allah awahifafhi Mashekh wetu Aamyin
Mawaidha mazuiri mashallah...Naomba hiyo dua ya Aba Mu'laq...jazakumullahu kheyran
Nimefanya research, hii hadeeth sio katika hadeeth sahih, lakini dua na maneno is ok. In English, “O Most Loving, O Most Loving, O Owner of the majestic Throne, O Initiator, O Returner, O You Who do whatever You will, I ask You by the Light of Your Countenance which fills the pillars of Your Throne, and I ask You by Your Power by which You control all of Your creation, and I ask You by Your mercy which encompasses all things, there is no god but You, O Helper help me” - three times.
يا ودود يا ذا العرش المجيد يا فعال لما يريد, أسألك بعزتك التى لا ترام وملكك الذى لا يضام وبنورك الذى ملأ أركان عرشك أن تكفينى شر هذا, يا مغيث أغثنى … يامغيث أغثنى … يامغيث أغثنى,
Yaa Waduud, Yaa dzal ‘arsyil majiid, Yaa fa’aalul lima yuriid, As-aluka bi’izzatika laa turaam, wa mulkikal ladzii laa yudlaam, wa binuurikal ladzii mala-a arkaana ‘arsyika, Antakfiyanii syarra hadza (sebutkan yang mengancam anda), Yaa mughiits aghitsnii… Yaa mughiits aghitsnii… Yaa mughiits aghitsnii
Assalaam alaykum. Ndugu zangu waislamu tujitahidi sana kufuata mafunzo ya dini kwa kusikiliza mawaidha mbali mbali.
Mashaallah shkh Allah akuongoze katika kheiri inshaallah , wallahi sijaawahi kujuta kufatiria darsa zako shkh
@@eliasnavytanga shukran
MaShaaAllah TabakaAllah mawaidha mazuri sanaa ila sheikh wetu dua bado twaisubiri kwa hamu sanaa
Shukran kwa mawaidha mazuri jazakAllah Kheri From Saudi Arabia
Amin inshaallah✌❤
Mashallah sheikh nakupenda na mawaida yako mzuri pamoja na utani allah akupe mwisho mwema
naitwa sheikhe salimu Zegge tafadhali ingiakwe nye Chanel yangu you tube uangalie maidha yangu
I love you shekh Kipozeo your very smart shekh
Namuelewa xna shekhe kipozeo
as alaam alaam alaykum iyo dua ya abamolaka tuna isubiri
Maashaallah shekh kwamawaidha mazuri lkn dua tutaipata wapi ilituisikie
Mimi namupenda uyu sheikh wakati mimi siyo mwesilamu
Ndio wewe ndugu yetu wa damu, umepotea
@@yussarsaleh5760 "waiteni ktk njia ya Mungu kwa hekima na mawaidha yaliyo mazuri"- (Qur'an al Kareem)
Charlotte Manga mungu akubariki nikute embox nikufunz
@@fikiriniabdallah3372 naaam nifundishe kaka angu maaana hakututajia Allah atakulipa kheir
Yussar Saleh uwislam ninjiya naiyo njiya tukiifata vilivyo mungu ata tupa pepu yake bali tumfunze charlote uwisilam ili awe muislam yousrah wewe hujuwi kweli ao
Salam a w w Allah amlinde Sheikh Hilal kwa maawaitha mazuri. Lakini tunaomba itufikie iyo dua ya abamuulaq
❤Allah Akibar
Asalamualeikum warahmatullahi wabarakatu...Tafadhali naomba namba ya sheikh hilal kipoozea...Nionge naye ma shaAllah sheikh uyu Allah ampe afya dunia na jannah amin
Inshaallah kher
Asalaam aleykum ndugu yangu naitaji hiyo dua
Aslaam alaikum warahmatullahi wabarkatu? Naomba hiyo dua ya abamolaka inshallah
Dua mbona hakuitaja?
mimi ni mwalimu wa dini ya kikristo lkn leo nmejifunza funzokubwa sana KUNA GAPE DOGO SANA KATI YA WAISLAMU NA WAKRISTO Allah wakibar
Mbona dua hakuitaja
Alhamdulillaah maashallah shekhe wetu
Kina dada Wa kiislsm msieke pics zenu kila mtu awaone. Mnafaa mujisitiri
It's true brother but it's difficult coz hao wakristo watajisitiri kwl
Nadhani unawafurahisha wenzio tu, maana unampnga Yesu mwenyewe maana ni yeye anathibitisha kuwa yeye ni mwana wa Mungu.
Wapi Yesu kasema yeye ni Mwana wa Mungu.
Allahu Akbar
Mashallah sheikh
MASHA ALLAH
Tunaomba hiyo dua shegh kipozeo
Shekh mung akuzidishie umri mrefu
Masha Allaah
jazakallhu shekh kioozeo
Naomba kuijua hio duah
Allah tusamehe mazambiyet
Mashallha
Nangoja dua Sheikh
Sio wote wana subira
Masha Allah
mashaallah mawadha mazur
Great scholar
Kabisa, vyuo vyetu vikuu vya kiislam vingekuwa na utaratibu wa kutunukia shahada za udaktari wa heshima watu kama hawa ili wapate hadhi ya udaktari maana wanastahili kabisa!!
ukweli ni imani siyo dini
Hivi unawez kuwa na imani bila ya Dini yoyote
elias umnamaje'! kwani nawe muislam au! mbona jina tofauti na dini au vip. haya tufahamishe hiyo hadithi uliyoifsnyia uchunguzi udhaifu wake na ipo no ngapi na mpokezi wake nani?? plzz kwa hsan yako tunasubiri majibu
Mawaidha mazur mashallah
Nawatakia Ijumaa Kareem
Mm naona wakristo wako sahihi.
Amin
Kipozeo achaungo
Ukrsito na Uisilam
Ipi ilitangulia.....
Wa,asalamlyekum ni hv kati ya Mussa na yesu nani katangulia,jibu ni Mussa Mungu alipo muita Mussa njoo kabla haja elekea hp Mungu aka mwambia vua viatu vyako mahali hapa ni patakatifu Mussa akavua je ni kina nani wanao vua viatu wakitaka kumuomba Mungu jb ni Uislamu na yesu alivua viatu akiwa ana sali kafuata matendo ya Mussa ina maana uislamu ulikuwepo
Dua gani hio Abu muulak
Ustadh kitambi cha uzeeni hicho kwaiyo fanya zoezi
Wewe una lako jambo lingine!!!
@@jumakapilima5674 jambo gani hilo tena
@@fauziakassim323 ujumbe wake ulikuwa mzuri zaidi kuliko kitambi chake!!
@@jumakapilima5674 yy alisema watu wasiwe na vitambi
@@fauziakassim323 haya umeshinda!!
Mwapotea kwa kuwa hamjui maandiko wala uweza wa Mungu
Njoo tukutakatishe uku, usiendelee potea
Law Marcus Mwakagenda true
Law Marcus Mwakagenda we unahisi hatujui maandiko kwa kwa yes hajatajwa Pole sana
@@jidadaudi2255 Mfahamu sana Yesu kwamba alisema nini na kwamba aliahidi nini. Maana ndiye atakayehukumu wanadamu wote af nyie hamtaki hata kusikia habari zake. Poleni sana. Mungu awape nuru ya macho yenu kuona yaliyo mapenzi ya Mungu
@@jidadaudi2255 Tulipewa jina la Yesu kuwa ulinzi kwetu. Nyie mliachiwa majini yawe ulinzi kwani hamjui kuwa hayo ni mashetani? Au mnajifanya hamnazo
unafurahisha sana
Sheik wng
shukran kwa mawaidha mazuri, Allah atupe mwisho mwema
Amiin
Amiiin
shukran kwa mawaidha mazuri, Allah atupe mwisho mwema