live: [30.12.2024] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 101

  • @DorisWambua-f3w
    @DorisWambua-f3w 2 дня назад +1

    Amen and amen man of God prey for me and prey for my job and my family amen

  • @Aggybrian2023
    @Aggybrian2023 2 дня назад +1

    Kwenye madhabahu hii ya Arise and shine Mungu uguse familia hii na ukoo huu wa mume wangu na ukoo wetu kwa jina la Yesu kristo AMEN.

  • @Aggybrian2023
    @Aggybrian2023 2 дня назад

    Baba Katika jina la Yesu Kris naomba leo ukuomboe familia yangu na ukoo wa mume wangu Michael ikopomboe kwa Jina la Yesu kristo AMEN

  • @LovenesJulias
    @LovenesJulias 2 дня назад

    Mungu wangu nisamehe dhambi zangu Kisha unisaidie nisiwe mdhambi, najiunganisha na madhabahu ya mtumishi wako mwamposa nisaidie Mungu wangu nianze mwaka Kwa baraka mwaka ujao naomba nijenge nyumba Huku kijijini ninunue uwanja na Tunduma na Amini umenitendea mengi na haujawai shindwa Mungu wangu Napokea Kwa jina yesu, Amina.

  • @SamiyaSamiya-w1y
    @SamiyaSamiya-w1y 2 дня назад

    Napokeaa katika jina Ra yesukristo

  • @HappyZachariachristen
    @HappyZachariachristen День назад

    MUNGU NATAKA KUPITIA MAOMBI HAYA NIPONE KUTETEMEKA TUNAFUNGULIWA MTUMISHI WA MUNGU UISHI MAISHA MILELE AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu 2 дня назад

    Mwenyezi Mungu nakuomba umsaidie mdogo wangu awe na Amani na wakwe zake nakuomba umlinde na mwanae

  • @AnithapaulKarugaba
    @AnithapaulKarugaba 2 дня назад

    Naomba nipate wateja wengi nikazidiwe na wateja kwenye kazi zangu kwa jina la Yesu.

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Najiungamanisha na mazabao hii mungu naomba kesho biashala ya viatu kesho wateja wakafulike sumbawanga sabasaba wakafulike sanaa

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu 2 дня назад +1

    Najiungamanisha Mimi na family yetu tuwe na upendo Na Amani nakuomba uipe family yetu kibali nakuomba umpe Nasri wangu kibali Cha kufanya kila kilichokuwa sawa kwenye maisha yake na afanye matendo ya kukupendeza

  • @fortunatapaskal3946
    @fortunatapaskal3946 2 дня назад

    Ee Mungu wa madhabahu hii Nisaidie na Mimi kama unavyosaidia wengine

  • @EsterJoseph-f4y
    @EsterJoseph-f4y День назад

    Mungu kupitia madhabahu ya inuka uangaze nakuomba mwaka huu ukaniheshimishe na mm

  • @EsterJoseph-f4y
    @EsterJoseph-f4y День назад

    Katika shuhuda hiz Mungu ukabadilishe maisha yangu sasa nami nikutukuze ww na nishuhudie matendo yako makuu

  • @lulufrancis-nk2sd
    @lulufrancis-nk2sd 2 дня назад

    Nami Najiungamanisha Na Operation Komboa Familia Mungu Nisaidie

  • @BeniraneBenirene
    @BeniraneBenirene 2 дня назад

    Ohhh God thro this prayer I need you God in 2025 to get marriage ..my mother eyes to be open .I just want to be freee God ...alama za kichawi zilizo nifunga zikafungukeed eeee munguuuuuuuuu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @EsterJoseph-f4y
    @EsterJoseph-f4y День назад

    Mungu nisaidie na roho ya madeni

  • @hildefoncedeogratias9629
    @hildefoncedeogratias9629 2 дня назад

    Amen napokea

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Najiungamanisha kukomboa familia yangu

  • @graceMbesi-qb3op
    @graceMbesi-qb3op 2 дня назад

    Namshukuru nimejifungua salama .

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Naomba kufunguliwa biashala yangu mizidiwe wateja naomba ndoa yangu imalize migogolo mme wangu aniheshimu

  • @PhilipinaEmmanuel
    @PhilipinaEmmanuel 2 дня назад

    Mungu akomboe uzao wangu kupitia mtumish wake

  • @EsterJoseph-f4y
    @EsterJoseph-f4y День назад

    Mungu asikie kilio changu nasumbuliwa na roho ya madeni kwangu hayaniishi nafanya kaz mm na mme wangu wote tunapokea mishahara lkn hatujui tunafanyia kt gan zaid Mungu kanibariki nimepata kiwanja anipe kibali chakujenga pia

  • @SimaaNdosi
    @SimaaNdosi 2 дня назад

    Ameeen ayayayaya mungu wangu

  • @ErastonEmilly
    @ErastonEmilly 2 дня назад

    Mungu wa mbinguni naitaji unikombowe mimi na jamaa langu lote

  • @PhilipinaEmmanuel
    @PhilipinaEmmanuel 2 дня назад

    Napokea kuwa na kwangu kwa jina la yesu

  • @MarcusHaule-g2u
    @MarcusHaule-g2u 2 дня назад

    Ee mwenyez mungu najiungamanisha na madhabahu yak uuponye ugonjw wa mwanamke wangu mary moses ni mwathirik mungu naomb umhamishe kweny huo ulimwengu

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Mungu nitendee miujiza nifungue kiuchumi mungu mpe nguvu miguu erieti devi ahache kuvuta sigala mungu mkomboe

  • @LINASIMON-s3x
    @LINASIMON-s3x 2 дня назад

    Naomba na mimi kupitia shuhuda ya uyu baba niache kunywa pombe kwa jina la yesu 😢

  • @AllyAlex-n9v
    @AllyAlex-n9v 2 дня назад

    Mungu inua uchumi wangu niinue kiuchumi nipe kibali

  • @johariayoub2068
    @johariayoub2068 2 дня назад

    We Mungu wa madhabahu hii nisaidie Na mim Na Leo tumbo langu la uzazi liwe Sawa kama likizo kuwa mwanzo

  • @EsterJoseph-f4y
    @EsterJoseph-f4y День назад

    Nami najiungamanisha na madhabahu hii ktk mkesha wa vuka na chako nami nikakombolewe mm na familia yangu mwaka huu tukajenge na kufungua biashara ya ndoto yanguMungu nipe kibali

  • @SamiyaSamiya-w1y
    @SamiyaSamiya-w1y 2 дня назад

    Naomba mngu nisaidie nijifungue watoto mapaca wakiume kwasasa Niko namimba naomba nikienda kupima nikute nima paca wakiume🙏🙏🙏

  • @AnnastaziaWilliam-w5m
    @AnnastaziaWilliam-w5m 2 дня назад

    Kupitia mombi ya operation komboa familia mm na familia yangu tunajiunganisha na ibaada hii tunakombolewa kwa jina la yesu

  • @fortunatapaskal3946
    @fortunatapaskal3946 2 дня назад

    Kupitia shuhuda hizi ee Mungu na Mimi pia

  • @EnthusiasticJaguar-ej2du
    @EnthusiasticJaguar-ej2du 2 дня назад

    Mungu nisaidie nipo kwenye mitihan natak kufauru kwa njia rahisi

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Naomba mungu kuuza gali bila wasiwasi naomba biashala ya sabasaba wateja wafulike kesho sabasaba

  • @fortunatapaskal3946
    @fortunatapaskal3946 2 дня назад

    Ee Mungu nisaidie kupitia maombi haya ya operation komboa familia,pia mdogo wangu Joachim alipwe pesa zake zote anazodai

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 День назад

    Najiungamanisha na madhabahu hiii nafuta roho ya kukataliwa kwa jina la yesu leo iwe mwisho wa matatizo yot nivuke na changu

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Najiungamanisha na mazabau hii naomba mungu uponyaji nipone mwili mzima naomba nipokee uponyaji

  • @JacklineOrawo
    @JacklineOrawo 2 дня назад

    Bwana komboa watoto wangu wainue kimapato

  • @gracenjeri4958
    @gracenjeri4958 2 дня назад +2

    Namini mungu wa mathehebu hii maombi yote time mungu atanirudishia.niwakati wakukobolewa na watoto wangu biashala yangu itaongezeka urahisi.namini mungu wamathehabu hii nitapata picking pila usubufu wowote kirahisi jimy Askari atnikaripiya pila mashariti nitaonekana dukani yangu nipata wateja sahihi kirahisi kupitia upango wa mwambosa

    • @MapelaNzego
      @MapelaNzego 2 дня назад

      Ndio naamini upako yak

    • @MapelaNzego
      @MapelaNzego 2 дня назад

      Kwanza amenitendea mambo makumbwa

    • @MapelaNzego
      @MapelaNzego 2 дня назад

      Sikutarajia kama nitakuja kupata mtoto wa kiume lakn nilipojiungamanisha mungu ni mwema amenipa from katavi

  • @fortunatapaskal3946
    @fortunatapaskal3946 2 дня назад

    Ee Mungu nisaidie kesho wateja wawe wengine dukani ee Mungu nisaidie

    • @fatumamwaipopo41
      @fatumamwaipopo41 2 дня назад

      Wadeja kesho wafulike wa viatu naomba mwili uache kuwasha miguu iache ķuma mikono iache kuuma bipi iache nnge wafe wote kwa jina la yesu namimi niache kula udongo

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    Mponye shangazi yangu maria na familia

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Munguniponye magojwa yote na jase mponye na holiday mponye

  • @saidsaum
    @saidsaum 2 дня назад

    mungu naomba nifungue

  • @MapelaNzego
    @MapelaNzego 2 дня назад

    Amina

  • @MwanamvuaSaid-g2j
    @MwanamvuaSaid-g2j 2 дня назад

    Kupitia ibada hii ya operation komboa familia mm na watoto wangu tunajiungamanisha na ibada hii

  • @SimaaNdosi
    @SimaaNdosi 2 дня назад

    MUNGU wangu mambo yako yanatisha

  • @JoyceDancen
    @JoyceDancen 2 дня назад

    Mungu ntaka uniponye magojwa nanifunguliwe kiuchumi

  • @FarajaMwamdu
    @FarajaMwamdu 2 дня назад

    Naomba nifunguriwe nguvu za.gizazote ziropo ndaniamwangu.na shamba.zirudi

  • @graceMbesi-qb3op
    @graceMbesi-qb3op 2 дня назад

    Jamani msipuzie komboa family.

  • @YunisCaros
    @YunisCaros 2 дня назад

    Ameen ameeen

  • @MwanamvuaSaid-g2j
    @MwanamvuaSaid-g2j 2 дня назад

    Napokea cheo kirahisi kwa Jina la yesu

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Mponye mama

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Amen

  • @ChaloneUmutoni-g1l
    @ChaloneUmutoni-g1l 2 дня назад

    Amen ✋✋✋✋✋

    • @EsterJoseph-f4y
      @EsterJoseph-f4y День назад

      Huu mwaka ukawe wa tofauti na wa historia kwangu

    • @EsterJoseph-f4y
      @EsterJoseph-f4y День назад

      Mungu katika mkesha wa vuka na chako ukamwinue mdogo wangu shedi katika udhaifu alionao akapone kwa damu ya yesu

    • @EsterJoseph-f4y
      @EsterJoseph-f4y День назад

      Nisamehe Mungu wangu kwa yote niliyoyafanya kinyume na matakwa yako nikakutumikie

    • @EsterJoseph-f4y
      @EsterJoseph-f4y День назад

      Ktk opareshen hii ya kukomboa familia Mungu akakutane na haja ya moyo wangu,akasimamie uzao wangu na nyumba yangu pia amen!

  • @JacklineOrawo
    @JacklineOrawo 2 дня назад

    Bwana naomba kujenga nyumba ya kuishi kwa uraisi

  • @MwanamvuaSaid-g2j
    @MwanamvuaSaid-g2j 2 дня назад

    Narudi kwenye kitengo changu cha barabarani kwa Jina la yesu

  • @JoyceDancen
    @JoyceDancen 2 дня назад

    Mungu ntaka mmewangu ahache pombe

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu 2 дня назад

    Naomba uwape Amani pamoja na maelewano yeye na mume wake

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    Familia yangu inafunguliwa hapa nilipo

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Namimi leo naomba unitendee

  • @MariaMax-c5u
    @MariaMax-c5u 2 дня назад

    👏👏👏👏💚💚

  • @JacklineOrawo
    @JacklineOrawo 2 дня назад

    Jeremy aka pita mtiani apate alama nzuri

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    MUNGU wa madhabahu hii nitendee kama wengine unavyowatendea ( komboa familia YANGU)

  • @SergeWisdom
    @SergeWisdom 2 дня назад

    Kupitia ibadai namini yakwamba nitapokea majibu yamaombi yangu

  • @ArafaMcharazo
    @ArafaMcharazo 2 дня назад

    Napokea uponyaji maradhi yangu yote

  • @JacklineOrawo
    @JacklineOrawo 2 дня назад

    Bwana naomba biashara

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Napokea kuvunguliwa bipi

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Balikiwa sana

  • @gracenjeri4958
    @gracenjeri4958 2 дня назад

    Namini mungu kupitia upango wa mwambosa kazi ya Askari Sarah imeisha katika east Africa craft shops.vienye arisika kumaliza packing ya wenye maduka naye kuvika kesho atolewe kirahisi kupitia mathehebu ya mwambosa kirahisi Kwa jina la Yesu christo.shemakula Dominic na grace tumuhude wamtoe aede juu ya kutoheshimu wenye maduka namini.wednesday atakuja ameda kazi kwikine

  • @JacklineOrawo
    @JacklineOrawo 2 дня назад

    Naomba ndoa na mzungu tena tufanye arusi

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    Operation hii inapopita Leo ni siku YANGU ASANTE YESU

  • @Samwelisamweli-v1z
    @Samwelisamweli-v1z 2 дня назад

    Namimi najiunga madhabaoni naomba niludishe kazini

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    Shamba lenye utatoa kuanzia Sasa ni langu na utata umeisha kupitia ushuhuda huu ( kesi ya shamba imekwisha Sasa ivi)

  • @fatumamwaipopo41
    @fatumamwaipopo41 2 дня назад

    Napokea kuvuka mwaka bila magonjwa

  • @YunisCaros
    @YunisCaros 2 дня назад

    Namim pia namwamin mungu mateso bye bye u masikini bye bye kukataliw bye bye ni kufanikiwa tuu kwa jina la Yesu ameen

  • @GFrEy26LyFMAGAI
    @GFrEy26LyFMAGAI 20 часов назад

    MUNGU KUPITIA MAOMBI HAYA NAOMBA UNIFUNGULIE BARAKA NA RIDHIKI KATIKA MAHUSIANO HAYA NAYOFANYA NA MWENZANGU

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 2 дня назад

    Biashara yangu nataka kuanzie kesho wateja wawe wengi kuliko kawaida

  • @AllyAlex-n9v
    @AllyAlex-n9v 2 дня назад

    Eemungu niinue kiuduma na kuuchumi unipe kibali kila eneo

  • @ArafaMcharazo
    @ArafaMcharazo 2 дня назад

    Nafunguliwa kiuchumi

  • @Samwelisamweli-v1z
    @Samwelisamweli-v1z 2 дня назад

    Namimi najiunga na mathabaoni niludishhe kazini

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Naomba kotion na sprey zizidiwe wateja

  • @aminaluoga4578
    @aminaluoga4578 2 дня назад

    Napokea mtaji kiurahisi ntakwenda china kiurahisi

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Naomba kufunguliwa biashala yangu mizidiwe wateja naomba ndoa yangu imalize migogolo mme wangu aniheshimu

  • @ChaloneUmutoni-g1l
    @ChaloneUmutoni-g1l 2 дня назад

    Amen ✋✋✋✋✋

  • @MwanamvuaSaid-g2j
    @MwanamvuaSaid-g2j 2 дня назад

    Kupitia ibada hii ya operation komboa familia mm na watoto wangu tunajiungamanisha na ibada hii

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Ameen

  • @JoyceDancen
    @JoyceDancen 2 дня назад

    Mungu ntaka mmewangu ahache pombe

  • @AminahSamadu
    @AminahSamadu 2 дня назад

    Naomba uwape Amani pamoja na maelewano yeye na mume wake

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d 2 дня назад

    Ameen

  • @JoyceDancen
    @JoyceDancen 2 дня назад

    Mungu ntaka mmewangu ahache pombe