Jinsi ya kuipata simu yako ya android iliyopotea kutumia huduma ya "Google find device"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 27

  • @onemanvoiceonline901
    @onemanvoiceonline901 Год назад +1

    Thanks

  • @petronilafaustine
    @petronilafaustine 3 года назад +1

    Nimeingia kwenye find my device nimeona divice zilizo sign in,nikabadilisha pasword ya emai nikiingia sizioni tena zile device,naomba msaada nifanyeje?

  • @mrapple5038
    @mrapple5038 2 года назад +1

    good🔥🔥🔥

  • @AbelMsachi
    @AbelMsachi 2 месяца назад

    Bila shaka hicho kifaa ambacho kinatumika kutafuta kifaa kingine kinatakiwa kisiwe na Google akaunt. Mbona nilitaka kutafuta sm yangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu, hailet sehemu ya kuweka akaunt ya simu yangu, badala yake inaenda Moja kwa moja kwenye akaunt ya rafiki yangu?

  • @suiemanluhomoka8221
    @suiemanluhomoka8221 3 года назад +1

    Kaka uko wapi naomba Masada wako

  • @evansayot
    @evansayot 6 месяцев назад

    Jee na akizima simu itakwaje twambie apo

  • @pastoryrutta9502
    @pastoryrutta9502 9 месяцев назад

    Kwani aliyeibiwa simu akikuona,unaweza kumtafutia simu yake?

  • @thomasdonald4663
    @thomasdonald4663 3 года назад +1

    Me somo kamili la kutrack simu iliyopotea kwa kutumia email hata Kama itakuwa imefomatiwa niipate

  • @rashidbusanya5843
    @rashidbusanya5843 6 месяцев назад

    Je akienda kufurash

  • @saidsalum1318
    @saidsalum1318 8 месяцев назад

    mchakato huu unalazimik cmu iliyopotea iwe data on au at ikiw data off unaitrack

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 Год назад

    Sasa kwamfano umeifunga ukaipata utafunguaje lete video yake

  • @neemakomba8512
    @neemakomba8512 8 месяцев назад

    Mbona mshale sioni nikifika

  • @kimmsafitv7278
    @kimmsafitv7278 3 года назад

    Na kama simu ilipotea na ùkafugua account na phone nyigine

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  3 года назад

      Kama simu ya awali bado ina akaunti yako,bado utaweza ku track

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx Год назад

    Mbeya

  • @charlesjohn155
    @charlesjohn155 2 года назад +1

    Upowap

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  2 года назад

      Dodoma

    • @Mcnation803
      @Mcnation803 Год назад

      Kaka msaada naomba namba yako😢

    • @YusuphNasoro-d6l
      @YusuphNasoro-d6l 5 месяцев назад

      𝙽𝚒𝚖𝚎𝚙𝚘𝚝𝚎𝚕𝚎𝚠 𝚗𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚞 𝚢𝚊𝚗𝚐 𝚜𝚊𝚊𝚍𝚊

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx Год назад

    Nimepitelewa na sim yangu

  • @feisalsaidy-qm1uo
    @feisalsaidy-qm1uo Год назад

    naomba simu yangu

  • @nasranduly8550
    @nasranduly8550 3 года назад

    Na kama ameshaiformat

    • @ElimikaMtandaoni
      @ElimikaMtandaoni  3 года назад

      Ikitokea ameiformat na kuondoa account yako ya Google hapo utumie measures zingine kwa hii hautaipata

  • @vedastoson7417
    @vedastoson7417 Год назад

    Nitumie namba ya Whatsapp kaka