HESHIMA YA BONGO FLAVA - Ubinafsi ulilimaliza kundi la Daz Nundaz

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 29

  • @andrewmaurus7864
    @andrewmaurus7864 5 лет назад +3

    Our era!!! Hii music ya siku hizi hainikaiii

  • @Kakab297
    @Kakab297 3 года назад

    Noma sanaaaa ...all the way from kenya

  • @lilomo6713
    @lilomo6713 6 лет назад +6

    Duh nimekumbuka mbali sana,inabidi wakongwe wa bongo fleva wawe wanashiriki kwenye fiesta

  • @katengololosteven8196
    @katengololosteven8196 6 лет назад +3

    Elimu dunia,mwenzenu nilikataaa mwenzenu nilikataaa,,,,bigup saaaana Daz✋

  • @todymwakimage8081
    @todymwakimage8081 7 лет назад +4

    Kali za kitambo daz nipe tano yeyo yeyoo

  • @yubermmocha3816
    @yubermmocha3816 4 года назад

    Dazi baba nyimbo zakonimezikubali bro

  • @brisketkidari1623
    @brisketkidari1623 7 лет назад +5

    mwalimuuuu heshima kwako msanii wa kwanza uikeep akili yangu kwenye mziki ni ww daz
    pamoja kundi la daz nunda🙌peace👏👏👏👐✌

    • @fredjohn8244
      @fredjohn8244 4 года назад

      Mi ningeshauri siku kampuni ingeandaa shooo la wasanii wa zamani wazunguke tZ

  • @abisolomonuyokachaguliwaac4048
    @abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 года назад

    Nyimbo zake ninazo mwamba uyo

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 7 лет назад +3

    safiii rasta umegoma kumsema MTU

  • @zakiamayele6229
    @zakiamayele6229 5 лет назад

    Nimekubali Rasta

  • @germinuspastory8278
    @germinuspastory8278 7 лет назад +2

    SHOW NZURI

  • @mulokoz.bongelagaraseeeant828
    @mulokoz.bongelagaraseeeant828 5 лет назад

    Walitisha sana aseeee

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 7 лет назад +5

    Has Daz forgotten His Lyrics

  • @jerrykawogo5656
    @jerrykawogo5656 5 лет назад

    Alicho niboa hajaonyesha love ya kutosha ila namkubar sana

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 лет назад

    Iwepo program maalum ya kuwajumuisha wakongwe kwenye fiesta

  • @mullanochamp3860
    @mullanochamp3860 7 лет назад +3

    Mbna dizaini kama hazijui nyimbo zake mwenyewe duuuh😂😂

    • @gaitanokamage7366
      @gaitanokamage7366 6 лет назад

      Mullano Bishoo chuki binafsi

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 4 года назад

      𝐊𝐰𝐞𝐥𝐲 𝐰𝐞𝐰 𝐤𝐮𝐦𝐚𝐚𝐚

    • @mullanochamp3860
      @mullanochamp3860 4 года назад

      thomas craus jitie dole unuse

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 4 года назад

      #𝐦𝐮𝐥𝐥𝐚𝐧𝐨 𝐌𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐤𝐨 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚𝐦𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐦𝐫𝐞𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐢𝐤𝐮𝐩𝐚𝐤𝐞 𝐦𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚😁

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 лет назад +1

    Kweli nimeamini rasta piece hataki kabisa kumchimba mtu.

  • @tumbishigwa1482
    @tumbishigwa1482 5 лет назад

    daah

  • @pachakallanga9593
    @pachakallanga9593 6 лет назад

    Elim dunia

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 7 лет назад +2

    Naitaji Wife.
    ...

  • @toshort2296
    @toshort2296 7 лет назад

    👊👊👊👊👊

  • @chivuma7171
    @chivuma7171 4 года назад

    Poa

  • @viceroysilver3562
    @viceroysilver3562 6 лет назад

    Haile haile blood!!..salute
    Check km unachungulia na humu uone ukali mwingine wa daz baba
    m.ruclips.net/video/7cNe3nt8cxo/видео.html