Endelea kubweka but you can’t make it ,hautaweza kupigana na mtu mwenye NEEMA wala kupigana na aliye barikiwa UTAJIKOSEA 😭😭😭😭😭 maana huyo ni wa Mungu na vita vyake hautaviweza nakwambia.
Kama Kuna msanii ananga kibuli namimi na ndo mahana nimeinuliwa napenda kazi ya huyu kerubo sana Mimi ndeke yamuthanga kijana ya Stella mengele karubo marikiwa wapi like za kerubo wetu
Kabisaaa fenny alianza uduma kitambo sana nikiwa dalasa la tano adi saivi nimekaa mtu mkubwa fenny akiendelea na uduma ya mungu mama yao tunakupnda na aja mungu akutumie saidia uzeeke ukiwa na roho ya watu na uzeeke ukiwa unafanya kazi ya mungu barikiwa sana mama
For real for sure this song so touching my heart nimedance hadi watu kwa nyumba wananiambia nitafute hawa watu wawili rose na fenny 😂❤❤❤❤❤❤nawapenda sana kwa kweli 😍😍😍
Wow adui lazima watulie mama yao umeweza adui sangu radio leo siwez ifunga adi kesho itakua inaimba huu wimbo ata sikuli leo n kuimba kwa plot kama mwendawasimu wee congratulations mum yao Rose kenya we love you mungu akuinue kabisaa❤❤❤
SITANYANGANYWA KILICHO NDANI YANGU KATIKA JINA LA YES KRISTU,AMEN AMEN AMEN 🙏SHETANI HANA MAMULAKA🙌 THIS IS MORE,MORE GRACE MORE BLESSINGS 🔥🔥🔥🔥🎉🎉💙💙❤❤❤❤
You can't be that sure.God is not a human.He doesn't think like us.may be what we think he likes may not be.the fact that someone is talented and is doing gospel music is not a ticket to be accepted by God but good deeds, Prayers and repentance clence us daily from our iniquities . The bible says that human heart is deceitful of all things and desperately corrupt,who can understand it,only God can and can cure us from such
Hallelujah!! Hautaniweza!! Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu Mama Rose muhando na Dada Fenny Kerubo ,,,,, Ai ! May the lord lift more Higher !! I love your Music Wapenzi wangu ,,,, True living Teastmonies!!!
Your songs keeps keeping me to stay positive, move forward in life like that ,Telling myself that tomorrow will be even better. I dont understand your language but i love your songs. Am matia from uganda but hustling in qatar. Much love and God bless 🙏❤
Eeeeeeeeeeeeh!!! mbweha endele kubweka🤣🤣🤣yako imeisha..hata msitu haikutaki ,,labda jehanamu tu ndio kukakufa🙌🙌🙌🙌🙌Asante Yesu kwa huu ujuembe kutoka kwa watumishi wako Rose na Fenny
Mercy nashindwa kuandika the three letters.... Mercy mwa 😭😭😭 sijatoka kwa the bad dream that you cant niita madam Peninah Senga 😭😭😭 may God be there for the baby Stephanie. Pumzika mahali pema palipo na wema indi ndunaambika nesa kuthi oouu mwa😢😢
Wooow,wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwabariki walimu wangu wote waliochangia mimi kufika hapa. Especially mwalimu Mosses Biirabake popote ulipo ulindwe na Kristo baba yangu👏👏
Endelea kubweka but you can’t make it ,hautaweza kupigana na mtu mwenye NEEMA wala kupigana na aliye barikiwa UTAJIKOSEA 😭😭😭😭😭 maana huyo ni wa Mungu na vita vyake hautaviweza nakwambia.
It's true my sister fenny kerubo be blessed
It true my mom🎉🎉
Ni ukweli wa mambo mtumishi wa Mungu nabarikiwa nikiwa eneo la Bungoma county Kenya weee nakwambia Huu wimbo umeweza uku kwetu
swthrt penda wewe sana
Tacha buna esimba mumy ❤❤❤❤❤❤
Be blessed mum
Nakwambia huyo,mbweha hana bahati mpka arudi aliko toka..Na kweli hana uwezo kwa jina la yesu
Kabisaa🎉🎉
Dadangu mbweha hana lake arudi kwa mbweha mwenzake ampelekee ujumbe kwamba ,hataweza kupigana na neema tayari mafuta yamekolea.
q @@FennyKerubo
Kazi nzuri sana hii mama Yangu and dada yangu ❤🎉..
Asante sana my brother Nanyenyekea sana 🙏🙏🙏
True
Mwanoo kasolo uka yu
❤🎉my father nakutafuta aki
Rose muhando anaenda na the kind of the song,anqkuwa moto kama song,kama song ni moto,rose anawaka 🔥 fi🔥
Wacha mbweha aendelee kubweka sisi Tunasonga mbele. Huwezi mshusha aliyebarikiwa na MUNGU. MORE GRACE QUEENS
Kama Kuna msanii ananga kibuli namimi na ndo mahana nimeinuliwa napenda kazi ya huyu kerubo sana Mimi ndeke yamuthanga kijana ya Stella mengele karubo marikiwa wapi like za kerubo wetu
Asante sana ndeke yamuthanga acha Mungu akupeleke viwango hadi viwango 🙌🙌🙌🙌🙌
Kabisaaa fenny alianza uduma kitambo sana nikiwa dalasa la tano adi saivi nimekaa mtu mkubwa fenny akiendelea na uduma ya mungu mama yao tunakupnda na aja mungu akutumie saidia uzeeke ukiwa na roho ya watu na uzeeke ukiwa unafanya kazi ya mungu barikiwa sana mama
@@FennyKeruboAmen...
This is hot🔥
Kuumbe tuko na rose wetu Kenya.pround of you girl
The only woman in Kenya who makes a good Colabo with Rose mohando....Na dance moto .♥️♥️♥️
Wallai❤🙏.....i thought ni mm ndio nlikua nmeona hio😊🙏🙏.....Always blessing songs🎉🎉
Very true,,,na hii energy yake n 🔥
Just like her energy 🔥🔥🔥🔥🔥
This is not just a song , this is a masterpiece may this song reach milions... I speak God s overflowing favour and grace in your ministry mum fenny🥰🙏
I'm a Ugandan but in love with Kenyan gospel music 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
It's Tanzania 🇹🇿 my dear
🙏🙏@@Kiplangatmathius
hii ndio anthem song kwangu bweha wote wamekimba
Asikoriri 😭😭😭😭😭😭waaambieeee wasikieeee the message imenipatia moyo wameshindwa hope kufika asubuhi madaktri wataleta majibu tofauti😭😭 Mungu waibishe woteeee waaache wakibweka🙏🙏🙏🙏
For real for sure this song so touching my heart nimedance hadi watu kwa nyumba wananiambia nitafute hawa watu wawili rose na fenny 😂❤❤❤❤❤❤nawapenda sana kwa kweli 😍😍😍
I just admire how Rose Muhando is humble....she supports all artists ❤❤❤
Wacha mbweha aendelee kubweka ila neema ya Bwana haitakomeshwa. Mbweha katika maisha yetu ashindwe kabisa na nguvu zake Mwenyezi Mungu 🙏
Mutoe koti sasa let's hit the floor we are chosen ones wewe bweka japo helooooo
Safi kabisaa. Adui hatatuweza maana Neema ya Mungu iko juu yetu. God bless you Abundantly servants of the Most High ❤❤
Wow adui lazima watulie mama yao umeweza adui sangu radio leo siwez ifunga adi kesho itakua inaimba huu wimbo ata sikuli leo n kuimba kwa plot kama mwendawasimu wee congratulations mum yao Rose kenya we love you mungu akuinue kabisaa❤❤❤
Tanzanians should give us rose muhando tuwapee embarambamba
😂😂😂
Funny though
😂😂😂😂
Walaih hawa wamama wana maono makubwa..but plz extend hiyo dance plz wanadance tamu sana
The message home Kwa wale wenye wivu....
Wooow wonderful song indeed.
Tunawakamata mabweha wanao haribu ngano kwa jina LA yesu
Call me john Best.vindu vichenjanga upcoming artist... with Jesus things change. Kerubo nakubali kazi yako hiyo anointing uko nayo ni more fire.
SITANYANGANYWA KILICHO NDANI YANGU KATIKA JINA LA YES KRISTU,AMEN AMEN AMEN 🙏SHETANI HANA MAMULAKA🙌 THIS IS MORE,MORE GRACE MORE BLESSINGS 🔥🔥🔥🔥🎉🎉💙💙❤❤❤❤
Amen
Mungu aendeleye kualinda na kuapa mwisho mwema❤❤❤
Vimbo yangu ya ushindi bweha hauichukui,,,,I am anointed. Grace of God is upon me
Balaam Hautaniweza , ,, Mafuta Yamekolea ,,,, God bless you Daughter's Of Zion
I like your songs venny naomba mungu akupee nguvu tumsaport ata akipata 1 million likes team ven hi five venny
Good song
Rosemuhando is among the chosen one God show me that glory to God for his mercies
You can't be that sure.God is not a human.He doesn't think like us.may be what we think he likes may not be.the fact that someone is talented and is doing gospel music is not a ticket to be accepted by God but good deeds,
Prayers and repentance clence us daily from our iniquities .
The bible says that human heart is deceitful of all things and desperately corrupt,who can understand it,only God can and can cure us from such
Wooow kerubo that's awesome nakupenda bure
waah hii imeweza, fire, fire, 😂😂😂😂, Balaam ametoroka
Nampenda sana Rose muando na vijana wake wanavyo piga show. Iko sawa.
Hallelujah!!
Hautaniweza!!
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu Mama Rose muhando na Dada Fenny Kerubo ,,,,,
Ai ! May the lord lift more Higher !!
I love your Music Wapenzi wangu ,,,, True living Teastmonies!!!
I think these two are the best combination same energy same vocal same happiness same grace same vibe 🙏
VERY MUCH TRUE ❤❤❤❤❤❤❤
I'm Cameroonian 🇨🇲. I love Kenyan's gospel songs
Rose is Tanzanian.
Fenny kerubo is a Kenyan
❤🎉
Enyewe hautaweza shinda na mbalikiwa
Tha Voice looks alike,,,, huwezi tofautisha.
Bravooo! Sana kwa wote.
Your songs keeps keeping me to stay positive, move forward in life like that ,Telling myself that tomorrow will be even better. I dont understand your language but i love your songs. Am matia from uganda but hustling in qatar. Much love and God bless 🙏❤
Rose muhando wawili mmoja wa kenya mwingine wa Tz😂❤❤❤❤mmependeza hizo luku zimenyc enyewe nyinyi ni wateule
Safi sana kazi yenu imeonekana sana, Mungu azidi kuwatia nguvu na songeni mbele🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Fenny akishafanya madoido na dance am happy ju she inspires more,,,,,, mob love mummy❤❤
Nawapenda sna hakina mnafanya kazi nzuri ❤ mung awabariki kwa ujumbe❤❤
Nimebarikiwa kupitia rose muhando na fenny mungu hawabariki
Fenny baba gaki nyasae akubariki siku zote with sister Rose
Thank you.sister for visiting me when l was sick God bless you always. Continue with God’s word/songs to bless those who have not known him.
Wacha Mungu awashindie huyo mbweha hana uwezo wowote katika kazi yenu sisters in Christ. 🎉🎉🎉🎉
Rose Muhando was born for this🔥
Most played song in thika women prison ukipata nafasi tembelea hao warembo best song ever
Contact me kupitia kwa hii number hili nije niwaone niwatie moyo 💪💪💪💪
Team fenny na Rose weka like tukisonga,, tujuane kwa like please ❤❤
Conglatulations, MUNGU akubariki na akuinue zaidi
Pure talented artist neema yako iko juu....be blessed more.
maombi yangu kwako mungu aenderee kukupa maono
The collaboration is always workable... Napenda kazi yenye sana wazazi wangu... Mungu aendelee kuzidisha baraka kwenu...
Waoooo mungu azidi kuwa inua bweha anamamlaka tena ktk Maisha yangu
Eeeeeeeeeeeeh!!! mbweha endele kubweka🤣🤣🤣yako imeisha..hata msitu haikutaki ,,labda jehanamu tu ndio kukakufa🙌🙌🙌🙌🙌Asante Yesu kwa huu ujuembe kutoka kwa watumishi wako Rose na Fenny
Biashara ile inalipa siku hizi ni kanisa...mtu anaenda anachukua powers za kuhubiri na kutabiri ili watu wajae kwa kanisa..Fenny umegonga ndipo ❤❤❤❤
Hii nayo ni moto keep fire burning 💥
Wenye tumetoka TikTok kujeni kwa hii tent ya VIP Kuna wines zenu 😂😂 ❤
I love justina for free ❤❤❤ happy birthday nixon🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ndio ndio ndio Ndio ndio ndio hallelujah and Amen Neema tosha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Burundi tunapenda nyimbo zenuu tana barikiua sana
Napenda hawa viumbe wa Mungu be blessed girls good job 👏 🙌 🙏
Nice song nimebarikiwa sana watumishi wezangu keep it up 🇰🇪🇰🇪
What a song love you God's chosen ladies ❤️❤️ congratulations 👏 Rosy and Fenny God bless you abundantly wapi lakes zao.......
Unaeda mbali mama! Mungu abariki kazi y mikono yko
These lady doesn't disappoint us during festivities like Christmas ❤
Amen Amen mubarikiwe sana 🙏🏻 🙌🏾
Wueh Rose vs Fenny more grace God is the only to be praised in this world kuabudu vitu vingine nikipigo barikiweni sanaa
Akiimba I wimbo walikuwa kwenye roho God bless ❤
🔥🔥wa utadhani kerubo mtz combination tick
Kazi nzuri sana dear be blessed .❤🎉
This song is very nice go ahead kerubo and rose muhando mungu unibariki
waoooooooo!!!!!! 😘😘😘😘😘😘wimbo kiboko,,,congratulations kwa waimbi😂😂♥️♥️
Ile energy fenny Akonayo 💪💪
Barikiweni sana sana, hakika hataweza hatima yake atarudi alipotoka sisi tumeprotectiwa na MUNGU❤🎉
Hii sasa ni Kali kwa maadui ndo watalia wakibweka
Hautaweza !Chosen one!hii nayo imeweza sana😊🥰
Mafuta yamekulea huwezano nayo,kweli kabisa our queen
Good work women of God ,, collabo yenu inakuanga Kali sana❤❤
How can I like a million times ❤ be blessed daughters of Zion
Be blessed mama ,usitazame nyuma songa kabisaa.....
Weeee!!! Hapo kwa kipogoyo?? Keep it up mum nice song . Kibali cha mungu kiwe juu Yako mummy siku zote kwa jina la yesu
Amen 🙏 nimebarikiwa sana mungu awazidishie msonge mbele zaidi🙏🙏🙏
Mercy nashindwa kuandika the three letters.... Mercy mwa 😭😭😭 sijatoka kwa the bad dream that you cant niita madam Peninah Senga 😭😭😭 may God be there for the baby Stephanie. Pumzika mahali pema palipo na wema indi ndunaambika nesa kuthi oouu mwa😢😢
Hii style mliniabia inaitwa aje🎉
I love this energy❤ songa kerubo na mama rose nawapenda Mungh awabariki mnoo
So touching ,na bado ufisadi yaedelea ,wachawi,watu wa mapepo, thieves wote waadama nchi yetu.izo damu za watu zalia watu watalipwa....do good
Following from Denmark ❤, nawapenda sana
Ubarikiwe kwaufunuo iyo Mungu akutiye nguvu watumishi wa Mungu
Am feeling bless Baraka siku zote🙏🙏🙏
Mnaombweka ujumbe ndio huo,,,,,,,your choice your destiny 🤸🤸🤸🤸
Asante kwa wimbo.nzuri sana.aim enjoying music
Wooow,wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwabariki walimu wangu wote waliochangia mimi kufika hapa.
Especially mwalimu Mosses Biirabake popote ulipo ulindwe na Kristo baba yangu👏👏
Pst josphine kiprop 🎉❤😂 hi nyimbo ni kweli kuna watu wakikosa kasi wanatumia uduma kubata risiki endelea mtumishi wa ngu baraka❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Sijaai comment kwa nyimbo za Fanny Keribo but hii imefanya ni comment weeeeh ni moto kama pasi. God bless you both my sisters 🙏🙏🙏
Nawatambua sana majembe ❤❤❤
That's true hakuna anayeweza kupingana na aliyebarikiwa i luv you fenny and be blessed mungu akulinde na aendelee kukupa nguvu kutangaza ijili yake
Ukweli kabisa bila Yesu kutubeba hatuwezi barikiwa sana dada Rose nyimbo zako huwa zinatubariki na kututia moyo maishani mwetu
Nice song tumebarikiwa sana good job dada endelea 🔥🔥🔥
Ujumbe wa nguvu, ni kweli kile Mungu amesema ndio, ni ndio.
Wow hatari sana ... Hongereni Sana
Jaman had laaaaaaaaaha mungu awabalik sana sana naomba niweke ahad kwenu kunazawad nitatowa
Kazi nzuri malkia warembo na muziki kali hii❤