🔴
HTML-код
- Опубликовано: 26 сен 2024
- 🔴#LIVE: PIGO KWA MBOWE, VIONGOZI Wake WENGINE WAJIONDOA CHADEMA, Wamlipua - "Ni Waoga Sana"
BAADHI ya viongozi wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, wametangaza kujiondoa katika chama hicho leo Mei 28....
Na Felista Massae
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com....
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Kazi bado sana Mbowe na kampuni yake safari hawaponi.
Kweli ni kwa ukilitimba wake umemugarimu.
Hujachelewa, karibu CCM
MBowe usirogwe kugombea ubunge mwaka huu utakufa na presha maana sizani kama utapata kura umejitahidi sana labda kura 2🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vipi umepanga ukamng"oe kwenye jimbo lake ??au ni mpambe wa wanamme wengine
Kabisa aisee kwa Dar sidhani chadema kama watapata mbunge hata mmoja! Akishinda mmoja tu ni ushindi mkubwa kwao!
Karibu CCM mkubwa ,
KILIVUTIA UOGOZI WA KIKWETE SIO KWA RAIS HUYU KAJITOSHEREZA HADI KEROO😂😂😂😂😂
Kipindi nchi imejaa mafisadi lazima ccm waachie ngazi mnafiki mkubwa
Tatizo la mbowe anakula ruzuku za wanachama wa chadema mwenyewe karibu ccm. Tuwanyoweh
Wale wanaopata makombo hufunua midomo yao "wananunuliwa "sasa kuna mengi tutayaona kwani msimu umefika. Tumbo la chura lilipasuka kwa kushindana na ng'ombe...
CCM DAIMAA.
Anasema ukweli huyoo hakuna mjinga sie jua hali ilivyo chadema
Mbowe anapiga pesa pale hakuna chama
Mbowe kajimaliza mwenyewe huwezi kua kiongozi dikteta na mbabe kwa watu ambao wao ndio source ya wewe kuwepo
Kama umeona NCCR-mageuzi kumenoga gonga like hapa👇😁
Chama kwishaaaaa mboe achia ngazi uwe raia tu maana huwezi kupokelewa popote
Wee watu hatufanani ila ote wangekuwa Kama Mimi mbowe akiitisha mkutano mnaweka viti vizuri alafu kila kiti mnaweka jiwe alafu mnaondoka akija hakuti mtu
Mtu na akili zako unamchagua mwanamke sampuli ya Halima Mdee, Ester Bulaya kuwa mwakilishi wako bungeni! Watu wa Dar na Mara mnakosea wapi?!
Kweli
Hongera sana diwani.
Umewapa mawazo mazuri sana ila wanajifanya wajuaji wakati vilaza umeongea vizuri tatizo wachumia tumbo
Ushauri wa Mbowe kwenye Corona aisee unaonesha siyo leader material hata nusu
Sasa naweza amini sasa "Chadema" wanamjua nani alimpiga risasi "Lisu" kwa mwenendo huu
Lissu alipigwa Risasi na utawala wa Magufuli hakuna mwingine anaweza ondoa walinzi kwy majengo na kwenda kufanya shambulio la mauaji
Safari njema kuelekea NCCR MAGEUZI
Mbowe atakula bata sn kama munamwachia mapene yote mumpeleke mahakamani arudishe hela za umma kama anamatumizi mabaya ya ruzuku
lijualikali ndio mjenga sera
Muache jembe JPM amepima papaya kimebabi 2020 kupima chadema corona tupu. Kweli JPM hapingani na mtu yoyote hapa duniani zawadi tumepewa na mungu. Kama Yusuf wa misiri myaka yile. Viva JPM God bless JPM God bless Tanzania 🇹🇿.
Karibu ccm
Hongera Mhandisi Mustafa Muro kwa maamuzi yako ya busara.
Hekima busara na unyenyekevu ndo sifa ya uongozi sema kwa mwaka huu tutayajua mengi mamaaaaaa kweli siku ukiona mgoni anasifiwa ujue mwenye mke kaharibu zaidi
Hatarii sana
JPM NI BABALAO, MAJALIWA NI BABALAO, MAKONDA NI BABALAO, WELCOME TO CCM
😁😁😂😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣
Haya ni mambo ya kawaida sana,yaani sana.lengo kubwa la vyama vya kiimla kama vile ccm ni kuhakikisha kwa gharama yoyote wanaendelea kutawala na sii kuongoza,ili kuficha dhambi na makosa mengi waliyoyafanya,huku wakiendelea kujificha ktk andiko kuwa hakuna mamlaka isiyotokana na Mungu.ccm wanataka kutuaminisha kuwa tz hii hakuna tatizo lolote isipokuwa tatizo ni mbowe na chadema.mbona hatusikii mrema akifuatiliwa naye ni mwenyekiti wa kudumu wa tlp.ujue huyo ameingizwa na kuukubaki mfumo.kwa watu wenye mawazo mapana kama mbowe lissu myika,hawatakiwi kabisa.bahati mbaya watz wengi ni fuata upepo,hawana misimamo.tutayumbishwa sana.nchi inamatatizo lukuki lakini tunaelekezwa kuwa tatizo ni mbowe na chadema!!!!Mungu tukumbuke watz tunahitaji msaada wako baba.
Acha waisome no
N.C.C.R.MAGEUZI GO BACK TO NOMAL LIKE 1994..🙏🙏🙏🙏
NCCR ni chama cha upinzani Tanzania next election
Short and clear
Namshuri Mwamba Mbowe ajiuzulu uwenyekiti akinusuru Chama, laa sivyo atabaki yeye na familia take. Magufuli hoyeeeeeee
Pole sana kwasafari ndefu ya kisiasa
Wakati
Una
Me,ngi.
Pipoooooozi Pwaaaaa!
CCM 1
wazo lang laleo nahs hata tundu liss mbowe ndoalihuska ili ajinafas kwenye kula ruzuku za wenzake Ccm oyeeeeee maguful jembe
Kwa hao wanavyo tafuta sababu hapo ndio wangepenya ila mmechelewa sana
Hongera kujua combo ulichopanda sio. Shuka wahi kwenye chombo imara
Duh Mwamba kiboko!
Pole sana ndiyo siasa
Kulewa sifa umegusa sehemu sawa
CCM no 1
2015 mawaziri wakuu walio jiunga na chadomo walikuwa tayari mafisadi!stupid!yote tunayajua na tulikuwa tunayajua!watanzania sio wajinga kihivyo 🇹🇿
Sa whts ur take on that
Hamkujua?
😅😅😅
Hilo genge kabisa lakini watu wakiwa zaidi ya wa3 anatakiwa ashitakiwe. Kingine mutuambie story ya Tundu lisu chadema munajuwa %85.
Chadema wamepata laana kumbeza mzee sumaye .
Pole sana
Etwa chadema
Mwenyekit km unaitaji chama kiwe hai tunaomba ujiudhuru
Chadema hatuoni shida sna Kwanza jiwe alishasema atahakikisha mpk mwaka 2020 hakutakuwa na upinzani tz kwa hyo his no njama tu
Freeman Aikaeli Mbowe, ni Mtu wa Dhuluma, na Tamaa, hasa Upande wa fedha, huyu freeman Mbowe ni Mhuni, wa Mjini, hafai hata kumkabidhi, Ukuu wa Wilaya, pia Anapenda sana Uchi, hapo kaka Uliingilia, Mapenzi ya Watu, huyu Freema amemdhulumu, Dj Gerald, Kiinua Mgogo chake, alichafanyia kazi pale kwa Miaka Mingi, dhulumu jadi yake, Na kwa nini hataki Mtu achukue kiti chake, anacho ogopa kutoka kwenye kiti, ni yale Madudu, aliyofanya, ameiba pesa nyingi za Chama.
Ameiba pesa serikali yako ya ccm kwanini haijamkamata hadi leo toka 2004 acha upuuzi wewe
KICHWA CHA NYOKA HAKIWEZI KUBEBA MZIGO, DUU FAFANUA,.
WAOGA WA DEMOKRASIA, DEMOPHOBIA
Watu muwe waelewa mtu kapata ziro form 6..hataogoza watu litoeni limbowe ndo linavulug
Naona wanamsafishia tu njia magufuli.. Uchanguzi huu Hawa wapinzani huenda wakaambulia patupu...
tanzania upinzani hawendi mbele kwa unafiki maisha mtatawaliwa na ccm kwa ujinga wenu
UNAFAA KUWA MBUNGE,UNA UWEZO WA KUJENGA HOJA.
Sasa hivi nimekuelewa baba
Kwann mnafanya hayo sasa?
Tutasikia mengi
Mwaka huo nibalaaa
Kweri baba safii kabisa
Saccos kwaeri byee ntakumis kwa vituko vyako
Nenda ccm acha kulalamika
Asante bola ulivyoondoka ccm na atukutaki nenda ukouko ccm tuachie wenyewe
😂😂
Huko unapoenda wao wamekamilika
Jamaa kuna waikato anasound kama Lowasa.
Chama bado kipo imara sana.....mnaondoka siyo kama dr slaha au lowasa.....
Chama ni watu wa chini siyo juu
Mntaondk ww lkn chadema itabak pale pale
Mtahama sana lakini hamtakuwa salama atakayekuwa salama ni yule atakayehamia CCM. Nia ya Magufuli iko pale pale kuvimaliza vyama vya upinzani. Ameanza na CHADEMA kitafuatia NCCR maana kitakuwa na nguvu kisha vingine vitafuatia. Hata Mbatia anapoteza mda wake labda afaidi Ruzuku. Magufuli akishammaliza MBOWE anafuatia MBATIA.
Ninyi mnatetea ugali viongozi wasaliti ni ninyi Tena nawaombea mbaki msichaguliwe
Raisi wetu sio kwamba anamaliza upinzani si kweli ila wamepoteana wao kwa wao kwa kucheza na team bora kama Raisi Magufuli. Usitegemee team ya ndanda ikamshinda barcelona never na bado watahangaika sana kama wasipoungana na raisi na wananchi kwa ujumla . Rais Wetu endelea kuinyoosha nchi bado inapindapinda kidogo
Umeongea pumba tu Magufuli unaemtaja ushawai kumsikia akiwaongelea upinzani hata siku moja Rais yeye anapiga Kaz tu, lakin nyinyi hamuishi kumtaja taja ndicho kinachowaua mbwa nyie
Rais hana mambo ya kuongelea chama, na huwa anasema analeta maendeleo kwa watz wote sio ccm tu
Sisi tunaomuelewa rais wetu tunamuombea mazur kwa Mungu azidi kutuongoza vizur na kuipeleka nchi yetu mahali pazur zaid hii nchi ni yakwetu sote inatakiwa tumuunge mkono
Mbowe anatakiwa afungwe. Ni muhimu, ni mwizi na mudanganyifu. Kawaibia Watanzania kodi zao. Kakaa kwenye jengo la serikali kwa miaka mingi bila ya kodi kwa mabilioni kakichukuwa chama cha Chadema kama mali yake binafsi. Wakati Dr Slaa alikuwa ni kiongozi chama hiki kilikuwa na chama cha kuheshimika. Sasa kashikikia madaraka MWIZI namba moja.
ukiama chadema unakuwa yuda chapu Neno kuu chadema usaliti
Piga kelele kwa ccm yake mtaisoma namba
Kwa jinsi unavyoeleza kaka nimeaminimi kweli CHADEMA ni chaka la wahuni na watekaji. Yawezekana wanatekana wao kusingizia serikali achana na hao wahuni ndugu watakuua
Kwa hiyo kila mkivamiwa ni ccm chunguzen kwanza Kwan magufur ana plesha gani kwa mfano adi apige miguu ya mbowe jaman au kateguka kwenye vigae
NCCR MAGEUZI MBONA PIA PANAWAKA MOTO?? AU MNAENDA CCM? ILA MNAZUNGUKAZUNGUKA TU?
Wewe nenda maneno mengi mamluki
Siuwende bhana usitupigie kelele
Pole sana, ila akili ya kuambiwa pia ongeza na ya kwako
Wewe ni mwongo wal ali ndogo
Mɓwowe uriƙosea ƙuchuƙua mahamuzi ƙaɓula ujayashiriƙisha wenzaƙo jua unapo ƙua ƙiongozi jua unawaongoza wanao ƙuzinɗi ata Erimu
Maskeen MBOWE SO SAD WALLAH
Kwishneiii babujiii
Khatib Khatib Nehi nehi babujii hahaha
Wacha waisome namba eee CCM MBELE KWA MBELE. COM MBELE KWA MBELE 🤣🤣🤣
Chama ni kama dhehebu. Kasisi akikùudhi hutohama dhehebu, kwani huwi dhehebuni kumuabudu kasisi hiyo, Bali Muumba.Kama isingekuwa mwanasiasa malachi, usingemkimbia Mbowe, Bali ungesimamia haki zinazopokwa na mababe hao wachache,ikizingatiwa kuwa hata wao hawakuihasisi chadema. Punguzeni woga km kweli mmeamua kuwa wanasiasa.
Wewe ni mwehu umenunuliwa ukaambiwa nenda cuf ili usijionyeshe ccm utaenda badae mbwa wewe
Mangu baba lao tuliwambia mta elewatu Ila mtachelewa
Kuna pipoooooooz hapo tena nashauli mbowe ajiudhuru kwa mapenzi ukiona watu wako wanakudharau wanakukimbia je Kama kiongoz unaona unakimbiwa jitambue kuwa sera au umalufu wako umekwisha sasa soma nyakati ondoka taratibu chama kimekushinda ila kwa kuwa upo hapo kwa masilai utapuuza haya
Njaa mbaya sana
Angebaki chadema asingekuwa na njaa
Unasema kweli mkuu matusi ni moja ya sera zao hata Wanachoma wake wameambukizwa hicho soma tu comments zao ni matusi tu utajua tu huyu ni chadomo wakifungua midomo yao utashangaa
Kala unawaita wenzoo wasaliti,je wewe Soo msaliti.Acha kgfgmjwa kaka.
Tulishazoea sana
Nakuaminia kutomung'unya maneno
Kagame umesomeka vizuri
Mta lopoka yote mwaka huu ccm ipo juu
nasema nabado
Upepo wa kisulisuli kweli mhhhhh
Nilifikiri kinachozungumzwa kina maana kumbe pumba tupu aise pole sana
vyama vya kihuni havina utaribu wa kinidhamu wanatumia lugha za stend
Story zakutunga w utukanwe utishiwe maisha halafu usishitaki police?!
Unakwepa ngumi kwa kufumba macho 🙈🙈
Mɓowe naƙushauri acha ƙutia nia ƴa ƙugomɓea ƙaa pepeni uƙaturie ƙwanza vinginevƴo utaoofiƙa sana
Ila angalieni na huko mnakohamia; ni mangis wale wale. Catrevi!
Hiyo ni laana ya Dk slaa
Hameni woooooteee Mimi nabaki chadema , chadema kubwa la maadui. Watakufa sanaaaaa mwaka huu!
Una ubongo wa kuku ww
Kumbe chesco muuwaji? Makubwa
Waache wakaze shingo kama farao watapotea wote
Hapo hakuna kitu
Mbowe na lipumba ni zena na betina wajinga sana😂😂😂😂😂😂😂 kwisha kazi yao
🤣🤣🤣
ila ninyi wanasiasa wote mnapigania matumbo yenu hakuna chama kilicho safi TZ.. kwa ninyi viongozi mlio kwenye hii press why hamkuondoka before mwaka wa uchaguzi, kulikua kuna mwaka jana, mwaka juzii...ACHENI NJAA
Mbowe ni hazina kubwa sana ya tz ningumu kuwa na kiongozi mzalendo kama huyu. Chandema tunawaelewa sana wakiwa bungeni. Wanatutetea wananchi ccm wanaitetea sana serikar
Haka kajamaa naona kama kanabwabwaja bwabwaja tu hata hakaeleweki hakuna mtu wa kukuambia vitu kama hivyo kuwa eti usichangamane na watu hayo ni maneno yako
Wanafiki nyie
Hacha kutapatapa
Maendeleo gani ulioleta kinondoni yani mungu anakuona uchaguzi hupiti umejipima umeona haufiti kwenye udiwani wako ni bure kabisa tuachie chadema yetu ludi ulikotoka
Mimi naona chadema wangetulia tu kwanza hii korona ita wa cost sana.