TAZ GENIUS ATOKA GEREZANI, SIJAHUSIKA NA MAUAJI, ASIMULIA MWANZO MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 68

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 14 часов назад +1

    Aiseee pole sana brother mitihani umkuta minadamu mungu akufanyie wepes katika kila jambo lako ❤❤❤

  • @Momero-q7p
    @Momero-q7p 8 часов назад

    Pole kwa mtiani mwalimu wangu. Nilikuwa sioni fcbk tiktok. Kumbe ulikuwa umepata mtiani mkubwa. Pole sana mwalimu wangu. Nime miss darasa lako. Mungu atakupa uepesi kwa mtiani huu nilapita tuu kaka

  • @kudramohamed6733
    @kudramohamed6733 2 часа назад

    Pole sn Taz Allah atakuongoza

  • @sarahweber5659
    @sarahweber5659 День назад +1

    Taz pole sana kijana Mungu atakusimamia utaendelea na kazi vizuri tu

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 День назад +1

    Pole sana Richard, chunga sana manyaunyau ndio alisuka huo mpango!

  • @SalumOthman-w8c
    @SalumOthman-w8c День назад +1

    Taz pole sana ndugu ukisema umesema bora salama

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u День назад +2

    Tumrudie Mungu sina ham na waganga wa kienyeji walikula sana pesa zangu

  • @JustinKachewa
    @JustinKachewa День назад

    Dah Asante mungu tz umetoka manyau atapata shida sana akuwezi

  • @Momero-q7p
    @Momero-q7p 7 часов назад

    Wachawi wanachuku na wewe kwasababu unaelimisha watu bure. Walirogwa na walio rushiwa majini. Kuwa makini na Wachawi walio kuzunguka cz kukuroga awawezi kuku rushiya majini awawezi. Ilio baki wakutumiye wauni ama wakubandikiye kesi. Mwalimu wangu kuwa makini sana twakukubalisana mungu akuongeze

  • @Afsa-z3g
    @Afsa-z3g День назад

    Pole sana ndugu yangu kila kazi ina changamoto zake

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 22 часа назад

    Pole sana kaka Mungu alisimama na ukweli

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 День назад

    Dr Mapusi pusi anahusika 💯
    Alifurahia sana na matukio mengi pale alionekana kwenye video

  • @Michambonline
    @Michambonline День назад +1

    Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nimemic kukunwa vizuri jamni mie ❤❤

    • @GervasMalimi
      @GervasMalimi День назад

      Nichek8

    • @MariamPiusi
      @MariamPiusi День назад

      Uko wapi nije kukukuna mm ni ngosha utakunwa vile utavyotaka mm ni mshamba Ila kwenye sex utanikosoa ama utanisifia
      Mwenyewe

    • @MariamPiusi
      @MariamPiusi День назад

      Naitwa Edward natumia akaunti ya dada angu

    • @InnocentBirdNest-nl4eg
      @InnocentBirdNest-nl4eg 20 часов назад

      Nenda kwa bartazal engonga

    • @Yasinmalua-m9w
      @Yasinmalua-m9w 17 часов назад

      Nipo njoo😊

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi День назад +1

    Pole kaka

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 18 часов назад

    Pole sana kaka

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 День назад +1

    Pole sana Allah amekuvusha hilo namengine mengi atakuvusha InshaAllah

  • @RajabuAlly-tg3vh
    @RajabuAlly-tg3vh 20 часов назад

    Binafsi nilimuombea sana atoke huyu mwamba mungu mkubwa

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 День назад +3

    uchunguzi ulitendeka au ulitoka kwa msamaha wa Rais, huyu jamaa alipata malalamiko mengi kutoka kwa jamii inayomuzunguka huyu hapa anajitetea kama ilivyokawaida ya mtu yeyote aliyekosea huwa anaweza kujitetea kwa ajili ya kujiweka vizuri haya mambo hayaji kwa ahati mbaya lazima kuna kitu

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 14 часов назад

    Manyaunyau ajipange

  • @MaryamRashid-zd6gl
    @MaryamRashid-zd6gl День назад

    Pole sana rafiki ya ngu wa tiktok

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e День назад

    Mitihani binadamu tumeumbiwa pole sana

  • @hassanilukasi5984
    @hassanilukasi5984 День назад

    Taz taz taz taziiiiiiii juuuuuu

  • @shamzone388
    @shamzone388 День назад +1

    Kama ulikuwa unapesa unanimua kila unachotaka ni bora ungekuwa unawagaiya na wafungwa wenzio

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 День назад

    Pore sana kakaangu

  • @allyfleva6134
    @allyfleva6134 День назад

    Nakubari sana

  • @SaidMkome-p6s
    @SaidMkome-p6s 23 часа назад +1

    Nakubali ndugu piga kazi wajinga bado wanazaliwa

  • @MerryWilliam-r4l
    @MerryWilliam-r4l День назад

    Binadamu tuwe na akiba ya maneno

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 День назад

    UCHAWI UPO DAMU ZIMEMWAGIKA NA YEYE KAMWAGA MAJI 😂😂😂

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u День назад

    Cyo kwamba uliibiwa ww ukajua yy ndo amepga deal nàww ukaja ukaua ukjua kuwayy ndo amepga deal

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 День назад

    Ila ahame mtaa hawampendi ukiona kisa chake mahojiano na majirani pale dah,,,, ni hakima ahame tu

  • @chrisandusomulayi9764
    @chrisandusomulayi9764 День назад

    Huyu ni tapeli,nilimutumia pesa yangu akazimisha simu

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 13 часов назад

      @@chrisandusomulayi9764 Atamm mwaka jana alinila 10k akidai anatuma dawa kenya naakanyamazia ivo mm nilimuacha atasikutaka stori iwe ndefu ila sikuzote jasho lamti haliliwi atalilipiaa kivyovyote vile🙏

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 День назад +3

    Huyu hajitetei analalamika kuwa watu wabaya wanamchafua kwani yeye ni peke yake ndio anajaua tiba mpaka chafuliwe?

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День назад

    Na uyo manyau ndio adio yako kabisa ichunge

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 День назад

    Polekaka

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День назад

    Mpaka majoran hawakupemdi yaan kisa hiki kimetrend sama

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc 10 часов назад

    Uyu jamaa ana maneno ya kizaramo sana yaan

  • @jayman7865
    @jayman7865 22 часа назад +1

    Kes ya mauaji sio kitoto isikie tu kwa mwenzio kutoka hiv hiv sio rahsi kutoka kuna dawa zakutosha zimetumika had ukatoka

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule День назад +1

    Police punguzeni rushwa

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 День назад

    Pole sana

  • @Jamalybella
    @Jamalybella День назад +8

    Aache kutapel watu kwanza

    • @khalifaallyibnadam9983
      @khalifaallyibnadam9983 День назад +3

      aliwahi kukutapeli??

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 День назад +2

      Kabisaaaaaa mm alinitapeli 10k akinambia anatumana dawa kenya ya miguu

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 День назад

      Punguza unafiki leta ushahidi

    • @priscillahsirya6544
      @priscillahsirya6544 День назад +1

      @cheiknamouna2058 wala sikutaka iwe ngori 10k alikuala akaenda chooni akasahau ila sikuzote malipo nihapa hapa duniani

    • @Michambonline
      @Michambonline День назад

      Shoga yangu acha roho mbaya❤

  • @Amedeus-i8b
    @Amedeus-i8b 12 часов назад

    Huyo ni tapeli tu

  • @msasetv8296
    @msasetv8296 День назад

    Sema jamaa kujieleza hawezi, hajibu maswali kiufasaha na hiyo inatokana na uelewa wa mambo

  • @DottoGerald
    @DottoGerald 20 часов назад

    Pole kaka

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 День назад

    Pole sana