JUNGU KUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 3

  • @anitakapinga6213
    @anitakapinga6213 8 лет назад

    Mimi toka niko mudogo paka najitambuwa wazazi wangu niwatu wakupigana kutoleana maneno machafu mbele yetu,alakini mimi nibahatika kuishi ulaya ila tatizo lawo ndolinazidi.mama yangu hajawahi kututiya maneno ila kwaupande wa baba anakuwa anawaza mama anatutiya maneno.sasa mimi niko inje yanchi nahitaji baraka kutoka kwawo.Mimi nikituma pesa namtumiya baba ila mama hakasiriki natena anafurahiya kuona jinsi namtumiya baba pesa.ila baba anatabiya yakutosema ila ikifika kipindi sina anamwambiya mama kama anamchonganisha nawatoto yani inafika kipindi nataka kumupa mama pesa kidogo mama anasema hataki fujo nimupe baba yngu.

  • @anitakapinga6213
    @anitakapinga6213 8 лет назад

    Mimi kama mtoto nawapenda wote ila nashindwa njisi yakuishi nawo.yani nashindwa kuhandika ujumbe vizuri ila nawomba msada kwasababu wote wakorofi namaugomvi yawo hamna mtoto anayaingiliyaka.ila kwamutazamo wangu baba nimkorofi kupita maelezo nanisipo mutumiya pesa pale aniombeye anakuwa ananuna

  • @anitakapinga6213
    @anitakapinga6213 8 лет назад

    mimi ninatatizo natena naomba munisaidiye kina mama