hijiria Qassida

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 57

  • @muniraali8457
    @muniraali8457 5 лет назад +4

    Qaswida nzuri sana mungu amlaze pema penye wema

  • @sabrakassim3413
    @sabrakassim3413 5 лет назад +5

    Ya Allah mpe kauli thabit maalim wetu abuu umuondolee adhabu za kaburini umpe nuru umsameh madhambi yake hakika tulimpenda sana ila ww umempenda zaid R.I.P😫😭😭😭😭😭

    • @muniraali8457
      @muniraali8457 5 лет назад

      Qaswida nzuri sana Allah amlaze pema penye wema

  • @zaidusuleiman2981
    @zaidusuleiman2981 5 лет назад +4

    Mungu amlaze mahalipem pepon amin inshaallah 😢😢

  • @saidihadadi714
    @saidihadadi714 5 лет назад +5

    Mungu akupe kauli thabit pia akuweke peponi

  • @ahmedqaby3704
    @ahmedqaby3704 5 лет назад +5

    Mwalim beka,allah,akupe nuri nakumbuka sana hiii qaswida,mara ya,kwanza unaileta ili tuiskilize mule chuoni

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 5 лет назад +7

    Nahisi km nikija kamaria nitakukuta abuu 😭😭 we still loving you....ila kazi yake mola haina makosa....Alla akusamehe dhambi zako akujaalie uwe ni miongoni mwa waja wako wema pia akujaalie pepo miongoni mwa pepo zake tukufu Inshaalla 🤲...😢😢 madrassat Muhiddin bado tuko pamoja nawe hadi mwisho wetu dua na sala zetu ziwe ndo asbabu ya ww kupata mwanga katika kaburi lako amin....🤲

  • @naahjalaman6629
    @naahjalaman6629 5 лет назад +5

    Allah akupunguzie adhabu za kabri na alipe nour kabur lako Habibi..hakika umetuachia pengo.. Allah atupe subra tusije tukakufuru. Allhamdulillah

  • @HarunAyoub
    @HarunAyoub 10 месяцев назад +1

    Ni miaka inakatika. Pengo lako Maalim Abubakar haliwezi kuzibika ndani ya Qamaria na Zanzibar kwa Ujumla. Ulibahatika upendo kwa watu wa rika za aina zote. Allah akujaalie kheir katika maisha yako ya kaburini nasi In sha allah hatutakusahau katika dua zetu hadi nasi itapofika khatam yetu. Amin

    • @HesminTV
      @HesminTV  8 месяцев назад

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 3 года назад +2

    Mashallah alikuwa mpole Allah Amrahamu

  • @ahmedqaby2072
    @ahmedqaby2072 6 лет назад +7

    Prince beka kka unanikumbusha mbali sana

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 лет назад +7

    Allah akupe kaul thabit katik kabur lako akuondolee adhab ya kabr..Amiiiin tulikupend ila mung ndo amekupend zaid

  • @faqihmbarouk6880
    @faqihmbarouk6880 5 лет назад +16

    Allahumma thabbit_hu bil_qauli thaaabit. Wajaaalna khus_nil_khatma yaarabbi.

    • @zaidusuleiman2981
      @zaidusuleiman2981 5 лет назад +1

      Mungu amlaz mahalipem pepon amin nikikumbuk wem wake naumia moyon

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 6 лет назад +5

    Inallillah waina illah rajiun jaman niponde kubwa sana qamariyaa mungu muwemakaz mazur pepon kaka ang

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 лет назад +5

    Allah Maswall waswallmaaleeee Nuruitawale kwawaisilam wote dunianiiiiiiiiiii♥️♥️♥️🕺🕺

  • @naimasaid4073
    @naimasaid4073 5 лет назад +5

    Nuru itawale kwenye kaburi lako inshaallah ...amiin

  • @rahmarashid3719
    @rahmarashid3719 5 лет назад +5

    yaniii nikiangalia qsda zako nalia wallah yani nimajonz matupu naumiaaaaaaaa naumiaaaaaa

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 6 лет назад +7

    Mungu amlaze peponi kiongozi beka R I P BEKA tuta kukumbika. Daima😤😤😢😤😤

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 лет назад +4

    wallah huna mbya...nice qaswida nawapenda buree qamariyya

  • @salumbadalu6766
    @salumbadalu6766 6 лет назад +5

    Innalillah wainna ilaih rajiun
    Allah pokea sadaqa na amali za njema alizozitanguliza mbele yko
    Na iwe shifaa huko aliko amiiiin

  • @salumsuleima1845
    @salumsuleima1845 3 года назад +1

    Yani nikiangali hii qaswida bc nakumbuka Ile siku alioisoma pale makomben mkoani ktk chuo Cha kaukaba dah mungu mpe makaz mazur ya pepo yko

  • @mussazamzam5762
    @mussazamzam5762 2 года назад

    Innalillahi wainnailayhi rajiun Allah amsamekh makosa yake amjaalie kauli thabit amin

  • @abalkassim2248
    @abalkassim2248 4 года назад +1

    Good content, allah alie ajaaalie kaburi lako liwe raudha minal Janna, akuondoshee adhabu za kaburi, alie jalie kaburi lako liwe miongoni mwa mabustani ya peponi

  • @marijanimohamed7619
    @marijanimohamed7619 6 лет назад +7

    Mungu mpe wepes beka katika mapumziko yake ya milele😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤😤tusisahau kifo kifo hakitusahau

  • @raufuraufu3505
    @raufuraufu3505 6 лет назад +4

    MaashaAllah. We unajua.

  • @khamiskhudhaifat7633
    @khamiskhudhaifat7633 4 года назад +1

    Qaswida yke ya ibilisi nilipoisikilza tu nilipenda sn sauti yko jinsi unavyoimba 😢 nikajua ipo siku tutaonana nikuone naskitika niliposkia umetangulia😟😢

  • @subirajuma2052
    @subirajuma2052 2 года назад

    May allah bless uh 🙏 kaka beka we always remember uh 😭😭 always uh are in our hearts ♥ we do love you 😍 we mention you in our prayers may heaven be yours in shaa allah

  • @maydashaineng9403
    @maydashaineng9403 4 года назад +3

    Tunakukumbuka kipnz chetu abuuu ck ulipokuww unaisoma kaswid hii pemb madrasani kwetu tulikupenda ila mung amekupnda sn

  • @halimahalima9133
    @halimahalima9133 6 лет назад +4

    Mashllah prince Aboubakr

  • @uweismohammed6959
    @uweismohammed6959 5 лет назад +4

    Tunakukumbuka kwa mema

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 лет назад +3

    Masha Allah masha Allah najivuniya na wisilam♥️♥️♥️♥️♥️🕺🕺🕺🕺🕺🕺

  • @ummysaidy2520
    @ummysaidy2520 4 года назад +1

    Innalillah wainnailayh rajiun jamn alikuw anaumwa

  • @abubakarhassan2223
    @abubakarhassan2223 6 лет назад +4

    Prince uko vzr

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 года назад

    Allha akuhifadh kepez chetu

  • @issaally8702
    @issaally8702 3 года назад +1

    Kila nikimuona sura yake hainitoki machoni pangu ni mwaka wa mwisho kusoma kaswida makombeni mkoani pemba tunakukumbuka 😭

  • @halimajuma1334
    @halimajuma1334 6 лет назад +4

    Amiin Amiin Yaarabi

  • @halimajuma1334
    @halimajuma1334 6 лет назад +4

    Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun

  • @salumhodari9846
    @salumhodari9846 5 лет назад +3

    Nisaidieni jamani nimpende nani zaidi ya abuu

    • @tumumwinyi1198
      @tumumwinyi1198 5 лет назад

      Kila tukimkumbuka tumpelekeeni dua apo ndo tutakapoonesha zaidi mapenzi yetu kwake mungu ampe shifaa Prince beka bin douch

    • @tumumwinyi1198
      @tumumwinyi1198 5 лет назад

      Safari niyetu sote ingawaje beka umetangulia tunahuzuni kwakuondoka kinara wa qamaria but akuhifadhi kaka nasisi tupo nyuma yako allah atupe khatma njema

  • @ashamachano7850
    @ashamachano7850 4 года назад +1

    Ni kweli chema hakidumu ila huzun na majonz tutakuwa naz sku zot tukikumbuk ukarim wak pumzka kwa Aman uko uliko mbele yetu na ss nyuma yako

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 лет назад +3

    Ivi kuna mridhi wa abuubakar

    • @hunterboy5499
      @hunterboy5499 2 года назад

      Swaleh mbn anajitahid nae ila abuu kwa tanzania hii nd kiboko yao

  • @khamisabdallah8014
    @khamisabdallah8014 5 лет назад +3

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @salumsuleiman7328
    @salumsuleiman7328 4 года назад +2

    Almaut babun wakulun,nafsu dahiluhu ,,,,

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 года назад

    Hatar vita

  • @rajbudizo9291
    @rajbudizo9291 10 месяцев назад +1

    ❤😂❤

    • @HesminTV
      @HesminTV  8 месяцев назад

      Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV

    • @rajbudizo9291
      @rajbudizo9291 8 месяцев назад

      @@HesminTV
      🤝🌹