🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 57

  • @amjudith
    @amjudith Год назад +6

    Guys can we take a moment to shout out the guys behind the camera,they are doing a great job.God bless you.

  • @arietteelelwa6202
    @arietteelelwa6202 Год назад +2

    Niombee Mungu alinde Familiya yangu

  • @nurugasaya6001
    @nurugasaya6001 Год назад

    Ubarikiwe Mch.🙏naomba uniombee🙏🙏🙏

  • @rossarutasha1789
    @rossarutasha1789 Год назад +1

    Naomba mniombee mwanangu anatstizo la jicho

  • @muneemaanzo1853
    @muneemaanzo1853 Год назад

    Mungu akubariki sana

  • @SaumuGenerics
    @SaumuGenerics Год назад +1

    Bwana mungu akubariki akupe afya njema wewe na familia yako

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 Год назад

    Mungu ni mwema sana.

  • @julianathomas5274
    @julianathomas5274 Год назад

    Amen from gulf

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 Год назад

    Mchungaji mungu akubariki Sana.amina

  • @mwimamachumu6771
    @mwimamachumu6771 Год назад

    Amina Pastor barikiwa

  • @froline5209
    @froline5209 Год назад +1

    Mungu atukuzwe 🙌🙌🎉🎉

  • @jeanneriziki638
    @jeanneriziki638 Год назад +1

    Aksante mcungaji kwa huduma
    Ila namba hatukuona

  • @seiframadhan3387
    @seiframadhan3387 Год назад

    Hili somo nimelirudia zanoidi ya mara nne limenifundisha kitu kikubwa mno ktk kujijenga kiimani Mungu akubariki sana Mchungaji umenyanyua kiwango changu cha imani

  • @RoseMwanyika-k4k
    @RoseMwanyika-k4k 2 месяца назад

    Mchungaj niombee mungu anisaidie nibariki ndoa mungu anibariki nipate nishike ujauzito nipate watoto mungu anisaidie nirud Kanisan nisikumbuke majeraha niliyojeruhiwa na anipatie Kibali cha kuendelea kuifanya kaziyake

  • @WilieliminaZacharia
    @WilieliminaZacharia Год назад

    Amina mtumishi napata aman nafuraha ninapo sikiliza mafundisho Yako mungu akubalik pia aniombee mungu afungue tumbo

  • @robimbiriri1600
    @robimbiriri1600 Год назад

    thanks so much pray for me nimesitisha masomo yangu kwa sababu ya kukosa karo ya shule niombee mungu anilipie nimalize niko mwaka wa tatu college nasomea nursing migori kenya

  • @mapenzikazungu1452
    @mapenzikazungu1452 Год назад +1

    Amen from Italy

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 Год назад

    Amina

  • @arafakidang1084
    @arafakidang1084 Год назад +1

    Ameeeeen

  • @cristinekenya1050
    @cristinekenya1050 Год назад +2

    Amen katika Jina la Yesu, from Lebanon

  • @eustina0
    @eustina0 Год назад

    Mungu muguse mum umupe uponyaji aminaa🙏🙏🙏🙏

  • @eustina0
    @eustina0 Год назад

    Aminaa Mungu akubariki sana kwa nafundisho haya 🙏🙏🙏🙏

  • @thabitawanka963
    @thabitawanka963 Год назад

    Barikiwa sana pr Mungu akutunze akutumiye katka utumishi wako Maombi haya yakamufungu joshwa katka vifungu yamapepo ana apone Mguu wake uliofunjika

  • @SporahEmmanuel-gc7lw
    @SporahEmmanuel-gc7lw Год назад

    Nmebarikiwa sana na mahubir haya

  • @GabrielWarioba-co8qg
    @GabrielWarioba-co8qg Год назад

    Naitwa Gabriel William ryoba my dear pastor naomba uniombee ninaumwa sanaa na cjui naumwa nn mbarikiwe sanaaa.... Mbarikiwe sanaaa

  • @paradisomwagala-jh3ki
    @paradisomwagala-jh3ki Год назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 Год назад +1

    Amen

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Год назад

    Emeeeeeen kuko pamoja sana

  • @janethfwamba8561
    @janethfwamba8561 Год назад

    Hakuna namba inayopita

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 Год назад

    Tena magonjwa makubwa mawili.leo nipo mzima wa afya..Sasa ninaombea mtoto wangu kufunguliwa na urahibu.naamini uponyaji upo kwa imani

  • @wisdombarak8480
    @wisdombarak8480 Год назад

    Naomba niombewe niwe mhuzuliaji wa ibada

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.8467 Год назад

    Amen.

  • @thabitawanka963
    @thabitawanka963 Год назад

    Mbona sioni namba

  • @marygoretysenga1119
    @marygoretysenga1119 Год назад +1

    Mimi nafika kama nimechelewa lakini Nina ushuhuda kwa Mungu.kwa kweli mimi Tangu nianze kufuata mafundisho yako kwa you tube mungu ameniponya na magonjwa mengi Sana.1.ubinafsi umekwisha ndani yangu kabisa.2.hatia ya dhambi imeondoka kabisa.najisikia huru.kabisa.3.sihukumu Tena wenzangu kabisa.ninawaona kama mimi Jana tu.

  • @RoseMwanyika-k4k
    @RoseMwanyika-k4k 2 месяца назад

    mchungaji mmninandoa YA kimila he naweza batizwa na nikafanya huduma ndan YA kanisa?

  • @rehemaedward9494
    @rehemaedward9494 Год назад

    Watumishi tuombeane,mda wakuskiliza mahubri najikuta usingiz mzto sana ikifika mwisho ,usingiz unakata hii siyo hali yakawaida shetan htaki nipone,Jina langu Blandina nipo Iraq

  • @paradisomwagala-jh3ki
    @paradisomwagala-jh3ki Год назад

    Sawa pastor lakini mimi mbona hayaishi mpaka naugua nimechoka jamani😢

  • @calorineraphael3173
    @calorineraphael3173 7 месяцев назад

    niombee magonjwa yote yatoweke

  • @bahatijohn1958
    @bahatijohn1958 Год назад

    Sauti inakatakata ijakaa sawa

  • @lucywensilaus6264
    @lucywensilaus6264 Год назад

    Niombee maana ninakidonda kwenye mlango wa kizazi naitaji uponyaji

  • @janethfwamba8561
    @janethfwamba8561 Год назад

    Ee bwana naomba uyafute machozi ya mashambulio ya maden yamenizidi nipo kwenye taa nyekundu

  • @florencekawira2212
    @florencekawira2212 Год назад

    Bwana nifute machozi...

  • @ngolorose
    @ngolorose Год назад +2

    Sioni number ya mahubiri tv

  • @gracekariuki1078
    @gracekariuki1078 Год назад +1

    Amen

  • @HappyFanuel
    @HappyFanuel Год назад

    Amen

  • @claudiajelimo8128
    @claudiajelimo8128 Год назад

    Amen

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 Год назад

    Amen