Asante Yesu sifa kwa Yesu. Mamá ume nikumbusha mamá Mary Otieno. Mamá tuombee sana. tTunakuombea sana na tunashukuru mungu kwa maisha yako wewe ni baraka kwetu. Waimbaji wengi wanaanza na Rojo lakini wengi wanapotea njiani. Mamá anza kwa Rojo wa Mungu, zidi kutembea ndani yake mpaka mwisho. Asante mamá yetu Cherotich.barikiwa sana mpaka ushangae. Nyimbo zako zinanibarikisha sana na nikikuona naji nyenyekeza sana mbele ya mungu. Kutoka Spain
Kweli mungu yupo ❤❤❤❤
Waaah waaah you're blessed gladies
Wewe ni WA baraka gladies tunashukuru sana
🙏🙏🙏🙏🙏amen amen
yupo Mungu
Amen 🙏
Amen
Asante Yesu sifa kwa Yesu. Mamá ume nikumbusha mamá Mary Otieno. Mamá tuombee sana. tTunakuombea sana na tunashukuru mungu kwa maisha yako wewe ni baraka kwetu. Waimbaji wengi wanaanza na Rojo lakini wengi wanapotea njiani. Mamá anza kwa Rojo wa Mungu, zidi kutembea ndani yake mpaka mwisho. Asante mamá yetu Cherotich.barikiwa sana mpaka ushangae. Nyimbo zako zinanibarikisha sana na nikikuona naji nyenyekeza sana mbele ya mungu. Kutoka Spain
Thank you, God bless you 🙏
🎉🎉🙏🏼🙏🏼
❤
Amen