Bellah❤ Bellah❤ Bellah❤,, nimekuita mara ngapi sweetie,,shughulikianga jay hawache kuyauwn yaun kwa show hanatuangusha,,if you agree with me please give me a like❤❤
@@Ashinagaltoto7876 ni kama hata she was planning to do something to this family, she's a fraudulent scammers, using small get to kid money from his family,
@true k tv pliz usijaribu kuchukua phone ya huyu mzee,utaharibu kabisa,jaribu tu venye huyo teacher atawekwa jela.ni kaa ako na mission ya kumaliza hii familia
Kuna mwalimu alikuwa anataka kijana yangu akiwa form one,vile kijana alikata akanza kumtafutia makosa shuleni ,alaf anawita kwa hofisi anamwaa afiki magoti mbele yake ,na amavaa nguo fuvi sana ,
The so called teacher is cursed, she's a home breaker 💔🚮 ashindwe kabisa, Mama derrick just take heart, no situation is permanent, be strong, God is in control 🙏 Jay be blessed kw kazi kuntu 💞
Jay please please even if mama Derrick will insist usanitize mzee dont kindly instead check teachers phn uone kama amesave mzee tunapenda umbea but this one noo please
Hi Jay, cases like this should be publicized to national TV to educate the public. This Meru lady has messed up trust in the for teachers. She should be prosecuted in the court of law.
Baba Derick you have to avoid that wicked teacher if its true you're dealing wuth her or you love her, she's going to destroy your family with her wicked characters mama Derick you have to stay strong and focus on your family and your husband not to think about nonsense words of wicked teacher explained to you. May God ct protecting you Director Jay and team
@@marywanyoike9790 kuna mahali umeona nikiside na mwalimu. Ama umesoma comment gani wewe. Si utoe miwani ya mbao usome vizuri. Kana ngwandikire na gikuyu. Read and understand. Ohh.. Sorry, it was your comment i even dont know why im here. Spoil your kids in ✌️ ✌️✌️
Nani ameona kama mimi, Huyu mzae anaongea karibu kama Presi marehemu kibaki? “Tambia mbaya kabisa “ “Jambo hilo ni mbaya!” “Bure kabisa” 😂😂😂😂🤩😂😂😂😂🤩 yote ikisemwa kwa slow motion
🥺🥺🥺 jay nini inakusubua ni usingizi ama ni tumbo kukosa kukula ama ni uchovu ,ugonjwa ya kuyauwn Kila saa nini mbaya 😮😮😮😮unapanua mdomo sana Can you think about that
Ndont sanitize his phone kumbuka sahii Kuna stress ya kijana na mamake pia Ako in dilemma so please jay kama unaogopa Mungu we deal to na mwalimu she is the real culprit
Director j fungua akili ya wazazi waderik mwalimu hana dhamira nzuri anataka kurithi mali yote kisa mimba waspokua makini kitawaramba anabeba akili ya derik ageuze document za babake mama derik chunga hiogolddigger mtoto ako hatarini
Teacher have 3 more boys in the school and some men outside?? Coukd it be all of them had ID as she did to Derrick. J fight for this family please 🙏🙏. God protect this work
Jay pls usijaribu kusanitize simu ya Mzee pls tunakuoba.pea Mzee heshima ake .ueda uka affect Maisha ake na akona pressure tena ni Mzee ..mpe heshima zake ...... Don't try kushka simu ya Mzee ...
Huyu teacher aliambia kijana achukue id dio aweze kupora mali y babake believe me mzee pitia account zote pia documents za mali yako ,mwalimu ako n juju
Bellah❤ Bellah❤ Bellah❤,, nimekuita mara ngapi sweetie,,shughulikianga jay hawache kuyauwn yaun kwa show hanatuangusha,,if you agree with me please give me a like❤❤
😅😅😅😅
😂😂😂😂
Maybe kazi ya bed ndio Jay anafanya ivyo iyo si bure😂
Sometimes people yawn due to being tired, not necessarily hunger. Maybe he is working late hours na hapati usingizi ya kutosha.
Hiyo ni kuchoka alafu nikama analala let anamka mapema
Jay usifanye ujinga ya kutafuta kitu kwa phone📱 ya mzee.. Uharibu family ya mzee
True let him focus on the teacher.
😂😂😂😂😂
Je mkewe akitaka,
@@chunaabdullah1333amwambie hiyo Ni different case
Sure
Mama derrick be strong!!!
This teacher is a munderer
nop.hata si wewe Hua unafinywa na unamoan
That mwalimu want to destroy a peaceful family, wallai, may God punish her, mwenye ameharibu derrick ni huyo shameless mannerless woman
True.. 😂she is the cause of all this ... She is supposed to be in jail
.( Langata prison)
@@Ashinagaltoto7876 ni kama hata she was planning to do something to this family, she's a fraudulent scammers, using small get to kid money from his family,
😢😢😢 amen today today forever amen 😢
Alafu Jay husijaribu kusanitize huyu mzee juu pressure hikipanda sijui hutatuambia nini
Aky asijaribu kabisa😂😂
Hipande tu😂😂😂😂mana ashaingia kwa Jay
😂😂😂aki ongeza volume. JAY kuja usome hii comment.
@true k tv pliz usijaribu kuchukua phone ya huyu mzee,utaharibu kabisa,jaribu tu venye huyo teacher atawekwa jela.ni kaa ako na mission ya kumaliza hii familia
Jay please maintain the respect of Mzee and deal with the criminal mwalimu fisi
Huyu mwalimu is trying to scum your property through your son. The teacher is a criminal and very crafty. The teacher should be put to jail.
Jay wacha kuchukua simu ya uyu mzee wacahana kabisa uta vunjia kheshima
I sapport you
Me too
I saport 🎉
Hii ni ndoa ya mamiaka asijaribu kuguza
Sure
Jay usisanitize simu ya mzee ni mgojwa asikufe haraka,wanaume hawakosangi mpango wa kando
😂😂😂😂🎉❤
😂😂😂😂😂
This video was recorded days before. Sasa Jay anakusikia akiwa wapi?
😅😅😅
That school should be sued cos of it's irresponsibility.
Inatakiwa ilipe kila gharama.
I support that 😢
This is not real it's just a lesson or entertainment
Jay that yawning go and check your blood pressure hiyo siyo kawaida you yawn sana
Exactly, he's not okay
I think Jay halalangi poa,it's true he's yawning to much everytime.
Jay you need to sleep well coz yawning is coz of lack of sleep tiredness n hungry
Wachaneni na jay ...we r all unique in the eyes of God....Hatuwezi fanana.....
Could also be a sign of anemia
Baba na mama wadereke sameheya mtot wenu mwalimu diyo mubaya
Yawning is not necessarily caused by hunger, it could be stress , fatigue or even lack of enough sleep
Baaaas, hata wewe ndio umegoga ndipo, waaambie wasikie.
Correct
Kuna mwalimu alikuwa anataka kijana yangu akiwa form one,vile kijana alikata akanza kumtafutia makosa shuleni ,alaf anawita kwa hofisi anamwaa afiki magoti mbele yake ,na amavaa nguo fuvi sana ,
Aki walimu wengene ni maxherani to
The so called teacher is cursed, she's a home breaker 💔🚮 ashindwe kabisa, Mama derrick just take heart, no situation is permanent, be strong, God is in control 🙏 Jay be blessed kw kazi kuntu 💞
Governor ya county gani?? That teacher used charms on that boy.....He should be forgiven and taken for counselling 😮and deliverance for any ties....
Very true 100 percent.
Not for county but he governs his business and companies
Uchawi ya Tharaka na mbeere
Wewe jay wacha nikupate ukuchukua simu ya uyo mzee ndo utajua ujui wewe,usiharibu familia ya wenyewe
Kwanini anaongea kama our late president Kibaki?? Is it only me naskia zangu?
Jay try to stop yawning on camera please.
Observed that too. So unethical. And the way he sits, unprofessionally
Huyu Mwalimu alimublackmail kijana.Na labda she's using juju kwa wote mpaka kwa bwanake.
Sure
Mimi nko ready hapa, kuku- adopted na hii family together with my two kids..😂😂😂😂 yes...
Jay please please even if mama Derrick will insist usanitize mzee dont kindly instead check teachers phn uone kama amesave mzee tunapenda umbea but this one noo please
Jay usijaribu kusanitize phone ya mzee cheza chini akh juu inaweza leta mambo mob don't ruin there marriage please j
this family is very humble
Jay sanitize huyu mzee for the betterment of mama Derrick and the family at large.
Hi Jay, cases like this should be publicized to national TV to educate the public. This Meru lady has messed up trust in the for teachers. She should be prosecuted in the court of law.
Baba Derick you have to avoid that wicked teacher if its true you're dealing wuth her or you love her, she's going to destroy your family with her wicked characters mama Derick you have to stay strong and focus on your family and your husband not to think about nonsense words of wicked teacher explained to you. May God ct protecting you Director Jay and team
Ata mimi nikiwa na doh i will spoil mine
Maisha ya ufukala ni nyinyi!!
Na hiyo kuspoil ndio kumefikisha huyo kijana kulala na wamama
@@irynejames5161 so unatetea mwalimu mchawi?Do you know if ametumia juju vile aliona mtoi ni wa Tajiri??Think!!
@@marywanyoike9790 kuna mahali umeona nikiside na mwalimu. Ama umesoma comment gani wewe. Si utoe miwani ya mbao usome vizuri. Kana ngwandikire na gikuyu. Read and understand. Ohh.. Sorry, it was your comment i even dont know why im here. Spoil your kids in ✌️ ✌️✌️
@@irynejames5161 thii ukamie gatii gaka!
Huyu mzee naye anabore.... yake ni jambo ili sio nzuri tu is like not a big deal to him.
Ama ni kuzeeka sana, hakai kama mwenye anajali kuhusu hii story
Nani ameona kama mimi, Huyu mzae anaongea karibu kama Presi marehemu kibaki? “Tambia mbaya kabisa “ “Jambo hilo ni mbaya!” “Bure kabisa” 😂😂😂😂🤩😂😂😂😂🤩 yote ikisemwa kwa slow motion
🥺🥺🥺 jay nini inakusubua ni usingizi ama ni tumbo kukosa kukula ama ni uchovu ,ugonjwa ya kuyauwn Kila saa nini mbaya 😮😮😮😮unapanua mdomo sana Can you think about that
Jay anafanya kazi usiku na mchana hana time yakurelax
@@chunaabdullah1333 hata kama I think he must find atrest 3 or hours he can sleep this is too much tiredness 😫😫
Mr jay please isifike kwa hyo simu ya Mzee wewe unaelewa hii maisha wewe ni mwanaume jay usiharibu hii familia please cheza Kama wewe
Kwahuruma zamwenyezi mungu DJAY endelea nahii kesi lkn dont sanitize the mzee ju kinaeza mrambaa family ikavunjika
Jay talk to the governor so that he can change his account. I hard the boy can be able to access baba's account kwanza asome
Aki Bella Jay is yoning too much more hata juice yawa
Huyu mzee hapa Hakuna kitu hata heri huyo. Mama Derrick yuko strong
Jay umeingilia hii familia sana. You should have stopped after reporting to the mother.
Ukamuharibu wewe na freedom na mapeni 😢😢
Ndont sanitize his phone kumbuka sahii Kuna stress ya kijana na mamake pia Ako in dilemma so please jay kama unaogopa Mungu we deal to na mwalimu she is the real culprit
You mean huyu mzee Ni baba Derrick and Derrick is the only child,I think he has first wife and big children too.
They said derrick is the only son but Kuna sisters to derrick,,wakubwa
He is the last born and only boy in the family
Jay plzzz usichukue simu yamzeee aki this marriage niyalong 😢
Huyu Gavanor anaongea kama kibaki hayati😂😂😂😂😂,jambo hili si lisuli nimbaya kwa sababu nibaya 😂😂
The coment was looking for😂😂 ikosi ni product ya nyeri
Jay good work 👏👏👏👏👏👅
Jay kwani hukurangi aki sometimes hua unaibisha mkeo saa nyote kuinua mdomo kaa mtu hakuli nkt
Ni kuchoka si jaa una cheza na Kazi ya makelele kila siku😢😢
Maybe too long hours without enough sleep !!
Dota of Jezebel may thunder fire you there, God will judge you.
Bella kuja hapa.kindly nakutuma kwa Jay.asijaribu kusinitize hiyu mzee😂,hawa ni wazazi wenu na msivuje hii familia pls.
Lakini haki unafanya kazi poa sana.na Mungu akulinde .naaendelee kukupatia wisdom
Na mbona principal wa shule hajafwatilia tangu apigiwe simu na mama Derrick
Huyu mwalimu haki!!!
Avinywe avinyike!!!
Kwa kazi Yako umekosa huruma.infact umemtendea huyu mama ujama.
HUYU MZEE HASAIDII
Director j fungua akili ya wazazi waderik mwalimu hana dhamira nzuri anataka kurithi mali yote kisa mimba waspokua makini kitawaramba anabeba akili ya derik ageuze document za babake mama derik chunga hiogolddigger mtoto ako hatarini
Nataka kuona conversation ya mzee na mwalimu onset akifika tutajua ukweli Kama wanajuana
Nani amekumbuka sautii ya Kibaki hapa?
Jay usijaribu kusanitize uyu mzae,juu wueh naogopa pressure yake ipande sijui utaambia nini watu.Please abeg don't,don't
Kwani governor ni bro ya principal mungai
Principal mungai yupi
Na wanafanana
😅😅 anaongea kama yeye, wa pasta show
@@marydavid9635 principal mungai wa pastar show
Please jay dont sanitize mzee pliz for the sake of mom
Jay Wacha kuyawn unafungua mdomo sana kama giant
Weee kweli Denu angopa baba ke kama shimba😂😂😂😂
Don't sanitize mzee please....hii familia iko in peace wee solve tu problems zingine wachana na simu zao
Job well done DR JAY🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jay ukisanitize cm y mzae itakua ww n ovyo kabisa juu utakua umesambaratisha hiyo ndoa na n wazee aki😢😢😢
Iyo itakuwa fundisho kwa wazee wengi mtu ikizeeka achana namambo Yakuza watoto watakusumbuwa.mzae anaharibu mtoto wake mwenyewe😢😢😢
Sikwa ubaya but kuuliza tu SAASA HUYU NDIO BOY ALIKUA ANAMUOGOPA KAMA FIRAUNI NDIO THAT FIRE BADO SEE
😂😂😂😂😂
Wee hutu tumzae tunakuaga tu dictator ile mbaya
Jay usisanitize mzee uharibu familia yake heshimu miaka plz
Ako single ama😅I came in peace ❤
Huyu mzee alipata pesa aje ana bore hachukui hii kitu seriously aiii
Jay usi jaribu ku gusa🎉 phone ya mzee usi aribu iyi family
Fatana na yule woman teach Mubaya Sana
Teacher have 3 more boys in the school and some men outside?? Coukd it be all of them had ID as she did to Derrick. J fight for this family please 🙏🙏. God protect this work
Meaning pia hao anewatumia kupata pesa kwa wazazi wao ni vile awakupatikana
@@MagdaleneMaingi-p7c yes
But jay unayauwn sana skuiz kwa show kwani how bad is the situation in your kitchen meenn!😂😂😂bella whips for u😂😂😂
Jay aki walai wewe na ku yawn too much. Sip water all the time. It will help.
Sanitize the man please
We are turning every stone upside down 😂😂😂😂
Sure
Noooooooooooo
Tumia akili
Noooooo plizzzz
NANI ANASIKIA SAUTI YA EMILIO MWAI KIBAKI KWA HUYU BABA DERRICK??? NI MIMI AU NI MASKIO YANGU SI MZURI??? 😅
True he is speaking like Mwai Kibaki
Mzee amesema teacher abandilishwe.ataenda kuharibu wengine.
Uyu mzee akai mkali vile nilikua nadhania
Please Jay heshima ya mzee don’t sanitize his phone.
Jay wachana na simu ya mzee mboma itafujika na venye mama de ni mzuri
Kweli matajiri hawaongie mambo mingi
Pls jay usijaribu kuchukua simu ya Mzee asije kufia kwa mikono yako juu ya pressure acha kabisa na ucheze chini huyo mwanamke mpaka awekwe jela
Jay plzzzz make sure mmesaidia senior dave amekua kidnaped,,Anita amepost kwa Chanel yake
Jay pls usijaribu kusanitize simu ya Mzee pls tunakuoba.pea Mzee heshima ake .ueda uka affect Maisha ake na akona pressure tena ni Mzee ..mpe heshima zake ...... Don't try kushka simu ya Mzee ...
Mchunge sana shosh asiende meru akuje ako fully equipped na juju awaconfuse😂😂😂😅😅😅
Mzee amezeeka hatasaidia,pili go for health check up
Baba deric mbona simueliwi kabisaa anaongeyajee na matatizo yote mwalimu alivyo muharibu mtoto wake 🤯
Wadau huyu baba derick ni Governor wa wapi
Nyinyi watu hebu niambieni kuhusu clip ya Ndolo kushikwa Iko wapi been looking for it but sijaona
Ndolo si ilikua S.Dave.
Dci asharemove na account ya devu imeenda
Hata mimi nilikua naangalia sioni, kwani kunaendaje, Nani ako na story atushow
@@MargaretNjoki-n6v n hisikuwe n ukweli aky ety Dave pia alikidnapiwa
Huyu mzee Kila Kitu ni mbaya hasaidii,na Tena ukisikia mwalimu akisema eti wanakuanga na governor between them there is something.
@j nni mbaya una yawn mbele ya governor😂😂😂
Kibaki in the house
Jay aky usijaribu kuchukua simu ya huyu baba Derick
Huyu teacher aliambia kijana achukue id dio aweze kupora mali y babake believe me mzee pitia account zote pia documents za mali yako ,mwalimu ako n juju
Mtoto Ako shule na anapewa all the details za bank account all my God .... I pit this mzee
Kuzanitize sio mbaya but kumbuka matajiri uhai iko kwa mfugo imean pressure na sugari hupanda hovyo
Huyu mzee inakaa hayuko mothey ndo ako na sounding mind kuliko mzee
Are you a doctor to diagnose him? Sio poa kujudge mtu hivo kama,wewe sio daktari.
Some people express themselves well in their mother tongue...labda ni ...
I meant hayuko rander ya hii story anaambiwa inakaa light qwake vny anaongea ni kama hashikanishi, huyu wa story ya doctor cjui ameelewaji.
Bwana Jay unapigaka miau sana
Jay walai kula vizuri b4 uingie kwa show, ama ni usingizi? Everytime ukiwa na show you must panuad mdomo aki
Huyu mzee amechangia kupoteza kijana wake bila kujua
shida yenu true k mnanikatsia bana si mngeacha tu iendlee
Nani mwingine anachokeswa na haka kamuzee😢😂😂