Mgawanyiko ndani ya muungano wa Kenya Kwanza unaendelea kuzidi
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Mgawanyiko ndani ya muungano wa kenya kwanza unaendelea kuzidi. Wabunge waliomwunga mkono rais William Ruto wamewashutumu wenzao wanaomuunga mkono aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua, wakidai kwamba wanachochea mgawanyiko ndani ya serikali. Walisema haya wakiwa katika ibada ya kanisa huko Kahawa West.